Kitu ambacho Fid anasahau ni kwamba kuna utofauti wa mawazo, UNAWEZA KUWA NA WAZO kama limekuwa limepitwa na wakati, watu hawawezi kulielewa, kama wazo lako liko mbele zaidi ya wakati uliopo pia watu hawawezi kukuelewa, lakini ukiwa na wazo la wakati uliopo watu watalielewa, sasa Fid mistari yake ilikuwa mbele kabla ya wakati tuliokuwepo ndio maana akaonekana anaandika ngumu, lakini sasa hivi anaeleweka kwasababu ndio wakati sahihi wa kile alichokiwaza kabla ya wakati.
FD Q kasema ukweli ila jamani tuna vipaji kama akina Moud bonge ambao ni watoto wadogo ambao bado wanahitaji fursa nyingi ikiwemo elimu kuendelezwa na kuinua vipaji vyao vya usanii
Fid Q, msanii makini sana! Tuunge mkono Kwa kusubscribe Suzan classic channel na uwe wa kwanza kupata taarifa zetu mapema. Asante sana ruclips.net/channel/UCGaNYKeDZZkVe_B_csLUVMQ
Nimependa sana ulivojibu swali kuhusu Nikki Mbishi Farrid you are really professor wa kitaa Kama unamkubali Fid gonga like hapa
Kwa ambao mliokua mnasubiri hii interview gonga like hapo
Nelson Banka Nirisubir sana kutwa nzima ya jana nasubir data on mwanzo mwisho hamna
@@amirysaimon9488 nilijua tuuu sitokua peke yangu tunaosubiri
@@mohamedslh5478 niambie mwamba
Fid Q namkubali long time..... Most MVP... Much love from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
Respect Fid Q,a perfect example of how music income shapes futures.Being your own boss shifts a mindset.
king of interview na Cheusidawa🙌🙌
Much respect ngosha 🙏
Jamaa kaanza interview mwanzo mwisho bila hata tabasamu? very concentrated the guy. love from DR Congo
Very sure you the best bro, with the best Hip hop artist in East africa mzee chausi dawa.
Kitu ambacho Fid anasahau ni kwamba kuna utofauti wa mawazo, UNAWEZA KUWA NA WAZO kama limekuwa limepitwa na wakati, watu hawawezi kulielewa, kama wazo lako liko mbele zaidi ya wakati uliopo pia watu hawawezi kukuelewa, lakini ukiwa na wazo la wakati uliopo watu watalielewa, sasa Fid mistari yake ilikuwa mbele kabla ya wakati tuliokuwepo ndio maana akaonekana anaandika ngumu, lakini sasa hivi anaeleweka kwasababu ndio wakati sahihi wa kile alichokiwaza kabla ya wakati.
Hakuwa mbele ya muda ila hadhira ilichelewa yaani ilikuwa nyuma ya muda
Fid unaongea ukweli mtupu yan nikki mbish na fid ukiwasikiliza vzr utajua hawa jmaa ni nomaaaa
Daah huyu jamaa yupo deep sana aise 😀
I like this guy anaongea sense #Fid q
Lil Omy,,,,,my favourite radio presenter pamoja na #KING FID Q the baddest rapper in the game,,,much respect from 254..
Iko poa sana
Makini bro
Nataman fid q afanye interview kila siku daah ila ndo haiwezekan
Nakukubali fid q
Mwanaume/ Ngosha
Ngoshaaa 🙌🙌🙌🔥
Cjawah kuskia interview mbov kwako tambweeee
To let the talented
bado namsikiliza mziki wako hata ukiacha kuimba leo ngoma zako ni nyingi na hazichoshi kuzisikiliza coz zinaelezea maisha halisi ya mwanadamu
Big Up #Fid_Q and #Ommy
survival tactics👊👊
2021
2020
Aiseee huyu FD Q bana Mungu akubark kaka uko vzri
Big up young fid
Kaka ile tuzo unabeba maana every day lazima ni vote, naamini kura nazokupigia zina thamani japo chache ila zitasaidia kwa kiasi flani..
King wa interview na king mwenye hip hop yake
Much competent jamaa Fid Q unajua vitu vingi sana
Tambwe Kizazi Sanaa🔥🔥💥💥😆😆🙌🙌
Heshima kwa fid q #hip hop#kitaaOLOJIA
NICE INTERVIEW MMEK0MAA SANA💜🇰🇪💥❤️🇰🇪🙌
Bruv ngoma ya love beat yake ilikua kama copy and paste flani from hallelujah ya mondi 🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️
STILL 2023🎱💥🏌️♂️
❤❤❤❤
Pamoja sn fiq nakubaliana sn
Tambweeee na ammygal nawakubaliii
Kizazi xna Lil ommy ni Bonge LA interview
Bonge la interview mzee.....ila nikuombe Mtafute bwana mmoja anaitwa KBC kwanza unit uzungume nae kuhusu game ya hip hop bonge
Nipo chuoni BUJUMBURA nahangaika kutafuta namna ya kupata hii elimu ya kitaologia ilq nimeshindwa jamani
🙌🙌
10:12
Aboi 4rm Makambako town OIOIOI oioi niaje hapo kwa mjengo
Ila Fid Q ni muongo sana😂😂
Akina mood bong wajifunze😢
Ngoshaaa ngoshaaa
nakuaminia sana fid
Kibet Abraham fdq ukovizurisam mm uwanakuerewasana
Law of attraction nimekuelewa sana✊🏾
HAYA MADUDE I LIKE THAT
FD Q kasema ukweli ila jamani tuna vipaji kama akina Moud bonge ambao ni watoto wadogo ambao bado wanahitaji fursa nyingi ikiwemo elimu kuendelezwa na kuinua vipaji vyao vya usanii
heshima yako ngosha
Zungumzia chunusi tofauti na mapunye
ushakula mavitabu plz
Anasoma vitabu Sana
Ya kizazi sana
Alafu Fid q bana,ukija Mwanza nitafute!!!!!!
👊👑👊
Ommy bana asa haya mambo si yalishaongelewa block89! Mbona fid q package yake kubwa tu ase...
Hii noma san
Tatizo la Nikki mbish anajua kila kitu
Swali kwa nn wasaniii wa hiphop hamko nominated kwenye tuzo unaanzaa kuzungukazunguka maneno mbingi....we ni mbinafsi
Fareed kubanda wewe mwalimu
Vijana jifunze
Fid Q ninja wa kitaa
Hip Hop culture
Malipo ya ki ezi
Lini Utafanya ngoma na sugu,
Daaa hako ka mdada kanaitwa kananiiiii?
Ee bhana ee😂😂
Gonga Like Kama We Ngosha ,
Unajua kaka mpka unanibore
Kubanda sema baba.
Amy gal anakipenda sana hiko kikoti aiseee😂😁
I thank me for subscribing to this channel
Tuishi humo nami naja
Fid Q, msanii makini sana! Tuunge mkono Kwa kusubscribe Suzan classic channel na uwe wa kwanza kupata taarifa zetu mapema. Asante sana
ruclips.net/channel/UCGaNYKeDZZkVe_B_csLUVMQ
Mafanikio kagoma kutupa kideo chake
IMMAH 255
Mnyamwez we noma umeanza sumbua tok mboka
ozaaaaa mwanza mwanza niqa soloute....
bonge la intaviyou
Hivi kwann jamaa hua haponi chunusi 🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️😢
Mpe dawa ww atapona
Tatizo la wasanii wa bongo wengi clouns mwingi na unafiki mwangi diomana mnatamba hapa bongo ila hamfiki kokote
Wasidie vijana kama hawa
Wasaidie Akina mood bonge
fid..anasisimua hadinywele
Utabaki kuambiwa mkali tu
Lkn hela hamna
Ashakwambia hataki kua tajili anataka kufanikiwa ko mkaushie msela wetu
Wewe unahela gani bwege tu
@@godfreycharles718 si ndo hapo eti hela hamna huyu msela tikiti kinoma aan
mohamed fogo unayajua maisha yake,,mpaka kiwango cha uchumi wake mzee,,
MKuu JCOLE ana followers w wachache sana Instagram lakini anapendwa na watu wengi na a najaza watu kwenye stage
Wakwanza ku dislike 😂😂
Acha ujinga A/C namba yake unajua ina kiasi gan? Kama hana hela huwa una mhudumia maisha yake?
@@georgemashauri4657 bro umeelewa nilichoandika??? Neno Dislike nalo Ni tatizo???😂
ozaaaaa mwanza mwanza niqa soloute....