@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI umeshndw jmna kustahamili majonz peke.yko ndo umeona utupe na ss mna gabby ni majonz matupu Sacha ana afadhili naona🤣🤣🤣mna zote ni huzuni tu ila gabby amezd yy
Ila watu wenyepesa niwabaya kweli inamanisha watu tumesha tokwa na utu hakuna kusaidia watu wanao itaji musaada masikini Gabriella yaani katika maisha haya itabidi tuache kusaidia watu kabisa, hakuna cha kumuzika Gabriella Mungu yupo upande wake nahuyo mama ataumbuka kwakukurupuka kumuathibu bila kupeleleza kwanza na asikali wote walio husika watajuta pia kwakupoteza vibaluwa vyao na kusweka jela shenzi zao.
@@Evelynmoreen3655 hili ni move la kihind mna me cjaona kaz ya askari walio fanya zaid ya kumtesa mtu acye kuw na hatia na uyo mama yy kukurupuka kufnya maamuz atajuta nakwmbia
Hisimuliz imekaa kma move la kihind mna ndo inakuwa kma hiv sheria inakuw kipofu mwenye haki ndo anaonew na mweny makosa akawa huru bc ndo hili move la kihind kbsa mna maelezo ya gabby yanajitosheleza lkn askar wla hawafany uchunguz wla nn wamemshukilia mtu mmoja tu na kumpga kwn mtuhumiw anapigwa ivo ila ndo ishakuw simuliz tu 😢😢😢
@@Babyfaty-m3y inasikitisha sana na huyo mama ataumbuka nakujutia maana kama musaada Gabby ameitoa lakini mwishoni akaonekana yeye nimutuhumiwa wanadamu wengine sio watu wazuli.
Gabriela haya matatizo kajitakia, uliona wapi mtu uokote mtu amejeruhiwa wabebana nae kwako nyumbani, hio inatakiwa uwe unajiamini, yy mwenyewe shida zake zinamshinda alafu unajifanya msamaria, kwa kumsaidia huyo dogo angeita watu waje waone kama ni msaada ungetolewa na jumuia, lakini yy amejitwika mzigo usio muhusu,
Gabriella mzuri jamani🥰 ila sasa huruma yake, huruma yake maskini inamuweka mahali pabaya saaaana😢😢...
Mbona cio y Jana bro
@@Ivyagua yenyewe inatoka usiku
Kaka Lucas tusije kuanza kutowana machozi tena maana binti yangu Gabby kafanya nini tena😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🍕💪🤣🤣
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI tulipagawa na Sacha ndio maana twauliza sana🤣🤣
Gabriela yuatoa machoz jamn🎉🎉😮
Ngoja nikaye kitako mana imekuwa nimemisi sauti ya lukasi lumbasi❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Alipangalo Mungu haliwezi shindikana kamwe💪
Mwabie.pole tunamusubiri kwahamu ubarikiwe kaka yetu kipenzi 🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Asante Lucas kitu Cha mafunzo sana❤
kwakweli adisi nzuri tuna subiriyatu vole 3
Yaah watu wa lucas hampohi wala haboi🎉🎉❤nawapend wot tunaofatilia simulizi za lucas
Jamani wewe Dada jinalako limenifanya nimkumbuke Roma Ramon😢😢
❤
Asante sana Lucas kwa kutuletea simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Garbriella ananitoa machoz jaman😢😢 ogopa mtu anaekuachia mungu
Watu mbwana 😢😢 umasikini mtihani kweli😢😢
Jaman Gabriella wee mbon mzurii❤
kujeni haraka huku ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii simlizi imeniliza sana Gabriella anavyo pigwa
Asante tumekaribia..ila Sacha part 2..kaka lucas
No1🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Gabriel ❤❤ nisimulizi tamu sana pongezi kwa Lucas lumba kwa sauti tamu mno
Jamani NAITWA LUCAS LUMBASI 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
😂😂😂😂@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweny keyboard yke.hamna si ndo mna 😅😅😅@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI😅😅😅jamn
Wakwanza Leo ❤❤
Kaka Lumbas nakuini hujawahi kudondosha mzigo mwepesi
Mwendelez jmn ❤
🎉🎉🎉🎉🎉moto mwingine ❤
Huyo mama mpuuzi kweli yani 😏😏😏
Shukran kaka Lucas kitu mpya team Gabi hoyoooooo❤❤❤❤
Asante kwa simuliz kaka lukas
Kitu kipyaa ❤❤🎉🎉😊
Wakwanza
Lucas part 2 ya Sacha please tumalizie
Wa kwanza maua ya kaka lukas jamani🎉🎉🎉🎉🎉
Yaaan era asa ivi ndo inatutesa sis masikini 😢😢😢😢
Safi sana bro l❤❤❤❤ 💯
Dhuu kweli binadamu hawana wema yaani wema wote alioufanya huyo dada lkn hamuoni 😢😢😢😢dhaaa Mungu amsaidie to hoyo mtoto yatima😢😢😢😢😢
Lucas tunakudai simulizi ya jana..team yako ilifunga ukasema unaleta simulizi 6pm haukuleta naongelea wengi😂😂😂😂😂
😂😂 yeah, umeme ukanipiga na kitu kizito, ila usiku Sacha anakuja, Sacha mwenyewe kanuna alijua anatola saa 9😅😅 ila Gabriella kamuovertake
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI hapo sawa...nina hasira kwamanake jana nilifungwa 🤣🤣🤣
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI usiku wa saa ngapi
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI umeshndw jmna kustahamili majonz peke.yko ndo umeona utupe na ss mna gabby ni majonz matupu Sacha ana afadhili naona🤣🤣🤣mna zote ni huzuni tu ila gabby amezd yy
Jmni hii pich mbn ya kwang Q😅😅 nafanana nae❤nae kwakwel huyu mtu
Mmmh hii mbona inaniliza 😢😢😢😢
Duuh dakika moja watu kibao😂😂😂 anyway nami nimejitahidi kuwah leo❤❤ like kwngu tafathali😂😂😂😂
Tunaombamwenderezo wasabirina jamanirumbasii
.. nasubili sacha sacha jmn mwendelezo uko wapi
Haya tunasikiliza hili tujuwe kafanyanini tena GABRIELLA TUJUWE SASA✌️✌️
❤❤❤❤❤❤
Wakwanza like zenu🎉
Gabriella mizuli sana jamani
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Safisana Kalmas Konzo,babayangu wa shule..kweli umeendeleza kupaji cha uandishi
❤️❤️❤️
Lukac kafungasha nn?kiribatumbo😂😂
Niisha chelewa duuh😢
🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani jamani pesa ni shatani asente Lucas lumbas
🎉🎉🎉❤
Kimeumana
Yaniii ad lahaaa ank atulali
Hakika mungu atamsaidia
..heeeee jmn jana siku lala me mpaka saa kumi na moja lkn SI mwoni sacha
@@HadijaSaid-n5p 🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn c jna ndo katoa sehem ya 1 unatak atowe na 2 au
😂😂😂😂😂😂😂😂 ukutee ulikuwa unaotaa simulizi ya Sasha 2
Tuenderezebasi Sacha
Maua Yako kaka Lukas love story
Nimelia jmn kha kwanini atupendani huyo madam Maku Kweli yani
❤❤🎉
Tunaomba sehem ya 2
Ila watu wenyepesa niwabaya kweli inamanisha watu tumesha tokwa na utu hakuna kusaidia watu wanao itaji musaada masikini Gabriella yaani katika maisha haya itabidi tuache kusaidia watu kabisa, hakuna cha kumuzika Gabriella Mungu yupo upande wake nahuyo mama ataumbuka kwakukurupuka kumuathibu bila kupeleleza kwanza na asikali wote walio husika watajuta pia kwakupoteza vibaluwa vyao na kusweka jela shenzi zao.
@@Evelynmoreen3655 hili ni move la kihind mna me cjaona kaz ya askari walio fanya zaid ya kumtesa mtu acye kuw na hatia na uyo mama yy kukurupuka kufnya maamuz atajuta nakwmbia
@Babyfaty-m3y ila ma asikali kama hao wapo wanao jali hongo kuliko utu.
Ivooo ivooo😢😢😢
🎉🎉🎉
😢😢siku hizi watu wenye pesa ndo wenye haki sisi masikini hatuna haki😥😥
🙄🙄🙄tumesubiri shasha kwa hamu 😢
Namba 1
Yani huyu mama atakuja juta sana mbwa huyu
Duuh kuna watu wana roho mbaya jmn 😢😢😢
🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Waoooo ♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🔥🙏
Dah amfanyiye ubaya yeye n'a amlete hospital ? Shiit😏😏😏
Gabriella ana patwa na nini jamaniiiiii 😢😢
Tnx❤❤❤🎉🎉🎉
Mama mpuudhi San.
❤❤🎉 thanks
Weuweee
Hisimuliz imekaa kma move la kihind mna ndo inakuwa kma hiv sheria inakuw kipofu mwenye haki ndo anaonew na mweny makosa akawa huru bc ndo hili move la kihind kbsa mna maelezo ya gabby yanajitosheleza lkn askar wla hawafany uchunguz wla nn wamemshukilia mtu mmoja tu na kumpga kwn mtuhumiw anapigwa ivo ila ndo ishakuw simuliz tu 😢😢😢
@@Babyfaty-m3y inasikitisha sana na huyo mama ataumbuka nakujutia maana kama musaada Gabby ameitoa lakini mwishoni akaonekana yeye nimutuhumiwa wanadamu wengine sio watu wazuli.
@Evelynmoreen3655 ndo mna unaambiw bora mfadhili mbuz utamla mchuz kuliko binadamu utapata maudhi
@@Babyfaty-m3y kweli kabisa maana Gabby aliambiwa nayule kaka rakini huruma yake ikamuponza.
@@Evelynmoreen3655 binadam hatuna jema ila uyo mama atajuta mna majuto ni mjukuu atapata na yy malipo yke
@@Babyfaty-m3y hakika
Sacha vp ss nilidhani ndio utaileta
Inakuja usiku
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI sw tutangoja Acha tuendelee na hii tujue utamu wake nayo
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI haposawa
Asante❤❤❤🎉
Wengesubiri Huyo Kijana Akamka Ndio Wamulize
🎉🎉🎉🎉❤
Na ham nione yule mama atafanyaje ikiwa mtu aliyemsaidia mtoto wake na kamtendea yote yale
💔💔💔💔💔😭😭😭
Gabriela haya matatizo kajitakia, uliona wapi mtu uokote mtu amejeruhiwa wabebana nae kwako nyumbani, hio inatakiwa uwe unajiamini, yy mwenyewe shida zake zinamshinda alafu unajifanya msamaria, kwa kumsaidia huyo dogo angeita watu waje waone kama ni msaada ungetolewa na jumuia, lakini yy amejitwika mzigo usio muhusu,
😂😂😂😂 ila ww najikuta nacheka
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Iman itatuponza
Shikamooni mnaoishi na pesa zenu mkitaka kila mtu kuwaabudu bila haki yoyote,ila Mungu yuko juu yenu siku zote,hata iweje siku yenu ipo tu 😭😭
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤