Brave VOICES (Lawrence K. )from the soloist. Good beats traditional back ground art... VERY well represented with the theme altogether.. Dr. Bongole very tremendous song. To God be the Glory
Great composition Dr Bongole. To the production team, you have done a great job. Sasa waimbaji mko juu sana nimefurahia sana👏👏👏👏 mbarikiwe zaidi. Lawrence amefanya tena Ile kitu🥰👏👏👏
msondo kama msondo nakuonaaa❤
Hongereni sana wanachuo Kwa uinjirishaji wa neno la mungu Kwa njia ya Kwa kuimba.
God did congratulations wakuuuu🎉🎉🎉🎉🎉
Dr Bongole utunzi mwema sana 👏👏👏
Hongereni sana waimbaji wetu na mzidi kuwa wenye kipao mbele.
Ooh guys❤❤❤❤❤Mungu awabariki sana wana wake ,MUNGU tu ndie anasitahili sifa utukufu na heshima regardless of anything 🙏🙏
Hongeren sanaaa wakuu
Nice work......mungu aibariki kazi ya mikono yetuu......... 🙏🙏❤️
Mwaitenda vyema kazi ya Bwana
Yesss safi sana imekaa poaa
Aiseeee.... We Bongole weweeee. Hongereni Sana Waimbaji mmeutendea haki.
Mmmh! Mmejitaidi sana Mungu azidi kuwapigania mfanye vizuuri zaidi ya hapa❤️❤️👍👍👍👍
Sawasawa tumekubali....hongereni sanaaa
God bless all kwa kutolea wimbo smart na awazidishie miaka
Wow tamu sana congrats team kwa uimbaji wenu smart
❤ hongereni kwa kumtangaza kristo
Daah, wimbo mzur sana,💪 nachanganyikiwa nisikilize au niangalie wale dancers😅💪💪mmeua
Kazi.safi sana.hongereni
Daah!!.sitamani ata ishe ety..kazi nzuru mnoo👏👏.nawapenda sanaa❤
Uh....Yelele...mah....
Beautiful beautiful beautiful
Nimependezwa na kazi hii nzuri. Ninyi ni mfano wa kuigwa na vyuo vingine. Safi sana #visiontanzania #Prof_Muyungi
Ahsante sana
Hongereni sana kwa kazi iliyotukukaaaaaa
Mungu awabariki nyotee, tunazidi kwenda mbele@miligo
Mbarikiwe sana ATC
Nice song Mungu aibariki kazi ya mikono yenu
Hii imeenda......
Ani hauchoshi hauboiii nmeuangalia Mara kumiii great work Karoli lwanga👍
Nimebalikiwa jamani
Nimebarikiwa through this song
Kazi Moja safi kabisa 🎉
Amina sana guys, nabarikiwa na muziki huuu mtakatifu
Kazi safi❤❤
This is worldwide🌍🌎🌏
Mpewe maua yenuu🌹🥰
This is real a creative mind
Mzigo ni wa motoo
Woow 💖💖 very nice and creative hongera sana soloist na waimbaji wote....But Noreen hongera sana decoo Mungu akutumie zaidi ❤️❤️
Hatariiii, creativity moja nzuri sanaaa
Kazi nzuri sana watu wa mungu
Kazi Safi nawapenda sana
kazi nzuri mno, be blessed guys🙏🙏🙏
Felt the blessings of the LORD befallen on me😇🙏……superb👌👏……..great work😇…….
Nice work Mungu awabariki ❤
Muziki mzuriii
Namuona Omarion kwa huu wimbo..... 😘😘😘
🏃🏃🏃🏃🏃
❤yooo good song for sure
Brave VOICES (Lawrence K. )from the soloist.
Good beats traditional back ground art...
VERY well represented with the theme altogether.. Dr. Bongole very tremendous song. To God be the Glory
Wooooow......the lyrics and the flow are just on top notch ❤️
Amen @Vicky
Am so blessed today
Let us glorify our Lord🤲🔥🔥🔥🔥🔥
Bora imefika, tumeisubiria sanaaaaaaa🔥🔥🔥
No one like God ❤
Beautiful song Mungu awabariki
Wooow!! Mmetisha kwakweli...kazi nzuri sanaaa
Qui bene cantat bis orat😊
Blessing voices 🙌
St Karoli Lwanga from Arusha Technical college 🙌🙌🙌
Awesome ❤ ……….. tumeifanya vyema 🙏🏾🌹🌹🌹
JUST LISTENING I FOUND MY SELF HEAVEN....... 😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana wakuu
Wow kazi nzuri
Congrats imenoga hataree 🥰
It’s a 10/10🔥God bless y’all👏
❤❤❤ big up my Lovers kazi nzuri
Big up ATC 🔥🔥
Good voices Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ya kutangaza injili😌🙏
Mungu Atukuzwe milele🙏🙏
This is so good
Neno la Bwana ni chakula cha uzima hakika.Mungu atukuzwe milele.Asanteni sana waimbajiwetu .uwe na moyo wa imani kama unavyoimba. Mbarikiwe sana.
Mnaupiga mwingi vijana👏👏🙏 Mungu awabariki Sana ktk utume wa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo
Unakuj lin mkuu😂
Itakuwaje Mbinguni if this melodious voices are heard on earth,, Hallelujah
Safi sana kwa kazi njema, hongereni sana kwa kila aliyeshiriki
Nailed it🙌🏽
TUNAWASHUKURU SANA.......TUNAOMBA MMBAKI NA SISI KAZI NZURI ZIPO NYINGI....
Very amazing guys
Kazi nzuri sana vijana wangu wa TMCS mjaliwe nguvu ya kuendelea kumtumikia Mungu muda wote
❤
Kazi imetulia....mpaka inaponya......
What a 🔥
Awesome 💯💯💯
❤❤❤❤ song on fireee
Kila kiumbe mwenye pumzi imsifu Bwana . Kazi nzuri sana wapendwa ,Mungu awape ubunifu Kila wakati 🙏
Waooo kazi nzuri sana Mungu awajaze nguvu zake ♥️♥️♥️♥️
Wao nimekuona classment wangu asela jaman
The song is awesome 🥰
Very nice one.I listen,watch,sing it day in n night time.
Barikiweni sana na muendelee na kazi nzuri ya kumwimbia na kumsifu Mungu
Congrats🎉🎊the song is nice
Love the song
Hii ni Chumaaaaaaaaa...... Cool moves, cool graphics and most of all Cool Voices, keep it up.....
this song is touching
Good job
wonderful!, congratulations brothers and sisters you did great job!
So Blessing 💥🎉🙏
Wow!! Mbarikiwe sana kwa huduma nzuri ya uimbaji, hakika wimbo una mguso wa ajabu. Keep up this spirit!
😃 cool and good choir and song
Hongera sana kazi nzuri 🎉
Mwenyezi Mungu ametia ndani ya kinywa changu nyimbo za ushindi. #Mtukuzeni Mungu
Ahsante sana kwa mawazo ya wimbo mzuri ..Dr.Bongole
You always do the best🥰🔥
Appreciate it 🫡🫡 #Mmetisha
So touching thanks a good song
Great composition Dr Bongole. To the production team, you have done a great job. Sasa waimbaji mko juu sana nimefurahia sana👏👏👏👏 mbarikiwe zaidi. Lawrence amefanya tena Ile kitu🥰👏👏👏
Thanks be to God @Mary
Anointed Voices🔥🔥🔥