MWANRI AMUACHA HOI PINDA "TUNAZAMA WOTE, TUNAPIGA MIHAYO WANAOKATAA HABARI HII SUKUMA NDANI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 209

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 4 года назад +21

    Haturudi misri kwenye mabakuli ya nyama hahahahaha wangapi wamesikia hilo wanipe like yangu CCM HOYEEE

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 4 года назад +36

    Mwenye macho kama Mimi na yupo makini na kumsikiliza huyu mzee na ameona mama mzee hapo anarecodi na lisimu likubwa kama redio gonga like nukuone

  • @mussabulugu6319
    @mussabulugu6319 4 года назад +36

    Huyu mkuu anajua kucheza na akili za watu hadi raha .huyu nikiongozi kweli hapo twende sawa wapendwa

    • @michaelchacha970
      @michaelchacha970 4 года назад

      Fact!!

    • @johnseme1509
      @johnseme1509 4 года назад

      Kabisa yuko vizuri sana Mwanri, wasimuache kabisa ktk baraza la mawaziri apewe tu ubunge wa kuteuliwa.

  • @mackymneney9935
    @mackymneney9935 4 года назад +62

    KUANZIA LEO KWA NIABA YA JPM NAMTEUA MWANRI WAZIRI WA UTAMADUNI SVNA MICHEZO KWA MAMLAKA KAMA RAIA MWEMA AMEN

  • @kelvinemiles6995
    @kelvinemiles6995 4 года назад +13

    Nakubali Sana huyu father!✊🏾❤️

  • @enochzacharia960
    @enochzacharia960 4 года назад +21

    Mzee yuko vizur angekua wazir wa sanaa na utamadun

  • @graytonndamgoba4805
    @graytonndamgoba4805 4 года назад +18

    Ukatibu mwenezi wa CCM unamfaa sana.This man can convince.

  • @syv_habari
    @syv_habari 4 года назад +40

    Awe kampen meneja wa magu tucheke wengi

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 года назад +12

    Nawapenda viongozi wa Ccm...mna umoja na mshikamano Mungu azidi kuwatunzaaa😁

  • @Nassprince
    @Nassprince 4 года назад +46

    😂😂😂🔥huyu mzee mungu ampe maish mengi ananiongezeaga sana siu za kuishi😂😂😂😂😂

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 4 года назад +44

    Huyu mzee wangempa muda tena mkoa wa tabora

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 4 года назад

      @ruclips.net/video/zuPzr5WXG5A/видео.html

    • @peterbayo4677
      @peterbayo4677 4 года назад +1

      Wala hata hastahili kuwa mkuu wa mkoa. Anastahili zaidi....

    • @nelsonjeremias2047
      @nelsonjeremias2047 4 года назад

      Hakutolewa ukuu wa Mkoa bali alistaafu kwa mujibu wa sheria. Umri umeenda

    • @witnessemmanuel8785
      @witnessemmanuel8785 4 года назад

      Amestaafu jamani

    • @musazabron8255
      @musazabron8255 4 года назад

      @@nelsonjeremias2047 huyu alifaa kuendelea kuwa yupo.

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 4 года назад +11

    Mzee unatupa Rahaaaa kwa maneno yako, kweli adui ni MTU yeyote asiyekutakia mema!!!!!

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 года назад +11

    Huyu jamaa anajua kuwapanga watu sana aisee sijawahi ona 😆 😆

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 4 года назад +1

    He is a wondereful man mungu akurinde sn sn huna kinyongo kabisaa wote tunggekua ivi tungefika mbali sn sn.

  • @jeremiahchappa9915
    @jeremiahchappa9915 4 года назад +31

    Mzeee magufuli tunamuhitaji Tabora huyu wa ssa anatuzingua

  • @nelsonimtaturu8115
    @nelsonimtaturu8115 4 года назад +47

    mheshimiwa rais wetu tunaomba umone huyu jamaa kwa jicho la tatu

  • @frankjacksoni1433
    @frankjacksoni1433 4 года назад +1

    Nakubal sana mzee wangu ukikosa uongoz njoo Dodoma nitaenda kuuza shamba kwetu nikujengee hata kanisa tu

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 Год назад

    Mwanri ndio maana hakosi kazi,Anabusara sana kwa viongozi wake wajuu

  • @frankiguguno9135
    @frankiguguno9135 4 года назад +6

    Nakukubalii kiongoziiiii

  • @nobertkavishe8835
    @nobertkavishe8835 4 года назад +1

    Mungu akupe maisha marefu mzee Mwanri

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 года назад +3

    Nakupendaga sana😁😁😁😁 mheshimiwa....😁

  • @pinielloilole4340
    @pinielloilole4340 4 года назад +3

    Kwa kweli mungu awe pamoja nawe Mwandri. Hakika Mh JPM anakuona

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂...Watu wanaokataa habari hii sukuma ndani...Daa...Mwanry ni comedian hasa...Huyu mzee ukianza kumsikiliza...uwe na MBs nyingi...ili uangue kicheko..ana point nzuri sana ..lakini huku unaendelea kuvunjwa mbavu

  • @godsonlaizer1988
    @godsonlaizer1988 4 года назад +2

    Wewe bado unafaa Sana mzee sukuma ndani sumuma nje chadema

  • @danieljeromelyimo6673
    @danieljeromelyimo6673 4 года назад

    Mwari Ungeenda upinzani huko Una lazimisha tuu... Wewe Ni Kiongozi mzuri Ila huko Una haribika!!Ni kama samaki mmoja Akioza...

  • @kelvinvenance3627
    @kelvinvenance3627 4 года назад +10

    JPM MTAZAME MWANRI NI KIONGOZI MZURI

  • @marynjau1690
    @marynjau1690 4 года назад

    Sukuma ndani😂🤣🤣🤣nakupendaga sana baba😘

  • @mashaurimpogollo3550
    @mashaurimpogollo3550 4 года назад +4

    Safi baba tuko pamoja

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 4 года назад

    MZEE MWANRI NINAKUKUMBUKA SAAANA WEWE UKIWA DC ARUSHA. ULITUTENDEA MEMA SANA ARUSHA, UTUNZAJI MAZINGIRA, BUCHA ZOTE KUWA SAFI NK. BARIKIWA SAAAAAANA MKUU.

  • @justinkisinza336
    @justinkisinza336 4 года назад

    Unastahili ukatibu mwenezi na itikadi wa ccm hongera mwanly

  • @masele6916
    @masele6916 4 года назад +1

    Mh. Magufuli tuludushie kiongozi wetu TABORA tunamwitaj bado

  • @dismasminja9702
    @dismasminja9702 4 года назад

    Nimeikubali mweshimiwa mmari love you

  • @shukurumwalukopetro6757
    @shukurumwalukopetro6757 3 года назад +1

    Ww baba japo nipo chadema napenda sana maneno yako kabisa

  • @raymondmsuya7127
    @raymondmsuya7127 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂Mzee nakubali Sana asee

  • @mussabulugu6319
    @mussabulugu6319 4 года назад +4

    Engnia soma hiyooooooooo

  • @jonathannzagamba5253
    @jonathannzagamba5253 4 года назад

    Hy jamaa mwambaaaaa😀😀😀

  • @janethpamela8907
    @janethpamela8907 4 года назад

    Nampenda uyu mzee jamn

  • @drdd774
    @drdd774 4 года назад +2

    Wakuu, wamrudishe tabora, huyu aliwaweza wanyamwezi

  • @victorkivuyo6126
    @victorkivuyo6126 4 года назад

    SOMA KWENYE KARASIII, MWANDRI BWANA😁😁😁😁😁MR BOB SOSY A,K,A, KATIA WA MURIETI KARIBU KABISA NA MHESHIWA GAMBO

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 4 года назад

    Pinda baba angu nakukubali sana

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 4 года назад

    Mzee unasema ukweli kabisaa 100%

  • @veromwasamila9581
    @veromwasamila9581 4 года назад

    Tabora tunakukumbuka umetuachia Toronto...😄😄wakati ukiwa mkuu wa mkoa nilisahau kuwa tbr Kuna mbunge saiz umeondoka ndio nashangaa kumbe Kuna mbunge hapa

  • @evansngolly1878
    @evansngolly1878 4 года назад +3

    Mwanri ameongea kistaarabu sana.

  • @brianmekere325
    @brianmekere325 4 года назад

    Huyu mwamba ananifurahishaga Sana Yani dah sijui kwann aliacha ukuu wa mkoa tabora

  • @wakubonya6335
    @wakubonya6335 4 года назад +6

    Soma iyoo

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад

    Safi sana ccm oyeee💪

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 4 года назад

    Mimi natoka wilaha ya Siha, kiukweli Agyrye mwandi alivyokuwa mbunge wa siha amefanya mambo makubwa sana jimboni kwetu,

  • @zuberyvijeru3636
    @zuberyvijeru3636 2 года назад

    Huyu jamaa ni mfano mzuri sana

  • @peterlukuba5857
    @peterlukuba5857 4 года назад +2

    Nimemimuona huyu mama anae record 😂😂😂

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 3 года назад

    Huyu ana msimamo ccm mpeni uraisi huyumzee mabo yawe safi

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 4 года назад

    Hahahahaha walio kataa habari hizi sukuma ndani hahahaha haki mbavu zangu sio kwa ucheshi tuu hata kazi yako tunaikumbuka

  • @samwellaurence7035
    @samwellaurence7035 4 года назад

    Watu wanaokataa habari hii SUKUMA NDANI... hahahahaha

  • @bbs9030
    @bbs9030 4 года назад

    Huyo jaamaa noma sana

  • @sospetermigera685
    @sospetermigera685 4 года назад

    Mm Niko dar lkn huyu Mimi ni mkuu wa mkoa wangu hata kama hajawahi kuwa ktk mkoa nilio,jamani mpeleke kwetu kule mara,JPM huyu alitakiwa awe campaign manager wake ,keep on mwaniri

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 4 года назад +1

    Rais namuomba akurudishie ukuuwa mkoa tumeku misssss

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 4 года назад

    Huyu mzee anafaa sana kuwa muhubiri

  • @chongemarwa5834
    @chongemarwa5834 4 года назад

    Oyooooo oyoooo sukuma ndani

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 4 года назад +1

    Songa mbele wnaokata habadi hii sukuma ndani

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 4 года назад

    Mzee magu mpe kazi huyu baba anatambua wajibu wa kazi

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 4 года назад

    Huyu jamaa namkubali San kwakwel mpeni uongozi wowote tu hamna kusitaafu

  • @wilychars3010
    @wilychars3010 4 года назад +2

    Atari huyu mzee

  • @mnegaamina6085
    @mnegaamina6085 4 года назад

    Chadema hawana macho ndiyo maana hawaoni kazi na miradi ya jpm ccm hoyeè

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 4 года назад

    jmn mizengo pinda,cjamuona muda,mrefu khaaa campen hz,zinafufua,watu

  • @alexanderpeter9422
    @alexanderpeter9422 4 года назад

    Soma hiyooooo

  • @maisaalawi5399
    @maisaalawi5399 4 года назад +2

    We Rai si akulete dar uwe mkuu wa mkoa

  • @alexfestoni5152
    @alexfestoni5152 4 года назад

    Mzee wetu hana kinyongo japo wajumbe hawakumpa tunakupenda sana mkuu

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 года назад

    Mwamri unamaoezi mazuri yenye Busara ungefaa upewe Waziri katika Mkuu wa Kilimanjaro

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 года назад

    Hahahahaha huyu baba

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 года назад

    Nitakumisije wasipokuchagua ujipenyeze tu mwenyewe

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 4 года назад

    Toronto naitamani

  • @anordallen3685
    @anordallen3685 4 года назад

    Aah huyu mze hawezi kusahaulika

  • @evancemandari7126
    @evancemandari7126 4 года назад +1

    Hahahaa huyuu mzee

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 года назад +2

    Kule siha cjui wamekwama wapi kumchagua huyu mzee kugombea ubunge

    • @rehemamsuya2263
      @rehemamsuya2263 4 года назад

      Ht mie nashangaa wamekariri wangepata maendeleo mnoo

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 года назад

      @@rehemamsuya2263 ndy vimasai avina akili wanafiata upepo tu

  • @ummuidris3029
    @ummuidris3029 4 года назад

    Tuko pamoja baba

  • @mossesmuumbakhan7617
    @mossesmuumbakhan7617 4 года назад

    Kule matejo A na B arusha wmanri angepaweka sawa

  • @mossesmuumbakhan7617
    @mossesmuumbakhan7617 4 года назад

    Angepewa mkoa wa arusha tena ingekuwaje ?

  • @nyatichegenya3645
    @nyatichegenya3645 4 года назад +2

    Hi

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 4 года назад +1

    Wampe Uongozi wa Tabora Hata kwa Mkataba

  • @michaelchacha970
    @michaelchacha970 4 года назад

    Kama unataka kumuelewa huyu mzee usiangalie kwa lengo la kufurahi pekee Bali kwa lengo la kujifunza hapa watu wanafurahi huku wakijifunza

  • @shabangegedu6808
    @shabangegedu6808 4 года назад

    Shabanigegedu

  • @aishashaban7942
    @aishashaban7942 4 года назад

    Rais Magufuli naamini atamteua

  • @nestorymtirackmtirack8770
    @nestorymtirackmtirack8770 4 года назад +1

    Naomba awe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam

  • @musatbobius5472
    @musatbobius5472 4 года назад

    MTT MDG ,ntakusemea kwa dadii

  • @idefonsiwilla7747
    @idefonsiwilla7747 4 года назад

    😃😃

  • @franksylivestar7344
    @franksylivestar7344 4 года назад

    Huyu afungue kanisa naona anafaa kuhubiri

  • @mtuisofa3259
    @mtuisofa3259 4 года назад

    Njaa tu inawatesa

  • @amosmwambene9926
    @amosmwambene9926 4 года назад

    Mkali wa wapinzani

  • @davoo2555
    @davoo2555 4 года назад

    Huku ndio kufilisika kama sio kufilisiwa kisiasa.... Kaisha huyu kuna Uwanja wa Ndege Vunjo??? Kenge huyu

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 4 года назад

    Kichwa iki

  • @octavianmsomba3538
    @octavianmsomba3538 4 года назад

    baba ingewezekana ludi kazini

  • @martildermatonya2203
    @martildermatonya2203 4 года назад

    Magufuli

  • @tzyetu7496
    @tzyetu7496 4 года назад

    Jamani mturudishie huyu mtu pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeease

  • @fabianchitojo7406
    @fabianchitojo7406 4 года назад

    Huyu mzee Ajiandae kupewa uwazir furan

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 4 года назад

    Hivi kwanini mwaka huu waliokatwa CCM hawajahamia vyama vingine? Haya ni maajabu mengine ya dunia,maana sikutarajia hivi.

  • @hildaeliapenda3938
    @hildaeliapenda3938 4 года назад

    JPM tunakuomba usisimsahau huyu mwari ni jembee ktk uchapaji kazi mzuri ataendana na wewe rais wetu

  • @veromwasamila9581
    @veromwasamila9581 4 года назад

    Arudishwe tabora jamani rais magufuli turudishie hiki kifaaa

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief6151 4 года назад

    Ha ha ha ha chapa kazi Baba

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 года назад

    Sukuma ndani

  • @ntandumathayo3257
    @ntandumathayo3257 4 года назад

    Wamama kwani wamelazimishwa mbona kununa hivoo

  • @protasmangu6418
    @protasmangu6418 4 года назад

    Huyu mzee apewe ukuu wa mkoa SINGIDA