Awesome speech!! Unatosha na kupitiliza!! I think u deserve more than this ,, mark my words!! Kila la kheri!!mimi ni simba dam dam, but hili ni la kizalendo💪💪💪
Hongera sana Rais wetu wa Tanzania mama Samia Kwa kuupa heshima mchezo wa mpira na kuipa heshima kubwa Yanga African. Pia hongera nyingi imuendee Rais wa Yanga African na bench la ufundi na wachezaji wote.
Nakuona kwenye teuzi siku zijazo Engeneer Hersi akili Yako busara na utulivu ulionao mkubwa sana una kitu hata zaidi ya mafanikio tuliyoyapata Kwa YANGA hongera sana
Hongera sana Mhe Dr Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio makubwa mbalimbali ikiwemo kutubust katika Michezo yote ikiwemo kuifikisha Fainali Yanga.
Hilo la Yanga SC, kuwa ya kwanza NI TANGO PORI. SISI AMBAO TULIKUWA WAKUBWA 1993, Tunayo kumbukumbu ya Simba SC kucheza fainali za CAF. YANGA SC ni team ya pili kufika fainali sio ya kwanza
Moja kati ya hotuba maridhawa sana kutolewa katika dhifa za michezo ambayo imeandaliwa na uongozi wa juu kabisa wa nchi yetu ya Tanzania. 👉Tunamshukuru sana kwa ajili yako Engineer Hersi Said pamoja na wajumbe wote wa bodi ya timu yetu, Dar.Young Africans S.C, benchi lote la Ufundi, viongozi waandamizi wa timu/ klabu, wachezaji wetu wote, wanachama, mashabiki, wadau wote wa michezo kwa ujumla & ki-pekee sana kwa mdhamini wetu mkuu, GSM. 👉Mungu akujalie kila la kheri Mheshimiwa Raisi wa Yanga, Engineer Hersi &
Aibu kubwa sana, halafu kiongozi mkubwa kama Hersi badala ya kuonyesha kuchukizwa anaongezea na kumpa jina zuri TOTO TUNDU🙄haya ndio mambo Fei anatuelezea
Hersi unajua kujistate......hongera Rais WA Yanga
Morrison umenifurahisha sana aisee❤️🤣🤣
Awesome speech!! Unatosha na kupitiliza!! I think u deserve more than this ,, mark my words!! Kila la kheri!!mimi ni simba dam dam, but hili ni la kizalendo💪💪💪
Yanga super star all de wag from Algeria
Ongela sana tena sana benad murson umejuwa kuwapa furahah wote kwa pamoja
Ajatia aibu amenogesha na kufurahisha iyo ni sherehe why asiwe na furaha ndo mana unaona watu woote wamefutahi na hata raisi kafurahi sana
Mnooooo
Sure , amesherehesha vizuri
Safi sana kaka,rais wetu yanga ninamba moja
MORRISONI NIMCHEKESHAJI UMECHANGAMSHA UKUMBI HONGERA ZAKO.
Yanga hongera Sana na Rais Samia tunakushukuru Kwa motisha wa Hali na Mali
If I die and come back again I will live in Tanzania 🎉
Hongera sana Rais wetu wa Tanzania mama Samia Kwa kuupa heshima mchezo wa mpira na kuipa heshima kubwa Yanga African. Pia hongera nyingi imuendee Rais wa Yanga African na bench la ufundi na wachezaji wote.
Morrison mtundu Sanaa kajua kutufurahishaa daaaa
Mnooo. Kachangamsha
We acha tuu hadi mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasani amecheka.❤❤❤❤
Eng. Hersy Yuko vizuri,,,,,!!!
Kanogesha sio katia aibu assnte kwa kutupa raha Yanga ni raha tupu
Hongereni watani
Saf Kiongozi wetu mpendwa💚💛💚💛🙏🙏🙏
Mama ni mama,Asante kwa hamasa mama.
Nakuona kwenye teuzi siku zijazo Engeneer Hersi akili Yako busara na utulivu ulionao mkubwa sana una kitu hata zaidi ya mafanikio tuliyoyapata Kwa YANGA hongera sana
Mungu ni mwema aendelee kuwalinda na kuwaongoza waendelee kufanya vzr zaidi
Aibu gani sasa ndo wale wa simba roho mbaya tu acheni wivu
Hongeren sana wananchii❤
Ishi baba rais wetu miaka💯
NAMI,nipo,pamoja,na,wewe,Samia,mungu,amlinde,hishahaaalhaa
Gifted man
Kalala respect to u bro from .🇨🇩
Best speech ever from president of young Africans, I didn't understand speech of kariah president of TFF was so poorly
Kwakweli anaemchukia mama wa watu na aende motoni....Hakika jina la Samiah Suluhu nitalikumbuka daima maishani mwangu.
Hongera sana Mhe Dr Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio makubwa mbalimbali ikiwemo kutubust katika Michezo yote ikiwemo kuifikisha Fainali Yanga.
Hongera sana hangs
Raha sana
Hahahahaaaa....Morrison kichwa bangi jamani Mungu akuweke Toto tundu
Jamani Golikipa Bora au alikua mchezaji Bora wa mechi ile
Goli kipa bora na mchezaji bora
Keshatangazwa hukooooo...
How i wish to be a Tanzanian,,,mko bora kabisa
Karibu...wewe ni ndugu
Yanga good
nawapenda Yanga sanaaaaaa jamani Morson jamaniiiiii napata raha sanaaaaa
Kwann hujakua muigizaji ww
Labda mlikuwa mmelewa ndio maana hamkujua kutua. Mruhusu Fei Toto aondoke.
I like your work
🙏🙏🙏🙏 daima mbele nyuma mwiko oyoooo
You deserve respect my brother
This powerful speech
Video. Mpya dini
Rozi. Mhando
Rose. Mhando
Rozi. Mhando
Nyimbo mpya za dini
Special apeach nzuri asate
Hilo la Yanga SC, kuwa ya kwanza NI TANGO PORI. SISI AMBAO TULIKUWA WAKUBWA 1993, Tunayo kumbukumbu ya Simba SC kucheza fainali za CAF. YANGA SC ni team ya pili kufika fainali sio ya kwanza
Tusidanganyane ile ilikuwa Abiola cup. CAF Wenyewe hawayatambui hayo mashindano
Powerful speech, well done
Saf Sana Morrison✊
Mi nimependa sana kwa hotuba nzito na nzuri ya mh. Rais wa Yanga heshima nyingi sana kwako
Huyo ndio toto tundu norrson 😂😂😂❤❤❤
Haswaaa limeongeza furaha ❤❤❤
Yanga oyeeeeee
Asanter Rais wetu wa Yanga kwa hotuba nzuli sana.
Moja kati ya hotuba maridhawa sana kutolewa katika dhifa za michezo ambayo imeandaliwa na uongozi wa juu kabisa wa nchi yetu ya Tanzania.
👉Tunamshukuru sana kwa ajili yako Engineer Hersi Said pamoja na wajumbe wote wa bodi ya timu yetu, Dar.Young Africans S.C, benchi lote la Ufundi, viongozi waandamizi wa timu/ klabu, wachezaji wetu wote, wanachama, mashabiki, wadau wote wa michezo kwa ujumla & ki-pekee sana kwa mdhamini wetu mkuu, GSM.
👉Mungu akujalie kila la kheri Mheshimiwa Raisi wa Yanga, Engineer Hersi &
❤😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga Safiii 🙃😊
Safi sana injinia kwa hotuba makin
Kweli Tanzania inaweza kuchwza mungu ibariki Tanzania
siasa noma watu wanatafuta njia ya kampeni
Kipa Bora wa mashindano 😢😢😢😢😢😢😢 kweli hamnazo
Mkumbeke tulitangaziwa uchumi wa nchi umeshuka lakin kuna mnada wanauza goli moja milion 20 da hii ndo bongo
Aibu kubwa sana, halafu kiongozi mkubwa kama Hersi badala ya kuonyesha kuchukizwa anaongezea na kumpa jina zuri TOTO TUNDU🙄haya ndio mambo Fei anatuelezea
Wakati nyie mkimsifu kanoute kwa ubaya na uwanjani na kumuita Putin huwa mnajiakiaje
Ebu tuliza kundu Hilo choko wewe
Ya kwanza kuvaa medali ya caf ni Simba
Waziri wa michezo wa baadae
Morrison aliuza akili😂😂😂
well done my yanga
All da best
Chapakazi baba kwa ujasiri♥️♥️
Huyu molison mwacheni mungu atamsaidia..
Si tunapata tabu nyinyi mnaharbu pesa afu mnasema hamna pesa
YANGA OYEE OYEEEE
Waoooooooooo
Hongerani
Sawa lkn fei Toto yupo huru
Yanga hoyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Morisoni kaleta raha sanaa sema huyu mwandishi ana uandishi wa chuki
Umeona eee, maana hadi mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasani amecheka ❤❤❤❤❤
Yaani Morison
Hii ndo Yanga bwana.
I love young Africans I olive diarra I love you mayele
USM ALGER oyyeeeee,, leo utopolo wanajipongeza Kwa medali huku duh!!
Yanga noma
Nice
Safi sana morrson kutufurahisha 😂
Acheni ujinga bana Moriison alichangamusha bana.
We love the greatest team knowns Yang African
Hongereni sana
Kwau shauri TU fei toto Rudi nyumbani kumenoga shauriyako
pita na kwangu uone vichekesho vyangu
Congrats president
Nyie hampig makofi ni simba?kwani mliambiwa mje
Kwan lazma???
Patakatifu Mbinguni tuu rekebisha kauli
Alafu zamu yake kagoma kusimama
Huyu Morrison huyu 😁😁😁
❤
Hv morrison co mzima au??😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga haoooooo
❤❤❤❤❤ yanga
Another One
Mama katoa fundisho kwenye timu zingine apa nchini
Morrisson ameshindikana 😅😅😅😅😅
Yaan yanga raha sana
#huyo Morrison mnala umeyumba
Lakini Morrison Bangi zake daah
💚💛
Ni vizuli sana
Molisoni akaona ahaa hawanioni sasa nikusimama popote
❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Morison wee nyoko sana nimecheka kama chizi
Yanga bado mdogo sana simba bayao
Jamaa anajua uwasilishaji
anavyoongea sasa mpk nime fall in love kwakwel 😊😊hakurupuki hata kidogo
Ukahaba huo😂😂😂
@@catherincharles345 🤣🤣🤣🤣