KATAVI | MAJI YA AJABU YAZUA GUMZO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 2

  • @nsajimwasege68
    @nsajimwasege68 5 месяцев назад +1

    Hiyo ni baraka kwao,wasilalamike,wayatumie kuzalisha mali!

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 4 месяца назад

    Huo ni uwezo wake Allah subuhana hu wataalla ila mwandishi hajauliza maswali ya maana siyo mdadisi angekwenda mpaka kwenye maji kuliko kutuma picha ya mbali hajauliza swali la muhimu je kuna watu walichota maji kwa matumizi kama kunywa, kuoga, au kumwagilia mimea je kulikua na, matokeo gani je walimfuata mkuu wa wilaya ana mipango gani kufanya kuita watafiti kujua kama maji ni salama au mpango wa kuyatumia kwa faida ya watu. Wandishi wa siku hizi bure kabisa USHUZI mtupu.