ITAKUTOA MACHOZI; MANENO YA UCHUNGU YA JB MSIBANI KWA FRED

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 Месяц назад +9

    Dahhh pole sana bro Ritchie au single mtambarike hakika umeumia sana kumpoteza mtu uliyemuandaa

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Месяц назад +2

    Siri ya maisha na uzima wa mwanadamu, anajua Mungu. Muda wa kuishi si kanuni ya umri, anajua Mungu. Fred amekufa mdogo. Hata katika hili Mungu Bado ni Mwema.

  • @FlorahRuwa
    @FlorahRuwa Месяц назад +4

    😢😢😢Ee mwenyezi Mungu uliye mwingi wa Rehema, tusamehe sisi wakosaji na utupe mwisho mwema 😭😭😭😭😭 Go well dear Fred 🕊️🕊️🕊️💔

  • @SuzanKabika
    @SuzanKabika Месяц назад

    Yaani jaman mbona ivi lakini kila siku tunalia juu ya wenzetu,Mungu wetu tuhurumie sisi waja wako pole kaka rich mtambalike pole famila pole wazazi na watoto wake na mke wake,poleni sana jaman sina la kusema zaidi ya kusema Asante Mungu.

  • @isagreg8482
    @isagreg8482 Месяц назад +4

    Poleni sana Tz Tessa sasa Fred poleni sana

  • @HansLubuva-f1f
    @HansLubuva-f1f Месяц назад +2

    Pole brother Mtambalike

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o Месяц назад +4

    Kifo kinauma jaman dah haswa kwa mtu uliezoea kua nae karibu

  • @faridamariam6692
    @faridamariam6692 Месяц назад

    Poleni kazi yamungu

  • @jecintaowino1846
    @jecintaowino1846 Месяц назад

    Poleni sana ndugu zangu watanzania, na kwa familia ya waigizaji.

  • @KhairathLwoga
    @KhairathLwoga Месяц назад +7

    Singel Mtambalike, umeniliza 😢 yan hii week ni ngumu sn jaman 😭😭

  • @SayuniahimidiweKombo
    @SayuniahimidiweKombo Месяц назад +2

    poleni japo kuwa azam tv tulitegemea kutuonyesha matukio yote haya lakin wap ila mungu ampe pumziko jema fred

  • @RoseTembo-e2c
    @RoseTembo-e2c Месяц назад

    Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu poleni sana wanafamilia poleni wasanii

  • @EsterMsuya-kn7tm
    @EsterMsuya-kn7tm Месяц назад +4

    😢 hadi nimelia

  • @AgnessLeonard-ug5oq
    @AgnessLeonard-ug5oq Месяц назад +4

    Polee sanaa ķaka single mtambarike daaaah😢😢😢

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Месяц назад +2

    Richi,single ntambalike umeniliza kiukwel polen bongo movie

  • @PiliKapweso
    @PiliKapweso Месяц назад +3

    Poleni mungu amlaze mahali pema:

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o Месяц назад +5

    Yan huba ata atujapoa na mama yetu grace jaman dah kifo ww

  • @Swaleheissa-w3l
    @Swaleheissa-w3l Месяц назад

    Allah akulaze mahala pema peponi allahuma Amina

  • @PaskalinasamweliPaskalinas-j6y
    @PaskalinasamweliPaskalinas-j6y Месяц назад +2

    Jamn polen na hongereni kwa ushirikian alichoongea devi Yuko sahihi hatujui siku yetu Wala saa

  • @AqwilinaMutwala
    @AqwilinaMutwala Месяц назад +2

    Grace maunda

  • @Tsuma-m3w
    @Tsuma-m3w Месяц назад +3

    Poleni sana watanzania kwa kumpoteza ndugu yetu freddy mungu aipe nguvu famalia yote iliopatwa na msiba huo

  • @PoulPrudent
    @PoulPrudent Месяц назад +4

    Daaa inauma jaman

  • @NeemaJaphet-yr4ns
    @NeemaJaphet-yr4ns Месяц назад

    Mungu awatie nguvu jamani sote njia ni moja😢😢😢😢

  • @FatumaSalim-rj3bv
    @FatumaSalim-rj3bv Месяц назад +6

    Kk rich Mtambalike pole kk najua maumivu katugusa weng Fredy Dah

  • @FelisterThomas-k2p
    @FelisterThomas-k2p Месяц назад

    Imauma sana ila hakuna namna zaidi ya kumshukuru mungu kwa kila jambo

  • @marryjames-wl7be
    @marryjames-wl7be Месяц назад +3

    Daaaa😢😢😢pole sana kaka 😭😭😭polen familia 😢

  • @lulu5111
    @lulu5111 Месяц назад +2

    Nisaidieni na number ya doctor chain plz

  • @NeemaMaiko-j7x
    @NeemaMaiko-j7x Месяц назад

    Polenn sanaaaa ndugu zetuuu duuu inaumiza sanaa

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 Месяц назад +5

    Jb anaongea vzr mnooo..,R na L👌 Kiswahili kimenyookaaa hatariii..,pia anashika microphone vzr sanaaa

  • @PurityKarisa-z1r
    @PurityKarisa-z1r Месяц назад +3

    😭😭😭😭😭poleni sana aki

  • @RechoHussen
    @RechoHussen Месяц назад

    M.mungu akupunguzie adhabu ya kibri

  • @ZuhuraUlende
    @ZuhuraUlende Месяц назад

    poleni sana😢😢

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h Месяц назад +1

    Poleni sana mungu awatie nguvu

  • @EverinaJosefu
    @EverinaJosefu Месяц назад

    Poleni sana

  • @ChristinePilly-h6w
    @ChristinePilly-h6w Месяц назад

    Poleni sana familia ya fredy kiluswa

  • @RenathaKalamage
    @RenathaKalamage Месяц назад +1

    😊aiseee leo nmelia jaman

  • @JenniferChacha-q6b
    @JenniferChacha-q6b Месяц назад

    poreni sana watanzania mungu arezeroyake Mari pema peponi

  • @JullyKasungwa
    @JullyKasungwa Месяц назад

    yaan ilifika mwisho wa mwaka majanga yanakuwa mengi mungu tupe mwisho mwema

  • @OliverAndrew-ob1vn
    @OliverAndrew-ob1vn Месяц назад +1

    Poleni sana wasanii

  • @JorwaAnna
    @JorwaAnna Месяц назад

    yn fredy umejua kuniliza yn nkahc kafa kweny mzani kumbe kweli kaaa jmn ee mwenyez mungu ipokee nafs yake sote njia yetu ni moja

  • @ZabibuShaibu
    @ZabibuShaibu Месяц назад

    Inauma sana ila kazi ya mungu haina makosa kikubwa kumuombea apumzike kwa amani

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p Месяц назад +2

    Poleni jamani family

  • @saimonrodgers8262
    @saimonrodgers8262 Месяц назад

    Bwana ametoa Bwana ametwaa😢😢

  • @saidikingazi1995
    @saidikingazi1995 Месяц назад

    Poleni sana ndugu wamarehemu

  • @JasmineKisoma
    @JasmineKisoma Месяц назад +1

    Very pain jmn😢😢

  • @EufrasiaMunyuku
    @EufrasiaMunyuku Месяц назад

    Kwa hakika fred umeondoka mapema mno 😢😢😢😢

  • @NeemaMaiko-j7x
    @NeemaMaiko-j7x Месяц назад

    Kwahiri razima urieeee jamani kifoo kifoo

  • @ednamwakalundwa7933
    @ednamwakalundwa7933 Месяц назад

    Hakika inauma xna pumzika kw Amani Fredy

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 Месяц назад

    Poleni sana wasanii😢😢😢

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md Месяц назад

    Hakika niuchungu 😢😢😢😢

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding Месяц назад

    Nafikilia tofaut na wengi ila ukwel upo katk msiba wa kisanii hukosi sanaaa

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso Месяц назад

    Inalilah wa inailah rajuun

  • @FaudhiaShabani-y7y
    @FaudhiaShabani-y7y Месяц назад

    Mungu awatie nguv

  • @mwanaimahassan5166
    @mwanaimahassan5166 Месяц назад

    Pole sana kaka Fred 😭😭😭😭😭😭

  • @rehemaomary3267
    @rehemaomary3267 Месяц назад

    Innalilah wainailah rajiun

  • @RebeccaKasangati
    @RebeccaKasangati Месяц назад

    Daa inabidi tumutafakali mungu sana

  • @SalamaKheir-e9v
    @SalamaKheir-e9v Месяц назад

    😂😂😂😂😂poleni sana jaman

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 Месяц назад

    Inauma sana

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Месяц назад +2

    😭😭😭😭😭

  • @RashdaAbdallahMahuwile
    @RashdaAbdallahMahuwile Месяц назад +4

    Rich rich umeniliza kaka ang😭😭😭😭😭😭

  • @JoyceIsangula
    @JoyceIsangula Месяц назад

    Mpaka nimelia

  • @amnaamna2148
    @amnaamna2148 Месяц назад

    Watanzaniya pol san

  • @Saidiismail-k1q
    @Saidiismail-k1q Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @alinentahobari2930
    @alinentahobari2930 Месяц назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @FelisterThomas-k2p
    @FelisterThomas-k2p Месяц назад

    Poleniwote mloguswa na msiba

  • @rosehaule5705
    @rosehaule5705 Месяц назад

    Poleni wasanii tumwombee tu

  • @kenerickKhisa
    @kenerickKhisa Месяц назад

    Tanzania amezika waigizaji watatu kw muda w wiki tatu

  • @DogooHhayuma-z1j
    @DogooHhayuma-z1j Месяц назад

    Polen sana

  • @PurityKarisa-z1r
    @PurityKarisa-z1r Месяц назад +1

    😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Месяц назад

    Huyu tablike kumbe ni mhesh..nimeona movies zake nyingi pia, alafu hazeeki huyu mtu,ciri nni,poleni sanna

  • @LovenessShirima-hw7un
    @LovenessShirima-hw7un Месяц назад

    aaa mungu wangu fredy nenda kwamaan

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Месяц назад

    Huyu ameongea kuhusu tikiti,amemaliza

  • @ReineNgobikoi
    @ReineNgobikoi Месяц назад

    Poleni jamani

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад

    MWEE HUYUALIPENDWANA KILA MTUPOLENI SANA

  • @EdithaBenedict
    @EdithaBenedict Месяц назад

    Polen

  • @magrethbisaku279
    @magrethbisaku279 Месяц назад

    Poken jmb😢

  • @victoriatwinzi252
    @victoriatwinzi252 Месяц назад

    Dah😭😭😭😭

  • @MussaHaruna-s5n
    @MussaHaruna-s5n Месяц назад

    Rip fredy

  • @frankalfredy4991
    @frankalfredy4991 Месяц назад

    R.i.p to him

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Месяц назад

    Poleni sana wote

  • @fanuelemmanuel-u6x
    @fanuelemmanuel-u6x Месяц назад

    R.I.p fedy

  • @TinatinaBilinyu
    @TinatinaBilinyu Месяц назад

    Mbele yetu nyuma yako

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 Месяц назад

    😢

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Месяц назад +2

    Pole sana Rich😢😢😢😢😢

  • @winifridamalunde8484
    @winifridamalunde8484 Месяц назад

    Polen sana jaman tunalia kwa pamoja tumeumia Ee Mungu Tusaidie pole sana Single Mtambalike R I P FREDY

  • @JonasMakala-dz6cz
    @JonasMakala-dz6cz Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AngelChoice-n8m
    @AngelChoice-n8m Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @magrethandrew316
    @magrethandrew316 Месяц назад

    Polen Sana

  • @SofiaAthumani-o2q
    @SofiaAthumani-o2q Месяц назад

    😭😭😭

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Месяц назад +2

    😭😭😭😭😭

  • @NairatKhamis-w3u
    @NairatKhamis-w3u Месяц назад

    Polen sana

  • @MaclinaImma-dq7sy
    @MaclinaImma-dq7sy Месяц назад +1

    😭😭😭😭😭

  • @VeronicaElibariki-wf3pf
    @VeronicaElibariki-wf3pf Месяц назад

    😭😭😭😭