BINTI LISA - PART 05
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Hakuwa na la kusema. Alitamani bora angekuwa paka tu kwa alvin kuliko kuwa mke wake maana paka alikuwa na thamani kuliko yeye. Paka hakuweza kumhudumia bwana wake na alifurahia fursa ya kukaa katika ya nyumba ya kifahari!