STEVE NYERERE AAHIDI KUMSOMESHA MTOTO WA MAREHEMU FREDDY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии •

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko Месяц назад +38

    Ila wasanii wa bongo move mtunzeni uyu stive anakitu

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 Месяц назад +5

    Steve ana mengi mazuri na muhim...mungu ataendelea kumpandisha juu zaidi na zaidi...

  • @evelynesemiti5109
    @evelynesemiti5109 Месяц назад +3

    Steve mungu akupe maisha marefu uwe mfano wa kuigwa una upendo sana.mungu akutunze.

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад +3

    Stive nakuelewaga sana na nakupenda, wewe ni kiongozi.
    Hata bungeni unafaa, Mungu atafanya cku moja uwawakilishe bungeni.

  • @TumainiMedason
    @TumainiMedason Месяц назад +1

    Stive Nyerere nakukubali sana kaka, una moyo wa kipekee sana, una moyo wa kujitoa sana hasusani kwenye majanga kama haya na umekuwa mwepesi sana kusimamia vitu kama...una kitu kikubwa unastahili mama samia akuangalie

  • @SaidatiKashindi
    @SaidatiKashindi Месяц назад +3

    Allah akupe maisha marefu steve

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Месяц назад +1

    Steve mungu akupe maisha marefu kaka angu

  • @EdithaJoseph-x6n
    @EdithaJoseph-x6n Месяц назад +1

    Stive mungu akuweke Kwa ajili ya Tanzania /nchi yetu .

  • @ZulfaMangapi
    @ZulfaMangapi Месяц назад +7

    Stev Ana moyo wake mung akutunze

  • @PamelaHezron
    @PamelaHezron Месяц назад

    Ila steve MUNGU akubariki kazi yako ni kubwa

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Месяц назад +2

    Ila jamani tuwe wakweli,,,kuanzia mwezi wa 10 kuja mbele,,vifo vimefululiza jamani,khaa ,mpaka unaingia na wasiwasi,,mi ntaumaliza kwel uu mwaka..

  • @dochoonlinetv
    @dochoonlinetv Месяц назад +4

    kwa hili nawapa congole san waigizaji wa bongo mov.. yani wana umoja sana

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Месяц назад +1

    Kumbe machawa wanalipwa vizuri,yuko vizuri,mata kolea,lesho amekuwa mwlimu atasomesha yatima.

  • @dochoonlinetv
    @dochoonlinetv Месяц назад +8

    steve nyerere mungu akuweke sana

  • @DavidMarcobushini
    @DavidMarcobushini Месяц назад +1

    Huyu jamaa kama chizi😅😅lakini anakitu kanyoka ndyo maana wengne hawamuelew

  • @josephinecletus9310
    @josephinecletus9310 Месяц назад +1

    E!!! Steve leo kaongea vzr jaman

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 Месяц назад

    Steve ukubali busara na ungwana na pia haki ya wenye jina la Nyerere. Atumie a.k.a. na sio kama anavyolitumia sasa. Una kitu chenye maslahi mapana zaidi ya hapo ulipo.

  • @JeannetteNyabitanga
    @JeannetteNyabitanga Месяц назад

    Powa sana stive

  • @SalomeKimario
    @SalomeKimario Месяц назад +2

    Kwel Mungu akutunze steve

    • @FatumaVicent-o6p
      @FatumaVicent-o6p Месяц назад

      Jamn Fred alkua na kipaji na alikitendea hak polen

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Месяц назад +1

    InshaaaAllah. Panasonic Uhai

  • @blandinamatagi6723
    @blandinamatagi6723 Месяц назад

    Mungu akutunze

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha Месяц назад

    Kabisa 🙏🙏🙏🙏

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy Месяц назад

    VIPI KUHUSU ZIMWI, msaidieni jamani MAANA anaumwa SANA.

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад +2

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki, poleni sana wasanii.

  • @RahmaGombo
    @RahmaGombo Месяц назад

    Polen Sana sfal nimoja

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod Месяц назад +1

    Nampenda sana stive ana hekima na busara🥰😂

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola Месяц назад

    Stivu menger

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz Месяц назад

    hili limeniuma sana ewe MUNGU nisaidie

  • @RehemaSaid-rg5mr
    @RehemaSaid-rg5mr Месяц назад +2

    Uyu stivu anakitu atafika mbari

  • @HUpendo
    @HUpendo Месяц назад +1

    Stivuu apewee cheoo jamani anakili mnooo

    • @G24TZ
      @G24TZ Месяц назад

      Labda apewe cheo la kuchangisha siku ya msiba wako

  • @Josephinalucas-j3f
    @Josephinalucas-j3f Месяц назад

    Izo ahadi huwa zinatimizwa kwel au huwa wanaongea ili wajulikane?

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku Месяц назад

    Chapombe

  • @OliverAndrew-ob1vn
    @OliverAndrew-ob1vn Месяц назад

    Mungu akubariki sana stivu

  • @MussaHaruna-s5n
    @MussaHaruna-s5n Месяц назад

    Rip fredy

  • @SalumContawa
    @SalumContawa Месяц назад

    Daaaah kanyoshaaa mnooo

  • @ewardkisaki7632
    @ewardkisaki7632 Месяц назад

    Asee

  • @HidaHilidaa
    @HidaHilidaa Месяц назад +1

    Ni mtu anae jielewa mtu wa watu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Месяц назад +1

    Mama muone steve yupo vxr sn

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y Месяц назад +1

    Sijaona maana yakumuita stive suruhu coz uyu jamaa samtaim anavyoongea ni full comedy hana maongez sirias

    • @restutacostantine50
      @restutacostantine50 Месяц назад +4

      Pole ujaona Kila mtu anamsifu stive ww mmoja tuu ndo unamponda

    • @YasserSuleiman-s5y
      @YasserSuleiman-s5y Месяц назад

      @restutacostantine50 sasa kwann ni lazma mumuite majina ya viongozi kuna ulazima gani atujakataa ana kipaji angetumia logo yake tu

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад

      ​@@YasserSuleiman-s5yni utani mana hua anamtetea rais samia au hujui 😅

  • @aggreykwilabyanoni1581
    @aggreykwilabyanoni1581 Месяц назад

    Steve Mengele

  • @DeborsJoseph
    @DeborsJoseph Месяц назад +2

    Steve mbinguni una kiti chako unaupendo wa Hali ya juu

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw Месяц назад

      Lbd awe musialm lakn akifa kwa dini isiyo kuwa ya kiislam bs mkao yake motoni

    • @LucyMwari-bk9pt
      @LucyMwari-bk9pt Месяц назад

      Ata ww utaenda motoni​@@nikrahayubu-sz3pw

    • @PaulinaLunyonga
      @PaulinaLunyonga Месяц назад

      😛😛😛

    • @amonalexander1513
      @amonalexander1513 Месяц назад

      ​@@nikrahayubu-sz3pwMmh nyie mliofika mbingun mnashida kwelikweli,ujui chochote bali subiri zamu yako.

    • @amonalexander1513
      @amonalexander1513 Месяц назад +1

      ​@@nikrahayubu-sz3pwtafikili wewe ndio huko mapokezi huko mbinguni

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda Месяц назад +3

    Mr kiherehere

  • @mussababu5623
    @mussababu5623 Месяц назад

    Kama Lowassa alimtelekeza Mtoto wa MAWAZO akashindwa Timiza Ahidi ya Kumsomesha Binti yake.Steve Nyerere aweze kumsomesha mtoto au atalipa Ada baada ya muda atapotezea.Let Wait and See.Niko palee Nimekaa

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa Месяц назад

      Ataaa akiongezeaaa adaa kidgoo inatoshaaaa

    • @MariaShehemba
      @MariaShehemba Месяц назад

      Akishindwa wewe upo utamsaidia kumalizia