#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 48

  • @TunuAgast
    @TunuAgast 4 дня назад +5

    We achia madalaka tumekuchoka..hatuon mabadiliko yeyote

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi День назад

    nyie waj8nga kweli kwann Dom inaangalia kuuguwa😊

  • @vicentjosephat6501
    @vicentjosephat6501 3 дня назад +3

    We mwandishi uelewa wako mdogo nyamaza lisu hajamzalau mbowe,.

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi День назад

      Sasa nyie waandishi waabari mtaposha sana sasa manaana ya demok8starasi inamanagani

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 3 дня назад

    Mko sahihi. Mambo Tundu anamwonesha Mbowe ya utovu wa nidhamu, staha, na shukrani kiongozi wake; Siyo haki.
    Kuna jamaa wa karibu na Tundu anasema hiyo ndiyo tabia yake. Hana Shukrani wala adabu.

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 4 дня назад +1

    Rosy. Yuko. Sahihi

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 4 дня назад +3

    Tundulisu ni mkweli kama wewe ni mzalimu lazima akuchane makavu

  • @dennismcharo1631
    @dennismcharo1631 День назад

    Kweli kabisa

  • @FutiweloMwamlima
    @FutiweloMwamlima 2 дня назад

    Hanna siasa haipo hivo mbowe hatowi mwongozo wazi tumushauri

  • @JamesMsemwa-b2t
    @JamesMsemwa-b2t 4 дня назад

    Kaka jastin umeongea vizuri

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 День назад

    Watangazaji wetu elim zao ndipo zilipoishia wachache sana ambao wanajielewa

  • @HimidMkuya
    @HimidMkuya 3 дня назад

    Umeshalipwa kaka

  • @HimidMkuya
    @HimidMkuya 3 дня назад

    Mbonazito katika kimyaa

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 5 часов назад

    YA MAASKOFU NA WACHUNGAJI 😢😢😢😢

  • @Abeid-w4c
    @Abeid-w4c 4 дня назад +2

    Lissu akipata nafasi ya uwenyekiti CHADEMA na uongozi wake ukiwa wa mafanikio wewe mtangazaji unayesema hana shukurani utasemaje? Kuitumia haki yake kikatiba ni makosa? Napenda viongozi bora wanaoshinda kihalali na pasipo hofia ushindani kiuchaguzi

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona День назад

    Hatumtaki MBOWE,,,ametufanya wanachadema kama ni duka lake

  • @yustodonald9772
    @yustodonald9772 3 дня назад

    Mbowe unawahujumu wenzako unapata pesa wenzako wanahongwa wanakataa achia ngaz

  • @AmidaJotama
    @AmidaJotama 2 дня назад

    Huyu jamaa mwenye suti ya kujibu anaonekana kabisa ni chawa wa mbowe

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 4 дня назад +1

    .....huu nao ni ujinga mwingine..yaani kwasababu alimshikia damu basi lisu asiseme ukweli...lisu ana moral authority ya kusema alichosema....uzuzu wa kufikiri ni hatari...

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 3 дня назад

    Mahafidhina wengi wanafurahi sana Lisu kumshambulia Mbowe pamoja na Pita Msigwa wanavyopepeta propaganda. Mbowe ni kiongozi mwema kwa chama

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 4 дня назад

    ...so shukrani ni kukubali kila kitu??....

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 3 дня назад

    Wewe mwandishi unamtetea mbowe hujitambui kwahiyo unataka mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 4 дня назад

    Kushindana ktk kura ndio demokrasia. Habari za heshima kutokushindanishwa kulinda heshima kutauwa demokrasia. Wasitumie tu lugha ngumu na matusi.

  • @JohnNyowade-yn9op
    @JohnNyowade-yn9op 4 дня назад

    MUNGU NDIYE ALIYEPANGA UZIMA WA TUNDU LISSU WALA C MBOWE.NA ASINGESHIKA MBOWE ANGESHIKA MTU MWINGINE

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 5 дней назад

    sahihi kabisa ata Turki wa CCM alitoa ndege..
    kigombea ni haki huru y mwanachama hakuna kuombana ..acha utashi

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 4 дня назад

    Ma we ntobi unatumikavibayamnaedakunyenyekewa nyi mungulisasi za lisu mbowekushikilia damu ndo tumewamilikisha chama apumzike kama ni michango hata sisi wanachamatulichanga sana acheni kutufanya wapumbavu aachie ngazi hatutaki udikteta

  • @ChristopherLazaro-yy3fb
    @ChristopherLazaro-yy3fb 2 дня назад

    Siasa Haina uruma brow hiyo siisiasa

  • @KaramaKiumbe
    @KaramaKiumbe 4 дня назад

    Ni haki mlitaka agombee nani?

  • @spantonsamba6191
    @spantonsamba6191 3 дня назад

    Utaratibu huo wa kumfuata mbowe nyumbani na kumuomba ruksa ndio umetufikisha miaka 21 ya mbowe mwenyekiti

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 4 дня назад

    Acha uriho wa madalaka mzee utaiua kweli

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 4 дня назад

    Hyu ndo kiongozi wa nchi hii aliabaki upande wa watanzania wengne ni madarali

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 дня назад

    Ninyi ndio hamuelewi kitu mnakurupuka kuongea aisee. Lissu maongea ubaya gani kwa Mbowe?

  • @ANGELUSLIJUJA
    @ANGELUSLIJUJA 2 дня назад

    MDUDE UKIMUULIZA ANAPAMBANIA NINI AWEZI KUJIBU KABISA KWAIYO NI MLALAMIKAJI TU ANA SUMU YOYOTE KATKA SIASA HIZI

  • @JfourHumbi
    @JfourHumbi 4 дня назад

    Walikuwa vitani msilete mijadala isiyo na afya ilimbidi amsaidie TU mitazamo yakijinga

  • @HafidhiSaidi-f3j
    @HafidhiSaidi-f3j 4 дня назад

    Huyo jamaa hajui demokrasia

  • @frankkibitanyi
    @frankkibitanyi 4 дня назад

    Bro Justine hoja yako haina mashiko Tundu lisu hoja zake sio mbaya anachotaka chama ni taasisi inayojitegemea tundu lisu hoja zake ni za msing sana Chama kiwe na acc na kijiendeshe kama chama sio mtoa maamuz ya kifedha awe mtu mmoja

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 дня назад

    Toa uongo wako kwenye RUclips umechokwa hujijui acha kistaarabu

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 4 дня назад

    Havihusiani

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona День назад

    Huna lolote wewe,, MBOWE NI MTU HATARI sana MBINAFSI ANAKiFANYA CHAMA KAMA MALI YAKE BINAFSI,,kujitajirisha yeye binafsi,, mbowe tatizo chadema

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 дня назад

    Toeni upambe wenu kama unafanya utumbo wako usiambiwe kusa kubeba drip za maji

  • @VicentMichael-l6p
    @VicentMichael-l6p День назад

    Wewe nae jamaa bwana kusema sidhani kama unakijua hio sio anataka kazi yautangazaji ,chama kinakatiba ,he katiba yachama inasema ukitaka kugombea uenyekiti uende nyumbani kwa mwenyekiti, sawa alishika chupa yadamu,yeye alikaa gerezani miezi name lisu akashinikiza aachiwe huru bila masharti yoyote Hilo sio chochote, au na wewe hujui kwamba hujui

  • @jeremiahkarulema3062
    @jeremiahkarulema3062 4 дня назад

    Nyie nimachawa hamna lolote

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 5 дней назад

    Wee mtangaazaji unaongea kw hisia na mihemko..
    sasa kw kua mbowe kashika drip ndio lisu asigombee.. acha ujinga.. uchaguzi ni kw mujibu wa katiba na kila mwanachama ana haki ya kugombea

  • @EdwrdPallangyo
    @EdwrdPallangyo 4 дня назад

    Anaongea ujinga

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 дня назад

    Ondoka tu umechokwa nyau wewe

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 4 дня назад

    ....watangazaji nyie....you demonstrate low understanding of tz politics....one can tell your ability.....you're just shouting....so you wanted lisu awe chawa???