Mwamba ume nikumbusha mbali sana niliwahi ambiwa tuachane 😂😂😂 n machoz tu mie sikuamin eti kisa bibiake amesema mm n mbari mbaya au mlango mbaya maana ss twaishi Kenya lakin ni wachaga wazaramu lakin hatujaenda kwetu sasa bibiyao alisikia hivyo akasema n mbari mbaya ok si nikamuliza na ww umeamuaje akajibu nimeamua tuachane 😂😂😂moyo wangu mie ulivunjika vipande vipende sikuwa na lia ila machizi yalinitoka bila kujua kisha aniuliza eti walia nimjibu nn jaman
Nimewahiii jamnii ❤❤❤
🎉🎉🎉
Shukrani sana kaka lucas kwa burudani .wallah umekuwa faraja kwetu mashabiki.kaka huboi wala hupoi
Karibu saaaana🎉🎉
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI ahsnteee
Thankx broo ubarikiwe ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Namie nimewai 🎉🎉🎉💃💃💃
Nimewahi km kawaida yngu🎉🎉🎉🎉
Sofii mamb
Kak Lucas shukran san kwa simulizi zako zanifunza kila siku uzidi kubarikiwa🎉🎉🎉
Amin
Só a primeira hoje tô apedir like 🎉🎉🎉🖤🎉🎉
Na huu umeme wa leo😢😢😢shida tupu🎉🎉🎉🎉
Cyona sema ukwel tu mana jmaa kashasema.yy ata kaz ataacha kwaajil yko skiliza moyo wko usipelekeshw na vitsho
Cyiona weeeh SEMA vitimbi utaviona
Shukran kaka Lucas kwa simulizi nzuri❤❤❤
Nzur sana
Lucas hauna majivuno pokea🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yakoooo
Santee nimeyapokea🎉🎉
@LUCna yangu hayo 🎉🎉🎉AS_LUMBASI_SIMULIZI
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZInafurahishwa pia unapata muda wa kupitia coment za shabiki wako,utafika mbali sana kwa kujituma na kujali pia
Nice story be blessed kwa kazi nzuri unatupatia kila siku ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wa 5 jamani❤😊
Asante sana kaka Lucas Lumbas tunakupenda sana ❤❤❤❤
Me too ❤
Asante ubarikiwe kakayetu kipez❤❤
Amin
Usichelewe basi kumepoa sanaa siku hizi😢
Wapi jamani kumepoa😢
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI kwa account yko kuko ziii
Jaman vyakula ambavyo havinenepeshi ni vip naombeni mniambiee
Naomben like zenu wa kwanza leo
Leo imenibidi nisikiloze ndipo nitoe comment,aseeeeeeeh unatujulia sana bro pongezi kwa waandishi wako maua yenu🎉🎉🎉
Mapenzi ni hisia mwamba kashikika😂😂😂❤❤❤❤
Hisia nzuri yakiwemo mapendo ya kweli
Mungu akibariki unatufunzaa mengi sanaa jmni
acha niwape likes tu hata ka hamnipei🎉🎉
Asantii kaka Lucas huna baya🎉🎉🎉
Karibu saaaaaana😊😊😊😊
Kaz nzur hakik tunafarijik kupitia hiz simuliz kaka wew na waandish wako mpewe yenu🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Ciyona tupe udaku
Nimewahi leo
Naomba like zenu nimejitahidi kuwahi
mungu ambariki lucas lumbs
Amen🙏 😊😊
Amin
Kaka Lucas simulizi zako ni nzuri sana ila naomba uongeze sauti kidogo
Duu sauti ipo chini mumy??🥹🥹
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Ndio
Au labda ni simu yangu!
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIIko kawaida tu
Simu yako dear 😅😅😅😅
Hongera kaka,ciyona una nyota funguka dear
😂😂 unafrahisha xn lucus ulivyobadilisha ukiwa unawapigia watu❤
Jamn mm ndo yule yule naomben like zenu hat tano 2
Zimeshazid ulizoomba
Hat me sikujua km zimezid asanten san wote mliolike nawapend sanaaaaaa
Shukran sanaaa kak🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Du ciyona wa 9 kama mimi na wamwisho kama mimi pia😅😅
Mwamba ume nikumbusha mbali sana niliwahi ambiwa tuachane 😂😂😂 n machoz tu mie sikuamin eti kisa bibiake amesema mm n mbari mbaya au mlango mbaya maana ss twaishi Kenya lakin ni wachaga wazaramu lakin hatujaenda kwetu sasa bibiyao alisikia hivyo akasema n mbari mbaya ok si nikamuliza na ww umeamuaje akajibu nimeamua tuachane 😂😂😂moyo wangu mie ulivunjika vipande vipende sikuwa na lia ila machizi yalinitoka bila kujua kisha aniuliza eti walia nimjibu nn jaman
Asante kaka Lucas
Karibu tena mumy😊😊😊
Hum mampenzi ni noma😂😂
Neeno sikutaki kuazia Leo nililisikia ndani yangome yamasikio yangu 2003😭😭😭😭😭😭nilivyomasikini jeuri sikubishaa utanitafuta.ogopa sana mwanamkeuliemkataa halafuu akatoa choxi aise subiri matokeo🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera kaka❤🎉❤
❤️❤️❤️💋🇴🇲duuh mtumzima ovyookhaa🎉🎉
Sehem ya pili haraka upesi
Mhmm,mara dhambi,hata siku haijapita denda😂😂😂 mapenzi shikamoo😂😂
Nice story ❤❤❤
Lumbas👍wewe urisha tugeuza walevi wa simulizi zako mbwana tumalizie Arian tujuwe mbici nambivu😁😁😁😁
❤❤❤❤❤
Pongez🎉
Nc kaka ❤❤❤
❤❤
Mapenzi mapya matamu jamn kuliko chichote cha kula,,yakiingia uchungu yanauma kuliko ugonjwa wowote
🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa nin huyo Ciyona asingemwambia tu ukweli huyo Migweli ?kuumizana tu
❤❤❤😢
🤣🤣🤣🤣 nice 👍👍
🫢
Wa 5 jamani❤😊
♥️♥️♥️♥️♥️
❤❤❤🎉
🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤