MAUAJI ya KINYAMA ya MFANYAKAZI wa MADINI GEITA, MASHUHUDA WAFUNGUKA - "ALIKATWAKATWA VIUNGO"...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 117

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +2

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 Год назад +5

    Dah jaman lakini mungu wa haki anawaona na waliotenda hili tukio kamwe wasipate amani katika maisha yao dam ya kemi itembee nao

  • @violetjozey4425
    @violetjozey4425 Год назад +11

    Mungu angesema atutoe binadamu uhai kila mmoja kulingana na makosa yake,mpaka leo dunia ingekuwa tupu.Tupu kama jangwa.

  • @ashamaggimba1459
    @ashamaggimba1459 Год назад +4

    Pole familia ya Milembe Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi

  • @mariagekondo7452
    @mariagekondo7452 Год назад +5

    poleni sana wote 😭😭😭😞😞😞 Mungu tusaidie watanzania

  • @mchumiajuani1993
    @mchumiajuani1993 Год назад +8

    Uelewa wa mzungumzaji wa kwanza upo juu sana.

    • @marrymaganga8585
      @marrymaganga8585 Год назад

      Sana

    • @shaibually5131
      @shaibually5131 Год назад

      Uyu mdada kaguswa ata mimi pia nishaguswa binadamu Sasa uku dah

    • @fettymilly7664
      @fettymilly7664 Год назад

      Kabisaaa yan nmempenda bure Kuna matukio utokeaga ucku asubh mtu anasema tena bila aibu Jana nilickia kelele Sasa kwann usiwaamshe wenzio au usipige kelele ili wale waogope wakimbie

  • @esterjohn871
    @esterjohn871 Год назад

    Mungu haipumzishe roho ya marehemu mahara pema peponi

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Год назад

    Poleni sana,watu wamekuwa wakatili sana,dada umeieleza vzr Mungu akubariki

  • @siamnyone8403
    @siamnyone8403 Год назад

    Hilo neno tu eti KACHINJWA😭😭 duh ni geita hiyo Asanteeen

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 Год назад +1

    Dada unajieleza vizuri sana

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 Год назад

    Geita noma sana

  • @MgallaMgini-zf1eq
    @MgallaMgini-zf1eq 4 месяца назад

    Na huyu mwenyekiti kauawa jana kwa kifo hiko hiko cha kukatwa mapanga maskini😢😢😢😢

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 Год назад

    Bora basi wangempiga tu risasi ijulikane hivyo kuliko kumchinja jamn , hofu imetutoka binadamu

  • @ezekieldeus6022
    @ezekieldeus6022 Год назад

    Hapo kosa walilo lifanya ni kuua, kwani, aliyenahaki ya kuuondoa uhai wa mwanadamu, ni Mungu, na si mwanadamu, na pia, aliye na haki ya kumuhukumu, mwanadamu, ni Mungu, na si mwanadamu.

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад

    Mh .yani .mbona ivyo

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +1

    Mbaya Sana hii

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 Год назад +6

    Wanasema nimsagaji napia aliowa mwanamke mwenzie kwahivyo mie naona bora

    • @leoniaathuman1038
      @leoniaathuman1038 Год назад

      Hata kama bado huna haki ya kumuuwa,
      Mwenye mamlaka hayo ni Mungu tu

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 Год назад

      Acha chuki na ujinga mtu ana kufa una sema sawa....ujinga wewe

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 Год назад +1

      @@zawadix9574 kama nimsagaji akachomwe moto wa milele mbwa hyo ngurue pori haya nina chuki unatakaje sasa

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 Год назад

      @@leoniaathuman1038 kama mungu aliiyangamiza sodoma na gomora kwanini wasiuwawe hata nawewe kama umo Tutakumaliza

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 Год назад

      @@zawadix9574 haya kamfufue sasa tushamuuwa🤣🤣🤣🤣

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 Год назад +3

    Yani ukatili huu😢

  • @oliverjason4335
    @oliverjason4335 Год назад

    Awo mafundi jamani waseme ukweli angeuliwa sehemu nyingine ukuta usingetapakaa damu na iko kiganja kilichoanguka nahisi alikuwa anajalibu kujitetea

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 Год назад

    Geita mmmh sitasahau wamama wawili walichinjwa nyarugusu ...

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +1

    M/MUNGU ilazeroho yamarehem mahalipemapeponi watuwanaroho mbayasana aisee pole kwa wafiwa

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 Год назад +4

    Kauwa na Hao hao Mafundi wanaomjengea nyumba zake mafundi wakamatwe

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Год назад +1

      Je wewe ulikuwepo wakati hao mafundi wanamua, acha tabia zakinafiki nyinyi ndio mnaowafungaga watu kwakutoa ushahidi wa uwongo

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 Год назад

      @@Mpakauseme watanzania hapo vichwa vya mwenda wazimu Mafundi wote wakamatwe

  • @frednandnsakuzi7584
    @frednandnsakuzi7584 Год назад

    Ili ushoga na usagaji uishe nikutangaza kuwa damu zao zinatakatisha fedha kama ilivyokuwa kwa maalubino wa watu

  • @masumbukojonas5510
    @masumbukojonas5510 4 месяца назад

    Tarehe 24 July 2024 huyo mwenyekiti 😢pia amefariki Kwa kukatwa mapanga

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 4 месяца назад

    Jmn hta huyu mwenyekiti leo meuwwa kwa kukatwa mapanga nyumbn kwake na watu wasiojulikaa.

  • @abdulomar608
    @abdulomar608 Год назад +2

    Innalillah wahinnaillah rajuiin

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Год назад

    Huyu hajauliwa sababu alikuwa msagaji tatizo litakuwa huko mgodini maana hao watu wa migodi wanauana sana

  • @neemanyambo1017
    @neemanyambo1017 Год назад

    Jamani watanzania tunaendawap tunachinjana kikatili namba hii munguu tusaidie tunachinjana Kama kuku tunaenda wap? Mungu ludi tusaidiee,, ,, we

  • @fainajaffary4070
    @fainajaffary4070 Год назад +1

    Tanzania ifikie mahala roho zaukatili zikome ushetan umekuwa kipaumbele watu hawana khofu ya Mungu

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Год назад

    Sasa unasikitika nini hao wasagaji mashoga wanatakiwa washighulikiwe ili watoto wetu wapone

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 Год назад +4

    Alafu kwanini geita imekua hivi jaman dah

  • @ramadhanibundala580
    @ramadhanibundala580 Год назад +5

    Alieuwawa alikua msagaji mkoa wa geita anaitwa milembe

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 Год назад +5

    Maisha mafupi sana sana aiseee

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад +1

    Sasa ungeishi km mwanamke ona sasa yaliyokukuta

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 Год назад

    Jamn mbaya sana

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 Год назад +3

    Geita sitaki hata kupasikia

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +1

    Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 🤔

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Год назад +2

    Duuu jmn binadamu tumekosa huruma kbisa,hivi nikitu gani jmn hivi ukatili gni huu mpka umfanyie mtu ukatili mkubwa hivi.Hivi ste situmezaliwa namwanamke.kweli kweli aiseee daaaa sinalakusema jmn

  • @josephineminanisalma3792
    @josephineminanisalma3792 Год назад +2

    Duh🤔🙆

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 Год назад +2

    Sasa kma msagaji atangulie tuuuu😏😏maaaan dunia imechafuk jmn

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Год назад

    Dah maskn ameacha mali zake😢😢😢

  • @tatotato506
    @tatotato506 Год назад +1

    ATA KAMA ALIKUA ANAMAKOSA SIO HAKI KUMUUWA MAMA WAWATU DUU

    • @eunicefalex4403
      @eunicefalex4403 Год назад

      Kama hawajamtoboa macho wakapime wote waliofanya tukio wataonekana

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 Год назад

    Iwepo sheria kama china muuaji auliwe hadharani,maana anajuw ataweka mwana dheria aseme uwongo yeye aachiwe

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 Год назад

    Mafundi waisadie polisi kuna watu anakutoa roho kisa mmezozania elf 5

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Год назад +2

    Jamani watu wabaya

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад

    Yanii

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 Год назад +7

    Nisawa awawe ni masagaji hata dini imeruhusu ushoga n usagaji hatuutaki

    • @vickyshayo7880
      @vickyshayo7880 Год назад

      Dini gani imeruhusu ushoga na usagaji?

    • @Ummu-Nauthar98
      @Ummu-Nauthar98 Год назад +1

      ​@@vickyshayo7880 wewe ndo umeelewa tofauti amesema dini imeruhusu kuuliwa Kwa wanaoshiriki ushoga na usagaji

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 Год назад

      @@Ummu-Nauthar98 tnx kwa kumpa jawabu sahihi🫂

    • @sharonmasawe5381
      @sharonmasawe5381 Год назад

      We nani hadi uhukumu hukumu ni juu ya Mungu pekee kazi ya mwanadam ni kumshawishi binadam mwenza amrudie mungu aache njia mbaya na sio kumuua bila ya yeye kurudi kwa muumba

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Год назад

      Acheni ushabiki 😮, hata Kama alikuwa na hiyo tabia uliona wapi hukumu ya hivyoo ???

  • @johnyusuph3221
    @johnyusuph3221 Год назад +2

    Geita na iringa mauaji yamekithiri

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 Год назад

    Wamemuuia kwa apartment yake jmn watu

  • @marydominick920
    @marydominick920 Год назад +1

    Huyu si ndo aliemvalisha mwanamke mwenzie pete 😂😂😂😂😂😂

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 Год назад

    Hapa napita kimya kimya tu maana nimesoma baadhi ya comments yasemekana marehemu alikuwa msagaji wengi wanalaani mauaji na wachache wanaunga mkono msagaji kuuwawa,nabaki kutafakari hii vita dhidi ya usagaji na ushoga kweli itafanikiwa??

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 Год назад +3

    Majirani walipuliziwa dawa hao 😢

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Год назад +2

    Duh

  • @queenmama2033
    @queenmama2033 Год назад +1

    Nyie jmn hata kama n Ana Mambo hayo hakuna mwanadam mwenye hak kumfanyiaa hvo mwanadam mwezie jmn yesu alishatukomboaa jmn n kuombeanaa sio kuua jmn MUNGU tuonee jmn uwiiii ata nashndwa cha kusema hiili rohoo la maut na pepo la mauaj jmn uwiiiii daaah MUNGU aukemeee

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 Год назад

      We unasema tu angemsugua mama Ako 🤣unagefurahii pia

  • @gausamweli6629
    @gausamweli6629 Год назад

    😭😭

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 Год назад

    Uyo wa pili in case Tena

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 Год назад

    Waliofanya tukio wakifatiliwa wanapatkana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад +1

    💔

  • @jacquelineadrian6436
    @jacquelineadrian6436 Год назад

    Huyu dada (joke dume)huyo alomvisha Pete sio mke wa mtu kwel usikute ni mambo ya mapenz

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Год назад +1

    Mashetani wapungue😡

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 Год назад

    Tume rudia ku Anza mawaji ya ujinga hamna kitu kibaya kama chuki !!!!! Angalia ma albino Dunia it's Anza ku sema angalia he nchi ya wajinga wame Anza na vituko

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Год назад +1

    Mmesahau Sodoma na gomola ilivyofanywa, bola laana imeondoka.
    Msagaji uyo