MIRAJI YANGA INA KASI|DUBE GOLI 3 DUUH|KIBWANA AMEWAONYESHA BALAA WALIOMLILIA ACHEZE| KOMENI SIOPOA😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 121

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 4 дня назад +14

    Tulikua tunasubiri miraji tujuane😂🙏mwamba huyu hapa🎉🎉🎉♥️💪

  • @DannyFabiano-p9b
    @DannyFabiano-p9b 4 дня назад +10

    Miraji huo mkono unaompigaga jamaa kwenye Bega kuna siku atakwambia inauma kaka 😂😂😂

  • @DeogratiasAmos
    @DeogratiasAmos 4 дня назад +8

    miraji utakuja kumvunja bega chagamba siku moja😂😂😂😂

  • @NovatusAlex-q1f
    @NovatusAlex-q1f 3 дня назад +3

    Miraji utakuja kumuuwa kaka wa watu maana siyo kwa mkono huo😅😅

  • @DaudiMwakamogo-gv2sd
    @DaudiMwakamogo-gv2sd 4 дня назад +7

    Kofia huwa inakupendeza miraji😂😂😂😂😂

  • @oscarsanga3293
    @oscarsanga3293 4 дня назад +6

    Miraji sasa nimekuelewa sana,unaujua mpira.Wewe unasema ukweli

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 4 дня назад +3

    Miraji Anajuw Kuchambuw Ball Anag Ushabiki Wakishambaaa✅🙏💯

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 День назад

    Milaji bwana eti kamdomoo kamdomoo tukapunguzeeee😂😂😂😂 haya mwamba.

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 4 дня назад +8

    Nashauri Kabla hamjarusha mahojiano tufanyieni editing ya video ya mechi husika ili iendane na mzungumzo yenu tukiwa tunaona kinacho ongelewa, sijui nimeeleweka

  • @bakarimasanga3634
    @bakarimasanga3634 4 дня назад +2

    Chagamba usisahau kapanadoli, bega hiloo! Ila pale Miraji anapokupiga sisi ndo burudan yetu,😅

  • @AdorophineKumbele
    @AdorophineKumbele 3 дня назад +1

    Unachelewa sana kutuleteya mzee saidi 😢

  • @AnordJoseph-e2e
    @AnordJoseph-e2e 4 дня назад +10

    Safi sana miraji unajuwa mpira achana namakolo yasiyojuwa mpira

    • @jerikorojas4317
      @jerikorojas4317 4 дня назад +1

      @@AnordJoseph-e2e Sawa Acha awavimbishe Kichwa nyie Utopolo, hawezi wasema Vibaya hata Siku moja

  • @MuhammadKhatibKhamis
    @MuhammadKhatibKhamis 3 дня назад +1

    Miraji kwani nilazima umpige began uyo chagamba

  • @annamashauri7421
    @annamashauri7421 4 дня назад +7

    Kipa ndo alituangusha sana

  • @HalimaKhamis-l6m
    @HalimaKhamis-l6m 4 дня назад

    daaaaah huyu jamaa anampiga sana chagamba anaongea vizuri lakini mmmmmh makofi😂😂😂😂😂

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 4 дня назад

    Kweli miraji nakukubali sana, utaanza kusikia akitajwa gsm,

  • @GraceSinkalla
    @GraceSinkalla 4 дня назад

    Tuletee mzee saidi,ba swedii wetu😂

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 4 дня назад +1

    Miraji Mara moja ndo mchambuzi namba moja Tanzania 🇹🇿

  • @MaryMpemba
    @MaryMpemba 3 дня назад +1

    Max nzengeli kaenda wapi? Ameondoka yanga?

  • @SamweliKsingu
    @SamweliKsingu 4 дня назад

    Unachelewa. Sana kutuletea mzee said

  • @AbsalomMlay-dy1cw
    @AbsalomMlay-dy1cw 4 дня назад +2

    Tumamtaka Mzee said

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 4 дня назад +3

    Khomen alialibu sherehe

  • @gentilamuli
    @gentilamuli 4 дня назад +2

    Miraj leo kufiya ipo wapi😂😂😂

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 4 дня назад +2

    Nakubali miraji na chagamba

  • @JamilaMohamed-l9y
    @JamilaMohamed-l9y 4 дня назад +3

    Miraji gamondi aende tuu alikuwa anatuharibia wachezaji

  • @ibrahimemmanuel1060
    @ibrahimemmanuel1060 3 дня назад +1

    Sanaa❤❤

  • @frankpharan08
    @frankpharan08 4 дня назад +8

    Komenyi hamna Kila kitu ... Komenyi aliharibu tokea yanga day

  • @ElizabethIsaya-io2bn
    @ElizabethIsaya-io2bn 4 дня назад

    Tunamsubir mzee said

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j 4 дня назад

    Chagamba nitafutir Mzee Said jmn nimemmisiiii

  • @barakagaby7615
    @barakagaby7615 4 дня назад +2

    Jana kipa katuchomesha sana asee yani alikuwa hana utulivu na usahh wa maamzi yake dah alituzingua sana

  • @NecksonMabena-wo1qs
    @NecksonMabena-wo1qs 4 дня назад +28

    Kipa katufelisha jana ilitakiwa iwe tatu bila

    • @BarikiOmbay-i6q
      @BarikiOmbay-i6q 4 дня назад +6

      Kawaida sana babeki kiwango kimeshuka😢😢

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 4 дня назад +1

      Mpaka mpira kufika kwa kipa mbele huwa kuna watu wamekosea yaani beki mbovu

    • @lucassusu-q1s
      @lucassusu-q1s 4 дня назад +2

      Kipa kazingua kwa hiyo kama kila Mpira ukienda anafungwa yeye wa kazi gani sasa

    • @twahaanyoni9120
      @twahaanyoni9120 4 дня назад +2

      Uwezi kumpa kipa lawama mipila ya kudunda sio poa kwa mtuu alie cheza mpila makosa ya kawaida sana yale 😂😂😂

    • @HALIMASHABAN-xd9rj
      @HALIMASHABAN-xd9rj 4 дня назад +1

      Yani ingekuwa poa

  • @MaikoMasnja
    @MaikoMasnja 3 дня назад

    Chagamba niletee mzee said jamaniiii

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 4 дня назад +3

    Alikuwa mzize ndipo mpira ukamkuta Dube

  • @introverthustler
    @introverthustler 4 дня назад +1

    mwisho wa hicho kitu KIGOMA
    milima milima MORO
    😂😂😂

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 3 дня назад

      Kwa hiyo hapo ni mchezaji yupi na yupi?

  • @AmanziRajabu
    @AmanziRajabu 4 дня назад +7

    Khomen kazingua sana

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 4 дня назад

    KIBWANA SHOMARI NI NOMAAA🎉🎉🎉🎉

  • @PaulMwakasege-f6o
    @PaulMwakasege-f6o 4 дня назад +2

    Hamna kipa pale bora apewe msheri namba mbili

  • @CharafiamisseAmisseadam
    @CharafiamisseAmisseadam 4 дня назад +4

    Kipa hana akili

  • @HerryMohammed-o5q
    @HerryMohammed-o5q 4 дня назад

    Kigoma na morogoro😂😂😂😂

  • @GehaziMetelii-p4m
    @GehaziMetelii-p4m 4 дня назад +4

    Yan yule kipa maandazi kabisa

  • @RespiciusKahinga
    @RespiciusKahinga 4 дня назад +1

    Miraji.mpira unaujua na unasema ukweli Haina ushabiki maandazi.

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 4 дня назад +1

    Milaji uko vizuri kaka 👏👏

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 4 дня назад +3

    YANGA TWENDE TUKAMWIBE GOLIKIPA WA KENGOLD. BONGE LA GOLIKIPA.

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 дня назад

    Kwa yanga hii ya rotation Simba ijiandae kisaikolojia

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere 4 дня назад +2

    Komehni tunaweza kumsahau kabisa

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 4 дня назад +4

    Dube kakutana na hewa tu

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 4 дня назад

      Leo siyo GSM ni hewa tena 😂😂😂

  • @IbrahimuSimba
    @IbrahimuSimba 3 дня назад

    Miraji unajipya tena saivi unachambua mpira Kwa sifa unajipya tena xaivi

  • @CHARLESJUMANNE-d3m
    @CHARLESJUMANNE-d3m 4 дня назад +3

    Ule golie amuna kitu kabisa ,

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo 4 дня назад

    Goli kipa kafeli sana😭😭

  • @danielzambi8993
    @danielzambi8993 4 дня назад +1

    Jamani tuacheni yoote kwanza tutaendelea baadae,ila MIRAJI SIMBA,unauju Mpira unaujua sana mdau wako Mkubwa

  • @Msumi74
    @Msumi74 4 дня назад +1

    Huyo anaitwa miraji msema kwel sio miraji mara moja namuelewa kwel jama sio mnafki

  • @HatibuShebila-k6q
    @HatibuShebila-k6q 3 дня назад

    Yanga kuna shida ya kipa Uwongoz unatakiwa kutafuta mbadala wa diara

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 3 дня назад

    Miraji unafaa kabisaa kua mchambuzi, upo vyedi sana. Sasa hivi fanya utafute kipindi Azam tv ule shavu mwanangu!

  • @AgostinoRaphail
    @AgostinoRaphail 4 дня назад

    hata Mimi nimeanza kushtuka ,maana game ya waarabu Simba alikimbiza Sana Na nafasi ZA kutosha lkn walipondwa sana,lkn timu imeruhusu Goli 2 Inasifiwa

  • @Tee-King
    @Tee-King 4 дня назад +2

    Ingekuwa 3-0 wangesema GSM

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 дня назад

    Chagamba chagamba miraji ameacha kukudunda

  • @AishaMsungi
    @AishaMsungi 4 дня назад

    Uko juuu

  • @Shu-w7f
    @Shu-w7f 4 дня назад

    Mechi zijazo tutaona af Kipara toka Kwny team Yenu kenge ww

  • @MuhammadKhatibKhamis
    @MuhammadKhatibKhamis 3 дня назад

    Nimekukubali changamba

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 4 дня назад

    Kibwana alikuwa vizur snaa kuliko hata kibabage anavyocheza

  • @RobertKajege
    @RobertKajege 4 дня назад +1

    Kibabage hata kwenye timu yetu ya mitaani hata kwenye benchi hakai ni mchezaji ovyo ovyo ovyo kabisa ni aibu sana kuweka benchi kibwana na kung' ang'ana na mzembe kibabage

  • @VICTORMBWIGA
    @VICTORMBWIGA 4 дня назад +1

    Chagamba na mchambuzi pendwa miraji nawakubali xana mnauongelea mpira kiweledi sio kiunazi chukueni maua yenu

  • @JohnMlimba-gn7lc
    @JohnMlimba-gn7lc 2 дня назад

    nimegundua chagamba unajua boli unauliza maswali ya mpira

  • @nelsonmgaya1490
    @nelsonmgaya1490 4 дня назад

    kipa wa yanga nashauri atolewe kwa mkopo

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 4 дня назад +2

    Dube sawa na guede Tu Jana niliona kama mipango mimi siwezi ongea Sana kuona mwendelezo wake kama hapatokua na mipango mipango

    • @myself-T2
      @myself-T2 4 дня назад +2

      hata ateba huwaga anafanyiwa mipango

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 4 дня назад

      Mipango yake mizuri sio ya penalty

  • @monifrank347
    @monifrank347 3 дня назад

    Chawa wa gsm

  • @Tee-King
    @Tee-King 4 дня назад

    Chakula kipi icho anacho maanisha?

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 4 дня назад +1

    Un fair interview akiwa anawazungumzia yanga utadhani ni timu inayocheza vizuri kuliko simba kwenye kila match kiasi hata wakifungwa namna anavyowazungumzia ni kama kwao huwa bahati mbaya ila kwa simba katoka na cleensheet lakini bado utasikia yakitajwa makosa mengi kuliko uhalisia. Ukiona simba haikufurahishi hamia yanga ili utupondee vizuri.

    • @KautharMartin-sc9cm
      @KautharMartin-sc9cm 4 дня назад

      😂😂😂😂mbn sis pia anatusema vibaya tatizo hamtak ukwel

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 4 дня назад +1

      Mbona ka mdomo, unaumia nn mbona ss tunasemwa sana iweje ww uwe na makasiliko

    • @KautharMartin-sc9cm
      @KautharMartin-sc9cm 4 дня назад

      @sarahsaimon4095 mm mwenyew namshangaa

    • @ZulphaMsangi-s9g
      @ZulphaMsangi-s9g 4 дня назад

      Huyu ni uto lialia anajifichia kofia ya usimba ona leo anavyoseama

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 3 дня назад

      @@KautharMartin-sc9cm haswa sijui anamambo gan?

  • @prayphilimoni1859
    @prayphilimoni1859 4 дня назад

    mkoa gan jaman

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 4 дня назад +2

    Miraji,naomba mumwambie mshery,aende myumbani kidogo kwanza. Komen hana kiwango cha kumzidi msheri,,,,alichomzidi ni uchawi.

  • @jerikorojas4317
    @jerikorojas4317 4 дня назад +4

    Utopolo wao unasema kuwa wana Makosa madogo madogo, likija Suala la LA Simba unasema kauli zako za Simba Hamna Timu. Dah wewe ni Shabiki wa SIMBA AU?!

    • @helenwailly1558
      @helenwailly1558 4 дня назад

      Ni msema kweli anaejua mpira

    • @SimonMabigi
      @SimonMabigi 4 дня назад

      Wewe kolo tulia huna Tim watu wanaojua mpira na mpira unaonekana Sasa unataka aongee kishabiki yeye yupo kazin

    • @jerikorojas4317
      @jerikorojas4317 4 дня назад

      @@helenwailly1558 Kwamba Utopolo Kuna Timu, ila Simba Hamna Timu?! 😂😂😂🤣🤣

    • @jerikorojas4317
      @jerikorojas4317 4 дня назад

      @@SimonMabigi Ila Utopolo, inayotobolewa kama Chujio ndo timu?! Vyura mna Shida na Matatizo🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸

    • @jerikorojas4317
      @jerikorojas4317 4 дня назад

      @@helenwailly1558 🐸🐸🐸🐸🐸

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 4 дня назад

    Miraji kibwana kadodonshwa na gamondi kibwana kwanabi ilikuwa panga panguwa

  • @AishaMsungi
    @AishaMsungi 4 дня назад

    Miraji

  • @WaziriAbdallah-p9m
    @WaziriAbdallah-p9m 3 дня назад

    Mbona mapovu makolo

  • @nicksonanthony5984
    @nicksonanthony5984 4 дня назад +1

    Nina suggest, kibwana apewe nafasi na boka then yao na israh,, kibabage apishe kwanza

  • @ezekiacoster7506
    @ezekiacoster7506 4 дня назад

    Kigoma na mbeya

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 4 дня назад +1

    Komen anagawa utamu tu kama timu yake inavyo gawa utamu kila kona ya Afrika.
    Utopolooooo...

  • @PijoPijo-tq5jb
    @PijoPijo-tq5jb 4 дня назад

    na sisi mashujaa kipa wetu katuferisha ilitakiwa tushindi 2-1

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 дня назад

    6 Xavi mtupu

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 дня назад

    Madunduka hawatak kuambiwa ukwel

  • @hassanmohd2539
    @hassanmohd2539 4 дня назад +1

    Bora uyo komen kuliko diara na yy anafungwa magoli mabovu zaidi

  • @GozibartKarugendo
    @GozibartKarugendo 3 дня назад

    Chagamba Kila sku ao ao ty badlisha

  • @LunobwaPaulo
    @LunobwaPaulo 3 дня назад

    Chagamba kama utaendele kumuhoji miraji nitaacha kufatilia kabisa kwa sababu hajui chochote

    • @SimonMabigi
      @SimonMabigi 3 дня назад

      @@LunobwaPaulo We dunduka Kwan nan kakuomba ufatilie interview ya miraji na chagamba kasikilize ya mama ako nyumbani kolo we

    • @LunobwaPaulo
      @LunobwaPaulo 3 дня назад

      @SimonMabigi kolo wewe wewe mwenyewe kama miraji