This guy is such a breath of fresh air, anaongelea machungu but still he keeps a sense of humour!!. Pole kijana,Mungu akujaalie haya ya ishe Amani iendeleee.
Hizi biashara za kuleta wengine wajiunge ndio upige hela sitazifanya tena baada ya kuumizwa nikiwa chuo pia 2013-2016. I feel this guy. Siku hizi sitaki kuzisikia kabisa. Poleni wapambanaji
Apana siokwamba ajapigwa amepigwa ila kashajua kuwa apa amepgwa sasa auzunke yann LAZMA ufurai ili atoe sumu moyoni.....ukiptia magumu uspende kuuznika sanaa nakujtenga utajinyonga .. RESPECT BROO kwaunavyo jiamini💪
YAANI HIYO TELEVISION YA ITV NDIO WAWE SUED...Haiwezekani kampuni inayoaminika hivyo iwe ndio ya kupokea matangazo yaliyokaa so fishy! Television huko zinatia moyo hadi betting, ambazo ni wizi mtupu 😠 😡
Mimi nishawahi kufanya kazi pafdia. , Na sijawahi kuelewa mapema , watu walitpeliwa, wanafunzi walitoa pesa zao za kujiunga ili wapate ada waendelee Na madomo, Na wapo watu waloweka pesa za kujengewa nyumba , mimi mwenyewe nilienda kwenye semina ili nipate ajira , hatimae mwaka mmoja baadaye mambo yakavurugika , viongozi wakawekwa ndani sisi tukabaki kuanza maisha mengine tena nilisafirishwa kwenda kuanzisha ofisi mbeya , uhindini pale mkabala na NMB tulishirikiana na mkuu wa mkoa mbeya , wakuu wa wilaya , mikutano kama yote , tukatangaza hadi kwenye maredio lakin kwakweli watu waliliwa pesa zao,mwaka 2010
Watanzania wanatakiwa kuelewa kati ya pyramid scheme na direct selling kwenye hzi online e-commerce marketing. Kampuni yoyote ambayo inajihusisha na pyramid scheme ni illegal na ni kosa la jinai kujihusisha nayo hata BOT walishasema hilo tangu enzi za Deci ijapokua direct selling online marketing ni legal ndio maana kampuni kama forever ziko kwa muda mrefu zaidi ya miaka ishirini sasa ila faida wataipa wale wanaoitwa Upline yaani watu waliojiunga mapema, wenaochelewa kujiunga wanakua kama vijakazi wa watu walio juu.kuelewa zaidi pyramid scheme soma historia kwa nchi ya Alibania kwann walingia kwenye Civil war mwaka 1996.
Acha watuibie... Hawajijui wamepangiwa kufa lini... inawekana wamepangiwa mwaka huu haumalizi wanarudi kwa mungu na madeni ya watu kwa njia ya utapeli... sihuzuniki hatta kidogo najua hawajaniibia bali wameniwekea kwa mungu...
Vijana tufanye kazi hakuna pesa ya haraka haraka kama tunavyodhani, mapambano ya kujitafutia mafanikio yapo kama ngazi, ni hatua kwa hatua, tufanye kazi kwa bidii na tuwe na nidhamu ya pesa
Kwa kweli sio hao tu wamepigwa tuko wengi mno tunacho kiomba selikali yeti nikufatirua tatizo letu watapeli hao wakamatwe nawaludishe Hera zetu make wametuacha wazi hatuna chochote .linguine selikali ndio ilikua one wasajiri inajua minani muhuska na anatoma wap ,Wana nchi wengi tuaomba swala hili lisinyamanzishwe
Hiki kilisha nitokea 2018 na company moja inaitwa T purchase iliumiz wanachuo wengii sema iliniachia funzo kubwa sana ata rafik yangu alivyo nielez nilimchukulia poa nikamshiti just after 3 day nasikia mzigo umeshasepa na watu. After 3 o 4 year to come issues kam hii itajirudia tena in advanced way en more convincing manner trust me am telling you. NB. Elewa kuwa na easy money katik hii dunia
Watanzania tunaendelea kuingia kwenye dimbwi la utapeli inaonekana watz ni rahisi sana kutapeliwa, hadi kada ya wasomi nayo inaingia yote kutaka hela za haraka haya makampuni kutwa yanakuja watu mnakimbilia hebu amkeni aisee
mimi Qnet walinishawishi nikagoma..kuna mkaka kila siku alikuwa anakuja home kufatilia nimefikia wapi...walivyoona staki ujinga wao wakakata mawasiliano na mimi nikashukuru. haikupita muda nikaskia ni matapeli...tujifunze kitu! hakuna pesa ya kirahisi katika maisha. NO PAIN NO GAIN
Don't you worry,be strong 💪. Money comes money goes. Huwezi kufanikiwa bila kupoteza,hii ikawe lesson ya nguvu. Kumbuka hata Bible imesema,itabarikiwa kazi ya mikono yetu.Hizi ni pesa za kupata bila kusweat,hakuna kitu cha namna hiyo. Hachana na those kind of business,watu hawa ni wajanja hawawezi mfata mzungu,wanakuja kwetu Africa,wanajua tunapenda vya mteremko.TUJIFUNZE JAMANI.Lord have mercy .
Mm bado sana kushawishika na hizi biashara za mtandaoni biashara pekee nnayoifanya nikununua bidhaa kikuu bc ila sio vyengine Kuna mtu ananishawishi niingie kwenye biashara mtaji wakwanza tu ni 5M
Mimi nimewapenda kalynda kwasababu watu hawafanyi kazi wanapenda vya bure, fanyeni kazi vijana. Sirikali iwaambie watu wafanye kazi na hili liwe fundisho kwao hakuna kuwasaidia wote wezi Hawa. Kalynda mwizi na wateja wake wezi.
Mimi nilikutana na jamaa mmoja online alinishawish lakin nikampiga buku mbili kisha sikuwekeza wala nn.....nafaham tokea izi online trade zimeanzishwa cjawah ona mtu kafanikiwa katoboa zaid ya mwisho wa cku wanapigwa
Serikali inahitaji jicho kwenye haya mambo ya e-commerce. Kama revolution ya technologia ni kitu muhimu lakini serikali inabidi ijiridhishe kwa manufaa ya uchumi wa taifa letu
This guy is such a breath of fresh air, anaongelea machungu but still he keeps a sense of humour!!. Pole kijana,Mungu akujaalie haya ya ishe Amani iendeleee.
He’s such an amazing character
He's got a vibe that's from anada level.....😁
Eeh kapigwa na kitu kizito
Hizi biashara za kuleta wengine wajiunge ndio upige hela sitazifanya tena baada ya kuumizwa nikiwa chuo pia 2013-2016. I feel this guy. Siku hizi sitaki kuzisikia kabisa. Poleni wapambanaji
Idea debater hapo juzi wametuliza sitamani hata kusikia hizi utopolo
Apana siokwamba ajapigwa amepigwa ila kashajua kuwa apa amepgwa sasa auzunke yann LAZMA ufurai ili atoe sumu moyoni.....ukiptia magumu uspende kuuznika sanaa nakujtenga utajinyonga .. RESPECT BROO kwaunavyo jiamini💪
Tafsir halisi ya confidence in a very tense situation. Mungu akusimamie
Huyu jamaa kweli ni motivational speaker
😂
Mimi nimeshawishiwa sana roho ilikuwa inasita sana Asante mungu sikuamini
Hata mm moyo uligoma kabisa🤓
Njoo forever huku hakuna longo longo kampun hizo za kupita achaneni nazo jamna
Uko kama mm
@@mwigni2796 forever ndo mtakuja mpigwe siku moja mgalagazwe
Na mimi
Kiukweli dogo anakaa marketer mzuri sana. His attitude is amazing, japokuwa he’s in pain ila yuko very positive and humorous
YAANI HIYO TELEVISION YA ITV NDIO WAWE SUED...Haiwezekani kampuni inayoaminika hivyo iwe ndio ya kupokea matangazo yaliyokaa so fishy!
Television huko zinatia moyo hadi betting, ambazo ni wizi mtupu 😠 😡
@@joycekisamo4896 wabongo wanapenda mtelemko ndo maana wanataperi kiurahisi
Subhannahllah poleni sana Allah awafanyie wepesi..mpate haki yenu.
Ndomna sipendi kujiunga na mambo hyo sina haraka na kufanikiwa ktk maisha yngu
Ehee hao hawanipati
Jamani hiyo ilikuja kwa staili ya Des mwaka 2009 panda mbegu baada ya miezi 3 unaanza kuvuna kumbe walikuwa matapeli wengi tulilia
Watu wanapenda vya rahisi sana uwezi ukaambiwa weka elfu kumi utapata elfu ishirini tufanye kazi hakuna pesa ya mkato
Kabisa,binafsi akili yangu ishanigomea kuwa unaweza pata hela ya bure
Asante mungu maana umeniokoa sana
KUNA
DESI
Q NET
MR KUKU
JATU
LEO KALYNDA
TUWEN MAKINI SANA, HAKUNA PESA ZA BURE
Hata Mr kuku alitupiga hivi hivi. Mikataba alikuwa nayo lakini kapiga Hela za masikini, wajane, wastaafu nk. Wengine walipoteza maisha kwa mshituko
Poleni sana kwa kipigo kikubwa imeniuma sana maana mpaka sasa sina hamu na biashara za aina hii nilishawahi kupigwa laki na elfu kumi 2016
Broo wee iyo pesa ndogo Sana,mm mwaka Jana mil 3 zililiwa na Qnet
@@amanimanase8798 mi nilipigwa mil 5 na inclusive forex
@@chechem.wambura8172 daah bro hawa watu wameamua kuja kutumiliki kijanja
Muhanga mwenzangu
Poleni sana ndugu zangu pesa sio rahisi kiasi hiko mi nilijuaga mapema kuna kupigwa
Kijana anajua kuongea vizuri sijui katepeliwaje
Hao matapeli wanatumia njia za kisasa za kushawishi watu hadi vibali vya serikali wanavyo.
Na viongozi wa serikalini wakiingia huko inakushawishi zaidi.
Mimi kunamoja ivi nimesahau jina nilitaka kuweka km laki 5 marajamaa ananambia mtandao umesumbua nikasema alhamdulillah nimepona
I love the guy.. hahahah yaan klynda wamepoteza mfanyakazi bora..hahahaha , alf huyu angesomea biashara angetoboa..
Kabisa
Mimi nishawahi kufanya kazi pafdia. , Na sijawahi kuelewa mapema , watu walitpeliwa, wanafunzi walitoa pesa zao za kujiunga ili wapate ada waendelee Na madomo, Na wapo watu waloweka pesa za kujengewa nyumba , mimi mwenyewe nilienda kwenye semina ili nipate ajira , hatimae mwaka mmoja baadaye mambo yakavurugika , viongozi wakawekwa ndani sisi tukabaki kuanza maisha mengine tena nilisafirishwa kwenda kuanzisha ofisi mbeya , uhindini pale mkabala na NMB tulishirikiana na mkuu wa mkoa mbeya , wakuu wa wilaya , mikutano kama yote , tukatangaza hadi kwenye maredio lakin kwakweli watu waliliwa pesa zao,mwaka 2010
🤣🤣🤣🤣I'm in love with this guy, go search for it ? Where professor
😄me too
Mungu ananipenda Mimi nilikosa ela ya kianzio tuu nilimtumia mamayngu alikua anaumwa daah kweli mungu mkubwa🙏🙏🥺
Asee hongera
Mungu/MUNGU sio mungu
Watanzania wanatakiwa kuelewa kati ya pyramid scheme na direct selling kwenye hzi online e-commerce marketing. Kampuni yoyote ambayo inajihusisha na pyramid scheme ni illegal na ni kosa la jinai kujihusisha nayo hata BOT walishasema hilo tangu enzi za Deci ijapokua direct selling online marketing ni legal ndio maana kampuni kama forever ziko kwa muda mrefu zaidi ya miaka ishirini sasa ila faida wataipa wale wanaoitwa Upline yaani watu waliojiunga mapema, wenaochelewa kujiunga wanakua kama vijakazi wa watu walio juu.kuelewa zaidi pyramid scheme soma historia kwa nchi ya Alibania kwann walingia kwenye Civil war mwaka 1996.
Hahahahaa! Zacharia wewe nacheka kma mazuri pole classmate wangu
Go and Search for it, I want my moni" - Professa 😂😂😂😂😂😂
Huyo jamaa hakutakiwa awe doctor kabisa mpeni kadi ya ccm ni naona dhahabu kwenye mchanga (bright future ahead)
Uyu jamaa anavoelezea na kucheka utadhani hajapigwa za uso😂😂😂
😂😂😂
Si alikuwa anapewa bonus ya laki mbili marakwamara kwahiyo hajapata hasarasana
Hela yake ilisharudi sasa hivi alikuwa anakula faida tu🤣
Hao alio waunga yeye ndo wanaopata tabu saivi
Sasa atafanya nini 😂😂 ila jamaa ana konvisi power kakonvisi hadi maprofesa wake nao wakakubali
Hahahahaha haya mambo noma sana..
Huyu dogo amtafute Manara, anaweza kuwa msemaji mzuri sana akiwa polished kidogo
😀😀😀😀😀😀 watanzania tumepigwa pigo za mzee dude kbsa za bongo dar es salaam
Acha watuibie... Hawajijui wamepangiwa kufa lini... inawekana wamepangiwa mwaka huu haumalizi wanarudi kwa mungu na madeni ya watu kwa njia ya utapeli... sihuzuniki hatta kidogo najua hawajaniibia bali wameniwekea kwa mungu...
Tamaa tu ya pesa mxiuuuuuu.....kula chuma😂😂😂😂😂
Vijana tufanye kazi hakuna pesa ya haraka haraka kama tunavyodhani, mapambano ya kujitafutia mafanikio yapo kama ngazi, ni hatua kwa hatua, tufanye kazi kwa bidii na tuwe na nidhamu ya pesa
Smart Advice 🙌🏼✊🏾
Tofautusha profesa na pesa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu jamaa anaufala flan hv, ila ndan yake kuna point
kipigo cha kata funua😂😂😂😂😂😂😂😂 jamaa nimempenda wallah
Jamaa ypo vzri a good teller person
Furaha Yngu Ni Kuona Kwamba Ni Utapeli Nashkur Sana Nimeepukika😃😁😀
Pole best ang Zachariah
Mmeshaliwa serikali ya mama Samia wa.....
Pole dogo kua makini,karibu manyoni kwetu
Huyu dogo anaonekana mjanja sana akikushawishi kweli lazima utashawishika🤣kama namwona alivyokuwaga anawashawishi kuwaingiza poleni
Kweli kabisa hata ma professor kawaingiza si mchezo 😂
@@MsAggie5 Kijana anaushawi mkubwa ongea yake hata mimi angenishawishi🤭
Mm mwenyew siku ya kujiunga2 mtandao ndio ulianza kuzngua hapohapo nlkua nawekeza 200000 tokea hapo yote nmeenda kuilia bata maana wangekula wengne
Mnakumbuka mambo ya DES 2007
Zakaria nimekupenda na Hata ukifungua biashara nyinyine ntakufwata tu😂😂😂😂😂💪🏾
Kamari na riba ni Dhambi nzito inayokaribisha ufukara,izara na majuto maishani na kesho kiyama
Yaaani mnanipa raha nyie waathirika wa kalinda, poleni sana!!! Msomi wa chuo kikuu, unawekeza kwa kampuni usiyojua chanzo chake cha mapato.
Dudumizi nkududuuu ushapigika na kupigisha wenzako kipaji chako ni comedian 😁😁😁😁😁😁 you can be motivational speaker
Kwakweli🤣🤣
Ii Kenya tulishapigwa miezi kathaa nyuma application inatitwa pawabank watu walilia kinoma poleni Tanzania
Mimi nashauri hata haya makampuni ya Betting yapigwe marufuku yanaathiri nguvu kazi ya vijana
Poleni😅😅😅😅😅😅sasa naogopa hata kuweka tigopesa nimetowa helazangu zote 🤣🤣🤣🤣aaaaaa ctaki kuamini chochotee
To cut long story short in life there is no shortcut period. Sema jamaa anaconvincing sana angeanzisha biashara.
Kwa kweli sio hao tu wamepigwa tuko wengi mno tunacho kiomba selikali yeti nikufatirua tatizo letu watapeli hao wakamatwe nawaludishe Hera zetu make wametuacha wazi hatuna chochote .linguine selikali ndio ilikua one wasajiri inajua minani muhuska na anatoma wap ,Wana nchi wengi tuaomba swala hili lisinyamanzishwe
Polen Sana hata mm juz ilikua niwemo bt ikawa net shida vya Bure hamna pigen Kaz
I love the guy amejitahid kuelezea lakini kuwaleta watu pamoja
Sio watanzania elfu kumi, kuna watanzania zaidi ya laki moja waliojiunga na kalynda mzee, waliotapeliwa ni wengi sana
Plesha au presha ww Dr
he is so funny yani ni kitu cha kuhuzunisha bt the way ana hadithia anachekesha utan mwing
Aya wadada wa oman mlio jiunga kwenye hii kampuni . Mmeshaliwa 😔😔 na nyie mliopo kwenye kampuni zingine Amkeni jomon mjitoe mtakuja kulia
Alihamdullhi nimenusurikaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@minakhamiskhamisi6193 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 una bahat sana
@@zuhurayassini2714 yani shg yg ningepigwa n kitu kizit kichwan wee ach tuu
@@minakhamiskhamisi6193 ko na wewe ulikuwa mmoja wapi
@@zuhurayassini2714 mm nilitak kuliwa n bwana mtarajiwa shg yg 😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂Sii hawa bwna shemj ndio alikuwa anatak nimkopesh pesa 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Hii ni kamali kwenye level ya kisasa
Awo ma professor akili zao kama zako
Sky mbebe huyu kijana anakipaji cha uchekeshaji!? 🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri
Wekeza bank au nenda kununue trekta kalime morogoro mpunga
Ganda la ndizi. Mtelezo
Ponzi scheme hiyo poleni sana.
Zanzibari kuna wapemba huko wanalia yahee yaheeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe jombaa ukikomaa utakuwa comedian kama Joti, unafuata nyayo zake kusemeza ukweli. Nimecheka sana. Et yaheee......!!😃😃
@@ecostats51 ha ha ha haaa🤣🤣
Eti sisi wasomi,eti nampenda sana mama yangu yuko makini atalifuatila hili,sijui umakini gani mpaka watu wamesajiliwa Brela, TRA nk.
Sio kigezo
Yaan nyie watu mkishapigwa ndo mnaanza kuikumbuka serikal,, oohh Mama Samia tusaidie ,kwn mlimshirikisha wakati mnaingia huko
Hiki kilisha nitokea 2018 na company moja inaitwa T purchase iliumiz wanachuo wengii sema iliniachia funzo kubwa sana ata rafik yangu alivyo nielez nilimchukulia poa nikamshiti just after 3 day nasikia mzigo umeshasepa na watu. After 3 o 4 year to come issues kam hii itajirudia tena in advanced way en more convincing manner trust me am telling you.
NB. Elewa kuwa na easy money katik hii dunia
WANANGU TUNAO IKUMBUKA IDEA DEBATOR LIKE APA TWENDE SAWA ,🤣🤣🤣🤣
Duuuuuh tupo tulikuwa tumekaa pale tunawacheak tu wazeee wa kalynda😂😂😂
Eti selikali strong hahaha kwa sasa lazima umpende sana mama
Kijana ulitakiwa uwekwe ndaniiiii kabisaa
Nimempenda huyo Dogo haogopi camera full confidence
Imemsaidia nn confidence. Matokeo yake Kalynda kamfanya vibayaaaaaaaa
Anafanya presentation kila siku ataogopaje kamera
Pamoja na conference yake kapigwa ngumi mchomoko, ngumi aina ya ndoige, inayokunja kona. 🤣🤣
Wamewazidi akili intelligence is born with it poleni no short cut in life mmeshapigwa
Uyu jamaa ni comedian 🤣🤣🤣pole sanaa br
Michezo hiy inatakiwa hiy kampuni inapoanza unawek mzigo mwing kisha unakaa pembeni
Watanzania tunaendelea kuingia kwenye dimbwi la utapeli inaonekana watz ni rahisi sana kutapeliwa, hadi kada ya wasomi nayo inaingia yote kutaka hela za haraka haya makampuni kutwa yanakuja watu mnakimbilia hebu amkeni aisee
Kabisa yani ata Awaamki 😂😂
Wengi bado washamba sana
Tuko wengi sana mzee mm juz tu
mimi Qnet walinishawishi nikagoma..kuna mkaka kila siku alikuwa anakuja home kufatilia nimefikia wapi...walivyoona staki ujinga wao wakakata mawasiliano na mimi nikashukuru. haikupita muda nikaskia ni matapeli...tujifunze kitu! hakuna pesa ya kirahisi katika maisha. NO PAIN NO GAIN
Tamaa izo
He is very smart
😂😂😂😂😂 kimeumana BRO ZAKI WALAU NILIKUONA ON TIME UNAPIGWA I UNDERSTAND THE PAIN😥😥😥😥😥
Huyu jamaa ana ufala sanaa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
watanzania akili hatuna vizur utoe elfu 20 upate 160 kwel kwa kulike vitu tu hahaha tuchunge sana na haya maisha polen wahanga
Naomba ufanunuzi kuhusu hii kampuni
Kuna nyingine inaitwa CROWD ONE matapeli pia, kuweni makini na hii michezo ya online money zinapoteza malengo tufanye kazi hakuna shortcut duniani.
Acha tu..wamelia wengi sana
# kwanza we mwenyewe unaonekana tapel mjanja mjanja sana
Huyo mama Samia do kawaretea hao mataperi
Don't you worry,be strong 💪. Money comes money goes.
Huwezi kufanikiwa bila kupoteza,hii ikawe lesson ya nguvu.
Kumbuka hata Bible imesema,itabarikiwa kazi ya mikono yetu.Hizi ni pesa za kupata bila kusweat,hakuna kitu cha namna hiyo.
Hachana na those kind of business,watu hawa ni wajanja hawawezi mfata mzungu,wanakuja kwetu Africa,wanajua tunapenda vya mteremko.TUJIFUNZE JAMANI.Lord have mercy .
Hata wazungu wapo wanaoliwa,,sema hawafungui ofisi km hivi na kupewa vibali na serikali
Rafki yang m alinishauri nfnye hii ktu. Nlimshaur sana mpka tmgombna
Mm bado sana kushawishika na hizi biashara za mtandaoni biashara pekee nnayoifanya nikununua bidhaa kikuu bc ila sio vyengine
Kuna mtu ananishawishi niingie kwenye biashara mtaji wakwanza tu ni 5M
HII itazimwaa tu, mim nakumbukaa DeCi mzee nilipigwa mbayaa
Mimi nimewapenda kalynda kwasababu watu hawafanyi kazi wanapenda vya bure, fanyeni kazi vijana. Sirikali iwaambie watu wafanye kazi na hili liwe fundisho kwao hakuna kuwasaidia wote wezi Hawa. Kalynda mwizi na wateja wake wezi.
Mimi nilikutana na jamaa mmoja online alinishawish lakin nikampiga buku mbili kisha sikuwekeza wala nn.....nafaham tokea izi online trade zimeanzishwa cjawah ona mtu kafanikiwa katoboa zaid ya mwisho wa cku wanapigwa
Kijana Disco... Inakusubiri Mamae Hehheeh😂😂😂
😀😀😀😀😀
@Abdy 34 Kijana Kayakanyaga Wamakonde Wanasema Kaingia Kwenye Anga Za Machintange 😂😂 Profesa Anawaza Goto Lake
Yan discontinued from academic ground uku MUHAS uandika hivyo!😂😂
@@frankgavana3256 😂😂 Haiwezekani Ukawaingiza Chaka Maprofesa Kijana Ananguvu Kubwa Ya Ushawishi...
Kampala university professors hawafik hata wa 5 katupiga dogo ...angesema ma doctor sawa ila chuo idad ya hao proffessors tu hawana
Poleni sana
Kweli mkuu
Mdogo wake idea debator 😂😂😂😂😂
Safii 👏👏🤣🤣wajitokeze na wengine, ili akili zao zifunguke, natazama uku nacheck mouuuvii la utapeli vigogo wapigwaa na wanachuo🍿🍿
Upo pa1 Namimi vijana wengi wanaic Kunamaisha ya kitonga
Mm hk nakula crips
Daa jamaa unaelewa vizuri mambo na maisha ya mtaani..pole kila mjana ana mjanja wake
Elimu inahitaka 💥💥💥 hakuna Cha #BURE🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha safi sana endeleeni kujifanya mnapenda vya bure
Serikali inahitaji jicho kwenye haya mambo ya e-commerce. Kama revolution ya technologia ni kitu muhimu lakini serikali inabidi ijiridhishe kwa manufaa ya uchumi wa taifa letu