Muungano wa Azimio watishia kufanya maandano kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Muungano Wa Azimio Sasa Unatishia Kuandaa Maandamano Kote Nchini Kupinga Mswada Wa Kifedha Wa Mwaka 2024. Katika Mkutano Wa Kujadili Mapendekezo Ya Nyongeza Ya Uhsuru Katika Mswada Huo, Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Amedokeza Kuwa Upinzani Hautakubaliana Na Serikali Kupitisha Mswada Huo Na Kuwataka Wabunge Wote Wa Azimio Katika Bunge La Kitaifa Kupinga Mswada Huo Utakapofikishwa Bungeni.

Комментарии • 3

  • @FredMwangangi-lp1hq
    @FredMwangangi-lp1hq 19 дней назад

    Kalonzo stand with Kenyans,tell them the truth,our Prezzo 2027

  • @jairuscr7310
    @jairuscr7310 19 дней назад

    Kalonzo 2027

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je 19 дней назад

    Hakuna aja acheni watu waenjoy aki yao