SEEMU YA PILI / Ushuuda Wa MCH. KATEKELA Aliyekuwa Chifu Wa Wachawi Kuacha Fremason na Kuokoka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 73

  • @TuliyaKalunga9
    @TuliyaKalunga9 Год назад +5

    Amen amen unatukosha moyo.iposiku kanumba yesu atamurudisha duniani.

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 4 месяца назад +1

    Ubarkiwe mtumishi wa Mungu 🤝🤝

  • @CLEMENTMSOMBA
    @CLEMENTMSOMBA 25 дней назад

    barikiwa san mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏

  • @happymorce4541
    @happymorce4541 Год назад +4

    wokovu n jambo zuri sana bt wa2mishi wa uongo waabudu shetan n wengi sana😭😭😭

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 2 года назад +3

    Amina mtumishi hizi stly ambazo zimeingia makanisani watu wanajua wana mtukuza Mungu kumbe shetani. YESU tusaidie

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 6 месяцев назад +1

    Kuzimu wanaongea kwa kiarabu? Asante Mtumishi kwa mahubiri yako umenielimisha mengi ambavyo sikuyajua kabla Bwana aendelee kukubariki uendelezekazi zake🙏🙏

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 10 месяцев назад +2

    Mbona hii inaogopesha sana (Yesu atusaidie)

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 Год назад +1

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @wemambonge6256
    @wemambonge6256 3 месяца назад +1

    Mungu atusaidie

  • @judithonyango1449
    @judithonyango1449 Год назад +5

    Kwa ushuhuda wako mchungaji kwa kweli inanipaimani kubwa Sana

  • @joycekaphevemba7215
    @joycekaphevemba7215 2 года назад +8

    Kwa kweli huyu mtumishi siachi kusikiza ushuhuda wake maana kupitia yeye nimeinuliwa kiroho sana ! Hii channel na wahusika wake huewaga nawaombea saana maana najua shetani hafurahii kile mnafanya hapa ila kwa uweza WA Mungu lazima injili iendelee

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 6 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana

  • @HappyAnton-yv4ms
    @HappyAnton-yv4ms 2 года назад +2

    ubarikiwe sana Yesu aendelee kukutumia upendavyo

  • @RahmaKhamissi-dh5ie
    @RahmaKhamissi-dh5ie Месяц назад +1

    Amen amen papa

  • @EricMaingi-f8b
    @EricMaingi-f8b 5 месяцев назад +1

    Amen mchungaji

  • @joelegbert4343
    @joelegbert4343 5 месяцев назад +1

    Naona hapo wameondoa sehemu ya ushuhuda wa nini kilitokea baada ya mchungaji kusema huna mamlaka shetani, .... hapo ilipoanza "yalitokea majitu......."

  • @florencekasambula6497
    @florencekasambula6497 5 месяцев назад +1

    kweli kabisa tusiifatishe namna ya dunia hii

  • @carolynnelovy3473
    @carolynnelovy3473 Год назад +2

    God is good all the time and that is his nature 🙌

  • @janejerome-cq6gb
    @janejerome-cq6gb Год назад +2

    " mchungaji ananibarikia sana

  • @Muhammad-jy1vx
    @Muhammad-jy1vx Месяц назад +1

    Na kufaa nayo vipi

  • @joelegbert4343
    @joelegbert4343 5 месяцев назад +1

    hapo kwenye dakika ya 6.01 wamekata ....

  • @sharonwalubengo9507
    @sharonwalubengo9507 Год назад +4

    Huyu kijana aliyefanya amiel kuokoka siku moja mchungaji amtafute aki

  • @asteriamlelwa
    @asteriamlelwa 6 месяцев назад +1

    AMINA SAA
    AMINAAAA

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy 3 месяца назад +1

    Hawa wengine wasumbua si wafunge midomo wao

  • @rerisamba
    @rerisamba 2 года назад +2

    Watakatifu wa Bwana wameketi wanapendeza wakisikiza kutoka kwa Bwana

  • @AbrahamTafuna-fo8bs
    @AbrahamTafuna-fo8bs Год назад +3

    Watukama hawa kabra hawaja ruhusiwa kufanya kazi hii ya kushuhudia ilitakiwa wakae chini ya darasa kwa muda wa kutosha walishwe chakula vizuri kwani watukama hawa miaka ya nyuma waliibuka wengi lakini sasahivi hawasikikitena.Kwani tunaushahidi wa ki-Biblia kuwa hatakama mtu angetoka kuzimu ....watu siyo rahisi kuamini injili,mimi binafsi siyorahisi kusisimka na injili ya kuzimu bali mimi ninajengwa,kuimarishwa,kutakaswa,kuponywa,kuoshwa,kuhuishwa nk.kwa NENO LA KRISTO YESU NA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU WA KWELI.Siyousanii huu unaoendelea hapa inchini wakristo na watumishi iweni makini sana nahaya maonyesho mnayoyafanya sasahivi.

    • @zainabmohammed9917
      @zainabmohammed9917 11 месяцев назад

      Kwenda hukooo

    • @Tutindaga
      @Tutindaga 8 месяцев назад

      unamatatizo wewe

    • @shadrachkamyori9911
      @shadrachkamyori9911 3 месяца назад

      Haulazimishwi kuamini. Potelea kwenye dini zako huko. Kama haujui uchawi kaa kimya milele.

    • @Neemajolamokataly
      @Neemajolamokataly 2 месяца назад

      kama kwel ww umeshika kwel na iko ndan yako je kanisan kwen muna musif mungu achez je nafata utalatibu yote wa biblia musisuke nywele wala musiache vichwa wazi ibaadan wanawke wala nguo fupi pia shelia zot za mungu kua usiibe usizini usishundie huongo jilani yako wala usitamani kitu chajilani nyumba ngali au mke wajilan yako usisegenye je ayo yot niliyo taja unatimiza shelia zote usijione ww nimukamilifu apan w nibinadamu siyo malaika ndo mana mungu akatuletea watumishi wake watufundishe kwel ili ituweke ulu nauyu mtumish mungu memuokoa ili atufundishe sili za kuzimu ili tujue namuna yakuzikwepa nakujua binuzao we kama utaki Acha kipago wako ww taki kuamin ni ww siyo useme watu

  • @ويلماويلما
    @ويلماويلما 2 года назад +1

    mungu atusaidie

  • @jimyshabani5723
    @jimyshabani5723 2 года назад +3

    Shuhuda nyingi zinapatikana kwenye chanel ya 'promover tv' hapahapa youtube.

  • @dominikusfransisku1027
    @dominikusfransisku1027 2 года назад +2

    Ni atari sana

  • @umutesizainabu4828
    @umutesizainabu4828 Год назад

    Amen

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 года назад

    Aminaaaa

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Год назад

    Usidanganye watu hayo maigizo

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Год назад

      Miaka yoote anaigiza tu??pole saana

    • @8pistons194
      @8pistons194 Год назад

      Chifu wa wachawi tulia

    • @8pistons194
      @8pistons194 Год назад +1

      Tuache sisi tunaoamini tuamini

    • @Tutindaga
      @Tutindaga 8 месяцев назад +2

      hulazimishwi kuamini ndugu,we amini cha kwako ila ujue siku ukifa ndicho kitakachokuokoa na ile hukumu ya milele,kama huu ushuhuda wa Amiel unadhan ni uongo sawa acha wengine tuendelee kumsikiliza

    • @florencekasambula6497
      @florencekasambula6497 5 месяцев назад

      ​@@trophywilson7211😂ameisha

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 2 года назад

    Kafiri mkubwa wewe yesu ana chewo cha mtume soma yuhana 3/17 jitu zima unadanganya wafuwasi muongoo huyo musi kubli kudanganwa

    • @annambezi6226
      @annambezi6226 Год назад +2

      Pole sana ndugu. Yaani bado huelewi Kweli? Au ni walewale

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Год назад +1

      @@annambezi6226 hahahaha anaelewa vizur huyo anajisahaulisha wanajua shughuli la Yesu hawaachagi Salama wakiingia kwenye anga zake

    • @sharonwalubengo9507
      @sharonwalubengo9507 Год назад +1

      Umeguzwa kafiri ni wewe ushidwe kwa jina la yesu

    • @frankbella4271
      @frankbella4271 Год назад

      Hata kuandika haujui et yuhana

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 Год назад +1

      Hamza usicheze na yesu utakufa Huyu yesu ni kiboko ya wachawi ni mungu asie linganishwa na yeyote hivyo nyamaza

  • @joesikaluzwe4218
    @joesikaluzwe4218 8 месяцев назад

    Amen 🙏🙏

  • @NelsonAbel-tq9zj
    @NelsonAbel-tq9zj Год назад

    Amen

  • @Muhammad-jy1vx
    @Muhammad-jy1vx Месяц назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏