MAMA MLEMAVU aangua kilio mbele ya MAKONDA, ampa mtaji wa kuanzisha Biashara

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 42

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 21 день назад +5

    Amina barikiwa makonda duniani hakuna anayependa maskini kanisa lenyewe halipendi maskini wewe peke yako mbarikiwa na magofuli Mungu akutunze makonda

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 20 дней назад +4

    Subhaana Allah ,hii clip imenitoa machozi.Makonda itikia duwa ya huyo Mama naamini Mungu ameikubali, nami pia nakuombea Kwa Mungu akunyanyue zaidi

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 10 дней назад

    Mungu akutunze makonda akupe maisha marefu baba

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 23 дня назад +3

    Ameeeen ubarikiwe makonda.

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 23 дня назад +4

    Pole dada

  • @yustakipenyakipenya9117
    @yustakipenyakipenya9117 18 дней назад +1

    Makonda kipindi cha uongozi wake wa Dar alisaidia sana watu lakin binadamu hawana shukrani hawakuona jitihada zake kapigwa vita sana lakini Mungu hamtupi mjaa wake

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 19 дней назад

    Makonda makonda mungu akupe maisha maleeefuuuu mnooooooo jamaniiii 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mingu atatenda kitu kikuubwa saaana ameeeeniiii mungu akusimamie saaaana chapa kaziii baba

  • @ZauloMalolage-tv7vb
    @ZauloMalolage-tv7vb 21 день назад +2

    God knows pole mama

  • @amosmachibya1800
    @amosmachibya1800 15 дней назад

    Kaka makonda Mungu awe nawe daima. Nakuelewa sana

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 17 дней назад

    Pole sana Mungu akusmamie

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 22 дня назад +4

    Aibu kubwa kwa kanisa kuweka wakili kudhurum haki.hilo kanisa walihame

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 15 дней назад

    Neno la MUNGU kwa Watu wa MUNGU linakataliwaaa kweli....😭😭😭😭

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 20 дней назад

    Hakika dunia yake.MWENYEZI MUNGU.Wanadamu tupo hapa kwa muda,hata iweje atutoweza kuibeba dunia.Hata ukifanya kufuru vipi but believe or not tutarudi kwake.Muumba.Nakuombea sana mwanadamu uliyejitolea na kuwaonea huruma wanadamy wenzio.Utapata malipo hapa duniani na hata mbele ya haki.Mkuu makonda.Wallah

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 23 дня назад +3

    Makanisa yamekuwa vyana vya biashara. Kanisa sadaka zote hizo machozi ya huyu mama mtachomwa moto.

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 23 дня назад +5

    Hata kanisa linazulumu haki

  • @deniskaguo4698
    @deniskaguo4698 22 дня назад +5

    Yani kanisa lng namm linaonea wanyonge?????? 😢😢😢😢😢

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 23 дня назад +3

    Makonda makonda makondaaaa

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 23 дня назад +2

    Mungu akulinde makondA

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 23 дня назад +2

    Mhe:na makanisa watu wa ovyo kumbe

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 22 дня назад

    YESU KRISTO ATUREHEMU

  • @kisamurashid346
    @kisamurashid346 20 дней назад +1

    Makonda kunasiku utaiongz nchi

  • @kisamurashid346
    @kisamurashid346 20 дней назад

    Watu wanalia sana nch hii

  • @user-zr2pn5uv8b
    @user-zr2pn5uv8b 19 дней назад +1

    ukiambiwa siku ya kiama ni ngumu uwe unaelewa

  • @PauloLeonard-ol5oo
    @PauloLeonard-ol5oo 23 дня назад +6

    Shame on you catholic.

    • @cyliruta5021
      @cyliruta5021 22 дня назад

      Mm ni Catholic ila for this nimejisikia vibaya😢😢😢

  • @maryjames7438
    @maryjames7438 20 дней назад

    Dah mpk machozi yamenitoka ah watu tuwe na hofu ya Mungu

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 23 дня назад +4

    Wanawake hamjui kujitetea..mnalia badala muongee yaliyopo

  • @user-wb9gy2xx3p
    @user-wb9gy2xx3p 23 дня назад +4

    Hadi kanisa mnadhulumu haki ya mtu Dunian

    • @ProsistaTarimo
      @ProsistaTarimo 23 дня назад

      Duh kanisa liko pabaya

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 23 дня назад +1

      Hapa dunian hakuna haki mungu awalipe kila mtu avune anachopanda 😏😏😏

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 23 дня назад

      Watendaji wengi wa kkkt na katoliki ni wazugaji tu ila hawapo kiroho

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 17 дней назад

      Kwani kanisa linaongozwa na malaika?

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 22 дня назад +3

    Magufuli alikuwa atoa fedha kwa wenye shida kama hawa wabaya wake wakamsema sana kuwa eti anatumia vibaya hela ya serikali sasa swali ivi hata huyu mkuu wa mkoa anatumia hela za serikali kuwapa hawa raia wenye uhitaji?

    • @asheryngaiti5549
      @asheryngaiti5549 22 дня назад

      Kwani huoni kama anachangisha hapo

    • @kabwelerywamwatumu5078
      @kabwelerywamwatumu5078 21 день назад

      Anawarudishia baadae

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 21 день назад +1

      Hiyo Hela atarudisha lkn mijitu mingine yanapita tu hawasikilizi shida za watu, makonda yupo vzr anawajali wananchi

  • @ZuberiSangano
    @ZuberiSangano 19 дней назад

    Kukaa high table kuna gharama

  • @francoismwanangwa2174
    @francoismwanangwa2174 11 дней назад

    Kumbe n'a million yenyewe mfukoni hana ? Haaa DC

  • @user-zk8jy4zz4f
    @user-zk8jy4zz4f 22 дня назад

    😂😂😂😂

  • @MasumbukoKilunga-mf7sg
    @MasumbukoKilunga-mf7sg 22 дня назад

    Pole dada