BINTI LISA - PART 01
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- kuhitimu chuo kikuu, Ethan alijiunga na baishara ya familia yao kama msimamizi wa kampuni ya Lowe Enterprises. Lisa naye alifanya kazi muda mfupi tu kwenye kampuni yao ya familia, Kibo Building Desing Group kabla ya kwenda kuongeza elimu ya juu ya uinjinia katika ujenzi kwenye chuo kikuu cha New South Wales nchini Marekani. Kwa muda wa miaka miwili walikuwa wakiwasiliana kwa simu tu.
Great job anko jay🎉🎉 kuna sister yangu alie ji funguwaga na aka mpa jina lako uku USA ivi mtoto wake tuna muitaga jay🎉🎉❤❤
🎉❤❤ Mwambie Ahsante sana
@@ankojay_Anko jay unanifany mpka leo nirudie tena bint lisa tuletee mr love bc jmn tupo board san😢😢😢😢
@@Babyfaty-m3yhakika hii binti lisa bado ipo on top tunairudiarudia sana😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 nipo sehem ya 7 saiv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakuerewa sana jamaaa
Hatimae wa1 Yan lafiki zangu wapendwa like Zen ata 5 nitashukul Ahsante Ankojay 🙏 Acha ni 🪑🎧
Hongera my dear
Ahsante
Nami Sijaachwa ATA Kidogo, Japo nimechelewa Kuanza nayo on time Binti Lisa naomba ata likes 2 TU🙌
Lisa, livia the greatest
Anko Wang ujue nimejiskia vizur mnooo baad ya kusikia saut yako pendwa anko Wang uwiiiiii am so happy
Jamani handi uchungu yani pole dada kwa kutebwa na Familia yako Ankoj asate kwa jumbe mzuri sana
Heri ya mwaka mpya vipenzi 🎆tusikilize ili TUJUWE huyo BINTI LISA LIKE 2 WAPENZI WA SIMULIZI ❤
Jamanii mimi ndonaanz kuisikiliza😂😂😂😂😂😂❤
Heri ya mwaka mpya anko j nashukuru kwa kazi nyingine🎉🎉🎉
Kwako pia Anko jay 🇴🇲🇴🇲 pamoja tunashukuru AllamdullAllh 🙏 tuko salama mambo 🎉🎉yaendeleeeeeepamoja🇴🇲🇴🇲🌹🌹🎉🎉🌹
Jamani siuachilie part 2 tunaboeka anko jay bwana. Tuachilie part 2 plzzzzzzzzzzzzzz❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anko j mambo nimerud Tena by nadra rafik yako kpenz naskiliza bint lissa kutoka Omani ❤❤❤❤❤
Tupige tu hivyo hivyo huyu bhwana angu amepooza usoni ko kutabasam kwake ni shida😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaah nimecheka sana
Jaman ankoo jay Mungu akubariki maana unajua kunitoa stress
wow yani ankojay mwaka umeanza vizuri kweli mi kwakweli nilimis sauti yako much respect
ankojay vp sas utuletei episod 5 ya bint lisa eti ❤❤❤
Anko Jay kwenye hii simulizi ya LISA aaaaaah umeuwa au naweza sema mwaka 2024 umeanza kivingine kabisa ,anko eee chukua zawadi yako 🍕🍕 afu kapate na soda baridiiiiii pale jiran nakuja kulipa.
Thanks anko j, I read this as an English novel but I thank God you have brought in kiswahili simulizi. Its the best novel ever.
what is the name of the novel please!
Kaz nzur anko j ❤❤❤❤
Bonne Année ànko jay je te souhaite tous les bonheur du monde dans cette année❤nakuombea kwa mungu umri mrefu wenye manufaa kwako na famille yako,mungu aibariki kazi yako,najivunia kua mwanafamillia wako,from burundi🇧🇮🇧🇮2024✌
Kazi nziri sana Ankojay tuna anza mwaka vizuri sana🎉🎉
Zamwaka mpya kakangu ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😊😂😂😂 Anko we mzuri sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Daah Asante San kwasimulizu Zur San ❤❤❤❤❤
Kaka mtamu simulizi nzuri sana
Asant anko kwako pia 🎉🎉🇰🇪
Naaaaam
Alven Ana mpenda awache maneno menge mapezi hayo❤❤❤
😅😅😅😅❤❤❤kabisaaa anajifanya kauzuuuuuu😂😂😂😂❤❤
Rafiki kama wa lissa bado wapo jmn❤
Mwaka mpya kwako pia Anko Mahela,Ahsante sana kwa simulizi yetu,tuko pamoya sana.
Nilichelewa bt nimefka🎉🎉
To be continued ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Weee!! Hii ni nzuri
Waah hii nayo ni movie ya simulizi ❤❤😊
Natamani rafiki kama wa lisa❤❤
Nimekua wa Kwanza leo jaman wanafamia wa anko jey ❤❤🎉🎉
Mhhh Asante sana
Shukurani san kwa simulizi nzuri ❤❤❤🎉
My brother kazi nzuri sana ❤❤
Ooohoooo nimechelewa ivi kweli,😂sjapenda
Thanks jjj kwa simulizi zako nimezipenda san
Heppy new year anko jay na familia yote ya simuliz mix.nawaombea her na baraka katika mwaka huu mpya.
Mashaallah leo nimewapi na ww pia kheri ya mwaka mpya
🎉🎉🎉 nilikuwa nimemiss sauti mupya ya anko jay❤
Kheri🎉🎉ya mwaka mpya ankojay🎉🎉😂❤❤❤❤❤
Happy new year kwa wana family ya Ankojay 😊
Happy New year anko j na wanafamilia wote wa simulizi mix,mungu azid kuwaweka mpate kutupa mautam
We ni mzr sana anko jay shida ata arvini❤❤❤
Tupo salama na mwaka mpya sote mungu nimwema
Happy New year anko Jay na wanafamilia wenzangu haya tunaanza mwaka na binti Lisa 🎉🎉🎉 tunaburudika na kueleimika like zenu jaman na asante anko jay❤❤❤
Same to you Ankojay the voice I can’t wait to hear for another day , week , month, year to come bring the deepest ocean voice love it
Happy new year from kenya 🇰🇪
Asante sana kwa story tamu❤❤❤❤
Weweeeeeeeehhhh Lisaaaa ❤❤❤❤❤
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤❤❤
Nilikumiss mno Anko jay wangu ❤❤❤
Happy New year 2024 Unkojay.
Sisi ni wanafamilia Yako.
Hii silulizi kila mara nachungulia kwenye app ya dully stores ila hola asnte ako j kwakuileta uku ❤
Thank youuuuuuu so much 💞 anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
Karibu tusange na binti Lisa
Kitu cha kufungulia mwaka hicho🔥🔥🔥
Asante sana Ankojay ❤❤❤
aise simulizi tamu saana
Happy new year to you too anko jay much love ❤ from kenya🇰🇪
Jamani anko wetu shukran ❤❤
Anko tuleteye part 2 tuache kuhaha tukiyitafuta tumepowa sana mujomba 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Happ new year to u to Ankojay ❤
Anko j mzuri mashallah tushakusifia 😂😂
Happy new year for all fans wa anko j Simulizi,asanteeee
Meilleur voeux Ankojay et merci de nous donner une nouvelle Simulizi.
Miss u uncle jay....🎉..happy new year to u.
Ni mara ya tatu nasikiliza😂💔, to be continued 👌
Happy new year wapendwa nawaombea mwaka wenye baraka tele
Nimefika ❤❤
Part 02 Ya Binti Lisa Hii Hapa ruclips.net/video/3G3UmQnNDY0/видео.htmlsi=-AyL_rQtlDxqa9QE
NAwewe pia kheri ya mwaka mpya, anko j mbona hujamalizia mume wa mtu mtamu ,❤
Namimi wamwisho naomba like zangu jamani 😋🎉🎉
Happy new year to you Ankojoy🙏🙏mungu akubariki
Waooooh ahsant anko jey mungu akubarik sana
Yaani nimechelewa sana mi ndo naanza kuisikiliza
Kheri ya mwaka mpya kwenye nyote nawapenda sana familia ya anko jay❤️❤️❤️❤️❤️
Happy New Year 🎉🎉 ankojay nice job ❤️❤️❤️ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Happy new year 🎉🎉🎉🎉 duuuh kuna watu na viatu😂😂😂😱😱😱😱👀👀👀
❤️❤️❤️
Anko jay umekuwaje sikuizi yani hadi tunakumiss mpaka basi😢😢😢😢
Daaaah bor umeleta nyingne maan nilikuwa naumwa mnooo
Happy new year too anko jey,🎉❤,my Allah protect you n your family
Nimeanza Leo kusikiliza
😂😂😂 Safari njema, ukitukuta utuambie
Deuxième partie,meilleur vœux anko Jay🎉😊❤
Happy new year Anko j🎉🎉 Asante sana kwa sumulizi zuri unazindi kupa kwakweli unanipa faraja sana kwa sumulizi zuri.Mungu akupe maisha marefu
Kazi nzuri sana ankojay
Asant. Nawe pia. Kiukweli tunamshukur. Alla kwauzima. Na kuuona mwaka. Mpiya kwa uwezo wa alla. Maana wengine hawakubatika kuuona. Shukran. Sana. 🥱
Uwakika sana broo😊😊😊
nice ❤
Happy New year to all anko J family ❤
Kazi nzuri Anko Jay,listening from Kenya,much ❤
🎉🎉
❤❤ penda san
Nikiwa wa mwisho nipeni laki zangu😢😢😢😢😢
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
Nakwako pia anko jay ubarikiwe sana❤❤❤❤❤❤
Yani simulizi hii ni 🔥🤭😂🤣🤣🤣
Happy new year ankoo j na mwanasimulizi wa anko j