Part 21a_MTU ALIYEOKOKA ANAWEZAJE KUISHI CHINI YA LAANA!?|USHUHUDA WA MCH.AMIEL KATEKELLA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 81

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 Год назад +1

    Bwana Yesu Kristo akubariki kwa ufunuo huo

  • @geoffreynguma
    @geoffreynguma Год назад +6

    Mtumishi ninakufatilia vizuri sana na ninakubaliana na injili yako na ninabarikiwa

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 Год назад +5

    Pole kwa changamoto maans wanadamu ni walewale hawaeleweki ila baba wa mbinguni anweza

  • @emelivaly1720
    @emelivaly1720 Год назад +2

    Amen muchungaji katekera be blessed thanks for telling as the truth bwana yesu akulinde na adui wanao kutafuta

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 Год назад +3

    Mungu aendelee kuibariki kazi yake unayoifanya na akupe siku nyingi za maisha ili uendelee kuifanya

  • @KONJABITZ
    @KONJABITZ 3 месяца назад +1

    Asante kwa elimu unayo toa

  • @fei3668
    @fei3668 Год назад +2

    Mungu tutunzie katekera wetu anatufungua🙌

  • @esterpeter8295
    @esterpeter8295 Год назад +4

    Amen! we are together our preacher, God bless you!

  • @AnnaNgobola-pm7fz
    @AnnaNgobola-pm7fz 8 месяцев назад +1

    Mtumishi wa mungu fundisha watu watakao wajulisha malibu wale wanaokutumia pesa ili wapate a
    Mani kuwa umepokea ubarikiwe sana

  • @restitutawilliam455
    @restitutawilliam455 Год назад +1

    Barikiwa sana Mtumishi

  • @VictoriaMachozi
    @VictoriaMachozi Год назад +2

    Mungu akupe nguvu mtumishi Amen Amen 🙏

  • @noxxete
    @noxxete 6 месяцев назад

    Sijafurahia hapo kwenye uisilamu, Yesu pekee ndiye njia, ukweli na uzima.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Год назад +1

    Baba mm nimekuelewa na umenifundsha na namshukuru Mungu sana huu ufunuo ni km niliupatq kitambo pale nilipolikqtqa jina la babu yangu laukoo maana ilibidi niitwe; GOSBERT GIDEON MWASI, MAANA BABU ALIITWA MWASI. LKN WAKAT NAJITAMBUA NILIKATAA NA HATA SHULENI NILIITWA GOSBERT GIDEON BAAAASIIIIII SASA KIFKA CHUO NKATAKIWA JINA LA3 NKAWAZA MWASI AKILI IKAGOMA NKAWEKA MUTASHOBERWA AMBALO NI KWANGU MPK LEO NA WATT WANGU MMOJA ANAITWA HAPPNESS GOSBERT MUTASHOBERWA NA WAPILI ANAITWA JANETH GOSBERT MUTASHOBERWA YANI NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA SOMO HILI LILIKOJA KWA WAKAT SAHH KWA AJILI YA MAISHA YANGU MAANA MAMBO YA BABU NKISIMULIWAGA NACHOKAGA ASE,,,,,, SO KATEKELA WW NI JIWE LA KUSAGIA NAKUITA HVO

  • @LotitukelaizaLotituke
    @LotitukelaizaLotituke Год назад +1

    Kwasasa makanisa wanawaombea watu kupata mali na kukemea umaskini ila haowaombei watu wakombolewe katika hizi laana je itawezekana je

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 Год назад +1

    Hiyo ni kweli mtumishi, ila mm naomba Mungu akulete Mombasa Kenya tu tukuone pia

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 Год назад +3

    Amina

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 Год назад +2

    Mungu abariki kazi zote za Mungu unazozifanya

  • @amishambar3418
    @amishambar3418 Год назад +1

    Amina ni

  • @EmanuelyjumaTimbula-hf7zu
    @EmanuelyjumaTimbula-hf7zu Год назад +1

    Akika Mungu amexhakubariki

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 Год назад +1

    Jamani Uwiiiiiiii wazaziwamejua kutukomesha

  • @YESUNIBWANA84
    @YESUNIBWANA84 Год назад +2

    Nimekulewa sana MWINJILISTI wa MUNGU Amen Amen 🙏 🙌

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 Год назад +2

    Amen nafwatilia

  • @FloridaSyombua
    @FloridaSyombua Год назад +1

    Hakika mungu akubariki

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 Год назад +2

    Enyewe ni kweli kabisa hupokei simu wala hujibu massage Niko Kenya hata nilifuta hiyo watsup...namuona Tu promover tv

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 9 месяцев назад

    Mchungaji naomba ufike tukuyu mungu akujalie na kukupigania

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 9 месяцев назад

    Nimukuelewa mtumishi mimi mmojawapo nilie kupgie sana Jana

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 Год назад +1

    Amina mtumishi

  • @raelnangila3006
    @raelnangila3006 Год назад +1

    Mungu akulinde sana muchungaji wamungu

    • @roidayoab9918
      @roidayoab9918 Год назад

      Wewe ni mtumishi wa Mungu kweli Yesu akubariki sana

  • @nyasabatubae2875
    @nyasabatubae2875 Год назад +1

    Ubarikie sana mtumishi

  • @BrillanKalegi
    @BrillanKalegi 3 месяца назад +1

    Amen

  • @angelalex8727
    @angelalex8727 Год назад

    Ubarikiwe sana mtumishi nimeelewa viziri sana

  • @JeremiaShimba-cq8mq
    @JeremiaShimba-cq8mq Год назад +1

    Mtu wa Mungu Bwana ni mwema? naomba kuuliza je kazi ya uanajeshi ni nzuri katika kuishi yampendezayo Mungu?

  • @musaondieki2493
    @musaondieki2493 Год назад +2

    Hata mmi mchu ngaji nakuitji sana mno you have to balance people

  • @rosajacquessimbenga
    @rosajacquessimbenga 3 месяца назад +1

    Nimekuelewa mtumishi mimi mmojawapo ninakupigia simu sana hila sijafanyikisha kuongea na mtumishi.

  • @elizabethsimbenga4773
    @elizabethsimbenga4773 Год назад +2

    Niko hapa naingoja

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Год назад +1

    Ameen

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Год назад +1

    Mtumishi,ubarikiwe! ila binafsi napata shida sana kuelewa.Nasumbuka.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Год назад +1

    Katekela m1 tu mitume wa Tanzania hii wenye marenjiii wanaingia 77

  • @RhianShauri-h8r
    @RhianShauri-h8r 4 месяца назад

    Jiwe kuu la pembeni ,uwe juu

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 Год назад +1

    True niliona Mtumishi but our God is in control

  • @thomasmmoka4884
    @thomasmmoka4884 Год назад +2

    Kwa Wakatoliki: Mch. Amiel Katekela anafundisha Dhambi ya Asili na Laana zake.Sakramenti ya Ubatizo,Ekaristi na Kipaimara huondoa Laana hizo.

    • @evermayala5817
      @evermayala5817 8 месяцев назад

      Sema masakramenti hayo hayatoshi maana dhambi inazoofisha utukufu. Hivo lazima kupokea masakramenti kutubu na kuacha dhambi.

    • @noxxete
      @noxxete 6 месяцев назад

      Uwongo mtupu huu. Damu ya Yesu pekee ndo huondoa laana zote.

  • @nelsondioniz4212
    @nelsondioniz4212 Год назад +2

    Niko pamoja nawe mtumishi

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 Год назад +2

    Sawa sasa mchungaji ukiongea hivi umuhimu sikuyajua tu haya unayoyaongea bali tunahitaji suluhisho. Baada yakutueleza hivyo je suluhisho nilipi? Tufanyeje ili tujiondoe katika laana hizi?

  • @FloridaSyombua
    @FloridaSyombua Год назад +1

    Huduma yako ni kubwa , wacha neema ya Mungu ikubariki

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Год назад +2

    Uwe na Amani tuu

  • @saradavirginia-kd7tn
    @saradavirginia-kd7tn Год назад +2

    Mungu akubariki ila umekuwa adimu kweli kweli

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Год назад +4

    Agano Jipya la Neema na Kweli lilikuja na lipo kwa ajili ya watu wote. Ktk Agano Jipya tunapata Neema ya Wokovu bure kwa njia ya Imani, tofauti na Agano la Kale ambapo wana wa Israel walipata Wokovu kwa njia ya Sheria. Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel, ambapo mwisrael akivunja sheria anakuwa chini ya laana. Ktk Agano Jipya mtu anaingia kwenye Agano kwa KUOKOKA. Ukiisha Okoka unakuwa umetoka ktk Laana. Laana zote zinafutwa kwa Damu ya Bwana Yesu Kristo. Unafutiwa dhambi zote. Unakuwa kiumbe kipya.
    Haya mafundisho ya kuwa mtu aliyeokoka anaweza bado kuwa chini ya laana, yanatoka wapi jamani. Hii ya Mkristo aliyeokoka kuiita quran kuwa ni tukufu; roho inayoukiri uislamu kuwa ni imani ya kweli ina asili kutoka wapi jamani?
    Kama mtu aliyeokoka anaweza kuwa chini ya laana, basi, Biblia inajipinga yenyewe juu ya kusudi na matokeo ya kazi kubwa na ngumu aliyoifanya na kuikamilisha pale Msalabani.
    Ndugu zangu tuwe na tahadhari, hizi ni siku za mwisho, kutakuja walimu wengi. Watadai walikuwa Kuzimu; walikuwa Mbinguni, n.k.
    Shetani-ibilisi ameanza kutumia mbinu mpya, amewaingiza watu ndani ya Kanisa la BWANA kwa sura ya kuwa ni watumishi wa Mungu. Tuwapime sana kwa Neno na kumwomba Roho Mtakatifu atafunulie, vinginevyo, tumekwisha.
    Ukishaokoka, huwezi kuendelea kuwa chini ya laana ya aina yoyote ile.

    • @georgettadavid6826
      @georgettadavid6826 Год назад +1

      Ukisha hokoka unatika katika laana ya dhambi lakini zile laana na agano ulizo wekewa wewe wakati ulikuwa katika dhambi no lazima uzivunje ndio zinavunjika hata kama ukiwa umeokoka na aujavunja agano na laana izo bado tu zitaendelea kukusumbuwa na kuzuiya mafanikiyo yako

    • @EliaMwaijumba
      @EliaMwaijumba Год назад

      Ukiokoka huwi chini ya laana laana zipo umeokoka ili uziondoe laana mfalme daudi anatubu mpaka zambi ya mama yake kuwa alichukua dhambi hatiani

  • @daphine8229
    @daphine8229 Год назад +2

    Mchungaji weka wasaidizi wa kukusaidia na record za calls, labda itasaidia

  • @JoachimAndrea
    @JoachimAndrea 4 месяца назад

    Jaman naombeni namna ya katekela

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 Год назад +2

    Nikweli mtumishi nakuelewa

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 Год назад +1

    Sasa tufanyeje mchungaji ili tujitoe katika laana hizi

  • @apostlezizi
    @apostlezizi Год назад +1

    Yani haya maagano yamenisumbua sana, sikuwa naelewa wakati tunashiriki kufanya ila matokeo ndio saa hizi yanaonekana,kizazi kimeisha tumebaki wachache mno

  • @AgnesKarara
    @AgnesKarara 8 месяцев назад +1

    Mtumishi naomba niombee ninataka maombi yako maana nitapona tu hata kama uko mbali naumwa ganzi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Год назад +1

    Ndo mjue kuwa watumishi huko nyuma walifanya uzembe

  • @vailetlemenya6576
    @vailetlemenya6576 Год назад +1

    🙏🙏🙏💪👍

  • @Lucykagz
    @Lucykagz Год назад +3

    Naam mtumishi nimekuskia ila sijakuelewa kuhusu dini ya uislamu kuwa ya kweli vp hapo? 🤔🤔🤔🤔

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад

      Uislam manake ni utakatifu, yani NENO UISLAM KISWAHILI CHAKE UTAKATIFU SO WAISLAM WANAPOJIITA WAISLAM MANAKE NI WATAKATIFU, MM NDO NILIPOELEWA

    • @Lucykagz
      @Lucykagz Год назад

      @@gosbertmuta5421 NAOMBA JIBU FROM KATEKELA HIMSELF KINDLY PLEASE 🙏🙏

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад

      @@Lucykagz basi nisamehe please

    • @Lucykagz
      @Lucykagz Год назад

      @@gosbertmuta5421 It's okay

    • @KHATIBUSENYE-ss3ok
      @KHATIBUSENYE-ss3ok 9 месяцев назад

      Jibu dogo tu wenzio waislamu wanafuga majini wanaita malaika ni kweli lakini ni malaika walio muasi mungu nasisi tunakemea majini na mapepo kwani yanatesa watu kupitia Hilo huwezi elewa sasa kuwa kumbe kunawatu Wana abudu shetani Moja kwa Moja na wakiomba hela wanapewa kwa ufupi mtumishi mshikilie Yesu ndo jibu

  • @Priska247
    @Priska247 Год назад +2

    Baba watu hawataki kuelewa tu ju umeeleza vizuri kuusu Kanumba ila watu hawasikiyi na kuelewa na shida ni hawa wasiojuwa ulimwengu wa roho uko

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 Год назад +2

    acha kufananisha biblia na kuruhani biblia inajitoshereza

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Год назад +1

    Acha kuwalisha watu wa Mungu matangopori kwa manufaa ya tumbo lako. Yale ya yuda eskarioti sasa yafanywa wazi. Kumbuka pazia la kanisa lilipasuka katikati, wote tu huru kujongea kwake.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад

      Pole na hakujibu na sisi hatukuelewi acha tuyale matangopori unaumiann apo

    • @PascalinaLaurent
      @PascalinaLaurent 3 месяца назад

      Funguliwa ndugu upone

  • @uwasedative-ol4eo
    @uwasedative-ol4eo 6 месяцев назад

    Ubalikiwe muncungaji

  • @SalimuLusingu
    @SalimuLusingu 8 месяцев назад

    ,) 7:27

  • @ElizabethChacha-r2g
    @ElizabethChacha-r2g 11 месяцев назад +1

    Sasa mchumgaji tufanyeje?tuna haja na wewe

  • @josephshuma1975
    @josephshuma1975 Год назад +3

    Tusaidie ufumbuzi sasa tufanyeje mtumishi ?

  • @njockjanes3897
    @njockjanes3897 Год назад +2

    Amina