Ni vizuri uende mahakamani. Ipo siku uta-empy your cup Hakuna anaelazimishwa, unapewa elimu, unapewa muda wa kutafakari, unayaona matokeo. Nichuki binafsi kupitia makampuni hewa. Nakumbuka "Dew Drop water company " ilivyoshambuliwa. Watu wakawa hawanunui maji hayo. Mwisho ulikuwaje? Unakunywa mpaka leo. Desi ulikuwa upatu, hawakuwa wanalipa kodi. Jamani jamaniii tuwaogope wanaosema "ile hela Uitume kwa namba hii " Eti simu yangu wameikorofisha.
Watanzania ndio watu wanaoongozwa na vitu vinavyo kiki. ....huwa vinawafanya kusahau kwa muda kushughulikia ugumu wa maisha yao nakujikuta wakiziacha familia zao bila mpango madhubuti.. lkn hio ndio hali halisi tuliyo nayo wabongo. ..itatusumbua sana hii hali tukishindwa kukabiliana na nayo na kufanya mambo yetu ya msingi...

@@kassiannyamba805 niliwapa ahadi naenda kuuza nyumba na nikawatumia mfano wa hati ya nyumba weee nilikua napigiwa simu kila siku nabembelezwa hiyo biashara kwa mtu wa mwisho kufikia mafanikio ndio shida wanafaidika wao wa mwanzo
@@abdulaziz703 yani hamjui ambavyo ivi vitu vili nichefua moyo wangu mpaka rangi ya ngozi ichi kitu kilinifanya nizalaulike ktk mahusiano nikaonekana shetani mshamba yani afadhali baba uliye mleta mkombozi wawanyonge
Atukuzwe mungu milele eeeeemungu asante eewmungu asante sana mimi nilisha go baba mpaka nimefikia hatua mahusiano kuwa ya karaha mzazi mwenzangu ameuza mpaka gari kwahajili yakujiunga na ivyo vitu
nice job bro nitakupigia upatu twende sawa. we need leader na tutakomesha makampuni yoote ya kitapeli yenye kuwanyonya watu wasio na uelewa huo ndio uzalendo na kuweka alama.
Niko pamoja na wewe kaka maana hata mimi wamejaribu sana kunishawishi lakini wameshindwa maana nimewauliza ni biashara gani hii yakuuza mtu.. Hawa watu ni wezi kweli nahuku kwetu zanzibar wanazidi kusambaa..
Hawa qnet wanawatu serikarini maana kwenye mabango yao kuna watu wakubwa tu nchini kwani wataalam hawkulichunguza hilo au nanuie mnatafuta mianya mpige pesa mlikuwa wapi asinge ibua sabaya
Ila wanawateka watu akili hawa,kwanza wanakusomesha mpk uingie laini dadeki ,ukijashtuka washakulia na umaskini wako,Bora uuze mandazi barabarani ujue moja
Wanatumia mbinu za kuteka akili za watu,rafiki mmoja alinikaribisha kwenye presentation ya kwanza tu nikajua kuwa ni matapeli sijarudi tena{wamelaaniwa hao!!!
Broo kasome kwanza nn maana ya direct selling ndo uje uongee na watu wanaoijua technologia. Na ukae na wanasheria wenzako mshauriane kuandaa sheria za direct selling.
Zaidi ya Trilion 8 aisee.. hao jamaa wamenikosa kosa kula ela yangu. Kilichoniokoa ni jamaa walitaka Mil 5 au 8 mimi nikawa na Mil 3 wakakataa. Baada ya wiki 2 wakanipigia kuwa nipeleke hata hiyo Mil 3 nikawa nimeshaitumia ila nikawaahidi nikaitafute ya kuongezea niipeleke. Mwezi wa January ndo nilikuwa niipeleke ila kwa style hii 😅 wamenikosa aisee..
@@amirikijonga6013 mm mwenyewe nikingia lain nilienda had office kwako nikakuta a na hiyo kitu saa 8 mchana wanasalimia good morning mm nikacheka nikawasikiliza nikamwambia mbona sielew wakaniambia ooh usijal utaelewa tuu wakanifata mpaka nyumbani wananishawish eti niuze kiwanja ningie kwenye biashara . Nashukur mama Ang alinikataza kasema achana nao hao no matapel wee Kama unataka kufanya biashara fanya Kaz ukipata hizo hela fungua biashar yako mwenyewe kwel nikamsikiliza mama Ang nikiamua kuchana nao
Subscribe to allst4s kwenye youtube ujionee lyrics za huu mwamba unaoitwaga asilimaile kama "maisha ya bongo", "yanini marumbano", "tamaa mbaya", "naficha" na "mama neema" na zingne kibao
Biashara yamtandaoni🤣🤣🤣 usiombe ukutane nao. Mm nimehudhuria semina zao mbili lkn hadi sasa ukiniuliza wanafanya biashara gani mimi mwenyewe sijui na sikumbuki na siwezi kuelezea walichoniambia😃😃
Walinifata kwangu wajinga wale nikawaskiliza sera zao na wanaongea Sana walipomaliza nikamwambia mke wangu pika ugali mkubwa wa kisukuma tule na Hawa wajinga mbona waliondoka wenyewe.
Ndio itajulikana huko mbele kwa sababu imevuma lila mahali kwa muda mrefu inamaana hawajawahi kusikia wafanyakazi wa BOT wakajiuliza kulikoni kitu hiki huu ni utapeli huwa unamajira na miaka watu wakisahau ya miaka 10 au 15 iliyopita wanakuja kwenye kizazi kipya na watu wa makamo wakati huo uliopita hawakukubwa mimi nilibiwa dolar 200 miaka 20 iliyopita mchezo ulianzia Sweden tena unaenda kudeposit pesa bank weee acha tu
Hawa viumbe nilijuana nao tangu 2003, huko Uganda,wamenishawish Sana,ilianza huko,wkt nasoma,nikaona mda flan Hadi mwalimu wangu wa chemistry kaingizwa, mm sikukubaliana nao,bidhaa zao zilikuw za ajab ajab Sana,na Bei juu Sana,
Tofauti ya Wanachokofanya QNet Company na Desi enzi Zile ni nn? Kwa Wales Wanaokumbuka tu. Pia hiyo ina Tofauti gani na Betingi Mbalimbali Zinazoendelea Ulimwenguni?. ILA MIE NAJIULIZA Maswali Mengi sana tena Sana Kuhusu Hili "Mfano tu, Je Umelazimishwa Kufanya?"
Ni vizuri uende mahakamani. Ipo siku uta-empy your cup Hakuna anaelazimishwa, unapewa elimu, unapewa muda wa kutafakari, unayaona matokeo. Nichuki binafsi kupitia makampuni hewa. Nakumbuka "Dew Drop water company " ilivyoshambuliwa. Watu wakawa hawanunui maji hayo. Mwisho ulikuwaje? Unakunywa mpaka leo. Desi ulikuwa upatu, hawakuwa wanalipa kodi. Jamani jamaniii tuwaogope wanaosema
"ile hela Uitume kwa namba hii "
Eti simu yangu wameikorofisha.
Inaonekana wew ni agent wa q-net
@@paulbaynet1396 Tofauti ya Qnet na Baynet 😂😂😂😂 ni prefex tu, net ni ileile. Kigwangala aliifunguaje? Tafuta ukweli kwanza ndipo utoe lawama.
Watanzania ndio watu wanaoongozwa na vitu vinavyo kiki. ....huwa vinawafanya kusahau kwa muda kushughulikia ugumu wa maisha yao nakujikuta wakiziacha familia zao bila mpango madhubuti.. lkn hio ndio hali halisi tuliyo nayo wabongo. ..itatusumbua sana hii hali tukishindwa kukabiliana na nayo na kufanya mambo yetu ya msingi...
Watanzania ndio watu wanaoongozwa na vitu vinavyo kiki. ....huwa vinawafanya kusahau kwa muda kushughulikia ugumu wa maisha yao nakujikuta wakiziacha familia zao bila mpango madhubuti.. lkn hio ndio hali halisi tuliyo nayo wabongo. ..itatusumbua sana hii hali tukishindwa kukabiliana na nayo na kufanya mambo yetu ya msingi...
@@ceciliajimmy5652 ahsante sana kaka
Sijawahi kuona Mwandishi anauliza Maswali Muhimu sana hapa Tanzania Korumba.
Hongera sana.
Hahaha i love it forever 😂😂watu hawaelewiii na wanahitaji kueleweshwa polen sanaa kuna siku mtaelewa tu
Unamaanisha nini madam
Hawajui hao irawataerew2❤
Safisan 2napamban😂❤
Dogo mwana habari mzuri sana!!!! Namba 1....endeleza fani yako
Mnaofanya msikate tamaa wazee
Daah director wa chuo cha noble hongera yako mkurungezi wangu wa chuo
Good morning ,good morning billionsire
Kumbe unawajua mkuu hiyo ndiyo salamu yao iwe mchana, jioni ama usiku
Good morning hahaha Mimi wanasubiri niuze nyumba ili niingie
Mule mole io ndo salaam yao
@@mariamramadhani3860 hahaaa
@@kassiannyamba805 niliwapa ahadi naenda kuuza nyumba na nikawatumia mfano wa hati ya nyumba weee nilikua napigiwa simu kila siku nabembelezwa hiyo biashara kwa mtu wa mwisho kufikia mafanikio ndio shida wanafaidika wao wa mwanzo
Good morning business partners wenzangu mliopo kwenye plan😂😂😂😂😂
Ata kama usiku wanasema good morning
🤣🤣🤣🤣 alafu kama misukule vile mnajibu 'GOOD MORNING'
@@abdulaziz703 yani hamjui ambavyo ivi vitu vili nichefua moyo wangu mpaka rangi ya ngozi ichi kitu kilinifanya nizalaulike ktk mahusiano nikaonekana shetani mshamba yani afadhali baba uliye mleta mkombozi wawanyonge
@@judithkatabaro3294 dah hatari sana
Njooni dm niwaeleweshe hamuelewi kitu
Mbona mpaka leo hiyo Mahakamani hajaenda?😅
Qnt usiogope chapa kazi good morning ww unae shangaa kuulizwa good morning njo QNET tukupe mana halisi
Saafi dada
Mimi nikashangaa mchana naambiwa Goodmorning🤣🤣🤣
Msishangae kuulizwa good morning shangaa kuambiwa bdo hujajitambua
Mim mapamban nirudi Qnet siiiachi
Qnet the best❤❤ Qnet
Kama unataka kuzuia biashara ya qnet, basi zuia ukuaji wa technology
Asante Mungu wamenikosakosa
Ungenunua saa milioni 5😆😆
Huyu hajaelewa hii biashara kabisa .mm qnet hunitoi kabxa
Atukuzwe mungu milele eeeeemungu asante eewmungu asante sana mimi nilisha go baba mpaka nimefikia hatua mahusiano kuwa ya karaha mzazi mwenzangu ameuza mpaka gari kwahajili yakujiunga na ivyo vitu
Pole sana ila mshukurumu umejua
Maana ungeingiza na ndugu
kweli kabisa
Pole mzee rudi kwa wanao
Unakili pana Sana kaka.Mungu akusimamie vyema
Pia inawaumiza sana raia Watanzania maskini .nenda Baba nasi tupo nyuma yako ukihitaji msaada tutakusaidia
Elimu ya biashara ya mtandao inahitajika kwa huyu jamaa kuhusu q net kwa kweli
Ameishia wap hyu jamaa mpk leo hajaenda mahakamani tu????
Kweli Hv mbona.kimya Kesi iloendaje.
nice job bro nitakupigia upatu twende sawa. we need leader na tutakomesha makampuni yoote ya kitapeli yenye kuwanyonya watu wasio na uelewa huo ndio uzalendo na kuweka alama.
Na uber wanawanyonya madereva wao wanapiga pesa tu
Yako mengi
@@nurudinmuhana9775 aseee nilitaka kwenda huko basi Kama ni hivyo
Hongera Sana mzalendo Sana na hongera Sana.
Mimi mwenyewe niseme Mungu ananipenda, wamenikosakosa nilikuwa na milioni moja, wao walitaka milioni nne, nikashindwa .
Noma hawataki vinyonge😀😀
Nikweli kabisa
Ngereza bwana hata ww tunakujua Ila Mungu yupo atajidhiihisha siku moja mlichonifanyiaga ww na jamaa yako Mungu atawalipa
Hapo hamna ushahidi wakutosha Qnet nijina lakibiashara jina lakampuni lililo sajiliwa brella ni QI sasa huyu bwana anaongea bila uhakikaa😜😜😜😜
Hata jina la biashara linasajiliwa
Jamaa unatetea sana qnet
Niko pamoja na wewe kaka maana hata mimi wamejaribu sana kunishawishi lakini wameshindwa maana nimewauliza ni biashara gani hii yakuuza mtu.. Hawa watu ni wezi kweli nahuku kwetu zanzibar wanazidi kusambaa..
Na mimi ndugu ad saizi
Dah pesa wanao tapeli dah nimtaji tosha ya weww unaye enda kuwapelekea
Wezi Hao...
Biashara ya q net inaendelea kukua vizuri kabisa despite kuchafuliwa na hawa wanasheria wasiojua biashara
Kwer brother❤
Hawa qnet wanawatu serikarini maana kwenye mabango yao kuna watu wakubwa tu nchini kwani wataalam hawkulichunguza hilo au nanuie mnatafuta mianya mpige pesa mlikuwa wapi asinge ibua sabaya
Kila kitu kina majira yake. Hii ni majira ya kushughulikia hili
Akili ni mali sio kwamba akili i nywele
Kila mtu na akili yake
Kama hujaelewa hujaelewa tu pole
Ila wanawateka watu akili hawa,kwanza wanakusomesha mpk uingie laini dadeki ,ukijashtuka washakulia na umaskini wako,Bora uuze mandazi barabarani ujue moja
Asante mzalendo.
YAANI WEWE KAKA mwanasheria MUNGU akuzidishie. Washtaki kabisa
Hao Qnet wamesomea utapeli, Watu na akili zao timamu wametoa pesa loooooh
Wee umeijuaje kwani
Majuzi wakubwa QNET
Wanatumia mbinu za kuteka akili za watu,rafiki mmoja alinikaribisha kwenye presentation ya kwanza tu nikajua kuwa ni matapeli sijarudi tena{wamelaaniwa hao!!!
Kama Mimi mkuu representation ni kwere pamoja na 98 na 2 maumivu
Broo kasome kwanza nn maana ya direct selling ndo uje uongee na watu wanaoijua technologia. Na ukae na wanasheria wenzako mshauriane kuandaa sheria za direct selling.
Kwer the best Qnet❤❤
Dream killers kama hawa jamaa hawafai kabisa
Wengine wanaofanya utapeli kama huo ni CROWD 1 hawa matapeli nao wafuatiliwe kijiwe chao kipo mlimani city
Kweli niliwahi kufika mliman
Zaidi ya Trilion 8 aisee.. hao jamaa wamenikosa kosa kula ela yangu. Kilichoniokoa ni jamaa walitaka Mil 5 au 8 mimi nikawa na Mil 3 wakakataa. Baada ya wiki 2 wakanipigia kuwa nipeleke hata hiyo Mil 3 nikawa nimeshaitumia ila nikawaahidi nikaitafute ya kuongezea niipeleke. Mwezi wa January ndo nilikuwa niipeleke ila kwa style hii 😅 wamenikosa aisee..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣unabahat
@@Maz-4000 nimekoswa koswa.. sijui ningelilia wapi kilio changu
Mm nilishtuka
😂😂imefikia wapi hii kesi........maana unapima maji kwa miguu afu yote miwili
Pesa huwa azirudishwi
RUclips na facebook wanakataje kodi ya tra
F
Kwani Fb wanafanya biashara ya fedha?
huyu mwanasheria uchwara akishindwa kesi ataaminika tena?
We ni mtu wa qnet eeh?
Na uber wanyonyaji wafuatiwe mana kampuni ikianza vizuri kwasasa madereva wanalalamika wananyonywa na hawanajinsi
Laajabu wanaotapeliwa ni watu na elimu zao Sasa sijui inakuwaje? Ninachosema tuepuke tamaa za utajiri wa haraka
Year
Mimi niliishia kula chakula chao tu kisha nikala kona rafiki aliyenipeleka kaliwa ml 5 akidai karid ananunua v8 mwisho wa cku baiskel
Hahaha Baiskel
BISWALO NI MWIZI ALIIBA PESA.ZA.DECI. ANAJUA KABISA NI WIZI
Brela walijiridhisha na QNet kweli?! Jicho pana LA kisheria liangalie mikataba ya Brela!
Wao walisema hawaitambui Qnet
brela wanahitaji brush wapo wapo tu.
Daaah
Good morning upcoming billionaire hahaha daaaah woza woza
Woza woza hahahah ✌️✌️
@@faudhiaally393 woza faudhia woza hahahah
@@amirikijonga6013 mm mwenyewe nikingia lain nilienda had office kwako nikakuta a na hiyo kitu saa 8 mchana wanasalimia good morning mm nikacheka nikawasikiliza nikamwambia mbona sielew wakaniambia ooh usijal utaelewa tuu wakanifata mpaka nyumbani wananishawish eti niuze kiwanja ningie kwenye biashara . Nashukur mama Ang alinikataza kasema achana nao hao no matapel wee Kama unataka kufanya biashara fanya Kaz ukipata hizo hela fungua biashar yako mwenyewe kwel nikamsikiliza mama Ang nikiamua kuchana nao
Wich in Wich Nan!! Mkweli naitaji ufafanuzi apa good morning
Masikini unatia huruma
Tunakushukuru kuja kuwaokoa wengi mimi nilisha liona hili chakushangaza wengi niwasomi walio lizwa
Subscribe to allst4s kwenye youtube ujionee lyrics za huu mwamba unaoitwaga asilimaile kama "maisha ya bongo", "yanini marumbano", "tamaa mbaya", "naficha" na "mama neema" na zingne kibao
Hi
Rwanda awataki kabisa upuuzi uhu, Kenya nayo imewafulumisha kabisa wazungu, na kazi yao no upatu tu
Kwani Qnet inajihusisha na Nini sielewi
Biashara yamtandaoni🤣🤣🤣 usiombe ukutane nao. Mm nimehudhuria semina zao mbili lkn hadi sasa ukiniuliza wanafanya biashara gani mimi mwenyewe sijui na sikumbuki na siwezi kuelezea walichoniambia😃😃
Wenyewe wanakwambia pia qnet inadhamini hadi club kubwakubwa za ulaya
Walinifata kwangu wajinga wale nikawaskiliza sera zao na wanaongea Sana walipomaliza nikamwambia mke wangu pika ugali mkubwa wa kisukuma tule na Hawa wajinga mbona waliondoka wenyewe.
Huyu wakili alishia wapi na hii kesi yake
Hao bot wanaweza kuwa ni watu wao pia
Ndio itajulikana huko mbele kwa sababu imevuma lila mahali kwa muda mrefu inamaana hawajawahi kusikia wafanyakazi wa BOT wakajiuliza kulikoni kitu hiki huu ni utapeli huwa unamajira na miaka watu wakisahau ya miaka 10 au 15 iliyopita wanakuja kwenye kizazi kipya na watu wa makamo wakati huo uliopita hawakukubwa mimi nilibiwa dolar 200 miaka 20 iliyopita mchezo ulianzia Sweden tena unaenda kudeposit pesa bank weee acha tu
Hawa viumbe nilijuana nao tangu 2003, huko Uganda,wamenishawish Sana,ilianza huko,wkt nasoma,nikaona mda flan Hadi mwalimu wangu wa chemistry kaingizwa, mm sikukubaliana nao,bidhaa zao zilikuw za ajab ajab Sana,na Bei juu Sana,
Sasa watasema good night
😂😂😂🤣 sleep 😴
Kesi iyo itakufia ujui biashara ww
Asante kiongozi Mungu akusimamie nilitaka kuingia kwenye janga hili
Mimi wamenikosa kunipiga 5.07m mikocheni 🅱 pale. Inaonekana wengi wanapigwa sana na wanapenda kuwatumia watu ambao nimarafiki zako.
Mi nmekoswa kosea 4.5 million
Niwaongo Qnet mbn wafanya kaz wao ukienda ofsini ata gar hawana alfu wana kuambia wana pesa nyingi mhu
Mimi walinifuatilia sana kilichonifanya nisijiunge ni kukosa milioni 5 wanajua kushawishi sana waliniambia nikope au niombe kwa ndg jamaa na marafiki
Mimi niliwaambia nina nyumba sasa wee kila siku uza nyumba kopa hahaha
Mimi hata ningekuwa nayo nisingetowa nilienda kuwasikiliza kwa kuwachoratu. alafu niksondoka kwa kuwadharau ule ni upuuzi
Bro yuko vizuri watu wanaibiwa Sana, ikiwezekana isimamishwe haraka sana
Ndg zangu hii Qnet hata mimi imenifikia na sasa hivi nipo ktk harakati ya kuuza kiwanja changu ili nijiunge lakn nashukru mmetufumbua macho
@Paschal Sylvester achana nao wezi hao
Duuu
Mr. Kuku.
Tofauti ya Wanachokofanya QNet Company na Desi enzi Zile ni nn?
Kwa Wales Wanaokumbuka tu.
Pia hiyo ina Tofauti gani na Betingi Mbalimbali Zinazoendelea Ulimwenguni?.
ILA MIE NAJIULIZA Maswali Mengi sana tena Sana Kuhusu Hili "Mfano tu, Je Umelazimishwa Kufanya?"
Mmmmmmmh siamini ninachokiona.
Hoja sio kulazimishwa hoja Kama umeweka fedha unakaa miaka mitano fedha hairudi
We ni agent wa qnet inavyoonesha
Ushatepeliwa tuliza p*mbu
Huku sumbawanga pia wapo na wanafanya kazi hiyo
Watalizwa
Watapigwa radi Kali sana
RUclips na facebook wanakataje kodi ya tra
Kupitia bundles unazonunua, kuna VAT na withholding taxes