RAIS SAMIA AKUTANA na MTOTO HAMIMU Aliyeomba KUMUONA USO kwa USO IKULU; BAADA ya KUMSAIDIA MATIBABU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 96

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +1

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @husseinally6726
    @husseinally6726 Год назад +6

    Mungu akupe maisha marefu mama samia

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Год назад +6

    Dah machozi yamenitoka, Mungu akubariki mama Raisi Samia

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 Год назад +14

    Du kweli hakuna kama duniani kwa hili nimekupenda bule mamaangu wewe ni mama mfano wa kuigwa na wengine mungu akupe maisha marefu hapa duniani

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Год назад +1

    😳😭Maashaallah maashaallah maashaallah Hakika mama samia suluhu Hasan umeonyesha imani kubwa kwa mtoto nakwa watanzania kwa ujumla inshaallah ALLAH akulipe malipo mema duniani na akhera na akuhifadhi na kila shari za duniani ktk kazi akufanyiye wepesi inshaallah 🤲🥰❤️🙏

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 Год назад +1

    Hakika Dr Rais Samia Mwenyezi Mungu akuzidishie kheir nyingi.

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 Год назад +4

    Mashallah mama yetu mzuri Allah akuweke akfanyie wepes katka kazi zako inshaallah❤🎉

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад +1

    Hongera Rais kumsaidia matibabu, Mungu akubariki

  • @alexandermushongi4618
    @alexandermushongi4618 Год назад +11

    Ndio maana Mungu anakupigania mama, hakika wewe sio Rais tu bali mtu wa Mungu. Mungu akubariki sana mama

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +1

    😭Subuhanallah maashaallah Allhamdulillah😭😭😭nimeria kwa furaha. Ongela mamayetu Samia Allah akujaaleheri na Afyatele utende uwadilifu katika kazi yako

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Год назад +2

    Muheshimiwa Raisa Allah akuzidishie imani hekma, Busara ,ushujaa na upendo, Sina zaidi cha kuaindika ila Allah atakulipa kila la kheri

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Год назад

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. ALHAMDULILLAH

  • @kelvindaudi1063
    @kelvindaudi1063 Год назад +1

    Mungu akubaliki sana mama

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 Год назад +1

    😢😢Safi Sana Rais Wangu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +4

    Mashallah Mashallah Mashallah tabaraka llah 🥰 good job 😢🎉

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Год назад +1

    Mungu akubariki sana Mh.Raisi wetu.kweli unafaa kuwa kiongozi wa nchi hii.

  • @neemaraphael660
    @neemaraphael660 Год назад +2

    Hongera mama dor Samia suluh ubarikiwe Kwa upendo wako

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад +2

    Ndio Nazid kukupenda mama Samia shkuran Sana Allah akulipe khr Sana dunia na akhr

  • @massesamlawilla7071
    @massesamlawilla7071 Год назад +3

    Hongera sana, sana Mama yetu, umesimamia nafasi yako vyema, ninakuombea Mwenyezi Mungu akulinde na akuongoze wakati wote ktk majukumu yako, Amina.

  • @hamidaiddy2278
    @hamidaiddy2278 Год назад

    maashalah maashalah❤

  • @kisoka8771
    @kisoka8771 Год назад +1

    Haya ndo mambo muhimu jamii zetu nyingi hawajiwezi kwa matibabu ,Mama nikuombee uendelee na moyo huo wa huruma wagonjwa haswa wazee na watoto🎉

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa Год назад

    Mungu akutangulie mama Samia akupe umri mrefu inshaallah

  • @georgekitosi1514
    @georgekitosi1514 Год назад +1

    Mungu akulinde mama wa faraja, upendo na amani

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Год назад

    Mungu akubariki sana mama apo tupo sawa

  • @amanisaid9863
    @amanisaid9863 Год назад

    Mungu akusimamie sana mamam

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад +1

    Hongera dkt Samia kwa kwelii. Ni Rais Bora endelea kutusaidis watanzania

  • @josiahkulwa5318
    @josiahkulwa5318 Год назад

    Hongera sana Rais

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 Год назад +2

    Allah akulipe mama samia

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 Год назад

    Nimelia 😭😭😭

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Год назад +10

    😭😭😭😭😭 ALLAH Akujaalie mama Etu uwendee kutusaidia wanyonge na kutuona kama hivyo mana mtu kama Hamimu kukutana na Raisi na Akaweka maamuzi mleteni Huwa ni ngumu sana mana uongozi viongozi wa juu Huwa wanajiona kama vile wamemaliza madaraja limebaki daraja Moja tu Kuwa jirani na ALLAH Astghafirullah lakini mama Amejishusha na Akajiona yy na huyo mtoto na wanyonge wote ni Ibna Adam Asante sana mama umetutia moto SS wanyonge mungu Akubariki sana kwa Kila ootwayo Leo na Akufungulie Kila palipofungika na Akujaalie kizazi chako kifuwate njiya yako Amiin 🤲 Amiiin 🤲 Amiin 🤲 Yaraby

  • @florarog548
    @florarog548 Год назад

    Mungu akubariki mama kwa upendo wako

  • @joelmosses9395
    @joelmosses9395 Год назад

    Mama wee unaupendo mnooooo namanisha unafanya kitu toka rohini👏👏👏👏

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 Год назад +3

    Kwahili mama mungu atakubariki sana Yani moyo wako niwapekee mungu akubatiki mtoto huyo umemtendea jambo ambalo hatakaa akusahau kabisaa duniani mpaka ahera

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад

    Hongera sana mama hiinimeipenda

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Год назад

    Hongera Sana Rais Samia kukutana na Hamimu,tungeomba ukutane na Hawa umuone jinsi alivyokuwa na shimo tumboni ametoboka kinyesi kinamwagika tu. 😭

  • @dadamwajuma5155
    @dadamwajuma5155 Год назад +1

    Well done mama mungu azid kukulinda kweli mama umekua na huruma na upendo wa kimama!

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 Год назад +1

    Ubarikiwe sana Mama MUNGU Akupe Maisha marefu we love you🙏🇹🇿

  • @Safreenfeen
    @Safreenfeen Год назад +13

    Yawadudu yarazaki yasamiyyu....nakwita yaraby kwa majina yako matukufu....mkinge mama najikuta nalia kwa furaha....mama kukubali kumuona mtoto hamim Tena....yaraby mpe mama uzima na afya....na Kila baya muepushe..... aaamin thuma aaamin yaraby....ooooh

  • @pacoraban55
    @pacoraban55 Год назад

    Mashaalah barakaalah fik ndoto yake imetomia

  • @tygaboy3471
    @tygaboy3471 Год назад +1

    . president...mlezi... Maana ya mama kwa wanawe...nimetokwa na machoz..God bless you

  • @mohammednassor7617
    @mohammednassor7617 Год назад

    Allaahu Akbar hii ni Ayah unayonionesha upendo huu kujali kulikopitiliza mama yetu mungu mwema atakusimamia inshallaah

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي Год назад

    Hongera sana mama

  • @mudasina6968
    @mudasina6968 Год назад +1

    Allahumma Amiin Yaraby na mpe afya njema

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 Год назад +1

    Mungu akupe haja ya moyo wako mama.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Год назад +1

    Kweli penye nia Mungu yupo

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 Год назад

    Maashaallah mamaangu

  • @pascalpembamoto6968
    @pascalpembamoto6968 Год назад +2

    MUNGU AKUBARIKI SANA MAMA,UMETENDA WEMA MKUBWA.

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 Год назад

    Mama Hongera sana Mungu akubariki sana nimeona machozi yananitoka

  • @khadijatanzania8040
    @khadijatanzania8040 Год назад +3

    Mama naomba muone na Hawa anayeteseka miaka mingi😭

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 Год назад

    Hakuna kam mama mama samia.mungu akuweke maishq yako. Yote uwe mama.wa mfano kwa kweli mama umeonyesha kweli we ni mama wa kuigwq

  • @hellenmollel6679
    @hellenmollel6679 Год назад +1

    Mungu akupiganie Mama Kwa upendo wako huu, kumrudishia mtu tabasamu ni thawabu kubwa Kwa Mungu

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 Год назад +6

    Mungu hututendea wakati wote kupitia wateule wake! Tunakushukuru Mwenyezi Mungu! Mama Mwenyezi Mungu akuujalie haja za moyo wako na azidi kukubariki!

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi Год назад +1

    Asante kumtia moyo mtoto

  • @zainabomar5144
    @zainabomar5144 Год назад

    Hongera mama samia

  • @MariamRahim-kn7oc
    @MariamRahim-kn7oc Год назад

    Nani kama mama🥺🥺

  • @saimonimlambo9052
    @saimonimlambo9052 Год назад

    Wallah Samia umeniliza

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 Год назад +1

    Na mimi siku Moja Rais wangu anione kama alivyomuona huyo mtoto.

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk Год назад

    Allah akusimamie mama

  • @gladysmsele4291
    @gladysmsele4291 Год назад +2

    God bless you madam President for what you have done for this boy , I hope one day you will accept to meet me, your great💪🙏

  • @deus8629
    @deus8629 Год назад

    Kufika tu ikulu tayari ni Historia kwake. Ni Mungu tu anaepanga kila kitu dunian

  • @jamessiame5169
    @jamessiame5169 Год назад

    Ongela mama

  • @فطومفاطمه-ش2و
    @فطومفاطمه-ش2و Год назад

    Yaani Rais Samia hadi raha

  • @MwanahamisNyenzi
    @MwanahamisNyenzi 17 дней назад

    Mama .mama,.Mama,.kweli hakuna kama mama

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 Год назад +1

    Muungano wa kweli.

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Год назад

    AMEN

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Год назад

    Ramia hoyeee

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb Год назад

    Mama mngu akulinde watanzania tunakupenda

  • @goodluckulimboka8117
    @goodluckulimboka8117 Год назад

    MH.RAISI WA TANZANIA DK.SAMIA SULUHU HASSAN TANGU UMECHUKUA NCHI BINAFSI NIMEKUWA NIKIWAAMBIA WATU KUWA MAMA UNABARAKA KUU SANA KWA TAIFA LETU.
    ULICHOMFANYIA HUYO MTOTO UMEUGUSA USO WA MUNGU KWA WAHITAJI NAYE MUNGU HATAACHA KUKUBARIKI NA KUKULINDA!!

  • @patriciousnjau7792
    @patriciousnjau7792 Год назад +1

    Nan Amelia kama mimi..Nimefurahi kwa kweli

    • @mirajikimosa4997
      @mirajikimosa4997 Год назад

      Mama ni mama tuuuuu hata iweje??? Allah akulipe mama

    • @hemedomar185
      @hemedomar185 Год назад

      Pole sana

    • @hawaelymaricca7602
      @hawaelymaricca7602 Год назад

      Yaani wewe mama ni Mungu amekuleta kwa kweli kuiongoza TANZANIA, Naishiwa maneno ya kusema nakupenda sana sana ,hii nnnimelia km mtoto. Mwenyezi Mungu akusimamie kwa kila jambo na kuombea mwaka 2025 Utuongoze tena Dada yangu. ila na mie natamani ningekuona napambanaga sana lakini sipigaji hatua wanawake hatuaminiwi wenye kaz za ujenzi. hapo UDOM GATE NIMEJENGA mimi ni sehemu nyingi nnafanya kazi lakini bad hatujaaminiwa wanawake. Ila naamini ipo siku nitapata nafas ya kukuona .Mungu akupe haja ya moyo wako wewe na familia yako.

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Год назад +1

    Huyu mama ni mnyenyekevu Sana.. Wazazi wake hakika walimlea vyema.. Hajivuni kabisa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад

    2025 💪

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 Год назад

    Kuanzia leo nipo pamoja na Mama

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Год назад

    Nani kama mama?

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 Год назад

    Hii story ni sawa na ile ya mwanamke alikaa kando ya barabara aliposikia Yesu anapita maeneo aliyokuwa anaishi kwani alihitaji msaada wa uponyaji na aliamini akishika Pindo la Vazi la Yesu angepona ugonjwa wake.

  • @nabrycedawood6860
    @nabrycedawood6860 Год назад

    Nmejikuta nalia

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Год назад

    KWA hiri hata mimi nampongeza rais ametekeleza wajibu wake kama kiongozi huu ndio weledi UNAO takiwa

  • @mariammmbaga976
    @mariammmbaga976 Год назад

    Machozi yananitoka

  • @sirielsamweli4751
    @sirielsamweli4751 Год назад

    Machozi yamenitoka