" BILA WEWE MUNGU TANZANIA HATUWEZI" NI KIPINDI KIGUMU SANA " EE MWENYEZI MUNGU SIMAMA NA VIONGOZI WETU, SIMAMA NA SISI PIA" Mbarikiwe sana kwa ya ya CVC.
A sublime masterpiece composition, by the AICT, in celebration of one of the greatest Statemen to ever grace any African nation state, the late His Excellency President John Pombe Dr. Joseph Magufuli. Itoshe kusema kuwa Kazi ya Mungu haina Makosa. Bwana alitubarikia yeye na bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Kwa kweli Maghufuli japo miaka 2 imepita bado naona kama jana ,watanzania tunalia Baba Maghufuli na tunakukosa lakini tufanye nini ni mapenzi yaMungu.Lala
Mzee Makamba juzi kwenye mkutano wa uchaguzi wa ccm dodoma, alisema wazuri hawafi, ndio maana kikwete na kinana wanadunda! Cc wakristo hatulipizi kisasi. Kwani tungekuwa tunalipa, tungelipa hata baada ya miaka mingapi. Mungu ametukataza tusilipize kisasi Kwa wabaya wetu, badala yake tuzidi kuwapenda.
nimerudi hapa leo to dedicate this song to John ikechukwu okafor, popularly known as mr ibu, was a nigerian actor and comedian, mr ibu has appeared in over 200 nollywood films. born 17 october 1961 , died 2 march 2024, rest in peace legend
Hongereni Chang'ombe, wimbo mzuri, umejaa maudhui ya maombolezo, kumbukumbu na Maombi. Mko sayari nyingine katika Kuinjilisha kwa uimbaji. Mmbarikiwe wote! Kila la heri!
Asanteni Sana CVC kwa wimbo mzuri wenye kugusa mioyo yetu juu ya msiba wa Taifa zima la ndugu yetu Raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NDUGU JOHN P MAGUFULI MUNGU awabariki na kuwalinda nanyi nyote. Warumi 14:8 *Kwa maana Kama tukiishi, twaishi kwa BWANA, na hata kama tukifa, twafa kwa BWANA. Basi Kama tukiishi au Kama tukifa tu Mali ya BWANA*. AMEN
Tukio la kifo kwetu sisi wanadamu kwakweli huwa halizoeleki, huumiza sana hasa tunapoondokewa na mtu wa karibu na ambaye ndiyo kabisa tulikuwa tunahitaji uwepo wake Kama Rais Magufuli. Itoshe tu kusema Mungu anajua kwanini ameruhusu hili litupate watanzania. Inauma saaana
Nawaombea Faraja itokayo kwa Mungu...apate kuwatie nguvu ndugu zangu Watanzania, na Faraja iliyo ya kweli ikawaliwaze kweli. CVC Mungu wa amani aitawale mioyo yenu. Nawapenda na ninawafeel.
Mungu ndiye Mkuu, ayajua maisha ya kila mwanadamu. Faraja yake iwe na sisi wote tulioguswa na kifo cha Jemedari wa Taifa, Hayati Dkt. Magufuli. Flp 1:20-30
Ombwe la uongozi litatuua angalia kinachoendelea leo hakuna kitu tusubiri mungu wetu atunusuru 2025 tupate rais chaguo lètu huyu aliyepo kafeli mapemaaaaaaaaaaaa
Oh lord this is soo big...yyes we need u to console our hearts...My hero our David of this time...rest in Blossom with the angels yes Mungu alikuona u need to be with him n ..he called u.nenda baba nenda baba nenda...daima ...tutakuezi...
who else is watching this song ikiwa bado moto kama pasi?
Mimi nalia tu na nyinyi kutoka Kenya
Poleni sana ndugu zetu Watanzania. Sending you love from Nairobi Kenya.
Nina siri! dalili za awali za ujauzito I jua uko mjamzito kabla kipimo kuwa chanya ruclips.net/video/UOYXeoYqiRk/видео.html
" BILA WEWE MUNGU TANZANIA HATUWEZI"
NI KIPINDI KIGUMU SANA " EE MWENYEZI MUNGU SIMAMA NA VIONGOZI WETU, SIMAMA NA SISI PIA"
Mbarikiwe sana kwa ya ya CVC.
Leo arobaini yake 😭😭 sitaaacha kutazama nyimbo hii mpaka mwisho wangu hapa duniani 😭😭😭
😭😭😭😭
Wana CVC Mungu awatulize pamoja na kuwafariji manake nahisi kilio chenu moyoni mwangu. Poleni kwa kuondokewa na mpendwa Rais magufuli. 🙏🙏
A sublime masterpiece composition, by the AICT, in celebration of one of the greatest Statemen to ever grace any African nation state, the late His Excellency President John Pombe Dr. Joseph Magufuli.
Itoshe kusema kuwa Kazi ya Mungu haina Makosa.
Bwana alitubarikia yeye na bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Kwa kweli Maghufuli japo miaka 2 imepita bado naona kama jana ,watanzania tunalia Baba Maghufuli na tunakukosa lakini tufanye nini ni mapenzi yaMungu.Lala
OMG this song has me in tears 😭😭 Be comforted by the Lord my people
Inauma mno 😭😭
Pokeeni faraja katika jina la Yesu. Amina
Itoshe kusema Kazi ya Mungu haina makosa🙌🏽💯
Mzee Makamba juzi kwenye mkutano wa uchaguzi wa ccm dodoma, alisema wazuri hawafi, ndio maana kikwete na kinana wanadunda! Cc wakristo hatulipizi kisasi. Kwani tungekuwa tunalipa, tungelipa hata baada ya miaka mingapi. Mungu ametukataza tusilipize kisasi Kwa wabaya wetu, badala yake tuzidi kuwapenda.
Ee Yehova Mungu tupe faraja Tanzania 😭😭😭
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii, mungu, tusaidie na ututie nguvu! Moyo wangu unapasuka! Magufuli umetuacha, shujaa wetu%%%%@
Mungu awape faraja,kifo kimechukua kiumbe muhimu Sana Afrika yetu.
Emungu simama juu ya taifa letu ,tunaamini hutatuacha AIc mungu awabariki kwa huduma zenu amina
Mungu awabariki wimbo mzuri kwa kipindi hiki kweli bila wewe sisi hatuwezi .itoshe kusema kazi ya mungu haina makosa
Hakika alijitoa kutete Tanzania yetu ,,MUNGU TUNAOMBA UTUPATIE MWINGINE
Wimbo mzuri Sana huu, Mungu awabariki Sana, mi msiba wa Baba Magufuli hautoki moyoni. Mungu anisaidie nisije nikamkosea
Mbarikiwe aic nchang'ombe mwalimu kaz nzuri itoshe kusema kaz y mung haina makosa...
nimerudi hapa leo to dedicate this song to John ikechukwu okafor, popularly known as mr ibu, was a nigerian actor and comedian, mr ibu has appeared in over 200 nollywood films. born 17 october 1961 , died 2 march 2024, rest in peace legend
woi.pole sana ndugu zetu.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Nitakukumbuka daima rais wangu kipenzi mungu alitoa na mungu alitwaa jina lake lihimidiwe
Hongereni Chang'ombe, wimbo mzuri, umejaa maudhui ya maombolezo, kumbukumbu na Maombi. Mko sayari nyingine katika Kuinjilisha kwa uimbaji.
Mmbarikiwe wote! Kila la heri!
Yaani hata Leo naumia bado jamani
R.I.P Rais wetu.
Pole sana Mama Janet, Mwenyezi Mungu akutie nguvu, atembee na wewe katika safari zako zote!
Daaah Mungu atutie nguvu,hongereni sana watumishi wa Mungu wimbo mzuri sanaa wa Faraja
Aiseee..msiba wa rais wetu mpambanaji umetuacha watanzajia katika huzuni kubwa Sana..Pia CVC mmetupa faraja siku zote za maombolezo haya
Daah bonge la nyimbo yaani muda utapita ila huu wimbo hautaisha mvuto wake. Aisee mnajua sana hongereni kwa nyimbo nzuri. 🙏👏👏
Shukrani sana CVC Chang'ombe kwa nyimbo nzuri za kutufariji . Mungu kwa huruma yako , twakuomba umpokee mpendwa wetu
Ooh so touching message, let him R.I.P.
Kindly admin can you add me in your fan page group.
Poleni kwa kupoteza kiongozi shupavu watanzania kazi yake Mungu haina makosa
Pumzika kwa Amani Baba,,Tumekuja kwa udogo,, Na tutarudi kwa Udongo,, by Joel S Nehemiah- Lubumbushi Congo
As person had his weaknesses but we will never get any like him as president
Asanteni Sana CVC kwa wimbo mzuri wenye kugusa mioyo yetu juu ya msiba wa Taifa zima la ndugu yetu Raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NDUGU JOHN P MAGUFULI
MUNGU awabariki na kuwalinda nanyi nyote.
Warumi 14:8
*Kwa maana Kama tukiishi, twaishi kwa BWANA, na hata kama tukifa, twafa kwa BWANA. Basi Kama tukiishi au Kama tukifa tu Mali ya BWANA*.
AMEN
Snintosahau hiii siku jamani,,,niliumiga mmnooo,,,mungu ampumzishe kwa amani tuuu jamani 😭😭😭
CVC safiiiiiii sana nyimbo nxuriiii kwa wakatii huuu itosheee kusemaaa kaz ya mungu haina makosa
Nina siri! dalili za awali za ujauzito I jua uko mjamzito kabla kipimo kuwa chanya ruclips.net/video/UOYXeoYqiRk/видео.html
Mungu twakuhitaji kwa wakati huu wa huzuni tukikumbuka kazi yako nzuri mpendwa wetu JPM tutakuenzi siku zote
Nina siri! dalili za awali za ujauzito I jua uko mjamzito kabla kipimo kuwa chanya ruclips.net/video/UOYXeoYqiRk/видео.html
Poleni sana . Tupo nanyi AIC Manyatta kisumu kenya
Tukio la kifo kwetu sisi wanadamu kwakweli huwa halizoeleki, huumiza sana hasa tunapoondokewa na mtu wa karibu na ambaye ndiyo kabisa tulikuwa tunahitaji uwepo wake Kama Rais Magufuli. Itoshe tu kusema Mungu anajua kwanini ameruhusu hili litupate watanzania. Inauma saaana
Thank you AICT Chang'ombe Vijana Choir, (CVC)! Hamkoseagi. R.I.P Dr. Magufuli
May God be with you and Comfort you tanzania during this Challenging time.only God knows 😭😭😭Rest in Peace Mr President.... kweli nilikuwa nakupenda
Mungu tunakuachia ww huzuni hii baba maake wewe kiongoz wetu tunaomba jeraha hili ulitibu
A.I. C Chang'ombe ahsante sana kwa nyimbo mzuri, nabarikiwa sana na nyimbo zenu, hamjawahi kukosea..
😭😭😭😭😭😭😭wewe ndiye ujuaye maisha ya mwanadamu😭😭😭😭
Kazi ya Mungu haina makosa. Faraja ya Mungu iwatoshe
Nawaombea Faraja itokayo kwa Mungu...apate kuwatie nguvu ndugu zangu Watanzania, na Faraja iliyo ya kweli ikawaliwaze kweli. CVC Mungu wa amani aitawale mioyo yenu. Nawapenda na ninawafeel.
Dah basi TU pumziko la milele Mr magufuli
NAWAPENDA SANA WAIMBAJI NYIE.ASANTENI PIA KWA UJUMBE WA KUTIA MOYO WAKATI HUU MGUMU KWETU.
Baada ya mwaka kupita ninelejea kuangalia huu mwimbo😓😓😓😓
Kuna ile nyimbo yenu... Inaanza mimi ndio rahis najua siri zote za nchi hii.. Nikisia nalia dah.... 😭
Kazi ya mungu haina makosa. Mungu awape faraja watanzania wote
you pple you are so cute upstsirs, asanti sana kwa kazi njema. pole sana kwa kifo cha Magufuli. am Sam from Kenya
Rewatching listening for the 10th time ,RIP President , thanks you mother of all choirs for awesome song, Be blessed
Mungu awabariki sana wapendwa kwa ujumbe mzuri wa kumuaga shujaa wa africa J.P.M..
Mungu awabaliki Sana aedelee kuwainua ,
Barikiwa sana watumishi kweli mmeniliza 😭😭
😭😭😭😭Bila wewe Mungu hatuwezi
Itoshe kusema Mipango ya Mungu haina makosa, na itoshe kusema Hayatt Dr. MAGUFULI was and is dearly loved.
Poleni sana watanzania
Indeed bila wewe Mungu hatuwezi. Beautiful song 🙏
Sitokusahau daima rais wangu nitakukumbuka milele pumzika kwa amani
Nyimbo nzuri sana🙏
Mungu ndiye Mkuu, ayajua maisha ya kila mwanadamu.
Faraja yake iwe na sisi wote tulioguswa na kifo cha Jemedari wa Taifa, Hayati Dkt. Magufuli.
Flp 1:20-30
Poleni sana
cvc always the best
Woiiih Tz yetu 😭😭😭😭Mungu azidi kututangulia
Tunalia Rais wetu kaondoka bado tunamhitaji R.I.P JPM
Mungu ibariki Tanzania
😭😭😭😭tunaumia jaman hapana
Ombwe la uongozi litatuua angalia kinachoendelea leo hakuna kitu tusubiri mungu wetu atunusuru 2025 tupate rais chaguo lètu huyu aliyepo kafeli mapemaaaaaaaaaaaa
Nina siri! dalili za awali za ujauzito I jua uko mjamzito kabla kipimo kuwa chanya ruclips.net/video/UOYXeoYqiRk/видео.html
APUMZIKE MPENDWA WETU ALIYEKUWA RAIS WA JMT,JPM.KAZI AMEIMALIZA,VITA VINGI ALIPIGANA NA KUSHINDA.BIG IP MAGU.
Choir Mungu awababiriki sana kwahuduma ya Mungu
Mungu awabarikii watumishi wa Mungu
Oh my this so touching may God comfort our brothers and sisters in Tanzania.
😭😭😭😭😭ooo may God onekana kwa wakati huu mgumu kwenye Taifaa letuu
,Bila wew Mungu! Tanzania hatuwezi 😭😭😭
Mawazo ya Mungu siyo mawazo ya mwanadamu.Mungu awe mfariji wetu sisi watanzania na Africa kW ujumla
May god strengthen you during this trying moment.yote twayaweza.
Keep it up CVC, u never dissapoint. Wimbo mzuri. Mwenyezi MUngu awape Faraja iwatoshao
Itoshe kusema Kazi ya Mungu haina makosa
Bila wewe Mungu hatuwezi 😭😭😭😭😭🙏🙏🇹🇿
,😢😢😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏. God bless you for nice morning song. R. I. P. JPM
Oh lord this is soo big...yyes we need u to console our hearts...My hero our David of this time...rest in Blossom with the angels yes Mungu alikuona u need to be with him n ..he called u.nenda baba nenda baba nenda...daima ...tutakuezi...
Inauma Sana aise
Such a nice song , may God give you strength was watching the live event and spotted this song,
Wimbo mzur sana hongera mwalimu
Pole sana majalani wangu
Kawimbo kazuri sana watumishi wa Mungu mubarikiwe sana
Faraja itokayo Kwa Mungu iwe nanyi.
Makiweni
Very painful.Mungu awape faraja.
Faraja ya kweli yatoka kwa yesu polen😭😭😭😭😭
Mungu SAIDIA AFRICA. ......
Ahsante kwa wimbo mzr
Hakika kazi ya Mungu haina makosa tulikupenda baba ila ndo hivyo
Mungu awabariki sana
Eeh mungu wangu tutie nguvu 🙌
Mungu awabariki waimbaji wetu
Mungu amlaze pema peponi,nanyi mbarikiwe kwa wimbo wenu,Amina
Mungu awape neema watumishi
Nimejikuta Malia Tena Kama msiba umetokea leo
Mungu simama nasi
Mbarikiwe watumishi kwa wimbo wa faraja 😭😭
Mungu awape nguvu watanzania
We will conquer it through Jesus Christ
Mungu ailaze roho yake mahali pema 🙏🙏