WAKONGO WAIJIA JUU YANGA/MKILIPA KISASI TUNAWAPASUA TENA/YANGA HII HAIWEZI KUTUFUNGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 18

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 часа назад

    Hongera sana umetoa somo .God na kundi lako eleweni hilo na mtuliee.kulipa kisasi ndio itakula kwetu.hata uwanjani unajua hilo.

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Час назад

    Chief manzaga on fire

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 3 часа назад

    Safi bro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ferdinandimani1517
    @ferdinandimani1517 2 часа назад

    Ndeko félicitations

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 6 часов назад +1

    Umeongea ponti kaka🎉🎉

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala 6 часов назад

    Safi sana mkubwa

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 6 часов назад +1

    Kwann waliwaweka Juan mashabiki wa yanga wakakataa hata kuwauzia maji najuyce

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 4 часа назад

    Point

  • @johnvedastus3079
    @johnvedastus3079 6 часов назад

    Uko sahihi kabisa

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 часа назад

    Mwulizeni Karia Lazio na Roma wanacheza wapi ? Uwanja wa serikali Olyimpic uliopo Roma wa Serikaliii anche...

  • @moherai9120
    @moherai9120 Час назад

    Kiasi ni haki

  • @Ba63828
    @Ba63828 5 часов назад

    Kumbe Manzaki madini kweli

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 5 часов назад

    Imeeleza sahihi maana Yanga inawashabiki mbaka Congo wale ni wahuni kama Hawa waliong'oa viti Kwa mkapa

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi 4 часа назад

      Na kama wale waliovunja magate au unajisahaulisha?

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 4 часа назад

    Kijana Unaakili na Hekima mno, endelea hivyo hivyo , huo ndiyo Uana Michezo

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 5 часов назад

    Kwa nini askari wa Congo hawakuhusika kuwalinda wachhezaji wa Yanga?
    Askari wenu wawe waangalifu siku ingine.

  • @MasalenifamilyRecord
    @MasalenifamilyRecord 5 часов назад

    Ila yanga sio ya mtu apo umefeli mzee yanga timu ya wanachi wapigania uhuru aina mwenyewe

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 3 часа назад

    Sasa watazania tu ndo wamefanyiwa fujo nyie mlikua wapi mulipe vitu vya watu