BINTI LISA - PART 03

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии •

  • @ankojay_
    @ankojay_  Год назад +7

    LISA PART 04 👉 ruclips.net/video/AJ581ykP89A/видео.htmlsi=Lg_Hng06q4NfOqzv

  • @AjrasMobile-q8j
    @AjrasMobile-q8j Год назад +6

    Akili za kuambiwa changanya na zako dear marafiki siku zote wanakushauri mema na mabaya pia

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Год назад +8

    Khaa Alvin anagubu kweli 😂
    lla gubu lake ni zuri maana linafurahisha

  • @SophiaMillazi
    @SophiaMillazi 10 месяцев назад +2

    Mungu kubaliki anko jay

  • @ZuuAbuu-q1g
    @ZuuAbuu-q1g Год назад +10

    Oo oh 😊,, hakika nlikuw nasbiria kwaham ❤❤ kuskia simuliz tamu kutoka kwa mkaka mweny saut yake RUclips

  • @SalimaNzeyimana
    @SalimaNzeyimana Год назад +1

    Nzuri sn

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi Год назад +3

    Masikini pole lisa

  • @Fathum763
    @Fathum763 Год назад +6

    Mie s mpez wkucomment lkn hii imebd smulz tamu sanaaaa🎉🎉

  • @MussaMussa-gf4hv
    @MussaMussa-gf4hv Год назад +1

    Kweny sherehe kubwa kama anko jay kuowa😂😂😂😂 mh mitihani

  • @KemmyPrince-m6h
    @KemmyPrince-m6h Год назад +1

    Wa mwishooo

  • @betymgaya-p9l
    @betymgaya-p9l 11 месяцев назад +2

    Watuwazuri huja nahuenda

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Год назад +4

    Dah Alvin usilolijua nisawa na usiku wa giza Nene!

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Год назад +3

    Ivi Anko yule demu wako wa kipemba niaje?😅😂😅

  • @MussaMussa-gf4hv
    @MussaMussa-gf4hv Год назад +2

    Mbuzi masawe anko jay bwana

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa Год назад +4

    Asant Ankojay kwa simlizi yenye mafundisho sana mungu akubariki sana

  • @BINTIHAMISI-c9p
    @BINTIHAMISI-c9p Год назад +3

    Jaman Anko hongera ❤wapendwa wee mkaka wewe

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +8

    😂😂😂house mate 😂😂😂 wanafurahisha hawa

  • @suhailaomar307
    @suhailaomar307 Год назад +2

    Weweeeeee❤❤❤❤ we anko jay nakunyoshea mkono binti lissa😘😘😘

  • @RehemaStephano-e3p
    @RehemaStephano-e3p Год назад +5

    Nmependa hapo wanapong'atana jmn😂😂😅😂😂😂

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Год назад +3

    kwakweli hii hapa hii niya moto🔥🔥🔥🔥

  • @janethisdory7769
    @janethisdory7769 Год назад +4

    Fungua mwaka hii ninzur sana tena sana

  • @MacrinaSalama
    @MacrinaSalama Год назад +1

    Lisa pamoja na haya yote ,usikate tamaaa😊😊

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад +4

    Woyoooo pamoja sana anko jay 🇴🇲🇴🇲🇴🇲❤️🥰🥰

  • @yusrasalim75
    @yusrasalim75 Год назад +4

    Nimewahi jamani mpk raha 😘😘

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 Год назад +4

    Anko jay ambia muandishi saa kumi atuangushie zigo la bwana Alvin 😂😂😂 Alvin ananipunga sna jomba wajo himiza kazi plz

  • @betymgaya-p9l
    @betymgaya-p9l 11 месяцев назад +1

    Inahuzuniii sana sana

  • @Aisha-p1r4z
    @Aisha-p1r4z Год назад +3

    jamani ankoj nakupenda unasimulia vzuri hadi nakupenda

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Год назад +3

    Mashallah anko Jay shukran kipenzi chetu Allah akubariki akupe afya afuwa

  • @hawrashabani2102
    @hawrashabani2102 11 месяцев назад

    Wow inko jei hi simuliz jmn nitamu mno thank you

  • @zarinarahab
    @zarinarahab Год назад +5

    Hongera sana kakangu mungu akubariki Tena akupanulie mupaka Yako yakazi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🌹🌹🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saudaamohammed8743
    @saudaamohammed8743 Год назад +7

    Nilikua nasubiri kwa hamu ngoja nisikize❤❤❤❤asante anko

  • @mariethamasika9125
    @mariethamasika9125 Год назад +4

    Cjachelewa sana....kiti changu kipo😊

  • @Alvilisa
    @Alvilisa Год назад +2

    Ongera sana ankojey kwakutuletea kazi Zuri I love you ankojey❤❤❤❤

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg Год назад +5

    Woyooo🎉🎉 Anko leo umeweza

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 Год назад +2

    Sauti Ya anko na muonekano Yani daaah anko Upo na sauti nzuri sn na haswa pale unapo sema yani kama anko J Alivyo mzuri😜😜

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Год назад +4

    Jmn anko jay leo nime lala hapa 😅😂😂 jmn daah Asante babaa kwa mwendelezo mauwa yako hayo🎉🎉😊😊😊😅

  • @MariamuKilindo
    @MariamuKilindo Год назад +1

    Asante san ankojay kwa simulizi nzur tha🎉🎉🎉❤❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +9

    Wakwanzaaa ankooo asante kwakibao cha lisaaaa❤❤❤

  • @DeboraMwasweba-ij4qf
    @DeboraMwasweba-ij4qf Год назад +6

    Nimewahi ❤❤🎉😂😂senkyu anko jei

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 Год назад +3

    Jamani mbona ni mambo ni mangumu kwa Lisa ameyatimba rafiki yake uyu sio poa ya yy bila kufikiliya amekuvari kufanya ujinga Sasa sijui itakuwaje hila kakayang anampenda yataisha tu hila samu nae amerudi umbeya mapenzi Shikamoo jamani nimecheka mm simulizi ni tamu mnooooooo Ankojay hongera mnooooooo na temu yako ❤❤ tunawapenda jamani

  • @TumuhamzaHamza
    @TumuhamzaHamza Год назад +7

    Wee leo wadau mumeniwai ila nko nanyi bampa 2 bampa skubli kuachwa nyuma😂😂😂

  • @ARa-k8h
    @ARa-k8h Год назад +2

    Tamu sana nice historie

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +4

    Wow,❤❤❤❤🪴🪴🪴🪴💐💐💐💐💐💐🎄🎄🎄🎄utamu kolea😂

  • @AnnahSirili
    @AnnahSirili Год назад +3

    Jamn naomben na mm laik🎉🎉🎉

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph Год назад +5

    Ahsante sana Anko kwa muendelezo yetu nzuri hatakama nimechelewa ila tuko pamoja

  • @mayasamayasa1205
    @mayasamayasa1205 Год назад +1

    Jmn nasikia raha❤❤❤❤

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 Год назад +5

    Asent san Ankojay kwa simulizi tamu❤❤❤🎉🎉😊😊

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe Год назад +3

    lisa jmn hadi uruma 😢😢

  • @Zainabucharle
    @Zainabucharle Год назад +3

    Asant san kutpa vitu vitam nashukulu wote 🎉🎉

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 Год назад +4

    Duuuh jamn watu mshajaa sijachelewa sana Asante San Anko j ❤❤❤❤🎉🎉

  • @HadiyaMassud
    @HadiyaMassud Год назад +5

    Kazi nzur kaka kutoka omani❤❤❤

  • @milahamees2393
    @milahamees2393 Год назад +3

    Asante kwamafudzo. Nauzuni. Kwa. Dada. Yetu Lisa. Anko. Jey. Mungu. Akupe. Wepesi. Kwenye. Kazi. Ishaalla. ❤❤❤

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj Год назад +2

    Haya sasa ❤❤❤

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Год назад +12

    Tupo ndani ya mda thanks allot Anko j we love you listening from Kenya 🇰🇪❤

  • @LuhendemwiguluMwigulu
    @LuhendemwiguluMwigulu Год назад +2

    Weweeeeeeeeeee asante anko jjjjjj🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Год назад +1

    sasa si kamharibu sura jamani 😂😂😂

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 Год назад +2

    Ubarikiweeee Anko j

  • @WitnessJuma-s3l
    @WitnessJuma-s3l Год назад +4

    Wow lisa

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 Год назад +7

    Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤

  • @jokhajj
    @jokhajj Год назад +4

    Iyi simulizi nitamu sana kipande kikiisha unataman uendelee tena na tena 😊 anko part 4 lini jaman 😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +6

    Mhmm,jambo limezua jambo,ukipewa ushauri changanya na zako

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa Год назад +3

    Walahi hii simlizi ni tamu sana jomba wajo leo nimecheka mpaka wainguru anashangaa❤❤❤

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 Год назад +8

    Looh siokwakuchelewa huku bandugu😂😂😂😂😂😂

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +17

    Ila vituko vya Alvin na lissa hata kama hutaki kucheka utacheka mbona kung'ata shavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @shahrayn93
      @shahrayn93 Год назад +1

      Kwanza nimecheka pka bac apo walipong'atana nimecheka pka bac😂😂😂😂😂😂😂yni acha2 ila mungu atawafanyia wepec wataelewana2 .. Alvin kiburi kadindisha lkn akakataa mzigo duuh😂 😂😂😂 kiboko

    • @polinlizzlizz
      @polinlizzlizz Год назад

      Kwanza kelvin ndio huyo sasa mambo yanaenda kua mazuri sana alafu mtu mjinga ni Alvin

    • @zuenahz5514
      @zuenahz5514 Год назад

      @@shahrayn93 😂😂😂😂😂😂

    • @zuenahz5514
      @zuenahz5514 Год назад +1

      @@polinlizzlizz tusubiri tuone

    • @polinlizzlizz
      @polinlizzlizz Год назад

      @@zuenahz5514 kwanza leo karibu nitoe tangazo kua mjomba wetu anko jay amepotea sababu sikuona ujumbe wowote

  • @MarryLucass-c3e
    @MarryLucass-c3e Год назад +1

    Jamani hii simuliz ni nzur tutumie mwendelez

  • @Asiamohamedy-p6c
    @Asiamohamedy-p6c Год назад +3

    Nzuri sana tuliingoja kwa hamu

    • @Bikhafija
      @Bikhafija Год назад

      Asante simuliz nzuri sana

  • @OmanOman-f7r2p
    @OmanOman-f7r2p Год назад +4

    😂😂😂😂. Wanachekesha haw wanandoa. Alvin. Nistaki nataka. Asante. Anko ❤❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +7

    Yan hatimae simulizi hii Tam imefika Acha ni 🪑🎧 niinjoi
    AnkoJay ahsante kwakweli 🤭😂🤣

  • @cathirinemwanyerere4460
    @cathirinemwanyerere4460 Год назад +1

    Ahsante Anko j make nilikuwa nasubiri kwa hamu blaaa

  • @QueenElizabethmamy
    @QueenElizabethmamy Год назад +2

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah wa 75

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Год назад +1

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao ankojay

  • @merry486
    @merry486 Год назад +4

    Jamani lewo wakwanza ankoj asante 😘 muito obrigada 😊

  • @AliciaKemi
    @AliciaKemi Год назад +1

    😂😂😂jamani ety ank jay kaoa

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Год назад +1

    Afu uyo Alovin siaseme tu? 😂😂😂

  • @Aziza-gv8tm
    @Aziza-gv8tm Год назад +1

    Yani umenikoshq❤❤❤❤🎉

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf Год назад +4

    Jaman akuna kulala adi kieleweke❤❤❤

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +3

    Nashukuru mungu nilijipata kwa hii channel ya Ankojay...vitu vitamu..

  • @sososonia1956
    @sososonia1956 Год назад +5

    Hatimay nitalala kwaamani😅❤❤❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y Год назад +5

    Lisa pole 😂😂😂Sas cjuw utabaki na Alvin au utakwenda kwa kelvin ukijuw ukwel tunasbri muendelezo tujuw mwsho wke ila vzr ungebaki na Alvin ndo mnaendana jpo ushamkera 😂😂😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 4 месяца назад +1

      Watu mnarohombaya yaan cku zte izo ndo kwanz mumenipa like 4 wtu nyny wabay

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l Год назад +2

    Weweeeee... ❤❤

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq Год назад +2

    Mmmm wanafamilia wenzangu hamlali najua nimechelewa lkn nipo hapa kwa sasa tuna enjoooy pamoja natumain hamjambo wanafamilia wa anko mapesa naomben like zenu plz 🎉🎉😊

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 Год назад +5

    Jamani niko ndani sana ❤❤❤ thanks sana

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg Год назад +5

    Hongerani mlio wahi😂😂

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 Год назад +5

    Alooooo nimewahi kufika Alvin mwendee lisa wako❤❤❤

  • @AbdulSaid-mw2oj
    @AbdulSaid-mw2oj Год назад +3

    Mambo ni 🔥🔥🔥😘

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Год назад +3

    😢😢😢😮nimepitwa jamani mm ndio kuingia ss😂 but hope mko chonjo twende nalooo🎉🎉🎉🎉

  • @agnesdondo-dz1ml
    @agnesdondo-dz1ml Год назад +2

    Asante sanaaaaa Ankojay nafurahi

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Год назад +2

    Asante sana Ankojay ♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 10 месяцев назад

    Ahsante anko Jay tunakupenda zaidi kwakutuleteya simulizi tamu ❤❤❤❤❤❤

  • @RehemaRey_3
    @RehemaRey_3 Год назад +1

    mwisho wa lisa ilikuaj🎉🎉😊

  • @RahimRahim-x3d
    @RahimRahim-x3d Год назад +1

    Hatimaye lisa na alvn mjengon tna

  • @mwanaidimwabanda1248
    @mwanaidimwabanda1248 Год назад +3

    Nimefika kwawakati😂😂😂

  • @Shadia544
    @Shadia544 Год назад +5

    Jamaniii kumbee teyari ata kuniambia nimeshelewa daah 😢 haya tupo finally tujuwe itakuwaje jamaniii huyu BINTI LISA❤❤❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Год назад +3

    Jomba Wajo yuko vizuri hongera kwake👏👏👏sitamani iishe haki😢

  • @gettumosha3016
    @gettumosha3016 Год назад +1

    anko j sehemu ya nne bado tu!!!! 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @fatmasalum8334
    @fatmasalum8334 Год назад +2

    Kweli anko tumeulizia sana❤❤❤❤❤❤

  • @fatumahamedi4467
    @fatumahamedi4467 Год назад +4

    Lisa namumewe mbavu Sina🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Год назад +3

    Ngoja ni sikilize kwanza nita rudi kukomenti badae 😅😅

  • @MaryamKhamis-w9s
    @MaryamKhamis-w9s Год назад +3

    Aisee nilikuwa naisubiria kwa hamu sana maana kila saaa nilikuwa natazama simu

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад +3

    Anko leo ume2weza be blessed anko ❤❤❤❤