Tumepoteza hazina.Mungu anatupenda sana kama Taifa.Mama Wewe ni shujaa na Lawrence ni shujaa wako.Mama Mungu atakuinulia mtu mwingine. Piga moyo konde.
Hiyo tabia ya ku muita Rais mama, ndo inamvimbisha kichwa. Ila Mafuru kaacha pengo kubwa sana, Mafuru angefanya kazi na Profesa Assad, na Lipumba, TZ tungekua mbali sana kiuchumi
Mhm kwa Mkuu wa Majeshi Msuguli tungeona haya huenda mhh tungejifunza kitu ila mhm nchi ngumu nani?wa .Amiri jeshi mkuu ? Cdf na Kamishna? nani shujaa msuguri na msajiri wa hazina ?? ?
Mwenyezi mungu akulinde Rais wetu
Poleni sana Mheshimu Rais Samia Saluhu na Viongozi na Family yake na wananchi wa Tanzania wote tumempoteza shujaa. RIP MAFURU
Samia oyee
Tumepoteza hazina.Mungu anatupenda sana kama Taifa.Mama Wewe ni shujaa na Lawrence ni shujaa wako.Mama Mungu atakuinulia mtu mwingine. Piga moyo konde.
Hiyo tabia ya ku muita Rais mama, ndo inamvimbisha kichwa. Ila Mafuru kaacha pengo kubwa sana, Mafuru angefanya kazi na Profesa Assad, na Lipumba, TZ tungekua mbali sana kiuchumi
Wewe una mama yako tosheka nae uwaache wanao muita wamuite.