Wahubiri watoa msimamo wao kuhusu marufuku ya muguka Mombasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Baraza la Maimamu na wahubiri nchini CIPK linatarajiwa kutoa msimamo wake kuhusu shinikizo la kutaka miraa na muguka kupigwa marufuku kisiwani mombasa. Baadhi ya viongozi wamelalama kuwa matumizi ya muguka yanachangia utovu wa usalama na kuathiri sekta ya elimu huku vijana wakishindwa na majukumu yao ya kijamii.

Комментарии • 232

  • @aishahamad6464
    @aishahamad6464 25 дней назад +34

    Bismillah!! Malizeni pia madawa ya kulevya...

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 25 дней назад +1

      Hio haitawahi isha 😂

    • @mohamednyuni2631
      @mohamednyuni2631 25 дней назад

      Safari kuu huanza na hatua moja mihadarati inapigwa vita dunia nzima lakini mirungi na muguka ni donda ndugu mara ni haramu mara makruu imechanganya watu tena inamsukumo wa kisheria na serikali kufikia hatua ukiambia mtu asilimu anakwambia ndio nile miraa juu inaleta picha walaji ni waislamu!

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 25 дней назад

      @@mohamednyuni2631 bado miraa na muguka itakuwa pwani, kama waisilamu hawaipendi basi wasitafune lakini wacheni watu wa dini, kabila, rangi etc zengine waendelee

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 25 дней назад +14

    Fungeni adi pombe maana mkifunga miraa na mgokah watarudi kwa pombe mtakuwa mumefanya kazi bure

  • @tariqazim3249
    @tariqazim3249 25 дней назад +25

    Muguka kupigwa marufuku ni stori za jaba. Gbagajat lazima!!

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 25 дней назад +14

    Naomba sote tuwe kitu moja hatutaki mwanzo ni Haramu kidini🤲🌃

    • @sulubudzombo8048
      @sulubudzombo8048 15 дней назад +1

      But pombe Iko expensive sio wengi watatumia

  • @jothammaweu3005
    @jothammaweu3005 24 дня назад +8

    Young men who consume Muguka for some years runs mad, have done my research

  • @mkemiabenzn7811
    @mkemiabenzn7811 25 дней назад +6

    Nawaunga mkono kabisa. Mirungi ni madawa ya kulevya kama madawa mengine tu, pigeni marufuku kama huku kwetu Tz🇹🇿

  • @husseinmohamed8493
    @husseinmohamed8493 25 дней назад +5

    Masha,ALLAH
    Tuhakikishe migokaa na mirungi
    Haifiki Mombasa
    Hatari sana mbuzi watu😂

  • @ericmuthui6549
    @ericmuthui6549 24 дня назад +11

    Me watching this nikiwa mogoka mbaya😅🌿

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 24 дня назад +1

      Watafuga but muguka lazma ichogwe,sasa ivi nachana kwa starehe zangu apa

    • @ericmuthui6549
      @ericmuthui6549 24 дня назад

      @@JacksonMutinda-jw5qw kwani wanataka ikuliwe na Nani wengine🤣

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 25 дней назад +11

    Yes alhamdulillah ni ipigwe marufuku kabisa itolewe mombasa kabisa na takae shikwa nayo fine 200000

  • @gulftranspoters1762
    @gulftranspoters1762 25 дней назад +25

    Hapa mombasa hatutaki mbuzi watu

    • @eriksenmwenda2262
      @eriksenmwenda2262 25 дней назад +2

      Fungeni unga mwanzo do mkuje kwa mgkaa na miraa😂😂😂

    • @user-wu7vz8ot5i
      @user-wu7vz8ot5i 19 дней назад +1

      Kitawaramba watu wa mombasa

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 25 дней назад +9

    Alahmulillah.mama zetu na wanetu na Allah awaepushe

  • @kasimsaid5495
    @kasimsaid5495 25 дней назад +7

    I hope Mung'aro and other coast governors wanaona this good move

  • @sospetermaina983
    @sospetermaina983 25 дней назад +12

    Bangi ni marufuku lakini... Ata polisi huvuta😂😂😂 tafakari haya

    • @Cocoa_nutz
      @Cocoa_nutz 25 дней назад

      Bangi haina shida, tafakari pia au jielimishe zaidi.

    • @margaretnamubi4565
      @margaretnamubi4565 21 день назад

      Mungu amewapa bhangi miraa..munasema ni haramu...kisha mwaenda ulaya kuomba omba msada...kweli bibilia inasemae..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

    • @nuraabdulhakim5840
      @nuraabdulhakim5840 17 дней назад +2

      Lakini afadhali watakula kwa kujificha.sio watakutana na mtu mpka kwa matatu anakuchafua roho mdomo umejaa kisha ankuongolesha

    • @Cocoa_nutz
      @Cocoa_nutz 17 дней назад

      @@nuraabdulhakim5840 tru

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 25 дней назад +7

    Insha Allah Allah ajaalie iwe marufuku kabisa

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 25 дней назад +7

    sawa kabisaaaa marufuku

  • @margaretreeves3792
    @margaretreeves3792 25 дней назад +15

    It should be banned everywhere in kenya

  • @mzeewamtaa692
    @mzeewamtaa692 25 дней назад +4

    Sasa awa wana semaji miraa to the world 🌎 inshallah 🤲

  • @user-vc4fy9ii2e
    @user-vc4fy9ii2e 24 дня назад +3

    Mugukaa na madawa ya kulevya viangamizwe vote ,😊

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 25 дней назад +15

    I sulute and support funga yote kbsaaa

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 22 дня назад +2

    Mkimaliza hayo mambo ya mugukaa....bado jambo moja tuuuu....hiiizi ma tiktok pia muzitowe kenya tumechoka kuona VIFUAAA Vamadada zetu na MAKALIOOO,,watoto wakieslamu wamehazibikaa,,siokuwa twaangalia lakin twaona,,

  • @AdowIbrahim-ck3vp
    @AdowIbrahim-ck3vp 25 дней назад +4

    Masha Allah good

  • @alextercisio
    @alextercisio 25 дней назад +11

    MTU auzie hizo takataka kwa watoto wake

  • @OnlineTv254
    @OnlineTv254 25 дней назад +6

    Mnafunga coz ni rahisi kufunga miraa coz ni local but wat about other drugs zinatoka abroad.😢

    • @halimanamai542
      @halimanamai542 22 дня назад

      Tutadeal na ile tunaweza deal nayo vile inafaa

  • @muasyairene7626
    @muasyairene7626 13 дней назад

    Mashalah mungu you mwema Mimi naomba ifugwe Kenya mzima maana dungu yangu asikii tukimkataza

  • @Rennyburito
    @Rennyburito 25 дней назад +9

    Goodwork ,hope it will be stopped.

  • @BMboss108
    @BMboss108 25 дней назад +4

    Alhamdulilah

  • @user-et7tc3ld6q
    @user-et7tc3ld6q 25 дней назад +1

    Karibu garissa. Hapa pia Kuna shida kubwa kwa sababu ya miraa

  • @mohamedabdullahi8874
    @mohamedabdullahi8874 24 дня назад +2

    Haiwezakani kwanza wapinge marufuku madawa yenye wao wanauza

  • @gogetta723
    @gogetta723 24 дня назад +2

    Nobody forces anyone to chew, its your choice!. Muguka iendelee...

    • @aheudit
      @aheudit 21 день назад

      Ok. Nobody stops you from using, cocaine 🤔

  • @mosesdmakingmoreto
    @mosesdmakingmoreto 25 дней назад +6

    Na cocaine na heroine...🤔🤔? Ama wanawapiga competition wauzaji wa cocaine 😅😅...hapa kuna kitu hatuelewi...miraa na cocaine ngani inafaa kupigwa marufuku 😅😅

    • @salimally2823
      @salimally2823 25 дней назад +1

      Kwani wapi cocaine ni legal?

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 25 дней назад +1

      Kwani Cocaine ni legal ?!!! Hatutaki any kind of mihadarati Pwani

    • @Blackmuslimtiger3025
      @Blackmuslimtiger3025 25 дней назад

      Hio ujinga ya miraa pelekeni bara kwenu sio coast boss

    • @halimanamai542
      @halimanamai542 22 дня назад +1

      Everybody knows those are illegal ...

    • @nesbitmiriti4366
      @nesbitmiriti4366 22 дня назад

      ​@@Blackmuslimtiger3025na unga .

  • @williamgithieya840
    @williamgithieya840 25 дней назад +2

    Lets ban the lethal sustance altogether. Ama embu wakuze na wakule.

  • @user-wp1sn3il7o
    @user-wp1sn3il7o 25 дней назад +2

    Im a resident in kwale county whereby you find teenagers also into this act....

  • @ngwarutomohammed
    @ngwarutomohammed 22 дня назад +1

    Mugukaa is ruining life we don't want it

  • @kevinmurimi2176
    @kevinmurimi2176 23 дня назад +1

    Mungu aumbe mti, mtu apige marufuku😂 funny

  • @user-ec1fp8jk5g
    @user-ec1fp8jk5g 24 дня назад +1

    Yaani watu wanashida kutafuna majani usiku kucha.imekuwa chakula cha kila siku,simbadilishe diet jameni.
    Wanatafuna hadi mate yanawadodoka mimdomoni.

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 25 дней назад +2

    Parents,elders , all religious leaders all opinions ,spiritual,elder and political leader from grassroots wards mca have failed to address this problems, make sure, miraa traders to pay a high revenue in daily collection and see same time hawkers licence to licensed and while the wholesalers are charged one million shillings annually traders licence ,
    And not every dick and hurry can get access to sale , THAT'S ONLY WAY TO DEAL WITH, BANGI MIRAA ALL EVEN CLUBS TO BE REDUCED TOTALLY

  • @fredydzombo8796
    @fredydzombo8796 25 дней назад +20

    Wameru wapike hiyo miraa na mogokaa wafanye mboga , we don't need that shit again in coast province,

    • @florencemuthoimuthoni5816
      @florencemuthoimuthoni5816 25 дней назад +2

      Nyinyi mtakufa njaa by the way wameru ndo wamewashikilia

    • @josephmwangale9364
      @josephmwangale9364 25 дней назад +2

      Wauze uko kwao

    • @fredydzombo8796
      @fredydzombo8796 25 дней назад

      @@florencemuthoimuthoni5816 hapa the subject is mugoka and miraa , food products ata wasipoleta there is no way we shall suffer my friend, coz ata wao zitawaoezea shambani coz wana depend coast for their survival

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 25 дней назад

      ​@@florencemuthoimuthoni5816wameru wajishikilie wenyewe

    • @Blackmuslimtiger3025
      @Blackmuslimtiger3025 25 дней назад

      ​@@florencemuthoimuthoni5816uzeni kwenu bara,uchafu wenu uzieni wabara wenzenu meru na Nairobi

  • @KavamiMiusik
    @KavamiMiusik 24 дня назад +1

    Vijana wanapotea sababu the society is not designed for children and youth. Youth have been abandoned by family and government physically and mentally, socially, economically..in everyway. Madawa is just diversion from the hopelessness. Why dont we deal with the root of the problem?

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 25 дней назад +1

    Dawa yao gavana ongeza ushuru kila siku 100k

  • @KevinPlutnumz
    @KevinPlutnumz 25 дней назад +2

    Uzuri kilifi sio mbali😂

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 15 дней назад

    InshaAllah mola awape nguvu viongozi Hatutaki mugokaa wala miraa Coast

  • @user-rw3rt1dh1m
    @user-rw3rt1dh1m 25 дней назад +2

    Mombasa ndio depot kubwa wa magoka.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 15 дней назад

    Mmejitambua hatimae Kenya. Tanzania ukikamatwa na mirungi jela inakuhusu.

  • @BettyManyasa
    @BettyManyasa 24 дня назад +1

    Mutangoja xana muguka na marungi kupigwa marufuku c kwanza mupige bangi na pombe ndio tuone mumefanya jambo la maana miraa ni Gold yetu na bila hiyo kazi watoto hawasomi wala kula yatafakariini hayo

  • @user-zq6dw1zv4g
    @user-zq6dw1zv4g 22 дня назад

    This maziwa lala Governor is involve with A class drug partner in Crime..SHAME ON THE Governor

  • @patoka254
    @patoka254 23 дня назад

    N sawa kabisa

  • @user-xk2kp5wv1i
    @user-xk2kp5wv1i 25 дней назад +3

    What about bangi, unga.

  • @SaidGarrison
    @SaidGarrison 25 дней назад +6

    Judging from the comment section Kenya imejaa mambleina. Just mind your own business kama hutumii mihadarati. Na kama mtoto wako ameharibika usilaumu jaba.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 25 дней назад +3

    Marufuku kabixa,ndugu zetu waskitisha kama wanyama xaxa,kutwa watafuna majani mpaka waboa😢

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 24 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂mbuzii

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 24 дня назад

      Kuna family zaidi 1million inalelewa na kusomeshwa kutokana na miraa,,waache ushezi

  • @ascot.reception
    @ascot.reception 13 дней назад

    Congratulations to the clerics

  • @SonOfNun5555
    @SonOfNun5555 25 дней назад +10

    Wameona biashara zao za cocaine zimeharibika kutokana na serikali kuwakabili wauzaji wanaanza kuleta story ya mugukaa😂

    • @husseinabdi657
      @husseinabdi657 25 дней назад

      Evidence?can you justify your claim ama unaropoka tu

    • @andrewuser1381
      @andrewuser1381 25 дней назад

    • @Blackmuslimtiger3025
      @Blackmuslimtiger3025 25 дней назад

      ​@@husseinabdi657usishindane na wabara brother 😂😂😂wacha iondolewe alafu tuwapate wakikula waone kivumbi

  • @zaujiashekuwe-wk3ct
    @zaujiashekuwe-wk3ct 5 дней назад

    Hatawasikitisha watoto wetu 😢

  • @wazmu
    @wazmu 25 дней назад +1

    Heroin, coke and pills sales feed the rich.... muguka and weed sales feed the poor. We know how politics work. If you can't arrest the drug tycoons leave the small players alone.

  • @bigdogo3928
    @bigdogo3928 23 дня назад

    Proper sanctions are needed here well done Coast we need this kind of accountability

  • @reignmuzeiya7432
    @reignmuzeiya7432 22 дня назад

    Tumuombe Mungu atuongezee maarifa, sababu hata mkipiga marufuku muguka na hamjazingatia sababisho/ tatizo la msingi itakua bure au hali itakua mbaya zaidi sababu kutaibuka jambo au kitu kiingine.

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 25 дней назад +1

    Pray on the recitations of the rosary,, Jesus give us the weapon, for any one needs peace,, or overcome any evil pray rosary

  • @geoffreymuriithi1279
    @geoffreymuriithi1279 16 дней назад

    IPIGWE MARUFUKU PIA HAPA NAIROBI, TUMESHINDWA KUMWAGA

  • @tonnyndundahse69
    @tonnyndundahse69 22 дня назад

    Bangi, Madawa ya kulevya ni mingi sana Mombasa, pia the parenting is Mombasa especially for boys is very poor, boys are on their own, why dont we have the ssame problem in Meru where the trees are grown

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 14 дней назад

    KULENI NYINYI HUO UPUZI ...HATUTAKI KABISAAA

  • @simondavid209
    @simondavid209 23 дня назад

    Haifai kuwa mombasa

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 25 дней назад +1

    Kwani mombasa sio kenya ama😂waswahili na miraa ni kama pua n upini😅lazima wakule miraa...

  • @eriksenmwenda2262
    @eriksenmwenda2262 25 дней назад +1

    Bangi imewashnda itkuwa mgka na miraa? hzo n story za jba😂😅😂

  • @user-zq6dw1zv4g
    @user-zq6dw1zv4g 22 дня назад

    Mimi na choga miraa na mogoka tangu miaka 18yrs siku za teenager leo niko miaka 60yrs Alhumdulilah na sina na marathi yoyote na na BIBI na wa toto..na bado na chonga

    • @user-zq6dw1zv4g
      @user-zq6dw1zv4g 22 дня назад

      Tangu dawa za ulevia ime letewa mombasa shida kwa watoto wetu...Huyo Governor ni boss wa dawa ya ulevia sio miraa ni baya au mogoka

    • @user-zq6dw1zv4g
      @user-zq6dw1zv4g 22 дня назад

      Kwanini huyo Governor haja sema kitu kuhusu dawa za ulevia ajili yeye awajua ma boss ni nani ya dawa wa ulevia na yeye ana pata hogo kwao

  • @jamesndungi2433
    @jamesndungi2433 25 дней назад +1

    Na watu wa mlima wakikutana mnaongea ongea ovyo

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 25 дней назад +12

    tunawaunga mkono viongozi wetu mogoka miraa ipigwe marufuku kabisa

  • @josephhanjari1877
    @josephhanjari1877 17 дней назад

    Sio Msa tuu isiingie Pwani kabisa kwa nini wapige marufuku Mnazi ambao hauna athari yoyote?

  • @answarsalim220
    @answarsalim220 23 дня назад

    Kazi hamutupi na passport zenyewe mtu kupata na ni raia wa kenya ni kizaza Sasa mwataka tuwajibike vipi sisi kama vijana

  • @kenyanpope1425
    @kenyanpope1425 25 дней назад +1

    Gwethe for life

  • @farhiyajamaa7717
    @farhiyajamaa7717 25 дней назад

    Alxmuduliah Alxmuduliah

  • @kennar012
    @kennar012 15 дней назад

    Wanatajiwa heroin wanalenga. Watu wa Mombasa wanaharibiwa na madawa zinazoletwa na hao viongozi tu. Miraa haiharibu akili ila heroin na cocaine

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai 21 день назад

    Wabara wanataka kumaliza pwani yetu wana uwevu na coast port wamechukua hakuna ata mkubwa mpwani huko mara tunalishwa mughukaa kwani lini pwani tutajihisi tuko wakenya tuwe na haki kama wengine tumetengwa sana wezetu mashamba tunawauzia ila mpwani hawezi uziwa mashamba bara lengo lenu nikutumaliza nakusema eti hatujasoma mara sekta fulani mcoast hawezi aki kusema kweli wabara wanatudharau sana ndio mana chuki haziisha tuheshimiane kama wakenya tusibaguane kazi kwa kila mkenya au kila kabila

  • @bobsalim4285
    @bobsalim4285 22 дня назад

    Viongozi wameshindwa na kazi

  • @Irene-rt4bf
    @Irene-rt4bf 13 дней назад

    Hii ndio ilikuwa ndoto yangu na naona mingu amejibu maombi

  • @jamesmwaniki7371
    @jamesmwaniki7371 20 дней назад

    Unafiki ni mbaya. Hawa hawaongelei mambo ya madawa ingine kama heroin kwa miaka. Kwa nini muguka? Waseme tu ni pesa zaidi wanataka ili wafaindike.

  • @linu0720
    @linu0720 24 дня назад

    Kashike kashike kashike

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 22 дня назад

    Marufuku haswa kenya miraa ina madhara makubwa

  • @kmipos
    @kmipos 25 дней назад +1

    What about heroin cocaine and other hard drugs?

  • @dweenyoyo2836
    @dweenyoyo2836 18 дней назад

    Miraa imenisaidia sana

  • @mumbo1980
    @mumbo1980 24 дня назад

    Hii sio viongozi wa kidini. Viongozi wa kiislamu.

  • @ismailfami4168
    @ismailfami4168 25 дней назад +1

    What about other drugs ?

  • @khatibumasudi
    @khatibumasudi 17 дней назад

    Walajii mongoka na mirungi musimlaanii gavana wetu 😂😂😂😂 acha iwee ban Angalau watu Wafanye maendeleo kwa familia zao sio kujenga nyumba nakubomoa ukiwa wala ngokss

  • @amoskinyua1084
    @amoskinyua1084 18 дней назад

    Muguka sio miraa hata hazilingani.

  • @lawrencemuriki3740
    @lawrencemuriki3740 24 дня назад

    Basi apa meru tuko na mairungi kwa shamba tungekua chizi wote na rehab zingekua tere uku lkn nyinyi maraumu miraa bali watoto wenu wanachanga madawa na miraa mtu anatokwa wazimu

  • @saadiaahmed3265
    @saadiaahmed3265 25 дней назад +1

    Kwanza gavana pia yeye hasimamishe shisha anavuta shisha hawezi komesha shisha coz hatakosana na joho pia

  • @michaelkauku9714
    @michaelkauku9714 25 дней назад

    Fungeni kenya zima kama kweli mnajali vijana

  • @hawaaseif2862
    @hawaaseif2862 15 дней назад

    Nahuku kwetu kwale hatutaki pia mugokaa, tupa kulee

  • @mambosawa-rm7hy
    @mambosawa-rm7hy 13 дней назад

    Wapige marufuku kenya mzima. Wasee wanakaa kama mbuzi.... Majingjong,,,kunyaf,nyaf, nyaf

  • @denismutuku2723
    @denismutuku2723 23 дня назад

    Madawa zinauswa mombasa bona azijatolewa chungeni sana

  • @zaujiashekuwe-wk3ct
    @zaujiashekuwe-wk3ct 5 дней назад

    😂hatutaki watoto wetu wamekua wachafu hatawAsimitisha

  • @ericleo254
    @ericleo254 25 дней назад

    Miraa mombasa mtakula kwanza malizeni unga miraa na muguka tunakula na haitwadhili na hawa viongosi wanajiita wa ndini ni wale wa mombasa sio Kenya hii ni kutenganisha kenya ni waongee waelewane sio kusimamisha.

  • @mwalonyaali3954
    @mwalonyaali3954 22 дня назад

    The only way to stop muguka and miraa in the coastal region is not through county government or national government cause it will be turned into a political matter this is a social issue let our imams and pastors surmon the youth against the use of drugs parents should also take lead role on making sure the talk to their children not forgetting the NGO's based in the coastal region to start massive campaign and civic education am confident in less than 6 month the mugokaa and miraa traders will account huge loses and this business will vanish from our region but for this to happen we must have patient and trust the process this is the only way but relying on county government and national government it's a total waste of time.

  • @nummereins6885
    @nummereins6885 25 дней назад

    The day the national government started fighting mnazi, I knew this will happen.

  • @masudimwabushuti536
    @masudimwabushuti536 25 дней назад +6

    Lazima mugokaa iuzwe Kenya mzima waa Che upuzi kamamko serious malizeni cocaine kwaza

  • @simbahasheem1546
    @simbahasheem1546 15 дней назад

    What is Muguka?

  • @user-ec1fp8jk5g
    @user-ec1fp8jk5g 24 дня назад +1

    Wanadamu wanakula majani kama wanyama.inawasaidia na nini mwilini?

  • @PewaaMwishimiwa
    @PewaaMwishimiwa 21 день назад

    Mmeru is typing……

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 21 день назад

    Maliza madawa ya joho kwanza

  • @lameckondieki4756
    @lameckondieki4756 24 дня назад

    Give them jobs first. Mogoka instead of alcohol. Thats what you should debate. Kila mtu ako na uraibu. Not minding your own business and lack of true empathy is equally detrimental even more than mogoka.

  • @chrispinmdachi551
    @chrispinmdachi551 25 дней назад +5

    Hio migokaa na miraa ipigwe marufuku kabisa pwani

  • @user-zq6dw1zv4g
    @user-zq6dw1zv4g 22 дня назад

    Why is the Governor so 🤔 😐 quite on issue of hard core A class drugs. .herion n cocain