CHINO AIBIWA GARI MAZINGIRA YA KUTATANISHA 🤣🙌 ALIA KAMA MTOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 132

  • @Mamodel-Park
    @Mamodel-Park 5 месяцев назад +11

    i love how calm he is kaibiwa gari still hafoki wala kutukana !! mm naona ningeitiwa polisi kwa ayo maneno machafu ambayo ningekua nayatoa 😂

  • @RaphaeljMdimi
    @RaphaeljMdimi 5 месяцев назад +8

    I like how calm Chino is...."ngoja nitulize akili"

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 5 месяцев назад +10

    Nimemkubali chinno hajatoa matusi hata kidogo❤❤❤❤ingekuw mtu mwngn angeanz kuwatukana wanae

  • @anithamsaki2040
    @anithamsaki2040 5 месяцев назад +3

    Jamnii.mpka namuone huruma chinoo anavyongeaa daaah anatia hurumaa akiwa kwenye shida au akipata tatizo jamnii SEMA namkubali Sanaa chino in fighting bhnaa

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 6 месяцев назад +12

    Si dancer tu waimbaji wazuri sanaaa tunawakubalii kenyaaa

  • @amanidjuma2580
    @amanidjuma2580 5 месяцев назад +6

    Nimeipenda😂😂 LEGEND ALWAYS MON TOWN SANYA ♥️

  • @HussainMaula-mw8vz
    @HussainMaula-mw8vz 6 месяцев назад +26

    Bora chino una haki ya kulia gari ni kitu kikubwa chibu kaka angu amelilia kofia 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @Ramah1627
      @Ramah1627 5 месяцев назад +1

      Kofiaa ilikua na nguo nyingi mwanangu😂😂show hairndi bila hio😂😂haiptikani urahisi😂😂

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 5 месяцев назад

      😂😂😂😂​@@Ramah1627

  • @toureyaya7685
    @toureyaya7685 5 месяцев назад +10

    Sema chino anaonekana mtu peace sana

  • @johnkomba7700
    @johnkomba7700 6 месяцев назад +55

    Kama unaamini Chino kakamatika gonga like hapa 😂

  • @user-zr5rg5ul3q
    @user-zr5rg5ul3q 5 месяцев назад +7

    Sema chino ana roho ngumu sana Kawa mpole sana mondi aliibiwa kofika aliwakaaaaaa😂😂😂😂😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 месяцев назад

      Angepewa siku mbili ungeona anavyowaka huyo 😂😂😂😂😂

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 5 месяцев назад +6

    This program is dope ❤

  • @user-eo6qv4ol9e
    @user-eo6qv4ol9e 4 месяца назад +4

    Ila chino mtu poa sana ase anajitahidii kujituliza ingekua mtu mwingine angeshawaka ❤

  • @directorkhasi4967
    @directorkhasi4967 6 месяцев назад +8

    Director Khasi seen

  • @user-pf1pf5pl2q
    @user-pf1pf5pl2q 6 месяцев назад +6

    Sema mwanangu wew nae unajfnyga mnyamwez hv unamuwza lunya kwl mzee

  • @mohamedyjafar8243
    @mohamedyjafar8243 6 месяцев назад +3

    Nmfurahi saan bn

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 месяцев назад +2

    Hapo chino alitingwa kinomaa 🤣🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 6 месяцев назад +6

    Mupitie na kwangu wapenzi❤

  • @AhmedAli-oz3np
    @AhmedAli-oz3np 5 месяцев назад +5

    Ukiangaliya vizuriii hiii video utagundua kwamba wanaigizaaaaaaaaaaa

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 5 месяцев назад +1

      Hii ni kitu inaandaliwa

    • @youngmaster4127
      @youngmaster4127 5 месяцев назад +1

      Angalia kuanzia mwanzo Sanya amesema mmoja Wao alikua anajua issue alipangwa mtu mmoja tu

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 5 месяцев назад

      Dogo unakurupuka kwa kujifanya mjuaji bila ya kuangalia clip mwanzoni na vizuri

  • @EagerHotChocolate-dw4us
    @EagerHotChocolate-dw4us 6 месяцев назад +8

    Chino anaongea vizuri❤❤

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 5 месяцев назад +1

    Hahahahaaaaaaaa😂😂😂😂😂 dah nimecheka vibaya aisee chino roho kama ilikiwa inamtoka vile

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 5 месяцев назад +1

    Mjomba chino kidogo azimie😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EddykingJuma
    @EddykingJuma Месяц назад

    Oooohhh chino nae bhna ananichekesha

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 2 месяца назад +2

    Je ange ibiwa zombe 😂😂😂 ange uwa kama kweli like bas

  • @user-hv2hw9sq9l
    @user-hv2hw9sq9l 6 месяцев назад +12

    Chino gari hiko Mfukoni kwako Jisachi Mfuko Wanyuma Ya Suluwari🤣🤣

    • @abdulthaidar632
      @abdulthaidar632 5 месяцев назад

      Oya kaiweka ktk pochi hemu mwambieni ajisachi vizuri lkn pochi 😂😂😂

  • @oshenifrank614
    @oshenifrank614 6 месяцев назад +5

    Kipindi pekee kizuri wasafi

  • @OliverElieza-eh3ek
    @OliverElieza-eh3ek 4 месяца назад

    Mtoto wangu bwana anampendraaaa chino jmn duh sijui nielezeeje Mimi yaani akiimba tuu utasikia mama chino uyo mama basi Mimi namtania ni mkwe wangu uyo anacheka mwenyewe

  • @collinsbella8360
    @collinsbella8360 5 месяцев назад +3

    Mjomba mark alikuwa apa kaondoka , saiv 😂😂😂😂😂😂 ila Chino dah mpaka huruma...

    • @MapeneKanda-lf9qi
      @MapeneKanda-lf9qi 5 месяцев назад

      Nilikuwa najiuliza Huyo mjomba Mark ni Nan 😂😂😂

  • @AkimuMovie-rt3rp
    @AkimuMovie-rt3rp 5 месяцев назад +1

    Ameyatimba 😂😂😂

  • @EagerHotChocolate-dw4us
    @EagerHotChocolate-dw4us 6 месяцев назад +4

    😂😂😂😂😂ety mjomba mac kaondoka

  • @CHUYUTV
    @CHUYUTV 5 месяцев назад +1

    😂😂😂 NIKAJUA KWELI

  • @user-jm6cp4nf5w
    @user-jm6cp4nf5w 3 месяца назад

    Nakubali sana ka mkubwa wanaman

  • @chichiereyh
    @chichiereyh 5 месяцев назад +1

    Chino alilia😅😂

  • @boncenagottalent
    @boncenagottalent 5 месяцев назад +3

    UNYAGO EP 06
    ruclips.net/video/SKLze9VYuQM/видео.htmlsi=YxaWFqmbqgsBrEZI

  • @GloriaAlexanda-ld5zt
    @GloriaAlexanda-ld5zt 5 месяцев назад

    Part 2 plz

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 месяцев назад +4

    Chino kwer kapagawa Sasa wewe chino unawauliza awo wagen majilan kuhusu Gali kaondoka nayo nani uwon kwer umevurugwa chino😂😂

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 5 месяцев назад +1

      😂😂kbs😂😂😂

  • @issaleonard4576
    @issaleonard4576 5 месяцев назад +1

    Kumbe yakimkuta uwa haongei kile kiingeleza chake😂😂

  • @CAN.164
    @CAN.164 5 месяцев назад

    Daah chinooo

  • @user-hv2hw9sq9l
    @user-hv2hw9sq9l 6 месяцев назад +6

    Chino gari hiko Mfukoni kwako humu Jisachi Vxr🤣🤣🤣

  • @mohamedyjafar8243
    @mohamedyjafar8243 6 месяцев назад +5

    Oaaee sanya w sio mtu bn

  • @sebastiamartin0933
    @sebastiamartin0933 6 месяцев назад +4

    Motown Sanya naqbal xanaa

  • @user-bk3wg3ir4b
    @user-bk3wg3ir4b 5 месяцев назад +1

    Uungwana umekosekana chino ili unayemuliza atoe ushirikiano mzuri salamu ni muhimu kwanza mtu mzima huwezi muambia eti mama hujaona Alie ondoka na gari apa bila kunisalimia sikuambii kitu

    • @neriajoshua8908
      @neriajoshua8908 5 месяцев назад +2

      We ungekua kwenye hali ya panic atrak unge salimia😏

  • @parishlawal3034
    @parishlawal3034 6 месяцев назад +4

    Ipo ck Motown utaua m2 kw presha

  • @GloriaAlexanda-ld5zt
    @GloriaAlexanda-ld5zt 5 месяцев назад +1

    Ngoja nitulize akili is typing

  • @Afandepianotz
    @Afandepianotz 6 месяцев назад +3

    Afande piano Tz

  • @nighttz1421
    @nighttz1421 5 месяцев назад +1

    Kwenye funguo apo nd mmefeli ilibid waibe funguo nyingine chumban Kwa chino afu Ile nyingine wawe nayo vilevile

  • @user-dm8gn5cp7p
    @user-dm8gn5cp7p 5 месяцев назад

    Hizi Ni Stori Za jaba mwanangu Chino😅😅😅😅

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 месяцев назад

    Chino Wanaman unyama wote umeyeyuka kawa mpole balaa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @katambihamisi4130
    @katambihamisi4130 5 месяцев назад

    Music wa bongo bila upuuzi kama huu hauendi mjini

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 5 месяцев назад

    Kuna watu hawakua serious mamae

  • @Coolboi-fj5sy
    @Coolboi-fj5sy 6 месяцев назад +4

    😅😂

  • @franklinkaranja6244
    @franklinkaranja6244 Месяц назад

    Tunakukubali chino umepoa kinoma,,Wala huna baya

  • @WetchiKhams
    @WetchiKhams 6 месяцев назад +4

    😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉

  • @directorbobo_
    @directorbobo_ 5 месяцев назад

    Show kali

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 6 месяцев назад +3

    😂😂😂

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 6 месяцев назад +7

    Gali kaondoka naro nani😂😂😂😂😂

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 5 месяцев назад +1

      😂😂mwenzangu 😂😂

  • @Starbrunodg
    @Starbrunodg 5 месяцев назад +1

    badoujasema nautasema yanimpakauseme yaniapobado😂😂

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 6 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas 5 месяцев назад +2

    Chino fazaa anulizia gar ata asalimii watu😂

    • @shabansued
      @shabansued 4 месяца назад

      Swala kama ilo mtu lazima upanic

  • @EddykingJuma
    @EddykingJuma Месяц назад

    😀😀😀😀😀😀❤❤❤❤❤❤❤iyo nay nimeipnda

  • @NelsonDaniel-ou2fg
    @NelsonDaniel-ou2fg 5 месяцев назад +1

    Chino umenasa

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 5 месяцев назад

    Inabidi uitolee nyimbo 😂

  • @rehemamsengo2805
    @rehemamsengo2805 5 месяцев назад

    Chino kichwa kinawasha😂😂😂 ila mo weweee

  • @salehsaad7424
    @salehsaad7424 5 месяцев назад

    show iko Gud... ila kwenye hii ungeExtend time kidogo umpeleke na Hm kabsa ndo maybe ungeona real face ya chino

  • @directorbobo_
    @directorbobo_ 5 месяцев назад

    Ushauli kipindi kipo na mizunguko sanaaa muwe mnatumia gimbal ili kupata kitu kivuzur zaidi

  • @hassanpashua
    @hassanpashua 6 месяцев назад +3

    Chino wasema uko na kiuno laini duuh hatari

  • @user-jb8cp3hk3e
    @user-jb8cp3hk3e 5 месяцев назад

    Chino anahekima sana

  • @saloumtz6596
    @saloumtz6596 5 месяцев назад

    Mjomba MARK

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 5 месяцев назад +1

    Chino mpole hana hata la kusema

  • @softtlipssTv
    @softtlipssTv 6 месяцев назад +1

    🗣️📺📺📺📺📺📺📺📺📺📺🇰🇪🔥

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 5 месяцев назад +1

    Huyu jamaa ataua wenzake

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 5 месяцев назад

    Wote mnaact hapo

  • @HadiaMohammed-ec2dn
    @HadiaMohammed-ec2dn 5 месяцев назад

    😂😂😂😊😊

  • @Jayleejiwemoja
    @Jayleejiwemoja 5 месяцев назад

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @kaditokenya6873
    @kaditokenya6873 5 месяцев назад +1

    CHINO AONESHA UCHUNGU ALIVYOLALAMIKA KUNUNUA GARI DIAMOND MPEE GARI MPYA MWAMBA MPAMBANAJI

  • @mnyamwezijuma1140
    @mnyamwezijuma1140 5 месяцев назад +1

    Ma staaa

  • @MerryBuffalo-ob4wj
    @MerryBuffalo-ob4wj 5 месяцев назад

    😢😢😢😢

  • @reganrichard6242
    @reganrichard6242 5 месяцев назад

    Ya leo niya mchongo hakuna kitu

  • @ailamofficial6757
    @ailamofficial6757 5 месяцев назад

    Chino ao wakubwa wako ni Akina nani 😅😊😊😅😅

  • @Jadaboyclever
    @Jadaboyclever 5 месяцев назад

    Naomba sapot yako ndugu yangu ni Sapot nami pia

  • @siahmasamuu1240
    @siahmasamuu1240 5 месяцев назад

    Posh bnaaaa

  • @sabrimwamba
    @sabrimwamba 5 месяцев назад

    Mmh muhongo huyo

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 5 месяцев назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-gv9pf3ix4m
    @user-gv9pf3ix4m 5 месяцев назад

    Mjomba maki😂

  • @mohamedyjafar8243
    @mohamedyjafar8243 6 месяцев назад +3

    Bonge la show wanangu

  • @Official83640
    @Official83640 6 месяцев назад +15

    Mchongo haujakaa sawa yaani hapo ungeanza msako wa mbio kuangalia njia tair zimeelekea wapi lkn mmekaa tu barazani hamna mshangao wowote aah wp code ya leo rahisi hakuna aliyeumiza kichwa na ndy maana walikuwa wanacheka

    • @user-by4cl2ml9o
      @user-by4cl2ml9o 6 месяцев назад +3

      Suree😅😅

    • @user-di1yp4vf6t
      @user-di1yp4vf6t 5 месяцев назад +5

      Magari mangapi yamepitia pita hapo hapo

    • @Official83640
      @Official83640 5 месяцев назад

      @@user-di1yp4vf6t Kwani inakua ndy kweli waangalie tair au watuzuge sie watazamaji km vile tuamini kinachoendelea lkn hao wamepoa tu km Waha wameshuka station hawajui pakwenda

    • @druumarley2159
      @druumarley2159 5 месяцев назад +2

      Sasa utafatilia tair hadi wapii??!! Na tairi utaziona hadi kwenye ramii??!!!

    • @Official83640
      @Official83640 5 месяцев назад

      @@druumarley2159 Jifunze act ndy utajua nilichomaanisha kwani huyo mwenyewe hajui km wanaigiza au

  • @ngomakitaafestival
    @ngomakitaafestival 5 месяцев назад

    Kipindi kizuri

  • @kulwalugata7232
    @kulwalugata7232 5 месяцев назад +1

    mjomba mack

  • @iddyabduly776
    @iddyabduly776 5 месяцев назад

    Watu walishindwa kuwa serious dogo uyo anacheka cheka awo wavuta bangi awezi kazi 👃🏿

  • @jofreyevansantony2770
    @jofreyevansantony2770 5 месяцев назад

    Kkkkkkkk

  • @HASHIM-rt4mf
    @HASHIM-rt4mf 5 месяцев назад

    Kaka mtu ambae niwakumuamin ni bb na mm

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 5 месяцев назад

    sasa huyu dansa aliye shika miwani mboma anacheka mchongo unavo anza

  • @ezron_official
    @ezron_official 5 месяцев назад +1

    Hiki kipindi kimekua maigizo sana ila sio mbaya bonge la idea

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 5 месяцев назад +2

      hiyo mzee ni prank ndio mana sanya mwanzo anakwambia kuna mtu mmoja tu ndio anajua huo mchongo

    • @ezron_official
      @ezron_official 5 месяцев назад

      Okay

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 5 месяцев назад

    Punguza mikongo mbwa wewewe

  • @mohamedramadhan4259
    @mohamedramadhan4259 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂

  • @ChiefKisensiOnline
    @ChiefKisensiOnline 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @eliahjohn5519
    @eliahjohn5519 6 месяцев назад +6

    Uyu si ndye aliepost amenunua gari tofauti na hyo au alikuwa anauzia sola gari LA watu

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 6 месяцев назад +3

      Cndo limepata ajali

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 6 месяцев назад +3

      ​@@Nuru9568 yani kuna watu huwa mpaka waongee negative coment loh sasa hajui ka alipata ajali😅😅

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 5 месяцев назад +1

      @@yasminoluoch169 yan wanakela

    • @eliahjohn5519
      @eliahjohn5519 5 месяцев назад

      @@Nuru9568 hiyo ilikuwa alfadi ya mwanzo ilikuwa BMW