Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
  • Видео 13
  • Просмотров 373 373
MUNGU YUPO |Ray Ufunguo - Kwaya Ya Mt Karoli Lwanga |Arusha Technical College (ATC)
“Mungu Yupo, Tumuimbieni Nyimbo za Sifa Leo”
Wimbo: Mungu Yupo
Mtunzi: Ray Ufunguo
Kwaya: Mt Karoli Lwanga - Arusha Technical College (ATC)
Audio Production: Rajo Productions
Instrumentation : Ray Ufunguo
Video Production: Director MDETE TM
Kindly comment, like, share and subscribe to our Channel🫡🔥
#kwayakatoliki #gospelmusic #africanmusic #worshipsongs #praiseandworship
Просмотров: 31 375

Видео

MTUKUZENI BWANA | Dr Kelvin B Bongole - Kwaya Ya Mt Karoli Lwanga |Arusha Technical College (ATC)
Просмотров 196 тыс.Год назад
“Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nasi tuliadhimishe Jina lake pamoja” Wimbo: Mtukuzeni Bwana Mtunzi: Dr Kelvin B Bongole Kwaya: Mt Karoli Lwanga - Arusha Technical College (ATC) Featured Soloists: Lawrence Kameja,Monica Ndalla & Noreen Mushi Audio Production: Mozen Pro Instrumentation : Dr Kelvin B Bongole Video Production & screenwrite : IRIS EMPIRE Kindly comment, like, share and subscribe to ou...
COMING SOON MTUKUZENI BWANA
Просмотров 1,7 тыс.Год назад
STAY TUNED | STAY TUNED 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 YES KUWA TAYARIIIIIIIHHHH RELEASE DATE: 01/07/2023 SAA NANE KAMILI MCHANA 📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌 📍WIMBO: MTUKUZENI BWANA 📍MTUNZI: DR. KELVIN BONGOLE 📍KWAYA: MT. KAROLI LWANGA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA - (ATC) 📍PAROKIA: ROHO MTAKATIFU -NGARENARO 📍FEATURED SOLOIST: LAWRENCE KAMEJA MONICA NDALLA NOREEN MUSHI 📍AUDIO: MOZEN PRO 📍VIDEO: IRIS EMPIRE Tunapatikana kwenye mitandao yetu y...
Roho wa Bwana imeujaza Ulimwengu: By: Kashumba
Просмотров 852Год назад
Baadhi ya wanakwaya wa kwaya ya Mt.Karoli Lwanga wakiimba kwa bashasha wimbo wa Roho Mtakatifu live… @Wasafi_Media @kmkmakuburi #pentecostal #katoliki
NI KWA NEEMA
Просмотров 2,3 тыс.Год назад
Karibu Sana katika channel ya kwaya yetu...Kusikiliza na kusoma maneno ya wimbo wetu mpya. Jina la Wimbo: Ni Kwa Neema Mtunzi: Servisio Mligo Kwaya: Mt. Karoli Lwanga Chuo cha ufundi Arusha Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro Jimbo kuu Katoliki - Arusha Audio: Sayari Production Lyrics & Spectrum: Pro~Skills Wimbo huu ni kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kila Jambo analozidi kutujalia sisi pam...
Pokea shukrani (Official lyrics)
Просмотров 21 тыс.2 года назад
(official lyrics) karibu kutazama wimbo wetu unaoitwa"POKEA SHUKRANI". ruclips.net/video/2ZTAPl5My2U/видео.html WIMBO: Pokea shukrani. MTUNZI: Carlos A. Sindanotano. KWAYA: Mt. Karoli lwanga - Chuo cha ufundi Arusha. SOLO: Lawrence Kameja. Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro. Jimbo kuu katoliki la Arusha. Audio & Video: SAYARI PRODUCTION. #catholic #kameja #katoliki #makuburi #nyimbozawokovu ...
Pokea Shukrani (Official Video) By. Kwaya ya Mt. Karoly Lwanga ATC and Lawrence Kameja
Просмотров 104 тыс.2 года назад
Karibu kutazama wimbo wetu unaoitwa "POKEA SHUKRANI" WIMBO: Pokea shukrani. MTUNZI: Carlos A. Sindanotano KWAYA: Mt. Karoli Lwanga - Chuo cha Ufundi Arusha. SOLOIST: Lawrence Kameja. Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro. Jimbo kuu Katoliki la Arusha. Audio & Video: SAYARI PRODUCTIONS. #katoliki #catholic #nyimbozawokovu #kameja #makuburi #rajofficialmotivational #mukasa #kwaya #mungu #tanzania...
Pokea Shukrani (Coming Soon) - Kwaya ya Mt. Karoly Lwanga ATC
Просмотров 10 тыс.2 года назад
Hii ni kionjo cha wimbo unaoitwa Pokea Shukrani kutoka kwaya ya Mt.Karoli Lwanga chuo cha ufundi Arusha (ATC), Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro, Jimbo kuu la Arusha. Karibuni tumtumikie na kumwimbia Kristu kwa nyimbo za sifa na shukrani. Imetungwa na Ndg. Carlos Sindanotano #katoliki #catholic #nyimbozawokovu #kameja #makuburi #rajofficialmotivational #mukasa #kwaya #mungu #tanzania #bora #r...

Комментарии

  • @flaviaflavius4726
    @flaviaflavius4726 11 дней назад

    Kazi nzuri wahandisi🫂🤍🙏

  • @SalumOmary-g5g
    @SalumOmary-g5g 14 дней назад

    ❤❤

  • @FlaviusRutta
    @FlaviusRutta 18 дней назад

    🥰🥰 good

  • @ChristabellaMmasi
    @ChristabellaMmasi 20 дней назад

    Kazi nzuri 🎉

  • @VeronikaJackson-m8z
    @VeronikaJackson-m8z 29 дней назад

    Mmeimba vizuri sana Wana wa Mungu, Mungu wa mbinguni awainue juu zaidi katika kazi yenu ya kuinjilisha.mm nimebarikiwa mnoo.

  • @YusuphOmary-fh9bb
    @YusuphOmary-fh9bb Месяц назад

    May God bless u all

  • @MzikiWaMbinguni
    @MzikiWaMbinguni Месяц назад

    Safii edson

  • @frolaedimundi9993
    @frolaedimundi9993 Месяц назад

    Vizur🎉

  • @frolaedimundi9993
    @frolaedimundi9993 Месяц назад

    Nzuri🎉

  • @frolaedimundi9993
    @frolaedimundi9993 Месяц назад

    Nzuri🎉

  • @GodfreyKewe
    @GodfreyKewe 2 месяца назад

    Hongereni sana

  • @Fanji-e7
    @Fanji-e7 2 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @sarafinamapuga810
    @sarafinamapuga810 3 месяца назад

    Tunachowakubali ni kwamba hamjawai kutuangusha big up sana kwenu🙌 Mungu awazidishie mzidi kutupa nyimbo Bomba za Kikatoliki

  • @LETICIATALANGE
    @LETICIATALANGE 3 месяца назад

    Kazi nzr hongereni sana❤😂🎉🎉

  • @PreizyJoseph-sr2hy
    @PreizyJoseph-sr2hy 3 месяца назад

    Mungu awabariki na hongereni kwa kazi nzuri endeleeni kufanya kazi ya Bwana

  • @AtanasiDotto-bk7hk
    @AtanasiDotto-bk7hk 3 месяца назад

    Hongereni sana ATC kweli mmeimba vizuri sana Mungu awainue zaidi na zaidi mzidi kumtumikia yeye siku zote za ujana wenu ❤️❤️💓📌

  • @josephmunduvuyira2723
    @josephmunduvuyira2723 3 месяца назад

    Hongereni kwa kazi njuri na ya thamani kubwa. Ahsante kwa watunzi na wachezaji kinanda. Kila jema katika utume wenu.

  • @AnnastaciaSafarin
    @AnnastaciaSafarin 3 месяца назад

    Kazisafi

  • @DianaRonjino
    @DianaRonjino 3 месяца назад

    𝕞𝕟𝕒𝕚𝕞𝕓𝕒 𝕧𝕚𝕫𝕦𝕣𝕚 𝕞𝕟𝕠 𝕞𝕟𝕠 𝕛𝕒𝕞𝕒𝕟𝕚 𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝕒𝕨𝕒𝕓𝕒𝕣𝕚𝕜𝕚 𝕟𝕒𝕨𝕒𝕡𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒 .❤🎉❤🎉❤🎉

  • @paskalinaleopold3251
    @paskalinaleopold3251 3 месяца назад

    ninawafuatilia mno na hongereni

  • @jannethshayo1367
    @jannethshayo1367 3 месяца назад

    Me mependa

  • @Apollinarisclaudius-kl4ly
    @Apollinarisclaudius-kl4ly 3 месяца назад

    Hongereni sana vijana wa kazi

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 3 месяца назад

    mziki wa kikatoliki ...afu mziki wa kichuo chuo asee aloooo🙌🙌🙌🙌mungu awabariki kusali mara mbili karbuni pia chuo cha NIT tunakwaya nzuri mnooooooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @omarychaula
      @omarychaula 3 месяца назад

      😂 karibu kijana Arusha from Israel katibu wako

  • @bupechulla8121
    @bupechulla8121 3 месяца назад

    good song

  • @SospeterBaumba-d3b
    @SospeterBaumba-d3b 3 месяца назад

    Wimbo umetulia sanaaa

  • @dominicakimbe
    @dominicakimbe 3 месяца назад

    Wooow kazi nzuriii,,,mmetishaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZakariaElias-g2w
    @ZakariaElias-g2w 3 месяца назад

    Good song👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @AnthoniaKadoyi
    @AnthoniaKadoyi 3 месяца назад

    Nyimbo nzuri, tunajifunia kuwa mkatoliki kila siku ❤❤

  • @augustmboe216
    @augustmboe216 3 месяца назад

    hongeni sana mnaimba vizuri sana

  • @jenipherrwezaula7084
    @jenipherrwezaula7084 3 месяца назад

    Mmeweza Mungu yupo, tumtukuze yeye milele❤

  • @chep2019
    @chep2019 3 месяца назад

    ❤❤safi sana Wana karoli lwanga ARUSHA 😊😊😊❤❤❤ TEC

  • @waromokello
    @waromokello 3 месяца назад

    Fantastic song❤❤

  • @tempochoir
    @tempochoir 3 месяца назад

    Hongereni sana mmeimba vizuri sauti zimetulia wimbo mzuri sana ❤

  • @godffreyonyango1049
    @godffreyonyango1049 3 месяца назад

    Nice one❤

  • @youngmantz838
    @youngmantz838 3 месяца назад

    Vocals and overtone frequencies zote zimezingatiwa.

  • @Das-71-v3g
    @Das-71-v3g 3 месяца назад

    Kazi nzuri sana... Mungu awabariki🙏🙏

  • @HoseaOsward
    @HoseaOsward 3 месяца назад

    Wimbo wa kufungia mwaka kabisaa🎉😂🔥🔥

  • @yasintaissala7613
    @yasintaissala7613 3 месяца назад

    Hongera kwenu wote mlioshiriki kazi nzurii sana 🎉❤

  • @juliusmganyizi6261
    @juliusmganyizi6261 3 месяца назад

    mambo ni yapendayo huu mziki mtakatifu nimeupiga jana toka saa 9 mpaka usiku na leo tena nimeamka nao unanipa nguvu ya kupambana na kutokata tamaa licha ya magumu ninayopitia hongera sana MUNGU atubariki kwa utume

  • @phibianchepmngetich6140
    @phibianchepmngetich6140 3 месяца назад

    Wimbo mtamu kweli, pacha wenzetu tumezindua siku Moja lakini kutoka Mombasa -Kenya 🇰🇪 na Tanzania. Kazi Safi sana Director Mdete 🎉🎉🎉 #SifaKwaMungu

  • @rahabmacharia5020
    @rahabmacharia5020 3 месяца назад

    I salute you my good people.. Ray a very touching song. Asante

  • @busheshawilbroad
    @busheshawilbroad 3 месяца назад

    Hongereni sana wakuu

  • @ocestalmgao3678
    @ocestalmgao3678 3 месяца назад

    Kazi nzuri mno heko kwenu ❤❤❤❤

  • @godsonjackson
    @godsonjackson 3 месяца назад

    Congratulations to you, kazi njema. Pokeeni maua yenu 🎉

  • @EmmanuelWambwe
    @EmmanuelWambwe 3 месяца назад

    Big up sana wakuu chuma imekaaa🎉🎉🎉🎉

  • @SilvesterIlanda-eb7oj
    @SilvesterIlanda-eb7oj 3 месяца назад

    Pia nitakuwa ni mchoyo kweli wa fadhila nisipo wasifia kwa TABASAMU kutoka kwa waimbaji wote, asilimia zaidi ya 90 % za Tabasamu, keep it up!!!!!

  • @SilvesterIlanda-eb7oj
    @SilvesterIlanda-eb7oj 3 месяца назад

    Duuh pongezi kwao watunzi wapiga vyombo na waimbaji wote kwa kazi nzuri ya UINNJILISHAJI kwa njia ya Uimbaji wa mziki Mtakatifu,, 👐👐

  • @BrysonMmari
    @BrysonMmari 3 месяца назад

    🎉❤❤ wafanyakazi pamoja shambani mwa Bwana, Mungu wa mbinguni abariki kazi nzuri ya uinjilishaji wenu...

  • @JosephLeonard-v3y
    @JosephLeonard-v3y 3 месяца назад

    So grateful my friend let's keep it up for the another work

  • @josephngowa9575
    @josephngowa9575 3 месяца назад

    Hongereni wahandisi kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu

    • @mc_longino
      @mc_longino 3 месяца назад

      Ahsante sana Mhandisi🙏🙏