MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI NANI [3]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • SEMINA YA WANAWAKE DAR ES SALAAM 2017

Комментарии • 69

  • @ahadimduma7876
    @ahadimduma7876 2 года назад +18

    sehemu ya kwanza maombi
    1.kumuomba Mungu kujua neema uliyopewa kwa ajili ya watu wengine
    2.kumuomba Mungu akufunulie na kukupa hekima juu ya hatua za kufuata (Efeso 1:18)
    3.kukuwezesha kuipokea hiyo neema na majukumu
    4.kukuwezesha kuatamia mpka makusudi yatimie

  • @career101.tanzania
    @career101.tanzania 2 года назад +7

    Asante sana Mwalimu na Mchungaji kwa somo hili, hakika lilikuwa kitendawili kikubwa sana kwangu. Mungu akubariki kwa kutupa uelewa mkubwa sana wa neno la Mungu 🙏

  • @ainesmunuo5541
    @ainesmunuo5541 2 года назад +3

    Mungu wa ngu nakushukuru sana kwa ajili ya huyu mtumishi wako naomba umpe maisha marefu

  • @RaphaelMagukulu
    @RaphaelMagukulu 9 месяцев назад +1

    Uwepowa mungu uzidi kwakokwa faidaya taifana Dunia kwa ujumla ubarikiwa sana mtumishi

  • @christinaisanguisangu2974
    @christinaisanguisangu2974 3 месяца назад

    Napata maswali sana hivi hata mimi niliyeolewa sijaokoka nikaokoka hiyo ndoa inatambuliwa kweli huwa nauliza hivi ni wakwangu au ndo sipo majali sahihi swali lingine ni kwamba kwenye mazingira tuliyokutana ya dhambi hapo Mungu alitukutanisha kweli moyo wangu una maswali mengi Mungu anisamehe mana kuna muda naona haya nikifukuzwa kwa ajili ya kuokoka kosa halipo

  • @jennyendrew881
    @jennyendrew881 2 года назад +1

    Mungu wa mbingun aendelee kukupa afya na uzima ili uendelee kutufunza na kutuelimisha tunamshukuru Mungu kwa ajili yako umefanyika msaada sana kwa watu wengi

  • @WillyDaud
    @WillyDaud 11 месяцев назад

    Hallelujah mda wote nikimsikiliza naona nipo chuo cha neno la mungu

  • @Semlowe
    @Semlowe 2 года назад

    Amen, Barikiwa sana mwalimu Mungu wa Mbinguni azidi kukutunza uzidi kutufundisha neno lake🙏🏽

  • @joansoka1213
    @joansoka1213 2 года назад

    Asante sana Mwalimu Mwakasege kwa mafindisho haya mazuri na ya kujenga hasa kwetu ss wanawake..Barikiwa sana Bwana!

  • @kaviramusafiri2619
    @kaviramusafiri2619 2 года назад

    Amina amina Baba. Mungu wangu myweza wa yote anipe Salama yake na neema kubwa juu ya maisha yangu nipate kui tambua.

  • @minaniaugustin7757
    @minaniaugustin7757 2 года назад

    Mungu apewe sifa kwa kutupatia Mwalimu wa Neno Lake. Mungu aniwezeshe kuatamia Neema aliyoiweka juu yangu na kujua kila Neema na wakati wake. Najiombea kwa Mungu hivyo Katika Jina la Kristo Yesu. Amen

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 2 года назад

    Eeh Mungu naomba unibariki kupitia mtumishi ,,,nisitoke bila kitu,,nivushe Ee Yesu

  • @paulnkohozi4962
    @paulnkohozi4962 2 года назад +1

    Amen Amen Mwalimu Neno limenivusha nilikuwa kwenye Hali ya kutaka kutindikiwa. Jina la Bwana lihimidiwe

    • @vickysungi5213
      @vickysungi5213 2 года назад

      Ba
      Barikiwa Sana Baba, hakika neno lako linanijenga na kunihuisha upyaa Bwana aendelee kukutunza

  • @AliceNgandu2023
    @AliceNgandu2023 2 года назад +1

    Hallelujah thank you for the great word nakuomba mungu nami nijuwe neema niliyopewa na Mungu 🙏

    • @renathajames2540
      @renathajames2540 2 года назад

      Naomba kama una namba ya watumishi unitumie!!

  • @mwanaishamkumbwa935
    @mwanaishamkumbwa935 2 года назад

    Hongera kwa kazi nzuri ya kufundisha sauti ya MUNGU

  • @yuliahenry3383
    @yuliahenry3383 2 года назад

    Glory to God. Mungu akutunze baba. Tunajifunza

  • @neemajohn6142
    @neemajohn6142 10 месяцев назад

    Neno linalodumu milele na milele 🙏🙏

  • @mwalimuaustine
    @mwalimuaustine 2 года назад

    So blessed with the word. May God continue using you man of God.

  • @chage97
    @chage97 10 месяцев назад

    Neema ya mungu ikutunze Daima baba. ❤

  • @sia5533
    @sia5533 2 года назад

    Ee mwenyenz Mungu Naomba unikumbuke

  • @happymollel6716
    @happymollel6716 2 года назад

    najiungamanisha na madhabahu ya mana

  • @joeljoeledsonkisabo2645
    @joeljoeledsonkisabo2645 2 года назад +1

    YESU Wangu akutunze sana Baba angu wa kiroho 🙏

  • @amiwitu1445
    @amiwitu1445 2 года назад

    Mungu niwekee mlinzi kwenye macho yangu na kinywa changu niweze kuifurahia neema yako. Amen

  • @UpendoDaudi-iq6hy
    @UpendoDaudi-iq6hy Год назад

    Ubarikiwe mwl Zab 91:14-16

  • @cammyokinda1735
    @cammyokinda1735 2 года назад

    Am being blessed watching from Emirates

  • @asaliyamahusiano7661
    @asaliyamahusiano7661 2 года назад

    Amen Ubarikiwe kwa Kuzidishwa kwa Mema

  • @estherkiarie1724
    @estherkiarie1724 2 года назад

    Napenda mafundisho yako sana

  • @veilamoshi9302
    @veilamoshi9302 2 года назад

    Mungu azidi kukutunza Amen

  • @claudmsolla4750
    @claudmsolla4750 2 года назад

    Nice MLM mwakasege

  • @editadaffi8231
    @editadaffi8231 2 года назад

    Ubarikiwe sana mwalimu ❤️👏mwakasege

  • @kenedmkenda6845
    @kenedmkenda6845 2 года назад

    Barikiwa sana Baba yetu

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 2 года назад +1

    Kwa Jina la Yesuuuuuu

  • @godlistenmcharo9704
    @godlistenmcharo9704 2 года назад

    Ameen nimebarikiwa sana

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 года назад +3

    Halleluyah Halleluyah Halleluyah JEHOVAH SHALOM Waamuzi 6:20-24, JEHOVAH RAPHA ISAYA 57:18-21.Ufunuo 12:11.

  • @imannnko2249
    @imannnko2249 2 года назад

    Kumjua MUNGU Kuna raha zake jaman

  • @witnesskassa2440
    @witnesskassa2440 2 года назад

    Amen barikiwa sana mwalimu

  • @saraemmanuel7285
    @saraemmanuel7285 2 года назад

    Asante Mwalimu kwa somo

  • @bestinamaro7645
    @bestinamaro7645 2 года назад

    Nimebarikiwa leo

  • @elsemyaka6751
    @elsemyaka6751 2 года назад

    Mwalimu wangu Mwalimu

  • @issaj4
    @issaj4 2 года назад +2

    Lord have mercy on me

  • @imannnko2249
    @imannnko2249 2 года назад

    Jaman Kama Kuna muendelezo tuwekeen jaman somo limekatika wakati limekuwa tamu

  • @editadaffi8231
    @editadaffi8231 2 года назад +2

    Ubarikiwe sana Baba 🤲🙏

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 2 года назад

    Nakuelewa baba

  • @agnesskigomboa3755
    @agnesskigomboa3755 2 года назад

    Neema ya kitabu cha Ester sura 4 na ya 5+ Agness

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 года назад

    God got this🥰🙋🙏👍

  • @feristermataro9438
    @feristermataro9438 2 года назад +1

    Chri

  • @mary-vg2qj
    @mary-vg2qj 2 года назад

    Edina paul

  • @olympiamelkiory4800
    @olympiamelkiory4800 2 года назад

    Amen baba

  • @tuliamkamilo9736
    @tuliamkamilo9736 2 года назад

    Amina !!!!Amina

  • @neemasiju1745
    @neemasiju1745 2 года назад

    Amina

  • @ayoubmwaitebele9174
    @ayoubmwaitebele9174 2 года назад

    Amina Baba

  • @priscamakendi5155
    @priscamakendi5155 2 года назад

    Amen

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 года назад

    Ameeeeeeeen

  • @anophrinedesdeus6139
    @anophrinedesdeus6139 2 года назад +1

    📌✍

  • @sarahonesmo5984
    @sarahonesmo5984 2 года назад

    Asante mtumishi wa Mungu kwa somo zuri

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 года назад

    Amina🙏🙏🙏

  • @rehemamwamundela2717
    @rehemamwamundela2717 2 года назад

    Amen

  • @collinscharles4859
    @collinscharles4859 2 года назад

    Ameeen 🙏🙏

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 года назад

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 года назад

    Amen

  • @agnesndetaramo7209
    @agnesndetaramo7209 2 года назад

    Ameeen🙏🙏🙏