MAMA ALIYECHOMWA VISU 25 KILIMANJARO AFARIKI, NDUGU WADAI MTUHUMIWA YUPO MTAANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 101

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 10 месяцев назад +11

    I love this lady...kama hana kazi naomba nimuajiri

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 10 месяцев назад +3

    Duh! Dunia ya Sasa hata binadamu wamekua wanyama wakali,Ee Mungu tujaalie moyo wa kukuomba na kukuogopa 🤲🤲😊

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 10 месяцев назад +3

    Jamani bibi kumbe ni wwe mwanao ameuawa, bibi ngina, pole sana bibi yangu, poleeeeni sana wnafamilia n wote mlioguswa n msiba huu, mungu awatie nguvu. Mama Ngina.

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 10 месяцев назад +3

    Hapa huyu mdada anajua kabisa mama amekufa? How strong she is!!!!!!!! Yaani anelezea kama mama yupo hosptal kwa matibabu..anyways kila mtu anajua anavyoomboleza

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 10 месяцев назад +8

      Kumbuka hili tukio li.etokea Mwezi wa kumi na moja na huyu binti amehangaika na mama yake siku zote hizo hadi sasa inaonyesha ameathirika ki saikologia sasa akishinda analia tu nani atahangaika? Kama ni kulia ameshalia muda wote huu. Mungu ampe nguvu tu aendelee kupambana.
      .

    • @FekiHappy
      @FekiHappy 10 месяцев назад +1

      Kulia kuko kwa aina nyingi sie tunasoma Kisha tunasikiluza mziki hii kitu wacha kbs huyo bint kaadhirika sana na hata Familia nzima poleni sana

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 10 месяцев назад

      ​@@FekiHappykabisa na wakati mwingine atakuja kulia sana baada ya kuzika, ndio ataamini mama kafa kweli

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 10 месяцев назад

    Polesana mama,kazi ya Mungu

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 10 месяцев назад +1

    Duh inauma sana 😢😢😢😢😢poleni wafiwa

  • @dullahsuperstar6081
    @dullahsuperstar6081 10 месяцев назад +6

    Dah r. I. P mom uyo jamaa alikuwa amekusudia kabisa kuuwa

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 10 месяцев назад

    Poleni sana kiukweli inauma sana

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 10 месяцев назад

    Mtangazaji visu 27,mfiwa visu 25..Habari za Kibongo.

  • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
    @NajmaramadhaniAlly-is6mf 10 месяцев назад

    Hivi ni 25 au 27 sielewi ok innalillah wainna lillah lajuun

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 месяцев назад +2

    Duuh uyu msichana mkavu kweli mama anavyo uma aisee mungu ashukuliwe wallah

    • @annamariamakula3853
      @annamariamakula3853 10 месяцев назад +3

      Maumivu ya huyu binti huwezi kuyabeba!! Usimjaji kabisa.

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 10 месяцев назад

      @@annamariamakula3853 sawa tuseme alhamdulilah mungu ndo anajua

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 10 месяцев назад +1

      @@annamariamakula3853 ujue kufiwa kugumu ndugu me mwenyewe nimepitia na nayajua maumivu yake

    • @HappyShirima-k9t
      @HappyShirima-k9t 10 месяцев назад +2

      Wengine wanaliliaga tumbon

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 10 месяцев назад

      @@HappyShirima-k9t sawa mungu azidi kumpa ujasiri

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 10 месяцев назад +3

    Masha Allah wafiwa niwakavu na tabasamu zuri, Bibi ndo kafiwa maumivu 😢

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 10 месяцев назад

      Wameuguza wameshalia wamechoka, na wakati mwingine ni nature ya mtu tu kuwa na mwonekano huo

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 10 месяцев назад +4

    Alafu haki ipo wapi, Mimi nikikukamata yaani nakukata kipande kimoja kimoja huku nacheka, huu ni upuuzi alafu ukipeleka kesi kituoni unaanza kuzungushwa kisa mtuhumiwa ana cheo au ana wadhifa flani serikalini.

  • @mussamustafa9843
    @mussamustafa9843 10 месяцев назад +4

    hata vitabu vinasema aliyeuwa kwa upanga naye atakufa kwa uapanga marehem apumzike t kwa amani

  • @JosephZelothe
    @JosephZelothe 10 месяцев назад +1

    mbona huyu dada haeleweki asema katoka kikuti na wezake inamaana hao walikua na huyo mama walikuwa wapi au wameshindwaje kutoa taarifa

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 10 месяцев назад +2

    Yesu wangu😭😭Mungu ampumzishe kwa Amani dadaetu🙏🙏Poleni sana familia 💔💔

  • @hopesesilius6104
    @hopesesilius6104 10 месяцев назад

    Pole mm

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 10 месяцев назад +2

    Dada kiongozi SS awasaidie nn uyo mtuumiwa atakamatwa ila sio haraka ivyo amini dam ya mtu haiyendi bule amini atakamatwa

  • @frankthecreator4440
    @frankthecreator4440 10 месяцев назад +1

    Bro hapo mwisho kasema kwa uchungu sana 😥😥😥 kama utaweza kweli fanya tu maana hawatak kuingilia kati 😢

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 10 месяцев назад

    😢 polen

  • @kelvinmbuya790
    @kelvinmbuya790 10 месяцев назад +1

    Dah inauma sana inamaana rais wetu mama samia suluuhassani halioni hili jamani atusaidiye mtuhumiwa akamatwe afikishwe sehemu husika maana rais wetu ndy wakututetea sisi wanyonge

  • @200Stella
    @200Stella 10 месяцев назад +1

    Jamqni huko Kilimanjaro tatizo ni niniiiii....wamezidi matukio ya mauaji na kujinyonga....

  • @janethdavid1026
    @janethdavid1026 10 месяцев назад

    Kanda ya kaskazin matukio hayaishi 😭😭😭

  • @LazaroELucas
    @LazaroELucas 10 месяцев назад

    Kakatwa tayari Leo baada ya police kuona mama mtu analia kwa uchungu

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 10 месяцев назад +6

    Mbona wafiwa wakavu hivyo? Yaan mpaka mtoto wake hata macho makavu kasoro bibi tu jaman😢

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 10 месяцев назад

    Watu wanauwana hkn wakusimama kukemea hichi kiktu kikome baadhi yamikoa acha tuone mwisho watanzania yetu pengine kuna viongozi wanasema acha wamalizane

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 10 месяцев назад

    Mharifu yupo serikali ipo.... upuuzi..

  • @lekinyaurey5772
    @lekinyaurey5772 10 месяцев назад

    Leteni namba za polis apo rombo

  • @priscamboya6422
    @priscamboya6422 10 месяцев назад

    Hebu hao polis wakamatwe jamani iwe fundisho hata kwa wengine jamani

  • @ssam3385
    @ssam3385 10 месяцев назад +1

    Serikali iko kimya

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 10 месяцев назад

    Kijan wa mwisho umeongea point kabisa aliyeua nae auliwe

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 10 месяцев назад +1

    Hivi Polisi wapo au wameacha kazi? Serekali liangalieni tatizo la mapolisi ambao wapo kama mazombie tu. Ukweli inauma sana kuona mtu anauwawa na hakuna kinachoendelea.

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 месяцев назад +3

    Ndugu wafiwa ni majasiri kwa kweli wakavu kama alio kufa ni dangote

    • @AnneHarold
      @AnneHarold 10 месяцев назад +1

      Wameuguza kwa muda mrefu huenda walijua hatapona, ukikaa na mgonjwa muda mrefu hupati ule uchungu wa ghafla maana ni kama saikolojia imejiandaa

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 10 месяцев назад

      @@AnneHarold mmmh mungu tu amewapa ujasiri Kwa kweli iyo so sababu tuliuguza baba yetu karibia miaka 10siku mungu alivyo mchukua Aisee hakuna asio Lia mpaka watu wasio husika walilia

    • @vaikaayagadiel520
      @vaikaayagadiel520 10 месяцев назад +2

      Jamani mwacheni huyu mtoto ameshalia sana, maana amekaa na mamake mwezi na nusu, alimuona alivyokuwa anateseka,tumuombe tu Mungu ampe nguvu na ujasiri, ana jukumu kubwa na huyu ni mtoto wa kwanza

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 10 месяцев назад

      @@vaikaayagadiel520 Inshallah 🙏

    • @mkaiteafetu6782
      @mkaiteafetu6782 10 месяцев назад

      Mmmmmmh

  • @EliechiKimario-bv1gz
    @EliechiKimario-bv1gz 10 месяцев назад

    Mpk nimelia😢

  • @penzajumanne1791
    @penzajumanne1791 10 месяцев назад

    Wao walitaka mtuhimiwa awe wapi?

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 10 месяцев назад +1

    Serekali ya tanzania imekwisha kabisa haina uwajibikaji tena kwa wananchi wake

  • @SubiraMhina-w7l
    @SubiraMhina-w7l 10 месяцев назад

    Daah😢

  • @SalhaAdinan
    @SalhaAdinan 10 месяцев назад

    Serikali Iko wapi inashindwa kuvhukua hatua kwa jambo zito hvy hlf watuwanakjua mwalifu serikali please hili sio la kufumbia macho kbsaa mana bila ya kuchukuliwa hatua ndio kuzaanza kwa panyarodi na waalifu

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 10 месяцев назад

    Huyo mwanaume bwege yaani kisa mapenzi ndio anaua

  • @YangaNews
    @YangaNews 10 месяцев назад +2

    Yaani wanawake wakisha pata kitu wanataka wanakuacha bila kujua kiasi gani unaumia

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 10 месяцев назад

      Ndo uuwe?

    • @mziwandamziwanda
      @mziwandamziwanda 10 месяцев назад

      mbon nyie mnatuachaga mkishapata na hatuwauwii?

    • @YangaNews
      @YangaNews 10 месяцев назад

      @@mziwandamziwanda kuuwa ni akili ya mtu na mm nasema hvo kwasababu moja najisemea mm kitu siwez ni kumwacha mtu nilie kubali kuwa nae mimi

    • @YangaNews
      @YangaNews 10 месяцев назад

      Japo nimewahi achwa ila naamini hata nikipata mwingine sitamwacha

    • @mziwandamziwanda
      @mziwandamziwanda 10 месяцев назад

      @@YangaNews utoto unakusumbua ukikua hutakaa useme haya kijana

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 10 месяцев назад

    mchungaji hananja huwa anasemaga ile mikoa ambayo watu wana imani sana huwezi kusikia mauaji ya ajabu ajabu kama hayo

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 10 месяцев назад

      Tanganyika mna shida gani?

  • @hamisiomary8681
    @hamisiomary8681 10 месяцев назад

    Kwani kilimanjaro na Arusha kulikoni kila siku matukio ya mauaji

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 10 месяцев назад

      Mwenzangu arusha na kilimanjaro husije ukathubutu kwenda mikoa hiyo

  • @RoseMrio
    @RoseMrio 10 месяцев назад

    kinachonixhin moxh n hawa axkar t walioko huk hawana uxhirikiano na wananchi kwny matukio m nataman muliro angekuwa kilimanjaro

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 10 месяцев назад +1

    MUNGU atussidie wanawake tuna ingiaga kwenye mahusiano na mashetani aki😢

  • @wipiusnyakame5075
    @wipiusnyakame5075 10 месяцев назад

    Police wanashilikiana na wahalifu kabisaaaa yaani hii inanichukiza sanaaa 👿😈

  • @laurnyandwi-sb1gu
    @laurnyandwi-sb1gu 10 месяцев назад

    Asingeweza kupona.,majeraha yalkuwa mengisna😢,

  • @YangaNews
    @YangaNews 10 месяцев назад +1

    Ila wanawake nao huwa wanazingua

    • @happynkya9770
      @happynkya9770 10 месяцев назад

      nyie hamzingui siyo

    • @YangaNews
      @YangaNews 10 месяцев назад

      @@happynkya9770 wanawake mnaacha vibaya sana

    • @YangaNews
      @YangaNews 10 месяцев назад

      Hamuangalii mtu kiasi anaumia mnaacha tuu yaani vile mnajiskia mimi sina neno ila sasa madhara huwa makubwa chezea vyote sio moyo wa mtu mtu anakupa kila kitu unalala unaamka et sikutaki sasa ulipokea vyann

  • @benithamsagala3861
    @benithamsagala3861 10 месяцев назад

    Unataka akupigie useme anakutongoza

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 10 месяцев назад +1

      Mbona kama una chuki flani na hii familia?Kuwa makini sio wote wanaosoma comment ni raia wa kawaida.R.l.P mpendwa na pole kwa familia 😢

  • @ssam3385
    @ssam3385 10 месяцев назад

    Damu ya mtu inadai

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 10 месяцев назад

    Polisi fyuuuuu

  • @ssam3385
    @ssam3385 10 месяцев назад

    Huyu bb ndie mume wake waliofunga naye ndoa,na baada ya hapo wakatengana?nauliza jmn