ODAMA - LOVE STORY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • ODAMA ni binti ambaye alitamani saana kufanya kazi kwenye hoteli ya five stars, ili atimize ndoto zake, alipata nafasi ya kuonana na boss wa hiyo hoteli na akamwambia anaweza akapata nafasi kwenye hiyo hoteli, ila katokea kumpenda na anamhitaji kimapenzi ndipo ampe kazi, ODAMA alikubali na akampa penzi, Je! kipi kilichofata? maamuzi aliyochukua Boss yanaifanya story hii iwe tamu na yakuvutia.
    ungama nami LUCAS LUMBASI katika simulizi hii ya ODAMA

Комментарии • 105