Hii ndo biashara ya Karne ya Ishirini na moja ila watu wengi ndo hivyo Tena hawaijui wanabaki tu kwenye magenge na vibarazani kuponda wasivyovijua na kubaki na ufukara. Tatizo kubwa hapa ni umasikini wa fikra Kwa watanzania wengi
Changomoto wa hiyo biashara wanaokupa tarifa kuhusu biashara hiyo anakupa moto utafikiri unakuwa bilioner kesho lakini inalipa kama ukiwa na nguvu ya dola katik kuanza kujijenga hiyo nibiashara inalipa sana
Ni kweli watu wakawainda tunandoto nyingi ila mda mwingine tunakosa tu kiunganishi katika kufikia ndoto zetu unakuta unaaidia ya kufanya biashara flani lanini kunavitu vinakua sababu japo unajitahidi kupambana navyo lakini unakuta bado ila umezungu mzia kitu kizuri sana na pia na vijana wengi katika kuipata furusa hawataki kuifanya Ile fursa iwe kubwa Ili iwe na faida kubwa ila wanataka wanapo para fursa hapo hapo iwape faida ni sawa faida utaipata Lani ni itakua ni ndogo tofauti na ingekua kubwa ingeingiza faida kubwa zaidi kwaiyo ndy hivo tunakosa tu vinganishi kufikia vya kufikia kuwekeza ndoto zetu
Hajaeleza kuhusu hizi kampuni zinazochukua pesa na kuziwekeza eti mtu atapata double au triple, hii anayoeleza hapa ni bidhaa kunakampuni hazina bidhaa zinalaghai wekeza pesa pesa inazaa bila kufanya kazi yyt, hizi ndo hatar na nusu tofuati na hizi za kununua na kuuza bidhaa. Changamoto ya hizi za bidhaa ni gharama ya bidhaa mfano sabuni ya kuogea sh elfu 20 au elfu 10 au dawa ya meno elfu 20 au 30 ndo changamoto ya hizi bidhaa utamuuzia nani atakayenunua kwa uchumi wa watanzania. Hili huwezi kuambiwa wakati wa kuanza hii bishara
Yani kama huna eleimu ya online network marketing lazima utasema ni matapeli au ushakutana na matapeli wengi hujakutana watu wa ukweli au kampuni ya kweli. Mm kwa mwezi nakula laki tano na arubain kwa mwezi kutoka online market na nina timu inafaidi pesa kaeni ivyo ivyo na umaskini wa fikra
Jamani watanzania kuweni Malini hao wanaokomenti inalipa ni wao kwa wao sijui Tanzanian wataamka lini kila siku kutapeliwa Bora kahonge hiyo hela achana na Hawa wakinga wanaiba kisomi by mwl masalu minziku nchimani maalufu Kama NYANDA MINZIKU ingia RUclips Bora tuburudike pamoja achana na hao wezi
HUYU DADA HAJAKUTANA NA WATU WALIOFANIKIWA KTK NETWORK MARKETING…. HAMIS MGUTA JARIBU KUTAFUTA KAMPUNI SAHIHI ACHANA NA CRYPTO CURRENCY INDUSTRY HUTAPATA REALLY CONTENT HYU DADA HANA PERSONAL DEVELOPMENT HANA DESIRE UTAFANIKIWA VP???
Naomi kakosakazi Sasa ameingie kwenyeutaoeli kunawatu nawaina wakitapeliwa kwa huo upumbavu aliouongea hapa, watanzania wenzangu ninani aliewaloga? Pesa inapatikana kwa kufanyakazi tu.
Huyu kampuni yake ni legit Neolife inaaminika sema kuna wajinga wengine wanadai wanafanya network marketing halafu hakuna wanachouza wala kununua hao ni matapeli kama Madogo wa Delaska, Qnet, D9 Smart Pesa etc
Qnet tuna bidhaa tena zimesaidia wengi waliokuwa wamepoteza tumaini LA kupona na Leo afya na kipato vyote wamepata,hivo ukiwa huna elimu na kitu usikitolee majibu direct nenda kajifunze kukuelewa utanishukuru na huna cha kunilipa
Uko na knowledge gap rafiki . Ni hatari sana kwa kijana kufunga ubongo wako mapema bila kuelewa vizur utakosa vingi.. Biashara ipo Dunian zaidi ya miaka 40.. kutoijiua wewe haimaanishi hailipi au haifanyi kazi... Hapo umedhihirisha usichokijua kwa kujifanya mjuaji
Hata me nlijua ni utapel imenichuku miaka miwil kuikubal. Kwa mtu mvivu anayedhan ni shortcut ya maisha ataona utapel hakuna kaz ya lelemama lazma uwork hard, sasa network marketing ukiwork hard lazima utoboe wala si utapel
Hii ndo biashara ya Karne ya Ishirini na moja ila watu wengi ndo hivyo Tena hawaijui wanabaki tu kwenye magenge na vibarazani kuponda wasivyovijua na kubaki na ufukara. Tatizo kubwa hapa ni umasikini wa fikra Kwa watanzania wengi
Very powerful
Waoooh this is powerful.
Upo interested kujoin nikuelekezee?
Best explaination
Poweful sharing!!!Tunachukia kwenye vitu ambavyo hatuvifaham this is bad…
Hii biashara unasain mkataba 😊
Hapana@@AyubuKiuongo
@@AyubuKiuongo no mkataba sio kazi business opportunity
Mserereko sio mzuri networking ni utapeli mkubwa mno eti company yake ina miaka 60 imemtoa nani tajiri hapa mjini
Mnayo haki ya kutapeli watu maana ata ukisoma coment watu hawajielewi. Kampuni igawane faida na wewe iyo ni kampuni ya babako au mamako. Shenz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
True that..😀
Uko na pengo la ufahamu tu.. hata hujui unachokisema
Upo sahihi bro
Changomoto wa hiyo biashara wanaokupa tarifa kuhusu biashara hiyo anakupa moto utafikiri unakuwa bilioner kesho lakini inalipa kama ukiwa na nguvu ya dola katik kuanza kujijenga hiyo nibiashara inalipa sana
Mentor slela naomba uwe mentor wangu 😊
Hadi wewe uko huku😂😂
Dada naomba msaada wako nataka kujiunga kwa team yako
Nice dear
Whoever reading this please don't give up 🙏
Naomba namba ya huyu Dada tafadhali
Naomba kupata elimu zaidi
Duuuuuuu so sad
Na mm naomba no ya huyo dada
Boss ❤
😂😂
Nimejifunza Watu Hawana kabisa Skills Za Network Marketing ndio maana wengine wanaiponda. Ujinga Ni Umasikini mmoja mbaya sana
Nakupenda Sana nakupenda Sana dar Stella.
Ni kweli watu wakawainda tunandoto nyingi ila mda mwingine tunakosa tu kiunganishi katika kufikia ndoto zetu unakuta unaaidia ya kufanya biashara flani lanini kunavitu vinakua sababu japo unajitahidi kupambana navyo lakini unakuta bado ila umezungu mzia kitu kizuri sana na pia na vijana wengi katika kuipata furusa hawataki kuifanya Ile fursa iwe kubwa Ili iwe na faida kubwa ila wanataka wanapo para fursa hapo hapo iwape faida ni sawa faida utaipata Lani ni itakua ni ndogo tofauti na ingekua kubwa ingeingiza faida kubwa zaidi kwaiyo ndy hivo tunakosa tu vinganishi kufikia vya kufikia kuwekeza ndoto zetu
Kafanana na jaydee
Good Morning From KENYA 🇰🇪
Hahahaha 😅😅😂 good morning
Congratulations Stella
Pumbaffuuu sana😂😂😂
Hajaeleza kuhusu hizi kampuni zinazochukua pesa na kuziwekeza eti mtu atapata double au triple, hii anayoeleza hapa ni bidhaa kunakampuni hazina bidhaa zinalaghai wekeza pesa pesa inazaa bila kufanya kazi yyt, hizi ndo hatar na nusu tofuati na hizi za kununua na kuuza bidhaa. Changamoto ya hizi za bidhaa ni gharama ya bidhaa mfano sabuni ya kuogea sh elfu 20 au elfu 10 au dawa ya meno elfu 20 au 30 ndo changamoto ya hizi bidhaa utamuuzia nani atakayenunua kwa uchumi wa watanzania. Hili huwezi kuambiwa wakati wa kuanza hii bishara
SHUKURANI DEMU NA MUNGU ABARIKI
Utapeli mtupu😊
Yani kama huna eleimu ya online network marketing lazima utasema ni matapeli au ushakutana na matapeli wengi hujakutana watu wa ukweli au kampuni ya kweli. Mm kwa mwezi nakula laki tano na arubain kwa mwezi kutoka online market na nina timu inafaidi pesa kaeni ivyo ivyo na umaskini wa fikra
Kampuni gani
@@samweljohn8831 LBL advertising media
Dada samahan hebu nisaidie namba yako ya whatsapp
Mimi sijaelewa, huyu mwandishi aliemda kuhadithiwa story au kuinyerview
Sijasikia maswali yake yanayotakiwa kujibiwa na mwongeaji
Upo vizuri kabisa
Hatamm najiuliza
huyu Mtangazaji sijui Kapataje kazi hapo wasafi
Angetegesha Mike tu iwe kama story
Dada dah tutajie hiyo platform tupige kazi na sisi
Mmmh hakunaga utapeli watanzania wenzangu amkeni fursa ni nzuri sana hasa aim global
Wasafi,mtafuteni tena huyu Dada,maana kimesha nuka huko
Jamani watanzania kuweni Malini hao wanaokomenti inalipa ni wao kwa wao sijui Tanzanian wataamka lini kila siku kutapeliwa Bora kahonge hiyo hela achana na Hawa wakinga wanaiba kisomi by mwl masalu minziku nchimani maalufu Kama NYANDA MINZIKU ingia RUclips Bora tuburudike pamoja achana na hao wezi
Kweli matapeli
👍👍
Akuna kitu apo
Wanao sema ni utapeli polen sana ila dada angu songa mbele zaid
Hellow super woman
Kama unahitaji kujiunga na hii fursa nitafute. Mimi ni mmoja wa members wa Neolife 😊
Naomba namba
Njoo tueleze3 bc
Njoo tueleze3 bc
Your number plz for further explanation
Nifahamishe
I need a member to take me to the temple for initiation
I need net work marketing course
Pass through my CHANELL
Are you serious about this nikuunganishe
If you're in kenya, see me
@@zariajuma8290 i prefer to learn about it
Kuna mda nilikuwa nawaza mnatoaji vibali kwa hawa watu na kingine ebu tazama wanavyowatapeli watu ukifika ofsini kwao ni uhuni mtupu.
Jmn mbona nyinyi mnao sema ni utapeli sijaona mnachotapeliwa msikalili maisha amkeni network marketing inalipa so usiongee Kitu usichojua
Ausio
Nataman kujifunza network marketing
Inahitajika upumbavu wa hali ya juu ili kujua huyu msomi ni mpumbavu. Tena mpumbavu anaejiamini
HUYU DADA HAJAKUTANA NA WATU WALIOFANIKIWA KTK NETWORK MARKETING…. HAMIS MGUTA JARIBU KUTAFUTA KAMPUNI SAHIHI ACHANA NA CRYPTO CURRENCY INDUSTRY HUTAPATA REALLY CONTENT
HYU DADA HANA PERSONAL DEVELOPMENT
HANA DESIRE UTAFANIKIWA VP???
Kamata uyoooo ndio mmoja wa Qnet
Sio kwel ofisi zao zipo pale karibu na itv Kwa watu wa Dar
Nitafute nikutoe upofu. Ungejua qnet inavyowatoa watu kila iitwapo leo usingesema tenga mda jifunze sio kuongea negative
10:22
Vijana walio wengi hapa ni wajinga wanaamini kuna pesa za bure huo ni utapele nendeni itv media mkaone wenzenu walivyofanywa
Watanzania wengi tutakufa masikin sababu kwanza ni wavivu alfu hatutak kujifunza…tunahs kila kitu ni utapeli
Hii Bussnesss Kuna watu Wana miaka zaidi ya 10 kwenye biashara analinganisha na hio ilikaa miez 5 sijui. Na havifanani hata utendaji Kaz wake
Naomi kakosakazi Sasa ameingie kwenyeutaoeli kunawatu nawaina wakitapeliwa kwa huo upumbavu aliouongea hapa, watanzania wenzangu ninani aliewaloga? Pesa inapatikana kwa kufanyakazi tu.
Kwani network marketing hufanyi kazi acha ujinga
Pitieni Kwangu tujengane aisee
Oi
Kusafiri dunia 😂
Hiyo biashara ni ya kwl lakini wanaofaidi ni waliojuu maana ni pyramid scheme
Huyu kampuni yake ni legit Neolife inaaminika sema kuna wajinga wengine wanadai wanafanya network marketing halafu hakuna wanachouza wala kununua hao ni matapeli kama Madogo wa Delaska, Qnet, D9 Smart Pesa etc
Pia kuna hii inaitwa vunaqash technology nayo ni ya hao hao delaska
Una uhakika gan Qnet hawauzi bidhaa na huduma you talkin' nonsense brooda
@@Quyatz45 wanauza bidhaa gani?
Usipotoshe wewe sio kampuni zote
Qnet tuna bidhaa tena zimesaidia wengi waliokuwa wamepoteza tumaini LA kupona na Leo afya na kipato vyote wamepata,hivo ukiwa huna elimu na kitu usikitolee majibu direct nenda kajifunze kukuelewa utanishukuru na huna cha kunilipa
Click bait header...😁
Mbona hukusaidia hao ndugu zako?
Tazama Umri na Miaka ya kuzaliwa ya Mastaa mbalimbali wa bongo
👇👇👇
m.ruclips.net/video/5IaWx-DJrTc/видео.html
Alafu inakuaje? Peleka uPumbafu wako huko kenge wewe
so what?
Akili mtu wang.
Mhh nyie matapeli kabsa
Wewe huyijuyi bishara network tulia
Tutajiebasi jina la kampuni yako
Wengi wanaongea hapa nimejua wanafananisha hii biashara na vi company vyao vya upatu.
kabisa😂
Mh apa ntapgwa kama SME
S.m.e bwana wamenila saana
Please don't
ndugu zangu napenda kuwasihi akunaga pesa lahisi so tumiaakili usije ukajilaum
Usipende kuongea vitu ambavyo una maarifa navyo na sio pesa yaja bure mtaji wako nd nguvu yko acha kupotosha umma
@@sidebuggat5200 we ume juaje sina maarifa au una ropoka tu ww
Uko na knowledge gap rafiki . Ni hatari sana kwa kijana kufunga ubongo wako mapema bila kuelewa vizur utakosa vingi.. Biashara ipo Dunian zaidi ya miaka 40.. kutoijiua wewe haimaanishi hailipi au haifanyi kazi...
Hapo umedhihirisha usichokijua kwa kujifanya mjuaji
Wasafi ni wizi huo elimisha watu
Ata simuelew
mi nahisi wewe umeelewa! Mimi nimetoka kapa kabisa hamna nilichoelewa!
Wapuuz tyu nyie
Kama wewe mbwa
@@miriamwinston9908 imekuuma hiyo risk ni kubwa sana
Hell na! Hell na! Hawa watu sio wanajua kujieleza kichizi i know a lot.. so you can't convince me anymore damn it!😕😕
Wapuuzi kweli . Yaani Tena wezi Hao jitahidinii sana kukaa nao mbali wanabrainwash watu akili mbaya
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Pumbavu sana nyie matapeli
SCAM
Jina la hiyo biasha ndio ipi
Neolife international
Wizi
Matapeli mie nimepigwa na hao viumbe fresh yan
Washenz awa wezi maaaaaaaa mae zao
Ulikuwa company gani wewe Hadi ukatapeliwa au ukishindwa kufanya Kaz na mafunzo ulikosa
S.m.e wamenipiga saana
Umepigwa ujui nd tatizo
Hahaha ha network marketing ni utapeli asilimia mia
Sio kweli mkuu Mimi nimeijua hii biashara nikiwa chuo na sasa kiukweli imebadilisha Maisha yangu kweli …
@@frankkashner endelea kuwatapeli wengine
Hata me nlijua ni utapel imenichuku miaka miwil kuikubal. Kwa mtu mvivu anayedhan ni shortcut ya maisha ataona utapel hakuna kaz ya lelemama lazma uwork hard, sasa network marketing ukiwork hard lazima utoboe wala si utapel
@@rosembuya2810 ci mpk utapeli wengine
@@jeunajuatv817 Sawa mkuu hakuna shida
Nimekuelewa sana boss m.ruclips.net/video/c5jEIQr-CgA/видео.html