Jina la Yesu litukunzwe, na ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Amiel.katekela na wana promover wote, mungu amewachagua kuubiri injili hii kwa maana ni nyakati za mwisho, neema ya Mungu ipitayo vitu vyote iwe juu yenu milele, Amina
Halleluyaaa Songea kwa YESU nafurahi sana hii neema imefika “kunyumbi” barikiwa mtumishi Katekela.. asante Kaka Jactani. Songea iponee… gusa watu wako Bwana Yesu.
Mimi niko kenya kwa kweli amiel katekela nampenda sana kuna wachungaji kama huyu nivingumu sana kuwapata natamani sana niwe kama yeye ila mungu ndio mpanji wetu njina la yesu liinuliwe sana
Songea kwa Yesu Kristo, Tanzania kwa Yesu Kristo Mungu mkuu, Tito 2:13. Mtumishi wa Mungu nakupenda. Ufunikwe na damu ya Yesu daima na siku zote amen.
Haleluya Haleluya, Bwana Yesu tuakushukuru kwa kuifikisha neema hi hata Songea, sehemu iliyosahauliwa kabisa na watumishi wengi
Filberta ni wewe?
Mungu tusaidie mtumishi mwenyezi mungu akulinde
Jina la Yesu litukunzwe, na ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Amiel.katekela na wana promover wote, mungu amewachagua kuubiri injili hii kwa maana ni nyakati za mwisho, neema ya Mungu ipitayo vitu vyote iwe juu yenu milele, Amina
Amen baba Mungu akubariki sanaa..
KRISTO YESU akutumie kama apendavyo..
karibia nipasue vigelegele na makofi nyumbani mwa mwarabu❤❤❤🎉🎉🎉
Halleluyaaa Songea kwa YESU nafurahi sana hii neema imefika “kunyumbi” barikiwa mtumishi Katekela.. asante Kaka Jactani. Songea iponee… gusa watu wako Bwana Yesu.
Mimi niko kenya kwa kweli amiel katekela nampenda sana kuna wachungaji kama huyu nivingumu sana kuwapata natamani sana niwe kama yeye ila mungu ndio mpanji wetu njina la yesu liinuliwe sana
Mung akubaliki sana mtumsh
Amen Mungu akubariki mtumishi Amelia kwa ushuhuda wa kutujenga kiroho🙏
Amiiiiinaaa
Baba ubarikiwe
Mungu akubariki mtumishi
Ubarikiwe san mtumishi kwa neno mungu akubarki san
Mwenyezi Mungu akupe kibali ufike na mkoa wa Mtwara
Kiukweli injili ni tamu sana.
Mungu kwetu nikimbiliyo yetu
Utukufu juu
PROMOVER TV mbarikiwe Day 2 siioni
Ubarikiwe
Amen Amen Ameeeeen
Vifungo vya kichawi vinatengwa nami
AMEN
Amena
AMEEEEEEN
Amen
Naomba namba za mchungaji katekela
Mutafute ndugu Jactan kwa zile namba huwa zinapita hapo juu kwa screen atakusaidia namba.
Mtumishi mbona kimya sana sioni klip nyingine mpya
Amen
Ameeen
AMEN 🙏
Hapo ni matimira kanisa linaitwaje hilo
Ooooh Matimira kumbe kijijini kwetu kabisaa
EAGT Matimira
Mpango
Amen
Amen 🙏
Amen 🙏