This is great to our Country actually Tulia you are very fantastic lawyer according to your representation you did in the House my MP and my Speaker and now our President of IPU CONGRATULATIONS 👏
Barikiwa tena Barikiwa kwa kuibeba Tanzania na kuionyesha kwa mataifa. Wewe ndiye Raisi wa mabunge duniani. Kwangu binafsi namtukuza Mungu katika Jina kuu la Yesu Kristo. Kama lilivyo jina lako. Tulia miguuni pa Yesu ili upate zaidi.
Mhe Tulia na kweli umetulia Kama jina lako. MUNGU AKUBARIKI umalize KIPINDI vema. Utakuwa na uzoefu wa kutosha KUCHUKUA URAIS Tanzania baada ya Mama Yetu 2030. Mazuri yachukuwe ulete kwetu Tanzania. AMEN
Hongera Sana kwa verry nyce speech with confidence .Hakika unastahili hiyo nafasi .Mungu akufanikishe sana uzidi kung'aa na kufanikiwa sana katika hiyo nafasi ukizidi kupanda viwango
Mabali na kwamba Nabii hakubaliki kwao pia ni kwamba mara nyingi Nabii hafanyi vema sana kwao kumpelekea kutokubalika San kwao! Sijui ni kwa sababu ya kuzoeana kindugu na urafiki???
Hongera Spika wa Bunge la Dunia umeonyesha Ujasiri na Elimu kwamba Umeelimika sio kusoma tuu umetuletea HESHIMA kubwa Tanzania Ukaishi uliyoyasema Hongera sana.
Ivi kwa nn baazi ya waafirika huwa hatutumii akili zen ukiwemo wewe unaokoment ujumbe Kama huu kwa tulia na Wala sio kwamba unampenda kweli tulia Bali tu jinsi gani unavyojikosha kwake na kumng'ong'a kwa nyuma na jinsi gan ulivyolikatili una roho mbaya ivi kwamfano tu nikuulize swali unaweza ukanitajia hata moja wapo alilofanya tulia wanalomsifia nalo na Kama kweli tulia unampenda kwa zat usingekomenti maneno ya unafikir kwa mfano unaijua Barbara ya isesyie jimbon kwake au ndio akinanyie ambao hamjui uchungu wa Maisha ya wat wa chin mnatembelea veit Mimi nikushauri tu usiwe mafiki na hata hapo ulipo zamila inakushitaki kabisa uwe na upendo wa kweli l
Tulia Ackson ni kichwa sana lakin January makamba is a powerful writer especially when it comes into public speech. Hiyo combination ilikuwa lazima ilete matumba ya ushindi.
I developed goosebumps as I listen to your speech, the speech of our own child of our beautiful country Tanzania 🇹🇿 ❤ Bravo 🎉🎉🎉
Hongera Sana madam tulia ackson mungu akulinde na akutunze ,na akuongoze katika majukumu yako,,hakika mama tunakuamini
Asante na hongera spika wetu Kwa kuongea Kizungu vema. Upewe maua Yako!!
This is great to our Country actually Tulia you are very fantastic lawyer according to your representation you did in the House my MP and my Speaker and now our President of IPU CONGRATULATIONS 👏
Our Super Speaker all the way from Tanzania in East Africa.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Much appreciation to Tulia Ackson for good speech ..am.speechless to you 🎉🎉🎉🎉❤❤
Barikiwa tena Barikiwa kwa kuibeba Tanzania na kuionyesha kwa mataifa. Wewe ndiye Raisi wa mabunge duniani. Kwangu binafsi namtukuza Mungu katika Jina kuu la Yesu Kristo. Kama lilivyo jina lako. Tulia miguuni pa Yesu ili upate zaidi.
Amen
Amina
Amen
Mhe Tulia na kweli umetulia Kama jina lako.
MUNGU AKUBARIKI umalize KIPINDI vema. Utakuwa na uzoefu wa kutosha KUCHUKUA URAIS Tanzania baada ya Mama Yetu 2030. Mazuri yachukuwe ulete kwetu Tanzania.
AMEN
Hongera Africa Mashariki,hongera speaker wetu wa Tz.Umenipa sababu ya kujidai
Ongera Sana Tena Sana dadaangu mpendwa mungu akutunze na akuzidishie umri mlefu kiukweli nimefulai mno
Safi Sana Tanzania inahitaji viongozi Kama wewe hongera sana
Hongera Sana kwa verry nyce speech with confidence .Hakika unastahili hiyo nafasi .Mungu akufanikishe sana uzidi kung'aa na kufanikiwa sana katika hiyo nafasi ukizidi kupanda viwango
Napenda sana busara zako dadawewe❤.utafika mbali sana MUNGU akuinue sana ❤
Thanks Dr. Tulia, God bless you..
HONGERA SANA TULIA!!! AKIKA MUNGU ALIKUWA PAMOJA NA WEWE!!!
7:13 Tanzania to the world, Congratulations Dr. Tulia
Hongera sana! Mungu akulinde .Sifa kwa Bwana ,hongera !
Hiki ni kichwa wala si utani, hongera Tulia Mungu akulinde.
Weweeeeeee!!!!! Mama yetu weeeeee TULIAAAAS
Tanzania is wealth of these mineralized people,thanks Tanzania
Asante mungu kwa uzima huuu mubariki sipika wetu
TANZANIA 🇹🇿 is so much proud of you
Tanzania ❤mngu aibariki Tanzania 🇹🇿♥
I agree your the PhD loyal and we thank SamiaSuluhu Hassan chosen you to be speaker of National Republic of Tanzania
❤❤wonderful speech hongera sana Dr. TULIA
Nabii hakubaliki kwao! Mungu akubariki madam Spika wetu ❤❤
Mabali na kwamba Nabii hakubaliki kwao pia ni kwamba mara nyingi Nabii hafanyi vema sana kwao kumpelekea kutokubalika San kwao! Sijui ni kwa sababu ya kuzoeana kindugu na urafiki???
Hongera Sana Mama! Proud of You! Keep it up! MUNGU AKUONGOZE ZAIDI NA ZAIDI NA AKULINDE.. AMEN🙏🇹🇿
She killed it. Bravoo
hongera sana mh.Tulia kwa bonge la speech hakuna kinyakyusa hapo kama umechomolewa london ktkt ya mji
My Speaker Tulia thankful for good representation❤
Proud to our super woman, super speaker Tulia ❤
Hongera Spika wa Bunge la Dunia umeonyesha Ujasiri na Elimu kwamba Umeelimika sio kusoma tuu umetuletea HESHIMA kubwa Tanzania Ukaishi uliyoyasema Hongera sana.
Sana sana hyu kweli ametulia kama jina lake❤
I really appreciate your commitment Dr Tulia
Umenigusa sana moyo wangu.You gave a speech that every body could have lots of trusts in it.Thanks and I wish you all the best in your newpost.
Thanks madarm speaker
Bravo Tanzania yangu 🇹🇿💪
Congratulation Madam Tulia Allahu blessing you and protecting
Uko vizuri kwa ng'eng'e tulia
Hongera sana gwa kumitu ,Mingu akubariki sana nskupmbea sana uendelee kuwa mshindi na kutangaza ukuu wa Mungu.mimi Askofu
I like your speech madam tulia, hope God will bless you n win
Tulia Nguvu Moja
We love you so much 💗
Despite what people say about Tulia in Tanzania,that speach was well written,spoken and presented.Congratulations.
AS WOMEN ACHIEVE POWER THE BARRIERS WILL FALL 👍👍👍👍👍
Hongera sana sana Speaker wetu Mungu akutunze na Akupe nafasi hiyo kwa Jina la Yesu Kristo awafanye watu wote wauone uwezo wako na ufanikiwe
Amen and amen.
Ivi kwa nn baazi ya waafirika huwa hatutumii akili zen ukiwemo wewe unaokoment ujumbe Kama huu kwa tulia na Wala sio kwamba unampenda kweli tulia Bali tu jinsi gani unavyojikosha kwake na kumng'ong'a kwa nyuma na jinsi gan ulivyolikatili una roho mbaya ivi kwamfano tu nikuulize swali unaweza ukanitajia hata moja wapo alilofanya tulia wanalomsifia nalo na Kama kweli tulia unampenda kwa zat usingekomenti maneno ya unafikir kwa mfano unaijua Barbara ya isesyie jimbon kwake au ndio akinanyie ambao hamjui uchungu wa Maisha ya wat wa chin mnatembelea veit Mimi nikushauri tu usiwe mafiki na hata hapo ulipo zamila inakushitaki kabisa uwe na upendo wa kweli l
Unasema ubarikiwe kwa lipi watu kuharibu bajaji zao au magari yao kwa kugonga mashimo ya Barbara ya isesyie Kwanza unanifaham sasa au unaisikiaga tu
Mnapongezana ujinga poooleee
Hongela cn dd .zao olojon la Tanzania j hongela cn
Tulia Ackson ni kichwa sana lakin January makamba is a powerful writer especially when it comes into public speech. Hiyo combination ilikuwa lazima ilete matumba ya ushindi.
Hongera sana tulia kweli umetulia mnooo
Hong era sna.nauna kingereza kizuri sana.naomba upambae Tanzania tujue pia
Jembe letu hongera mama
Very intelligent,great speech!keep it up👍👍votes!votes!
Mama Tulia Ackson from Tukuyu Bulyaga Mbeya Tanzania Rungwe!! Piga kazi mama
Uyu mpika nampenda sana hanago mambo ya kujipodoa ❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana Tanzania Juuuuu !!!! Juuu zaidi!!!! Thanksssssss
The Most Best Speaker in Tanzania
Great speech
nice speech first confidence Lady in TANZANIA
Congratulations Dr Tulia for a nice confidence❤🙏
Wow kudos to you madam president of the IPU
Woww genius Lady may GOD GUIDE you for your new nob bravo
Uko vzr mam
Hongera Tulia Ackson, hongera Tz. Utajifunza mengi huko, kuhusu demokrasia.
Congrats we are proud of you us Tanzanian
Hongera sana Mh. Speaker kwa kutuwakilisha vyema
I agree your the PhD loyal god bless you.
waoooooooooooooooowh ..................
Hongera sana
Mungu wa mbinguni akutunze damu ya yesu ikufiche na waovu wote mungu bariki Africa mungu bariki Tanzania Amina
Good speech ,,,congratulations president of IPU
We are late, but let English be a leading language in our country,like Kenya,it brings more respect
Epukana na utumwa wa fikra.
Tanzania Nchi yangu Ilishabarikiwa sana!!
More congratulations for a good speech
WE ARE PROUD OF YOU TULIA . BRAVE AFRICAN WOMAN. WE STAND BY YOU.
Congratulations for the powerful speech,you'll go far
Saaaana 🌹🇹🇿🌹🇹🇿🌹🙏
According to your Speech Dr. Tulia🇹🇿 DESERVE THE IPU PRESIDENT CHAIR...👏👏👏
Hongeraaa sanaaa spikaaa wetuuu !!!! ❤❤
Very proud
viva Tanzania 🇹🇿 ♥️
Kumbe!kumcha Mungu ni mwanzo wa maarifa (MLOKOLE)
Barikiwa sanaa.hujawai kunifelisha mamaangu nakuaminia 100%
Strong lady
Mungu niMwemaaa Daima ,Tubariki
Hongera sana Mungu ajutunze
You're a winner my sister
Kumbe upo vizuri haloo sikutegemea umefanya good presentation nakuombea ufanikiwe amen amen amen.
Congratulations Dr Tulia for a nice speech 👏🏻👏🏻
Tukubali 2
GOD BLESS U MHESH TULIA
Congrats madam
Proud of you madamTulia.
Hongera sana Mheshimiwa.
welcom 🇹🇿Tanzania bunju b, Dsm.
We are proud of you 🎉
God bless you Rais turia
Matunda ya uvumirivu ! Mshukuru mungu sana !
Woooow mama yetu kutoka Mbeya Tukuyu in the world
Congratulations ms turia for the good speech. Go tzs go
Uchok kumsikiliza mashallah ❤❤❤❤
Nice presentation,nice speech it is mavelaz
Nimekubali uwezo wake wa kuongea hata saa nzima anatema points. Hongera sana
She was reading a prepaid document number of days by some body else😢
Mungu akulinde ushinde taifa uliinue
Congratulations.