#NK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 91

  • @fanuelgobrey8452
    @fanuelgobrey8452 Месяц назад +3

    you guys are more than professional

  • @kaittheleast
    @kaittheleast Месяц назад +2

    Nje ya kua expert kwenye computer una skills zingine naziona, big up brother

  • @incognitoworth1205
    @incognitoworth1205 Месяц назад

    The fact that you've explained this documentary in swahilii is just amazing ...swahilii to the world !!

  • @hafinhoramsey7752
    @hafinhoramsey7752 3 месяца назад +7

    NK more than professional. Tunaomba video zaidi km hizi unyama sana

  • @nandeter_tech_media
    @nandeter_tech_media 2 месяца назад +3

    Nakubali sana asee hizi mambo ndo nazipenda yan dam dam...🔥🔥🔥🇹🇿

  • @Bongovlogs
    @Bongovlogs 10 дней назад

    Kazi nzuri mtaalam, nashauri kuwe na background ya muziki flani nyuma ya sauti ili kunogesha story
    Nawasilisha

  • @YangaTamu-l4i
    @YangaTamu-l4i 3 месяца назад +8

    🎉❤ chukua mauwa yko brother

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +4

    Napenda sana hizi ishu yaan, yaan

  • @dariouswaweru1154
    @dariouswaweru1154 Месяц назад +2

    Kazi safi kaka

  • @Sharif-u5m
    @Sharif-u5m Месяц назад +2

    Unique ❤😂

  • @Glorymoviesswahili1
    @Glorymoviesswahili1 2 месяца назад +1

    Umeiandaaa vizur sana 😇😇

  • @Hadzabe_Tribe_culture
    @Hadzabe_Tribe_culture Месяц назад +1

    Story nzuri sana. Msimuliaji/msimulizi Bado sana tafuta watu professional

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Месяц назад +3

      Mwenyezi Mungu katuumba tofauti ili kila mtu awe na style yake, we endelea kuperuzi utakubali mwe nye wee.
      Mwisho muono wako unaheshimiwa bilashaka na karibu NK Computer Training Uwe More than. Professional.

    • @emmanuelmwandu.3126
      @emmanuelmwandu.3126 Месяц назад

      Jibu zuri kabisa ​@@nk-computertraining

    • @SangaliPower
      @SangaliPower Месяц назад

      ​@@nk-computertrainingoy nawapataje

    • @abdulazizshabani6760
      @abdulazizshabani6760 10 дней назад

      ​@@nk-computertrainingWhere are you located bro?

  • @RichardKatembo-o5c
    @RichardKatembo-o5c Месяц назад

    Saf kaz nzur❤❤

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 3 месяца назад +2

    Asnt sana teacher ...tunaomba utufundishe Kwa sisi wageni hapa kuhusu kuzuia ku track simu yangu .mtu asiweze kuona nilipo au nchi nilipo

  • @BARAKA-ns3jv
    @BARAKA-ns3jv 3 месяца назад +18

    Sasa telegram itakuwa Haina uhuru tena maana pavel durov kakubali kuwapa polisi data za watumiaji kama wakizihitaji, tunaomba uwe unaleta na habari za teknolojia na uchambuzi ulio tukuka

  • @johnsonproductions254
    @johnsonproductions254 Месяц назад

    Yes

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +4

    Naisubiria kwa hamu, pia story kama hizi huyupa hamasa

  • @JamesMoses-bf4qj
    @JamesMoses-bf4qj 3 месяца назад +1

    Bro unajua sana

  • @abdullahsalim6508
    @abdullahsalim6508 2 месяца назад +1

    Nk wewe ni mwalim haswa professional

  • @NassorJuma-h6y
    @NassorJuma-h6y 2 месяца назад +1

    Tuna kukubali

  • @EmanuelSanga-y6d
    @EmanuelSanga-y6d Месяц назад

    Santeeee

  • @SamweliNzunda
    @SamweliNzunda 2 месяца назад +1

    Wow sijui n lin nam taiva cracking like thus

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  2 месяца назад

      Utaiva tu funga mkanda

    • @SamweliNzunda
      @SamweliNzunda 2 месяца назад

      @@nk-computertraining thanks sir lazima nikuje nkue kama D3F4ULT in NK company

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +3

    Adrian Lamo history ya huyu jamaa

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +1

    Bora hata wasingekamatwa

  • @SamwelRobeth
    @SamwelRobeth 2 месяца назад +1

    🙏🙏💯❤❤

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +4

    North Korean Lazarus Group nitaenda kujua hawa jamaa wanavunaje mpunga

  • @EmmaTembo-l7o
    @EmmaTembo-l7o 2 месяца назад +6

    Umeuliza Nini tumekifunza Mimi nimejifunza kutosema Siri yangu kubwa kwa rafiki yangu yeyote

  • @gudaguda2170
    @gudaguda2170 Месяц назад

    Wewe jamaa ni Anti-America, nimeona content zako. Kitu Unachotakiwa kujua ni kwamba teknolojia inaishi Marekani na kwa asilimia kubwa duniani waanzilishi wa teknolojia inayotumika duniani wanatoka Marekani. Na hii platform unatumia leo hii ni ya Wamarekani. Kwahiyo usiwabeze Wamarekani kwa kazi yao nzuri. Kwenye teknolojia wanajiweza na wako vizuri sana

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Месяц назад

      WooW unaonekana ni mchambuzi wa mambo big up ila mi ni mwanateknolojia hivyo hiyo kesi unayonipa ni kubwa unaijua CIA 😃

  • @is-hakaame
    @is-hakaame 3 месяца назад +2

    msimu wa mpunga kwa mdege😂😂

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +1

    The Carbanak Group na history ya waya jamaa

  • @RevinaNyamwezi
    @RevinaNyamwezi 2 месяца назад +2

    Nataman,napenda kujifunza kompyuta zaiad ila elim yangh la saba naomba kujua uwezekano upo?

  • @aristidesvedasto7855
    @aristidesvedasto7855 Месяц назад

    Watundu wa mitandao

  • @ETT3
    @ETT3 3 месяца назад +2

    Tuletee story ya Alexander Cazes

  • @briankarume4660
    @briankarume4660 Месяц назад

    Kaka naomba namba yako

  • @danielfrancy6097
    @danielfrancy6097 2 месяца назад +1

    Unaingiza na rafudhi unafanya somo Lina kuwa linavutia sana 😂😂😂😂

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  2 месяца назад

      Hahaha Asantee Mmakonde na mtani wake wamekutana 😃

    • @gmai446
      @gmai446 2 месяца назад

      ​@@nk-computertraining Kaka mbona form ya kujaza siioni hapo

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 2 месяца назад +1

    KUNA MKENYA ALIDUKUA BENK KUU YA UGANDA, KILE KIDUME AKASOMBA HELA DADEK

  • @suleimanmajani6187
    @suleimanmajani6187 2 месяца назад +1

    Huanaitwa. Edwadi. Sloden

  • @MetoIgotyou
    @MetoIgotyou 2 месяца назад +1

    Tupe ya Snowden hyo

  • @Kaka_Rambo
    @Kaka_Rambo Месяц назад

    Kaka nakupataje tuyajenge?

  • @stanleymsigwa9893
    @stanleymsigwa9893 2 месяца назад +1

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @CarlB52
    @CarlB52 Месяц назад

    Usiamumini mtu yeyote kumpa siri yako na ukiona ukinywa pombe huwezi kujiendesha unakuwa mropokaji achana na pombe kabisa😅

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 месяца назад +1

    Uzuri wa teknolojia kila sehemu inagusa

  • @PENTESTING122
    @PENTESTING122 3 месяца назад +5

    bro nicheki tufanye kazi nipo kwenye carrier than 4 year

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 2 месяца назад +1

    Leo ni mara ya 10 kuskiliza hii kitu

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 3 месяца назад +1

    BROO NAMBA YAKO YA WHATSAP