Tusaidien sisi wenye kutaka kujifunza Quraan/ kiarabu kwa njia ya mtandao sababu tupo katika mtihani na mambo ya Dunia ila tunajitahid sisi na watoto wetu lakini hali bado haijawa mzuri msichoke Allah atakulipeni hapa hapa duniani na ahera Insha Allah.
natamani sana kujinza kusoma kiarabu kwa maana napata shida sana kusoma wakati wakuswali kwa hyo na nawashukuru sana kwa darasa lenu naamin ALLAHH ata nisaidia nita jua
mashallah.. jazzakkallah kher... shukran sana... tufunzeni ndugu zenu tusije tuka potea.... mungu awape W epesi wa kila kitu fil dunia wal akhera in sha Allah
Assalam alaykum..MaashaaAllah unafundisha vizuri saana Allah akuhifadhi je mnayo shule ...bora mngefunguwa shule ya kiislamu online muweke na fees kila kitu...online Diploma islamic studies ..
Asalam alaykum ,Naitwa Hamicy Samwel ,nimuislam ambaye nimesilimu kamaunavyoon jin la baba anaitwa samwel nikwamb sio muislam ila mashaallah nimeongok n a kupitia darasa hii mashaallah najifunza kuujua uislam nikuisom Quraan Allah awalipe kilalakhery ixhaallah (jazaqalah qairum)
darsa zuri sana ila binafsi ulivoanza kuonyesha utamkaji wa herufi hapo awali nakatika kumalizia vile zilivoandikwa ingekua kama awali ili iwe msaada zaidi kwa wenye uelewa mgumu kwenye matamshi.
Salaaam bwana mkubwa.Nimepata changa moto kwa kujifunza hizi herufi.na sani kwa herufi ya (HE nzito)na (WA) zenye zimekaribia na lam alif na hamza.sasa changa moto ni wewe unatangulia kusoma (WA) ndio umarudisha na (HE)nzito.na mimi nilianza na bwana BAB FAHEEM. Alianzi HE nzito na akamalizia na (WA)sasa nimepata changa moto kabisa.yenye umeso WA yeye anaisoma (HE) nzito alaf yenye umesoma HE naye anaisoma WA.nakuomba bwana mkubwa unirekebishe kwa usahihi🙏🙏🙏Asalaam Allaykum
Mashalla nimepenta sana nataka kujifuza
Mashallah SoMo Zuri
Ma Shaa Allah Allah akujaliye kila la Khair kwa kufunza wenye Hawajuwi kusoma kutoka mwanzo Ma Shaa Allah
Mashaallaah najifunza hapa ostadhi wetu Allah akulinde na akupe ndugu uzidi kutufunza ss Amiiiiiiiiin
Ma shaa Allah
Nimeipenda sana kwani najifunza dini yngu ,in shaa Allah iwe khery kwetu soote. Shukraan kathiir
Alhamdulillah nimepata kujua mambo ambayo nilikuwa siyajui M'mungu akulipe kheri na akupe uwezo zaidi wa kutufunza.
Mashallah " nimependa ili somo naomba ungeendeleza "katika uunganishaji wa Erufi : Naonba niwatake radhi ndugu zangu: kwa Usumbufu: Nannapenda kujiendeleza zaidi ili nielewe kama kunauwezekano nikupatie " Nambali :uweze nifundisha:Naitwa Nuru kasim. INSHAHLLA
Najifunza elimu na ninapata makhalifa mbalimbali kiukweli ninapenda sana kujifunza qur-an
Tusaidien sisi wenye kutaka kujifunza Quraan/ kiarabu kwa njia ya mtandao sababu tupo katika mtihani na mambo ya Dunia ila tunajitahid sisi na watoto wetu lakini hali bado haijawa mzuri msichoke Allah atakulipeni hapa hapa duniani na ahera Insha Allah.
Shukrani sana kwa darasa nimejifunza ila nataka kujuwa zaidi Allah atakulipa
Ninapenda sana kujifunza naomba msahada wenu zaidi kwajina naitwa salumu bakali kwa sasa niko moçambique bila shaka kunaulazima kujifunza uislamu
natamani sana kujinza kusoma kiarabu kwa maana napata shida sana kusoma wakati wakuswali kwa hyo na nawashukuru sana kwa darasa lenu naamin ALLAHH ata nisaidia nita jua
Shukrani Mimi sijui kabisa Allah awalipe Leo ndo nimeanza kujifunza
Shukrn mashekhe wetu mungu awalipen khr mzidi kutufuza
mashallah.. jazzakkallah kher... shukran sana... tufunzeni ndugu zenu tusije tuka potea.... mungu awape W epesi wa kila kitu fil dunia wal akhera in sha Allah
Assalam alaykum..MaashaaAllah unafundisha vizuri saana Allah akuhifadhi je mnayo shule ...bora mngefunguwa shule ya kiislamu online muweke na fees kila kitu...online Diploma islamic studies ..
Mashallah sitochoka kk ombea maisha marefu kwasababu wewe una umuhimu katika hii dunia
Allahumma Amin. Shukran sana akhy.
Manshallah awapekheer dhiada fidunia wal akheerah
Shuklani sana naimani nitafahamu diniyangu mungu akupewepesi uzidikutufahamisha tufahamu nasi
mashaAllaah shukurniii Alaaah awape kilalakher nimeanza kuji funza nanipia mashukurnii
Insh-Allah nitakuwa nawe hadi mwisho
Shukran sana..Allah atuwekee wepesi kwetu sote tupate kufaham..Amin
Napenda kujifuza na sana
Mashallaaa Mashallaaa Shuklan najifunza.shuklan
Napenda sna kusoma Qur'an na ata kuandika ila cwezi plz naombeni musaada wenu🙏🙏
Ahsante sana kwamafunzo hayo
Mashaallah naomba niwe najifunza humu mpaka nijiue
mashaALLAH tabarakaLLAH khair ya akhyALLAHUMMAH barikina
shukran jazakkah llahu kheri inshaallah naiman ntajua ndio naanza ila nlikua naitaji msaada zaid kama mna madrasa ya watoto pande gani
Masha Allah msichoke kutusaidia
Nimejifunza kitu. Nasubiri kwa hamu darasa lifuatalo. U mwalimu mzuri sana. Unaeleweka sana.
Najifunza mungu akujalie
Mashallah huyu nimsada tosha maana kwasisi hatujuw kusoma naona huyu ndo muda muhafaka
Asalam alaykum ,Naitwa Hamicy Samwel ,nimuislam ambaye nimesilimu kamaunavyoon jin la baba anaitwa samwel nikwamb sio muislam ila mashaallah nimeongok n a kupitia darasa hii mashaallah najifunza kuujua uislam nikuisom Quraan Allah awalipe kilalakhery ixhaallah (jazaqalah qairum)
Hamicy Samwel mashallaah Allah akupe kheir
Napenda kujifunza kiarabu step kwa step ikiwezekana juzuu yote
Inshallah
Asante sna ALLAH akulipe rheriii kutuelimishaa
Mashaallah.......! shukran sana sheikh
jazakallah nimefurah sana somo la Leo muzidi kutuelimisha inshaallah
Mashaallah, Allah akulipe wema na memaa
Mungu wetu mwamba mwamba wetu tegemeo letu inshaalah
Masha Allah Niko nasoma kbs allah anijalie nizifahamu vizuri
Wallah nimependa sana natamani nisome live
Nimwana funzi mpya insha allah naanzakujifunza ilabu
Ma shaa Allah mafunzo mazuri sana.shukran.
Shukuran sana allah kujalie mema amina
Allahumma Aamin
Assalam Aleykum darasa ni zuri Inshaallah
mashall munguatufanyie weoessote tuiekew diniwetu ishall
Mashallah teşekkür Hocam
Jaazah kallahu khaira
Jazzakallahu khery Allah akufanyie wepes
Mimi mgeni naomba kusaidiwa ndo kwanza naanza
Asante kwa maelekezo yako mazur Ila nilikua naomba tufundishe na dua zakuomba kwa wenye matatizo Kama yangu
Asant kwaelimu Bora ya Ahera
Maashaallah
Jazakallahu khayran
Shukuran jaazaakallahu khayra
insha allah allah akupe imani uzidi kutupa elim
Allah anifanyie wepsi
Mimi Khatibu Idd napenda kujifunza
Shukrani sana Allah akuzidishie
Shukrani darasanzuri masha Allah
Mashallah ustadh kwani najifunza kitu nilikuwa sijui chochote
shukran kwa mafunzo..Allah akulipe kheir
Nc
Allahamdulilh. ...ma sha Allah
Mashallala,,and how can i do to join Madras'a,,ju nimejoin Islamic last month na sijajua hata kuswali,,,na.jina naitwa adirashid???
Mashaalllah❤❤❤❤❤
asalam aleykum
Japo nadhan nikiendelea kufuatilia kipindi hiki nitaelewa vizur
Ma sha Allh
Masha Allah, shukran.
MashaAllah jazakAllah kheri
Naitwa isa nalipenda some sanaa
Asante sana likini badozanisumbuwa sana
Mashallah naelewa mnoo
Mwendelezo tafadhali
Shukrani shek
Naaama mashallah
asalahm alaikum alhamdulila mungu akutoleye za mbi kumi kwako amin
shukran kwa maelezo
Inshallah nimeanza kujifuza kusoma na kuandika quran
Shukran jazakalkher
darsa zuri sana ila binafsi ulivoanza kuonyesha utamkaji wa herufi hapo awali nakatika kumalizia vile zilivoandikwa ingekua kama awali ili iwe msaada zaidi kwa wenye uelewa mgumu kwenye matamshi.
Mashallah shukran
Salaaam bwana mkubwa.Nimepata changa moto kwa kujifunza hizi herufi.na sani kwa herufi ya (HE nzito)na (WA) zenye zimekaribia na lam alif na hamza.sasa changa moto ni wewe unatangulia kusoma (WA) ndio umarudisha na (HE)nzito.na mimi nilianza na bwana BAB FAHEEM. Alianzi HE nzito na akamalizia na (WA)sasa nimepata changa moto kabisa.yenye umeso WA yeye anaisoma (HE) nzito alaf yenye umesoma HE naye anaisoma WA.nakuomba bwana mkubwa unirekebishe kwa usahihi🙏🙏🙏Asalaam Allaykum
👍👍👍
Shukran sana
hongera xan
Mufti mm ni mtu mzima nahitaji kufunza quruani naomba utaratibu ili niweze kujifunza kupitia darasa lako Mufti naomba msaada wako inshaallah
Asnte sana
0716306364 naomba nijifunze
Mashall ah
wallah kha na ha inanisumbua
inshaalaah
Inshalla
Shukran
Jamani naitaji kujifunza kama una gurpu la wasp tupatie namba tafadhari
MashaaAllah i lke it
Alhamndullah
shukran San ndug
Masha Allah!!
maashallh
safisana
mansha allah