PENDO | PART 2 | MWISHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • HAKIKA MUNGU AMETENDA MAKUBWA KATIKA MAISHA YANGU NIMELIA SANA LAKIN MWISHO AMENIPA FARAJA ISIYO YA KAWAIDA, AMENIPA MUME MWENYE HOFU YA MUNGU AKANIBARIKI FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI ,AMENIPA KIBARI KATIKA FAMILIA YA MUME WANGU, AKANIBARIKI KATIKA KAZI ZANGU JAMANI LEO UKIKUTANA NA MIMI ALAFU NIKAKWAMBIA KUWA MIMI NDIO NILIEKUWA NIKIISHI MAISHA HAYO NILIYOKUSIMULIA UTAKATAA KATA KATA
    ILA NDIO HIVYO DAIMA MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU NA MAPENZI YAKE KWETU NI MENGI
    HAKIKA NITAZIDI KUMTUKUZA KILA SIKU ,NA MWISHO NAKUOMBEA WEWE UNAEPITIA KATIKA MAISHA MAGUMU YENYE KUJAA CHANGAMOTO NYINGI MUNGU AKUONGOZE NA AKUPE NGUVU ZA KUSTAHIMILI HAYO UNAYOPITIA ILA KATIKA YOTE JUA MUNGU YUPO KWAAJILI YAKO NA , ANATUPIGANIA KILA LEO HIVYO USIACHE KUMTEGEME YEYE KWA KILA JAMBO NA KILA NYAKATI. NAWAPENDA SANA ASANTENI KWA MDA WENU NA MUNGU AWABARIKI AMEN

Комментарии • 91