BINTI LISA - PART 02

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • Akiwa amesimama gizani, Lisa alikuwa anaumia sana hivi kwamba alishindwa kupumua. Alikuwa amefanya nini hasa? Kwanini kila mtu alimtenda hivi? Alikuwa amevuliwa utu wake.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 299

  • @ankojay_
    @ankojay_  Год назад +27

    PART 03 YA LISA 👇ruclips.net/video/IBcPDoR9XYQ/видео.htmlsi=KrrTbPx7xXXIfcd5

  • @roseobara9091
    @roseobara9091 Год назад +5

    Nzuri sana

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 Год назад +14

    Ahsante saana mungu akubariki Anko Jay Lisa anateseka juu ya familia yake na bila sababu mungu ampiganie kweli.❤❤

  • @Rummy4871
    @Rummy4871 Год назад +6

    Kuish na mwanaume kama Elvin ni zaid ya swali mana hana upendo kabisa❤❤❤

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 Год назад +8

    We Ankojay wakenya niwarembo haswa acha maneno yako😂😂😂

  • @RehemaRey_3
    @RehemaRey_3 Год назад +5

    ankojy tuletee muendz wa binti lisa jamani unai chelewesha sana bhna 🎉🎉🎉🎉

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +15

    Wa kwanza kama kawaida yangu chezea kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z Год назад +6

    Anko jay shukran sana sana kwa simulizi mzuri yani wacha tu natamani kusubiria part three very nice one ❤❤❤❤❤❤

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Год назад +4

    Jmn nime chelewa ten 😢ila simbaya Asante sana anko jay mapesa😅😅😅🎉🎉 nakuku bali sana

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +6

    So sweet 💗💕 story haki ni tamu tena sana mungu akubariki sana anko Jay wetu kipenzi

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад +10

    Haya leo ni leo mambo ni moto 😂😂😂😂anko asante xn ❤❤❤❤

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +18

    Kujeni kujeni kitu moto kwa hewa nishawahi kama kawaida 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 Год назад +10

    Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤

  • @batoolmwajuma3000
    @batoolmwajuma3000 Год назад +7

    😂😂aiseee,, wadau ,, hii ndoa, ya lisa na , alvani ,, duuu nikizazaaa, aiseeee mhh , kama ndoa zenyewe ndo hiziii,, bora nikae singo

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Год назад +14

    Daaaah Lisa Pole sana....Lkn Mungu hamfichi Mnafiki...soon utafurahia 😢😢😢Ndugu tunadidimizana Namna hii.

  • @kerry8854
    @kerry8854 Год назад +8

    Ankojay congratulations bro..ur sweet voice uou make it really ...listening from USA...Texas......please leta part 03 ..nampenda lisa sana na Alvin❤❤❤❤

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi Год назад +6

    Nimeumia aki jamani dadangu lisa jamani ulikosea wapi jamani🥹🥹🥹🥹😥😥pole sana dada naumia kweli asate Ankoj kwa kazi zuri sana ❤❤❤❤❤Love you so mach

  • @anunalamin6472
    @anunalamin6472 Год назад +8

    Subutu anko jay sisi wakenya ni warembo bwana😅😅

  • @JulieMJ
    @JulieMJ Год назад +14

    This story is super nice,kudos Anko J

  • @HajraBakari-g1t
    @HajraBakari-g1t Год назад +7

    Duuuh Lisa pole sana kipenzi mungu atawalipia

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +6

    Asante anko kwa simulizi hii nzuri yenye kuburudisha kuelimisha na kuhuzunisha❤❤❤❤

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 Год назад +14

    Jaman binti lisa😢😢lakini mwisho we utakuja kufrai😊😊😊

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Год назад +4

    Mashallah anko Jay Allah akubariki sana tunakupenda sanaaaa habibi

  • @TsfighoCjkgoyy
    @TsfighoCjkgoyy Год назад +4

    Mwenyezi mungu ampinganie lisa kwakeliatashda vita hivi

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 Год назад +12

    😂😂kila mtu wa kwanza aya na mimi wa mwisho tuone lisa atafanikiwa kuwa shangazi

  • @DorocasNdunge
    @DorocasNdunge Год назад +6

    Kazi nzuri sana anko jay

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 Год назад +10

    Wa kwanza leo ❤❤❤ thanks sana kwa simulizi poa

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад +6

    Ahasante sana Anko jay Kwa mwendelezo ❤❤❤❤🇴🇲🇴🇲

  • @aminah9557
    @aminah9557 Год назад +5

    Leo nimekua kwenye kumi bora na mm dhaaa much love from saudi Arabia

  • @RosyAshy
    @RosyAshy Год назад +11

    Representing kenya niko ndaani🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rosegesare8405
    @rosegesare8405 Год назад +4

    Good job 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Год назад +4

    Jamani lisa❤❤

  • @rukundoclementine6472
    @rukundoclementine6472 Год назад +3

    Apo sawa ankojay nikwa nayisubiri kwa hamu jamani😂😂

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 Год назад +2

    Ankojay nisamhe sn nimesikilza lisa kuchelewa kwa sababu ambazo ya mbz but niko pamoja na ww❤❤❤❤❤😢

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt Год назад +4

    Mimi wa mwisho 😅😅nipeni like zangu

  • @mikidadijosephmikael9656
    @mikidadijosephmikael9656 Год назад +6

    Kwann wanamtesa sana dada lisa😅❤❤❤

  • @evelynlyimo1557
    @evelynlyimo1557 10 месяцев назад

    Wakenya😂tumeambiwa tukule chakula cha paka,le pus pus,,hatuna shepu bora etii..😅😅😂😂😂😂❤ kudadadeki anko

  • @KhairathLwoga
    @KhairathLwoga Год назад +5

    Hii inatoka Kila baada ya siku ngapi ❤❤❤🔥🔥🔥

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl Год назад +3

    Nzur sana

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l Год назад +5

    Simulizi tamu kweli achia ya tatu Ankojay ❤

  • @AjrasMobile-q8j
    @AjrasMobile-q8j Год назад +4

    Dah pole sana lisa😢

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +4

    Ahsante Ankojay acha ni 🪑🎧😅

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Год назад +6

    Thanks Ankojay ❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pamoja

  • @Rahema123
    @Rahema123 Год назад +5

    Nipo apa nimekaa 🧘‍♀️anko J naisubiri kwa hamu sehemu 3 jamani 🎉🎉

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Год назад +3

    🎉🎉🎉🎉 maskini Lissa❤❤

  • @Rahema123
    @Rahema123 Год назад +6

    🎉🎉🎉Good job ❤ ❤ 🎉🎉

  • @VerdiqueNikuze
    @VerdiqueNikuze Год назад +5

    Finally I'm the number one 🎉

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Год назад +13

    Wa61 jamani nipeni like zenu teletele 😂😂😂♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph Год назад +10

    Ahsante sana Anko Mahela kwa muendelezo wa simulizi yetu iliyo nzuri,bado tutakuwa pamoya,shukran sana kwa kazi yako nzuri.

  • @user-solange968
    @user-solange968 Год назад +4

    Wazazi wazazi wazazi juweni maneno yakuwambiya watoto wenu

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 Год назад +4

    Lisa pole mungu atakulipia mpenzi

  • @reginarichard3349
    @reginarichard3349 Год назад +6

    Pole sana Lisa😭😭❤❤

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 Год назад +14

    Taratibu jamani😂😂naomba like 1 tu

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Год назад +3

    Ahsante ❤❤❤❤❤nimekarribia

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en Год назад +2

    Sawa Kaka nakuelewa sana asante

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Год назад +5

    Mmmh kwani mm napata simulizi late 😢sijapenda anyway twende nalo 🎉🎉🎉🎉

  • @khadijamohamed8170
    @khadijamohamed8170 Год назад +8

    Wa kwanza leo❤❤❤❤

  • @SaumuBaby
    @SaumuBaby Год назад +5

    Nyingine kwa mpigo basi 😂😂

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi Год назад +1

    Pole sana lisa

  • @mwatimemwanasha9373
    @mwatimemwanasha9373 Год назад +4

    Tamu sana 😊

  • @PiilyYusuph
    @PiilyYusuph Год назад +3

    Daah mpk nimelia mateso anayo pitia Lisa pole san ukitok salam akikisha unalip kisasi ten cheny maumiv na hao

  • @mimi_Elikar
    @mimi_Elikar Год назад +4

    Better late than never .. nsha jiwakilisha kwa part 2 .. thanks Anko Jay for this intresting story

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 Год назад +4

    💃💃💃💃💃wow nimewahi kwa ndoa ya wengi😂😂😂

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 Год назад +25

    ᴬʸᵃ ˡᵉᵒ ⁿⁱᵒⁿᵉ ʷᵉⁿʸᵉ ʳᵒʰᵒ ᵐᵇᵃʸᵃ😂😂😂

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri Год назад +7

    😢😢😢Duh huyu dada anapitia magumu sana

  • @Fatum112
    @Fatum112 Год назад +4

    Loo.nimechelewa ila nimefika acha nipate kitu roho inapenda 🎉🎉🎉❤❤❤❤ safii sana Ankojay mach love ❤❤❤😊

  • @christinachande2260
    @christinachande2260 Год назад +5

    Wakwanza mie❤❤❤❤❤

  • @nancygitonga3282
    @nancygitonga3282 Год назад +2

    Anko J happy 2024. May God keep you, increase you and bless you and your good work

  • @HajraBakari-g1t
    @HajraBakari-g1t Год назад +2

    Ankjay tunasubili tu mwisho wake maan naamin mwish wake utakuwa nzuri tu

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 Год назад +4

    Good job ankojay allah akubariki

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 Год назад +5

    Aaah watu mnakimbia banaa yni mnasubiri2 anko jey update new simulizi wa2 haoo...anko jay ulishaturogaa katutegueee😂😂😂

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Год назад +3

    Ubarikiwe uncle

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 Год назад +4

    Asante kwa muendelezo Anko j 🙏❤️❤️❤️🎉🎉

  • @Shadia544
    @Shadia544 Год назад +7

    kumbee teyari haya tunasikiliza hapa ankojay maana tujuwe mwisho wakee BINTI LISA 🥰🥰🥰

  • @joyellie5089
    @joyellie5089 Год назад +5

    ❤❤❤❤❤❤ from Kenya

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 Год назад +2

    Wow nice 🎉🎉❤❤❤

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Год назад +5

    Mwanamme jeuri huyu Lisa nae mvumilivu

  • @LisperNjeru-bv3gb
    @LisperNjeru-bv3gb Год назад +3

    Waoow thenkes allot ankojay ❤❤❤❤❤

  • @MariaMa-n5b
    @MariaMa-n5b Год назад +5

    Leo niko top.ten team fulus

    • @BINTIHAMISI-c9p
      @BINTIHAMISI-c9p Год назад +1

      Team isio toka online 😂😂😂😂

    • @MariaMa-n5b
      @MariaMa-n5b Год назад +1

      Online ndio itatupea furaha na kututia nguvu

    • @polinlizzlizz
      @polinlizzlizz Год назад +1

      😂😂😂😂watu wenye mnalala humu humu tuu

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +4

    Simulizi ni tamu kama ya X ..waoh...maskini LISA😢😢😢

  • @RukiaYasini-dm1tr
    @RukiaYasini-dm1tr Год назад +3

    Asante anko jay kwa simulizi tamu❤❤❤ mungu habaliki mikono ya kazi yako❤❤

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 Год назад +2

    Asate sana ako Jay ubalikiwe sana

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 Год назад +1

    To be continued 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 Год назад +3

    Heiwaaa😂thanks anko j 🇰🇪🇸🇦

  • @dismasMahamba-qx5hz
    @dismasMahamba-qx5hz 10 месяцев назад

    Atar sana 🙋🙋🙋

  • @Wamburus
    @Wamburus Год назад +3

    Weeh ppl go through pole.lisa bt we wish all the best with Alvin can't wait for part 3 ankojay as usual we i love you so much❤❤❤❤ kipenzi changu

  • @fatmasalum8334
    @fatmasalum8334 Год назад +2

    Alvin mchaluko leo amesifia duh😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +2

    Lisa pole sana hayo yote yatapita Mungu akusaidie

  • @NdayishimiyeLadislas-jv9ee
    @NdayishimiyeLadislas-jv9ee Год назад +1

    Sijuuw.uyuka.ni.dada.anarobayaa😅😅

  • @EsherMacha
    @EsherMacha Год назад +5

    Wakwanzaaaa🎉🎉🎉

  • @Happiness-eh4jc
    @Happiness-eh4jc Год назад +4

    Asante sana ankojay hatimae part2 imetoka maana nimeisubr sana

  • @RusyJackson
    @RusyJackson Год назад +4

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @salamafundi3252
    @salamafundi3252 Год назад +77

    Leo zam yangu naomba like zenu

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Год назад +2

    Dah story nzuri sana! ❤

  • @WardatAbubakar
    @WardatAbubakar Год назад +17

    Am so happy with this story 😊

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 2 месяца назад

    Maskinii lisa anapitia magumu jamanii😢ila yana mwisho wake

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 Год назад +4

    Nimewahiiii

  • @LispaKadzoKalu
    @LispaKadzoKalu Год назад +4

    Yani inauma sana pole Lisa ila wazazi jamani mbona tufikie huku😢😢

  • @SophiaMillazi
    @SophiaMillazi 10 месяцев назад +2

    Jamani leo zam yangu like zenu

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 Год назад +3

    Wow Asante Anko jay❤