Natamani KWANZA UNIT wakutane siku moja wote kwa pamoja as a group na kutoa interview kuhusu safari yao kimuziki na ikiwezekana watoe plan zao kimuziki ......♨♨♨♨
Yupo Uingereza wanasema, ustadhi sana sikuhizi, na mziki ni chapter ya maisha yake ambayo haiendani na falsafa ya maisha yake ya sasa hivyo anakataa interview anazoombwa kujadili hili.
Bongo bana,yaani waasisi wapo hai tena wengi tu lkn historia hata haiandikwi kwa ufasaha, mfano singeli ni mziki wa juzi tu lakini usishangae historia yake ikawa juu chini.
K amewaelimisha kifanisi sana kuhusu KU crew na mwanzo wa Hiphop Bongo.Much love.
Bro Kibacha yupo na love sana very smart
👁️👁️ Helsinki Finland 🇫🇮🤝
Shout out kutoka Wales-Y thang
Umetisha mzee,bongo lini?
Saigoni n WAKWANZA Acheni wivu 😂😂😂😂😂 hata kama Alijirecord kwa kanda n ujanja wake
Natamani KWANZA UNIT wakutane siku moja wote kwa pamoja as a group na kutoa interview kuhusu safari yao kimuziki na ikiwezekana watoe plan zao kimuziki ......♨♨♨♨
Salehe Jabir atafutwe nae.
Yupo Uingereza wanasema, ustadhi sana sikuhizi, na mziki ni chapter ya maisha yake ambayo haiendani na falsafa ya maisha yake ya sasa hivyo anakataa interview anazoombwa kujadili hili.
Shukran Soggy
Real talk 💯🔥
Kwanzanians....
kibacha
Tofauti Kati ya The Industry na wengine ni aina ya interviewees mnaowaalika hapo. ENDELEENI KUWA HIVYO HIVYO binafsi nawaelewa sana.
100%