Biriani | Biryani | Jinsi yakupika biriani ya nyama na mayai tamu na rahisi sana .

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2019
  • Website:rukiaskitchen.com
    Facebook: Rukias kitchen
    Instagram : rukias_kitchen
    Cookpad: Rukias kitchen
    👉🏽 Pilau | Pilau ya nyama | Mapishi rahisi ya pilau ya nyama yakuchumbuka na tamu sana. • Pilau | Pilau ya nyama...
    👉🏽 JINSI YAKUPIKA BIRYANI YA KUKU NA MAYAI | BIRYANI | BIRYANI YA KUKU. • JINSI YAKUPIKA BIRYANI...
    👉🏽 BIRIANI | JINSI YAKUPIKA BIRYANI YA NYAMA YA NGOMBE | BIRYANI YA NYAMA | BIRYANI RAHISI | BIRYANI. • BIRIANI | JINSI YAKUPI...
    👉🏽 Pilau ya kuku yakuchambuka | Jinsi yakupika pilau ya kuku yakuchambuka na tamu sana. • Pilau ya kuku | Jinsi ...
    👉🏽 JINSI YAKUPIKA PILAU LA KUCHAMBUKA YA FASTA FASTA NA TAMU SANA | PILAU YA NYAMA | SWAHILI PILAU. • JINSI YAKUPIKA PILAU L...
    👉🏽 JINSI YAKUPIKA BIRIYANI YA KAMBA YAKUCHANGANYA TAMU SANA NA KWA NJIA RAHISI | BIRIANI YA KAMBA. • JINSI YAKUPIKA BIRIYAN...
    MAHITAJI:-
    nyama 1/2 kg
    biriani powder kijiko 1 chakula
    beefmasala kijiko 1 kidogo
    manjano kijiko nusu kidogo
    magi ama jumbo
    garamasala kijiko 1 cha kula
    vitunguu vya maji 4
    kotmiri / dania
    mafuta kikombe robo
    maziwa mtindi vijiko 5 vya kula
    kitunguusaumu na tangawizi vijiko 3 vya kula
    chumvi
    foodcoloring tafuati
    viazi 4
    tomato 4 kubwa
    tomato mkebe vijiko 3 vya kula
    ndimu 1
    mayai 4 yakuchemshwa
  • ХоббиХобби

Комментарии • 355