Loving the video watching you for the first time the job is amazing please do a written video I don't get Swahili well but can relate while in English thanks
Nyama nusu kilo(1/2 kg) Kitunguu thomu kilichosagwa pamoja na tangawizi kijiko cha mezani 1 Pilipili manga iliosagwa kijiko cha mezani 1 Bizari nyembamba/jira iliosagwa kijiko cha mezani 1 Mdalasini iliosagwa kijiko cha mezani 1 Maziwa mala vijiko vya mezani 5 Pilipili boga 1 ilioiliokatwa katwa Vitunguu maji 3 vilivyokatwa katwa slices Nyanya 8 zilizoblendiwa(unaweza ukaziblend na carrots ukipenda) Tomato ya mkebe/paste vijiko vya mezani 4 Dania 1 Viazi 4 vikubwa vilivyokatwa katwa size ta kiasi Rangi ya viazi Mafuta ya kupikia/uto kiasi Chumvi kiasi
nampenda sana huyu Mwl anafundisha vizuri anaongea kwa kituo unaelewa
Asante ❤
@@farwatskitchen13 sorry maziwa mala ni nini
@@kamatimajani4440 mtindi
Asante sana dada kwa mafunzo mazuri,God bless you sikua najua bt now can cook it very well
❤❤❤
Mashaallah u made it sis
Naomba
Loving the video watching you for the first time the job is amazing please do a written video I don't get Swahili well but can relate while in English thanks
Mapishi yako ni ya kutajika nitajaribu mashallah
😊😊😊
Maa shaa Allah habbibt tunaomba ingredient kwa chini
Shukran dada
Kwa sasa mahitaji yote na maelezo ya ziada yapo kwenye website yangu. Link ya website ipo kwenye description box
@@farwatskitchen13 thanks and love you
@@zennaabdullatwif7718 anytime my dear
And thanks for the love ❤
Uko vzur 😘 forget about haters
Masha Allah nimejifunza
❤❤❤
Lazima nijaribu hii cousin...yeeey
Tafadhali sema recipes na kizungu
Nic
Shukran kwa mapishi mazuri
ASANTE SANA NAPENDA NIRIANI ILA SIJUI KUPIKA ILA HII AAAAI LAZIMA NIIJUE KUMBE SI NGUMU UKIWA NA VIUNGO VYOTE THANKS ALOT DADA🇰🇪🤝🏽🇨🇿
I will definitely try this
Looks yummy
😍😍😍
Dada unapika vizuri kweli. Ila napenda afya yako. Please punguza kiwango cha mafuta unayotumia
New subscriber, lots of luv from nchi jiran 🇹🇿
❤❤❤
Mashallah
Shukran nzuri kweli
waoooo tamu sn
Maziwa mala ndio kitu gan au ndio mtindi
Mtindi
Mashallah biriani yaonyesha ni tamu
Mashallah nice
Maa shaa Allah. Taniua😂😂😂
😅😅😅
Mashaallah mzuri
mashallah
Wow! Nice one
N lazma utumie mchele wa birian au hata wa kawaida dada pllz nijib
mashaAllah...
Kindly list the ingredients in English please
can u name those spices in english coz if am to subscribe,i need to kno what ur saying
Cummin...cinnamon... Blackpepper...
@@eustarmwambanga3319 thanks.but i already subscribed though.hihi.asante.
@@patriciaachieng Karibu coast tukufundishe majina ya spices❤️
@@eustarmwambanga3319 i will definitely call u to cook at my wedding soon.
nzuri
Trying tonight
Asante sana nimeyapenda mapishi
Masha Allah
mashallah thats nice
Pilipili manga yaitwaje na kizungu
Black paper
You should have the ingredients in English too for those can't understand swahili
I will try to add subtitles in my upcoming videos.. thank you for raising that issue.
I got lost hapo kwa madalasini...sijui pilipili manga. Lo!
@@naiskaurrai2464 mdalasini(cinnamon).pili pili manga(black pepper)
@@aishamohammed3547 heh! Asante. I will now watch the full video if you can translate. Kiswahili ni ngumu sana aki.
@@aishamohammed3547 kindly list down the species for is in English, kiswahili kigumu daa.
I wish she could tell us those ingredients in English
Tanzanian with English equals X. Lol. But they are great cooks!
black pepper, cinnamon powder & cumin powder, kind of like pilau masala
Sure
@@beckimm146 Thanks
God bless you sikua na like but nlikua nafatilia Sasa my husband loves me more than before juu Niko sawa kufika thankyou
Masha allah naomba na link ya kachumbali yako 😘😘
Tnx momy very easy
❤❤❤
Nice Sana better
Shukran habibty 👌
Afwan ukhty😍
MashaAllah. Tofauti naninavyo pika. Yako nzuri zaid. Nimeipenda 🤗👍🏽
Asante Sana my dear 😍
Am glad umeipenda
Dah acha nipike kesho mwenyezi Mungu akituamsha salama
@@beatricechristopher4302 😍😍😍
Mashaallah yummy na yavutia sanaa lkn hujutupa vipimo habibty. Shukraaan
Bravo Madame 😘😘😘😘
Thank you 🔥
Mia mia look delicious
Tuambie vipimo kamili tafadhali
Nyama nusu kilo(1/2 kg)
Kitunguu thomu kilichosagwa pamoja na tangawizi kijiko cha mezani 1
Pilipili manga iliosagwa kijiko cha mezani 1
Bizari nyembamba/jira iliosagwa kijiko cha mezani 1
Mdalasini iliosagwa kijiko cha mezani 1
Maziwa mala vijiko vya mezani 5
Pilipili boga 1 ilioiliokatwa katwa
Vitunguu maji 3 vilivyokatwa katwa slices
Nyanya 8 zilizoblendiwa(unaweza ukaziblend na carrots ukipenda)
Tomato ya mkebe/paste vijiko vya mezani 4
Dania 1
Viazi 4 vikubwa vilivyokatwa katwa size ta kiasi
Rangi ya viazi
Mafuta ya kupikia/uto kiasi
Chumvi kiasi
@@farwatskitchen13 Asante sana
Nimependa na nimeelewa
Hayo maziwa mala n fresh au mtindi??
Mtindi
Dada samahani et nyama bila kuchemsha Kwanza haitakuwa mbichi
Mchele ni wowote
Kiswahil kipana kweli 😂😂😂 mashallah mwanzo mzur
How do you call those spices in English
Kama hauna presure cooker unaeza boil nyama ndio ukaeka izo zengime?
Utafanya tu km nlivyofanya mimi lkn itachukua muda mrefu zaidi kuliko pressure cooker
Kuna wenye hatupendi harufu ya tomato ikiwa blended....so naeza kara kata tu
Ndiyo unaweza ukatakata lakini kublend ni Bora zaidi kwasababu zitakuwa nyingi
Ingredients in english...
Looks yummy. Kazi nzuri
mashallah mrembi
Upo vizuri mashalaah! Naomba No yako shost
Safi sana
naomba upishi was chila
Awesome
Faiz Hisham Luks yummy but haki sielewi hizo viungo
@@annjuliet4 lol itabidi u google
Asant dada iyo rangi yaviazi ina itwaje yani jina rahiyo rangi naj una weza ata kutumie maziwa ya mtindi
Rangi inaitwa food colouring (golden yellow na green)
Ndiyo! Mtindi ndiyo hayo maziwa mala nilotumia
Naomba kuuliza Maziwa ya mala ndio maziwa gani?
Mtindi/sour milk
New Subscriber🙌🙌🙌
Thank you 😊
Hiyo rangi ya biriani inaitwaje
Food colour
Naomba ingredients za kupika 10 kgs biriani yambuzi
Pilipili manga n bizari nyembamba kwa kizungu ni?
Black pepper
Cumin
samahani,hivi maziwa mala ndio mtindi au?
Ndio
Napenda biriani lkni cjui kupika ila nitajifunza kupika nujue
Okay siz.
Pole pole tu utajua in shaa Allah.
Dania ni nini
Coriander
Unaweka rang gan
Golden yellow na green
Ukty asc ntka jinsi ya kupika pilau nyepesi
Asalam aleikhum warahmatullahi wabarakatuh.je naweza kutumia cmitana ?kwa sababu huku Ukraine hamna maziwa mala.
Sijui cmitina ni nn my dear lkn unaweza ukatumia maziwa fresh ya kawaida haina neno
CMETAHA google about it utanifahamu sababu najaribu kutuma picha haitaki
Tumia plain yoghurt yaani yoghurt isiyo na flavour
Asante sana.
Je nikikosa Maziwa mala naweza tumia nin?
Maziwa fresh waweza tumia
Utatia maziwa lala@hawafadhili
Ukikosa Mala waeza tumia soda
Maziwa naweza tumia yogurt nyeupe?
Mmh! Sina hakika Sana kwasababu sijawahi jaribu ila kama huna Maziwa mala unaweza ukatumia Maziwa fresh
Oooh
Mashall my dear
Huo moto umetosha nyama kuiva jamani ama umechemsha kwanza
CMETAHA google utaona cz inapatikana only in Russia and Ukraine
Cmetana inapatikana Russia na Ukraine lakini in UK ndio hio hio ambayo wanaita sour cream
Je hiyo sour cream mwatumia kupikia biriani ?
@@dr.naseemahbarayan4449 yes
Shukran 😊🙏
waweza eka mafuta mwanzo kabla ya kuanza kupika hilo rojo au mpaka upike kwanza ndio ueke mafuta
Ni vizuri ukieka mwisho wakati rojo lishaiva
hongora sn kwa mapishi haya ni mavuri na tumeyapenda
Asante
Salam alekum
Waalaikum salam
Sasa hayo maziwa mala yanapatikana wapi jaman
Shika moo yoghurt plain ama?
Marahaba😊
Sour milk/mtindi
Ayo mayi yamweupe nini ? ni maziwa gani ?
Mtindi/maziwa mala
Vitungu sio lazima kwenye wali?
Sio lazima sana, km nilivyoandika kuwa ni biriani simple tu ila unaweza ukaeka Itakuwa Bora zaidi
Samahan kwan n lazima kutumia maziwa?? Au ata naz inawezekn
Maziwa au yogurt, Nazi haitakiwi
Naskia njaa
Lazma maziwa mala
Unaweza ukatumia maziwa fresh pia badala ya maziwa mala
mashaallah mapishi mazuri
a trick : you can watch movies on flixzone. Been using them for watching loads of movies recently.
@Maximus Zyaire Definitely, been using flixzone} for years myself :)
Samahan iv biriyani bila maziwa aifai?
Ukiweka maziwa ndio inanoga na kutokea biriani halisi. Ukikosa maziwa mala unaweza hata ukatumia maziwa fresh
Mchele ni was basmat
Kiswahili ngumu dadagu tupe hizo viogo kwa kuzungu .....
Nitajaribu katika video zijazo😊
Mdalasini kwa kingereza ni nn?
Cinnamon
Cinammons
Thanks
Shukiran kinaonekana kitamu
Nyama ilichukua mda gani.kuiva
Kama dakika 10_20 hivi
Sawa Latina nitajaribu hii inakaa rahisi
Eti dada hiyo range gani umeweka kwa muceli
Green na golden yellow
Food colouring
Nimependa sana mapishi yako dada
Asante ❤❤❤
Hiyo kiswahili itabidi mtu awe na kamusi.
Asante sana
Dania ndio majani gani
Coriander
Nice masha Allah unatumia jina gani insta?
Shukran Habibty
Insta: farwats_kitchen
What's pilipili mboga in English plz?ooh hoho u mean🤣🤣👍🏿
Bellpepper
Lisa mecury thanx👍🏿
Paprika
Cupscome.