MSISAHAU KU TUMA MREJESHO WA KAZI HIYO KWA WHATSAPP NAMBA ZIKO HAPO KWENYE VIDEO ITASAIDIA KUWASIKILIZA KWA UZURI ILI TUENDELEE NA DARSA JENGINE PIA MJITAHIDI KUNUNUA HIZO JUZUU NILIZO WAELEKEZA IN SHAA ALLAH ALLAH SWT AWALIPE KHERI
Mashallah ahsante ustadh Allah akubariki akujalie mwisho mwema kwa maana umenisaidia sana kuweza kujua kusoma Quran licha ya kuwa nimesilimu juzi...... pongezi kwako... ahsante
Asalam alaikum ustaz mm nilikua naomba utufundishe namna yakuitambua irabu nanukta zake kabla haujatuzingatilisha kwamaana yyte katika masomo atakaeona alif atambue kua haina kitu bee nukta moj chini tee nukta mbili juu see nkta tatu juu maana tunaweza kujaaliwa kuzisoma lakin tukawa hatujui Alif iko vp ree iko nanini wapii jim iko nanini wapi juu au chini kwamtindo km uo jinsi yakuijua heruf nanukta zke wahaza Asalam alaikum
Mwenyezi mungu akujalie Kilalaher
Kwa kutufundisha
Mashaallah .Allah akuzindishe umri utufunze.mana mimi sijuwi kabisa natamani sn kujuwa kusoma Quran❤
Mie mwenyewe siwezi,,,, nataman sana kujua,,,, Inshallah kwa uwezo wa Allah nitaweza,,
Ukitamani ufanye na jitihada
Inshallah nitajua kusoma Quran
In shaa Allah
Asalam alykum wallahtullah wabarakat ostaz mm sijuw kusoma korowan nasipo tanzania hukunilipo sintaweza pata juzuu ilahitaji kufaham
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah kwa mfumo ninaotumia hata usipokuwa na juzuu waweza kusom
Jazaka allah kheri ❤❤
Barakallahu feeeka
Samhn shekhe mbon un gusa heluf tofa UTI mm piy naji funz
Kivipi
Mashaallah nahitaji kuijua Quran nakuihifadhi wallah
Masha Allah ukitia nia ukaambatanisha na jitihada utafanikiwa in shaa Allah
MSISAHAU KU TUMA MREJESHO WA KAZI HIYO KWA WHATSAPP NAMBA ZIKO HAPO KWENYE VIDEO ITASAIDIA KUWASIKILIZA KWA UZURI ILI TUENDELEE NA DARSA JENGINE PIA MJITAHIDI KUNUNUA HIZO JUZUU NILIZO WAELEKEZA IN SHAA ALLAH ALLAH SWT AWALIPE KHERI
Ishalh
I Nshaallah Ostazi
Mashaallaah mashaallaah
Nipo hapa naitaji kujifunza kufahamu
Karibu sana Allah swt akufungulie
Nataman sn kujua Quran
Utajua
Shukurani
Mashaallah ostadh me nataka kujifunza quraan lakin sipo tanzania hiyo juzuu siwez kuipata ntafanyaje😢😢
wewe ndio kama mimi
Shukrani sana km cna hudhu c ruksa kusoma
Rukhsa tu hiyo sio Quran
Masha Allah shukran sana Allah akuzidishie kheri duniani na akhera.
Amen atuzidishie sote
آمين
Nahitaji kujua Quaran na kuhifaz shehe
mim sjui kbisa
Khaswaaaaa nyie msojua kabisaa ndilo kusudio la kufungua hii channel
shukran
Akhsante
Nataka ijuweee inshaallh
Mashallqh ❤
asante kwa elimu
Shukran
Naitwa fadya samahani naomba unifundshe kusoma quran juzu ya kwanzatafadhali
Mashallah ahsante ustadh Allah akubariki akujalie mwisho mwema kwa maana umenisaidia sana kuweza kujua kusoma Quran licha ya kuwa nimesilimu juzi...... pongezi kwako... ahsante
Akhsante sana kwako pia
insha'Allah
Maashaa allaah
Shukran
Mashaallah mwenyezi Mungu akuweke tupate kujua kupitia wewe ishaallah
Shukrn
❤ mashaalah
Mimi sijui ila natamani na inshalan kwa uweza wake alah nitaweza🙏
Hakuna alozaliwa na kujua sote twajifunza hivyo utajua in shaa Allah
Mashallah
Nataka nijuwee kusoma kiarabu
Fatilia utajua in shaa Allah
Naomba dua nielewe
Amen utawajua fata maelezo zaidi
Natamani kujua kusoma inshallah 🙏
Utajua leyla
Allah akubariki shee
Amen yarabb
Raha kuijuwa Quran
Raha sana
Inshaaallah naitaji kujua kuruan
Kazana kufatilia channel yetu na duaa kwa Allah swt utajua
Allah akbar
Ma shaaAllah
Shukran
Shukran
mashallah
Shukran kaka
Akhsante dada
Amina
Naomba kujiunga kusoma kiharabu
Karibu
Assalam alykum, Twaomba darsa ziwe endelevu inshaallah
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah in shaa Allah zitae ndelea kwa uwezo wake Allah swt dua zenu muhimu
ruclips.net/video/cS_AiDYiDMQ/видео.html
Me natamani kujua
Jitihada na dua
Shukran jazila sherk wetu hii itatusaidia sisi wenye kwenda mbio kwa shughuli zakimaisha
Naam nikweli kabisa
Natamani kujua kusoma quran
Jitahidi utajua in shaa Allah
MAA SHAA AL-LAAH
Mashalla
Shukran
Mashaallah
Shukran
2023❤❤❤allah kareem
Naam nikweli aish
+255785501060
Shkuru mm sijuwi kabisa
Utajua in shaa Allah
Mimi nataka mwali mu wakujifundisha
Karibu Whatsapp +255785501060
Masha Allah nmependa darsa hili ila nmeona kuchelewa
Hujachelewa bi Khadija kazana tu
Huwa tunafuatilia Sana lkn hakunaga muenderezo
Sio kweli hadi sasa tumefika darsa la 19 we umefikia darsa la ngapi
@@hariritv982 oh nasi ni vizuri sana maana mi ni mda nilikuwa namfuatilia sana madrasa Lkn ilifika Kati hazipatikani
Assante
Shukran
A Alaykum shekh unapatikana mkoa gani
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah napatikana dar es salaam Tanzania
Nimipenda sana ninataka na Mimi nijifuze
Karibu sana
Shukran sana ❤❤❤❤
Akhsante
Mashaallah 💞💞
Shukran
Shukran
Suratul insaan
Nimeanza leo
Hujachelewa
Jaman unga croup Ostadh Tutakuwa watiifu kwa sisi wahiji Na MB tutakuwa twakuwekea
Karibu sana +255785501060
🙏
Shukran
Asalamalaka nataka nijue Korean
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah karibu sana hapa in shaa Allah utajua
Mie mwenyw ntamn kujua kusom h inshaallh Kwa uwezo w mung ntawez
Utajua
Naitaji kujua kusoma Quran jamn sijui hata pakuanza
Anzia darsa no 1
@@hariritv982 shukran
Asalam alaikum mm sijui naitaji kujuwa
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah karibu sana
asalam alaikum walahmatulwai wabalakatu mimi sijui kusoma kuluani naitaji nijifuze kusoma
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah karibu sana
mie nimeslim napend niwez kuswali
Masha Allah karibu sana kwenye uislamu
Good Teacher congratulation God Bless you!!!
Thank you so much
Asalam aleykum samahani sheikh mm ndo nimeanza leo
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah karibu sana
Mashallah Allah akuzidishie na elmu uzidi kusaidia watu in shaa Allah....naomba namba na mimi
Amen yarabb +255785501060
Nataka kuji funza quani
Karibu
Karibu
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu shukran kwa somo zuri naomba namba ya cm namm niwemiongoni waliojiunga ili nisome
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah namba za simu zipo kwenye videos zetu je umesha subscribe channel yetu
+255785501060
Asalamu alekum warahma tullah wabarakatuh mimi naomba hiyo number plz 👌
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah
+255785501060
Nataman kujua vzr jmn ila kutamka ss
Anza darasa la kwanza in shaa Allah utajua
Asalam alaikum warahma tullah wabarakatuh hujambo naomba namba yako please
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah sijambo alhamdulillah
+255785501060
asalam alaykum nimeona satsaleo , jensio la kwanza?
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah karibu sana Zainab
SAWA TUNAJIFUNZA
Sawa
Asalam alaikum ustaz mm nilikua naomba utufundishe namna yakuitambua irabu nanukta zake kabla haujatuzingatilisha kwamaana yyte katika masomo atakaeona alif atambue kua haina kitu bee nukta moj chini tee nukta mbili juu see nkta tatu juu maana tunaweza kujaaliwa kuzisoma lakin tukawa hatujui Alif iko vp ree iko nanini wapii jim iko nanini wapi juu au chini kwamtindo km uo jinsi yakuijua heruf nanukta zke wahaza Asalam alaikum
Shukran kwa ushauri ila ukianza darsa no 1 nimeanza kuzisomesha alfabet zote ili kurahisisha hilo
ب ت ث kwani zitamkwe Be, te na the badala ya Ba, ta na tha??
Ni namna tu nyepesi yakumsaidia msomaji
asalam alaikum ustadhi mm naomba namba zako zawthasap
Waalayku mussalaamu warahmatullahi wabarakah
Amina
shukran
Akhsante
Masha Allah
🙏
Mashallah
Mashallaah
Akhsante
Mashaallah
Shukran
Mashallah ❤
Shukran
Masha Allah
Shukran
Mashallah
shukran
Akhsante
Mashaaallh
Shukran