BINTI LISA - PART 08
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Asubuhi iliyofuata Lina aliporejewa na fahamu, alishtuka baada ya kumuona mwanaume aliyekuwa pembeni yake ambaye alikuwa akimtumbulia macho. Huku kila kitu kilichotokea jana yake usiku kikimulika akilini mwake, alihisi kana kwamba alikuwa ameenda kuzimu kwa mara nyingine tena. Mtu huyo alikuwa anatisha, kwa kweli.
Ako j nakupenda sana wwkaka simulizi zako zinanitowaka mastes sana
Asante sana ankojey kutupa utamu
Ila lisa jamanii et kaa mbali na mwanaume wangu😂😂nawapenda sana lisa na alvin❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Good job ankojay
Team Lisa mpo 👋mpe salamu Ankojay popote mlipo👋👋
Hahahahahahhaha❤ Alvin mweu
Mnataka like tu hamna ata aja ya kumpongeza anko Jay kwa kazi nzuri, kutuondolea stress kwa vigongo vitamu kama hivi, anko Jay shavu kwako kwa kazi nzuri❤❤❤❤
Hongera kwako anko jay kwa kutuondolea mawazo uku tulipoo
De legend Alvin ❤❤❤chonde msiachane jameni napenda sema alivlisa unatuangusha mtoto mbichi kabisa huyo 😂😂tatiz ukauz em fanya jambo
Sisem zambi anko nakupend San nataman niwe namwanaum Kam we
Familia ya masawe unatakiwa kujua mungu wa Sasa ni mungu kijana,anajibu asubuhhhhhh
Anko j unaimba wew au lisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Simulizi Kali sana inafuja mbafu
Hatimaye acha tuu awakomesheeeeeeee kwakweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo niko lastbon
Lissa kwann umetaka mkataba uvunjwe cjuy nn umedhamiria ucmuache alvin km ndo umepanga hivo😢😢
Anko jay congratulations kwel Binti Lisa n tamu kama ilivyokuw X❤
Wooow Asante anko jay ❤Tm Alvilisa like hapa❤
Penda sana alvn na lisa ❤❤❤❤
Nipo yanane kama mnarudia kama mimi nipeni like zangu😅
Asante sana anko jay ila unatutesa sana jamani unakaa muda bila kutuletea fulaha yetu ya bint lissa
Anko j upo vzr sna kwa kusimulia aisee😂😂hongera sna😊
Anko jay asante sana umetutendea haki❤❤❤❤❤
Alvlisa nakuku bali, ankjei
Mambo yanazid kunona nyie asante anko jay❤❤❤❤
Motooo unazidi kuwaka.lina lina ame9na anatengenezaa kumbeee anaharibuuu hivi mwanaume gani anaekupenda halafu akuachie ukachezeweee?
Woooow shukrani anko jay with team alvilisa nawapenda❤❤❤🎉🎉
Mwandishi jomba wajo apewe mauwa yake❤🌺🌺🌹🌹🌷🥀🌸🌼💐
😂😂jmn anko jay😘😘
Penda sana anko j kwa simulizi team sana
Nakupenda bulee jamani
Wakwanz leo aya like zanguuu
Anko Jay tunakushukuru sana kwa simulizi zuri
Yaan lina sikupend ww mshenz😂😂asantee anko j❤❤❤❤❤
Mambo safi vip nawew kipenz chetu ankoooo, wetu mapesa
Ankojay hii simulizi ni tamu sana mpaka basi yani nikiskiliza sitamani iishe
hila jamani simulizi ni tamu hongera Sana kina na kazi ni noma. Na nusu tunakupenda mnooooooo family yetu
Ahsanty ,, kipenz chetu ankoo wetu mapesa ,,tunakupendajee!! Hatari
Kwahio Alvin na Lisa mapenzi yao ya kiss tu
Mbona tamu sana hii simulizi jamani 🥰🥰🥰🥰🥰
Tunaomba Alvin na Lisa wasije kuwa kaka na dada jamani
Hongera sana anko jay 😊😊❤❤🎉🎉
Asante uncle J we ishi tu ❤️
Anko j Acha kutudanganya lisa aliimba ivo kweli😂😂😂😂😂😂
Lisa naalimficha Aliven ilesiku lina alimfanyia njama abakwee..lina ungejua lisa ako na picha zako zauchii hungefanya hiloo mana najua Alivine hatamuachaa lisaa.halafu huyu lina alitekwakivipi jamani halafu watekaji hawakumkata angalau kiungo kimoja iliiwekumbusho kwake mana anarohoo mbaya sana
Hatimae Anko Jay Ameshusha mzigo
Ancle thanks for part 8 am waiting for part 9 now am done with part 8 mapema tu
To be continued 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤
Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 asante kwa mwendelezo anko jay wetu maua yako haya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamn simuli nzur mashaallah haichoshi kusikiliza
Ahsante anko jay niliisubiri kwa ham sana
Ewe Mungu mlinde anko jay na wenye macho ya husda na umpe maisha marefu yenye tabasam amani upendo utulivu na furaha
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Amen
Kabisa watu hawa lala hapa kabisa chukue maua ya upendo ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Daaa jaman Nina wasiwasi kama Lisa na alvin ni ndugu alafu kuna kirusi kimeingia kutuaribia alvin wetu apa,🔥🔥🔥😍
Yan simulizi hii ni 🔥👌 🤭😂🤣🤣 AnkoJay Ahsante Sana 💐💐🙏
🛌📻😴
Lisa ni moto sana ,,ankoj nimejifunza mengi kwa hii simuliz ankoj,,mungu akupe maisha mrefu hapa dunia.
Hahaha 😂😂😂😂anko hapo kwenye minong'ono unanifurahisha sana😂😂😂
😂😂😂😂hatari
Namm 😂😂😂😂😂ananikosha kwenye mino ngono
Yani lina dunia ataiomba ipanuwe mdomo imumeze sik atajuwa kama William kimalo na Alvin kimalo kama ni wanandugu.
Tama yake itamponza atajikuta kijijini
Acha tungoj Anko Joy atume mzigo party 9
Acha weeeeeee ankoooo,🎉🎉🎉🎉 anko na wewe unaimba
Wooooooooo wapili leo naomba ata lik 10❤❤❤❤
Me nakupa 10 ulizoomba nakuongea zingine 2,000,000
Lina n Stephanie mtakula jeuri yenu
Asant san Anko jey❤❤❤🎉🎉 kwakazi zuli mungu nakup .maisha malefu san
Waah mambo ndio yanazidi kuwa Moto 😅😅😅
Anko jay naomba kujua hiyo sauti unayoimba ni sauti ni yangapiii ???? 😄😄😄😄😄,
Mambo ni moto 🔥🔥🔥🔥 Lisa na Alvin nawapenda san
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri,bado tuko pamoya.
Asate sana ako Jay ubalikiwe sana
Hongera anko jay Kwa simulizi zuri
Wale tulio kuwa tunasubiri tuone uromantic wa bwana Alvin tujuwane ❤😂
Nipeni like zangu
Dah kila cku nachelewa
Hujachelewa sana
Yani Anko jay wew kuimba hujuwiii kbx bora tuu utusimikiye😂😂😂😂😂 much love u ❤❤
Hatimay maana siyo kwatukausha roho uko😢 😂😂 chonde chonde Alvin na Lisa wasijekuwa kaka na dada tunaopenda couple yao tutaliya sana 😢😭
Wallah na mm mwenyewe pia naona itakua hivyo wallah nitaumia sana😢😢
😂😂😂😂
Part one nakumbuk km alvini alikuwa ana bibi tu sikusikia kuhus wazazi
@@jacklineghati6431 yea ni kweli lkn ww vile babake Lisa anatoka Nairobi na ata Alvin pia alizaliwa so wasije kuwa ni ndugu jamani
@@yusrambodze3804kwel hta mm nna wsws lkn Naona itakuw hivo na hta yle rfik wa mama yke amesema kma baba yke anamchng mkubwa kweny kampun huon kma ndo iyo family ya kimaro na ivo wanavo chelew kukutan kimwil me naona ni ndug awo ndo mna hawjlla pmoja mpka leo 😢😢😢😢😢😢ila hii smuliz nzr
Watu hawalali duuh hkk hii ni simuliz pndwa na kil mtu big up unkl jay tunkupnd san
Kazi nzuri anko jay❤❤❤❤
Jamani jamani jamani leo nimelala huku aisee😂😂😂😂😂like zangu wadau
Ponyezi kwamuandikaji namusimuliyaji 🎉🎉❤
Tem couple ya alvn na lisa gonga like hapa❤❤
Pia mm nahisi hawa Lisa na Alvin ni brother na sister
Wahenga walisema kikulacho kinguoni mwako rehema alimsaliti rafi um
❤ mjomba J
Mwendelezo pls ❤️❤️❤️
mm wamwisho sasa maan wakwanza wamekuwa weng asantee ankojay
Tim lisaa tukiamshe hapa
Leo wa pili laki zang anko jay ❤️🥰😍🥰😍💕💕
Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤
Jamani nipoo
Akno utaniwa na furaha ya kubadilisha sauti yako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ mungu alikubariki na kipaji❤❤🎉🎉🎉🎉
Leo tena wakwanza jaman like zenu
TEAM ALVILISA TUPO MACHO 😂😂TUKISUBIRIA HATMA YA COUPLE WATATA
Asante saaaana tamm tunaisubir kwaham saaaana ❤❤❤
Jamani mbn pambe❤❤❤🎉🎉
Part 11 Anko
Anko j asante sana usitucheleweshee bc
Jaman watu hamlali 😂😂 haya mliowah wote chukueni mauwa yenu🎉🎉🎉 acha ni 💺 🪑 tu enjoy pamoja na asante anko jay kwa muendelezo ❤❤❤
Anko jay hakikish bint lisa tunapat sizoni 2
Sasa Lisa anamnyoosha Alovin😅😅😅
Nilisubiri kwa hamu🎉
Wow kazi nzuri ankojay🎉
Anko jey mungu az kukbrki mna nvypnda smulz zko nkiamka 2 naingia naanglia kma umedondsha smlz mauwa yko hyo🎉🎉🎉🎉
congratulations anko j tumevumilia atimae umetuletea binti lisa part 8 ❤❤❤