ZABURI YA TOBA // TAMKA MANENO HAYA KATIKA MAOMBI YA UTAKASO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 163

  • @maernov4257
    @maernov4257 Год назад +2

    Naomba ROHO mtakatifu anisaidie kubadilisha maisha yangu bila ww YESU mm siwezi 🙏

  • @JaneStephano-uo8no
    @JaneStephano-uo8no Год назад +9

    Eee mungu naomba unisamehe dhambi zangu na makosa yote, nitakase kwa damu ya yesu gusa familia yangu watoto wangu watakase kwa damu ya yesu. Nipo moyo wa kusali kila mda.

  • @catherinemalikita12
    @catherinemalikita12 Год назад +6

    Eeeh munugu baba mwenyez napenda kukushukuru kwa baraka na neema unazonipa kila siku naomba uwalinde watu muhimu kwangu na wote dunia wawez kukujua kuwa wewe ni Alfa na omega❤

  • @sabinachimbuvu5409
    @sabinachimbuvu5409 Год назад +2

    Unisamehe Uovu Wangu Wote Unitakase kwa Damu Yako Ya Samani Pamoja Na watoto wangu Asante yesu

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj Год назад +1

    Eee BWANA wangu naomba uninyanyuwe uniweke mahari panapo sifa na fazir zako uniongoze nitembee na wewe siku zote za maisha yangu unifundishe kuliishi neno lako na kulitendea kazi sawasawa na mapenzi yako ubarikiwe mno mtumishi wa MUNGU🙏🙏🙏🙏

  • @JosephLucian-ps9ls
    @JosephLucian-ps9ls Год назад +2

    E yesu wangu nisamehe dhambi zangu baba uliehai nifunte kwenye kitabu Cha dhambi nipe wokovu wako baba nitakase Kwa damu yako amen🙏🙏

  • @nelly1419
    @nelly1419 Год назад +4

    Asante yesu kwakutu Wezesha kumaliza week hii salama utukufu ni wako na nguvu na ueza na eshima sasa na hata milele amen 🙏

  • @ElizabethmsakiMsaki
    @ElizabethmsakiMsaki Месяц назад

    Asante yesu nimeona ukuu wako maishani mwangu kama sio wewe yesu nisingekuwa hapa nilipo

  • @ruthtorahabublessedlady9222
    @ruthtorahabublessedlady9222 Год назад +1

    Eee Mungu wa israeli naomba ukayafute makosa yangu kutoka mbele ya uso wako, kwa rehema zako unitakaze kwa damu unioshe kwa hishopo nami ntakuwa mweupe kuliko theluji AMEN

  • @GresCoka
    @GresCoka Месяц назад

    ❤Nakusikia nipo Kilimanjaro Naomba Mungu anisaidie haya maombi yaniponye

  • @edinachuwa3701
    @edinachuwa3701 Год назад

    🙏🙏🙏nakushukur yesu Kwa kuachilia utetezi kwenye maisha yanguuu

  • @SalmaAgaanda
    @SalmaAgaanda 9 месяцев назад +1

    Emungu nakuomba unisamehe Zambi zangu toze jina rangu uriandike kwakitabo cha uzima amen halleluyah asante yesu kwakira jambo🙌🙌🙌🙌

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 2 месяца назад

    Ee mungu baba ulie mbinguni sistahili hata kulitaja hili jina kutokana na uovu wangu 😢 Ee mungu naomba unisamehe hasira yako isiwake juu yangu🙏🏻

  • @harunithabiti9572
    @harunithabiti9572 5 месяцев назад +1

    God is really and faithfully guy who read this comment keep your faith in Jesus name thank you

  • @lucymwari8612
    @lucymwari8612 Год назад +1

    Amen Mungu akubariki mtumishi nakupata vizur ni kiwa Kenya mombasa

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 Год назад

    Ee mungu naomba unisameh dhambi zangu na makosa Yang niliyo yateda mwaka huu pia mungu naomba unipe moyo WA kumsamhe na niwena moyo WA imani na kujua mungu 😢 🤲🤲🤲🤲🤲🙏

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 Год назад +1

    Ee Bwana Kwa mkono wako uninyanyue uniweke panapo nafasi. Unifutie makosa yangu pamoja na wanangu. Unipe nguvu ya kukutukuza na kukusifu na kutangaza wema wako ili watu wakujue. Roho mtakatifu niongoze nipe nguvu ya kutembea bila kuchoka na Mungu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Год назад

    Eee Mungu naomba roho wako mtakatifu anisaidie abadilishe maisha yangu ktk jina la Yesu kristo kwa sababu bila wewe Mungu siwezi baba naomba unsaidie

  • @philemonkigosi8247
    @philemonkigosi8247 Год назад +2

    Ninakushukuru ee mungu wangu kwa kunifikisha sku ya leo,naomba usinipite bwana unitakase kwa damu yako,na ikumbuke familia yangu uturehemu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Год назад +1

    Naomba maobezi ya kufutiwa makosa yanga Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏👏🙏🙏

  • @AdrianachinesaChinesa
    @AdrianachinesaChinesa Год назад +1

    Asante baba kwanifikisha siku yeguine ninaomba unipatiye baraka jema nitembehe nabaraka juyako baba Amen

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 Год назад

    Forgive me Lord , for every sin I have committed, Kwa mawazo , Kwa maneno na vitendo, na dhambi zenye nimetenda nikasahau pia nisamehe. Thank you Jesus

  • @GresCoka
    @GresCoka Месяц назад

    Mungu nisaidie na unirehemu kwa sababu mimi ni mwanadamu pale nilipojihesabia haki ninaomb rehema zako pasipo wewe peke yangu siwezi

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu Год назад +2

    Asante mtumishi natamani nikisoma Biblia nielewe nakutana na mistairi mizuri yakutia moyo ila siwezi kuweka kumbu kumbu YESU nisaidie

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Год назад +1

    Bwana Yesu nichunguze afya ya roho yangu niponye magonjwa ya kimwili na kiroho nakutumainia wewe daktari mkuu Yesu Kristo

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 Год назад

    Ee Mungu wangu naomba hakika nikuone na nipe Nguvu ya kukutafuta Kwa bidii Kwa Afya ya Roho yangu

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +1

    Asante Mungu kwa siku nyigine naomba Samahani anisamehe mimi na family yangu ee bwnaa mungu

  • @liliankaale7510
    @liliankaale7510 Год назад

    Mwenyezi Mungu siri ya macho yeti na miyoyo yeti ni wewe una Jua ,tunaomba msamaha wake na rehema zako ziwe pamoja nasi ,utukunzwe wewe tu,Baba wa mbinguni

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Год назад

    Ee Mungu nisaidie maisha yangu yabadilike nishi upendo Mungu mmi nakufatilia nikiwa Saudi Arabia nMungu akubariki

  • @edithaabel7858
    @edithaabel7858 Год назад +2

    Ee Mungu unirehemu mimi na uniumbie moyo safi🙏

  • @marykisiangani2470
    @marykisiangani2470 Год назад +2

    Mungu nisamehe dhambi zangu , ufute jina langu kwenyeblitabu cha mauti uniandike kwa litabu cha uzima, nakukaribisha katika moyo wangu, mataka nifanane nawe yesu wangu

  • @LavoisinBihango
    @LavoisinBihango Год назад

    Mungu atusameshe Zambi zetu bilayeye hatuwezi kyokyote

  • @margykariuki
    @margykariuki Год назад

    Amen Amen Mungu jina lako liabidiwa Amen Amen 🙏

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 2 месяца назад

    Amen nakusikia toka Dodoma Mungu unisaidie kubadirika ili nifanye mapenzi yako kwaajili ya utukufu wako

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 Год назад +2

    Amen Mungu awabariki sana🙏🙏🙏

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 Год назад

    Usikie maombi yangu,mkono wako una nguvu BWANA wangu

  • @JustineKabimbi-uo2so
    @JustineKabimbi-uo2so Год назад

    Niko 🇨🇩 mutumishi wa mungu aksanti sana na mafundisho yote amene

  • @Michael-sd5lv
    @Michael-sd5lv Год назад +1

    Amen najiugamanisha mm na watoto wangu emungu tusaidie kupitia maombi haya ya kufutwa makosa yesu nigute niwe mpya kwako😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vascottmurro8700
    @vascottmurro8700 Год назад +1

    Nakuomba Unichunge We Bwana Wangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @reginandamuso3895
    @reginandamuso3895 Год назад +1

    Niponye Bwana Yesu na zambi ya kusengenya, uongo na roho ya wivu. Nimejaribu kuacha nimeshindwa naitaji maombi ya nguvu za ROHO MTAKATIFU. nimeelewa sana naomba msahada wa maombi mtumishi ili Mungu asinipe katika kipindi hiki ya maombi ya siku 30

    • @shamsaabdalah7038
      @shamsaabdalah7038 2 месяца назад

      Jamani mimi. Ni kusengenya tu damu ya yesu uniponye na roho ha umbea😢

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 10 месяцев назад

    Najiunganisha na madhabahu Kwa jina la la yesu

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 Год назад +2

    Almighty Heavenly Father forgive all my sins with my beloved Family with your bloody and your Holy Spirit in JESUS'S NAME AMEN AMEN AMEN AND AMEEEN

  • @CeciliaNguhecha
    @CeciliaNguhecha Год назад

    MUNGU AKUTIE NGUVU MWANANGU. UMEKUWA MWL KWANGU. NAOMBA NIJUWE KUOMBA KWA MSAADA WAKO,

  • @MeshackJohn-j2n
    @MeshackJohn-j2n Год назад

    Mungu naomba msamaha juu ya makosa yangu, dhambi zangu, kaondoe mikosi, laana, baraa na nguvu ya kuto KUFANIKIWA kaniondolee shida,ziki,tabu na mateso. Kanikutanishe na watu ambao wanaweza kuinua maisha yangu juu watakao peleka maisha yangu juu kabisa kimaendeleo, kiuchumi, kibiashara yoyote ambayo naenda kufungua katika jina la yesu mwana wa mungu uliye juu ameeeni

  • @irinenyukuri5643
    @irinenyukuri5643 Год назад

    Asante yesu Kwa kunifikisha jioni ya leo

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 Год назад +1

    Mungu wangu naomba unikumbuke matiza maisha yangu na familia yangu

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 Год назад

    Ewe Mwenyezi Mungu ni samehe dhambi zangu note

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 Год назад +2

    Njoo Bwana Bwana Yesu kwenye maisha yangu

  • @CatherineLorry
    @CatherineLorry Год назад

    Nasikia vizuri mtumishi wa Mungu asante sana ubarikiwe kwa maombi

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 месяцев назад

    Nakusikiya vizuri sana pstr kutoka saudia Africa 🙏🙏

  • @annagodwin412
    @annagodwin412 Год назад

    Asante YESU KRISTO Kwa Neno lako kupitia Mtumishi wako Mchungaji wako Innocent Mashauri , mjaze moto maombi na maono ile aendelee kutulisha Neno lako sisi kondoo wako .... Ameeen 🔥🔥🔥🔥

  • @vascottmurro8700
    @vascottmurro8700 Год назад

    Asante Sana Mtu wa YESU kwa mafundisho Yako Bora Sana. Nakupata vizuri toka Endasaki Katesh Je namnay

    • @vascottmurro8700
      @vascottmurro8700 Год назад

      Namba ya kufunga no ipi,,,,???Hass kwa Wazee was umri makubwa ,,!!!!

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 Год назад +1

    Asate YESU Kwa chakula cha KiRoho

  • @NasraMwalimu
    @NasraMwalimu 9 месяцев назад

    Yesu nisamehe ..nisamehe sana bwana wa majeshi

  • @PascasieNiyongabo-ip8sx
    @PascasieNiyongabo-ip8sx Год назад

    Baba naomba unifutiye makosa yangu nayale ya familiya yangu

  • @BrendaMwanisa-je4wc
    @BrendaMwanisa-je4wc Год назад +2

    Thanks God for your love, forgive me my sins😢🙏🙏

  • @aloyamlumbuti
    @aloyamlumbuti Год назад

    Eee Mungu naomba unibadirisheee niwezee kuendlea na haya maombii

  • @dottomlyaga4027
    @dottomlyaga4027 Год назад

    Mungu nakuja mbele zako naomba nisaidie

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    MUNGU wangu naomba ufalme wako uje kwenye ndoa yangu na watoto wetu na uchumi wetu in Jesus name

  • @robertmasele417
    @robertmasele417 Год назад +1

    Nirehemu Bwana wangu

  • @annaKutandikila
    @annaKutandikila Год назад

    Eee mwenyezi mugu nisamehe zambi zangu na wasaidie wajukuu wangu watakase na washushie roho mtakatifu

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 Год назад

    Ameen mungu naomba unisamee zambi zangu zote nilizo wai kufanya naomba unisamee sana jina lako litukuzwe milele Amina

  • @maernov4257
    @maernov4257 Год назад +1

    Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU ♥️

  • @BonfasJanuary-vr5tm
    @BonfasJanuary-vr5tm Год назад +1

    Asant mung kwa kufika Hadi siku ya Leo endelea kututia nguvu mpaka kumaliz mfungo

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 Год назад

    Leo Namuomba Mungu anibadilishe anitakase

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 8 месяцев назад

    Hii nyimbo inaitwaje pastor Innocent na je naipataje

  • @fourgmobile1969
    @fourgmobile1969 Год назад

    Ameeeen YEHOVA nijalie nirusuku unioshe na damu yako hili kutimiza maono yako utunze familia yangu ee YEHOVA kwa neema baba usinipite unifunze jia zako

  • @hdgHdhd-eu7vf
    @hdgHdhd-eu7vf Год назад

    Ameni hakika mungu umwema siku zote

  • @IreneKalugendo-r9s
    @IreneKalugendo-r9s 6 месяцев назад

    Ee mungu naomb unisameh dhambi zang zot nilizozitend kwa kujua na kwa kutokujua nimekuj kwak nikijua me mkosefu naomb msamahn wak bab

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 Год назад

    Nakusikia Toka (mombassa) nakusikia vizuri mtumishi

  • @FridahFridahcent-qk8hw
    @FridahFridahcent-qk8hw Год назад

    Amina Amina, MUNGU nizaidir

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    Naellewa baba mtumishi

  • @zenaabdhallah8836
    @zenaabdhallah8836 Год назад

    ASANTE YESU KWA UKOMBOZI

  • @MagehMaliy
    @MagehMaliy 7 месяцев назад

    Nitie nguvu ewe mungu wa elia nitakase kwa damu yako takatifu uniongoze ee bwana

  • @frolamussa9862
    @frolamussa9862 Год назад

    Eee yesu nisaidie na mm nifutie dhamb zangu zote na nipe moyo Wa kukupenda ww peke ang siwez

  • @JustineKabimbi-uo2so
    @JustineKabimbi-uo2so Год назад

    Niko zambia na kusikia muzuri sana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 месяцев назад

    Asante sana barikiwa sanaaaana ❤ alelluyah

  • @aridjahusain-rv2hu
    @aridjahusain-rv2hu Год назад

    Nakufata toka Congo Bukavu

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    Ee MUNGU niumbie moyo sagi

  • @BeatriceBenad
    @BeatriceBenad Год назад

    Asante nakupata vzr nkiwa Oman Asante mtumish mungu akubalikie sana

  • @ameria2332
    @ameria2332 Год назад

    Halleluya jina la BWANA YESU lisifiwe milele.

  • @mkalma-i4q
    @mkalma-i4q Год назад +1

    Amina

  • @JacklyneOdari-e4k
    @JacklyneOdari-e4k Год назад

    Nakusikia vizuri sana mm niko kenya.

  • @LovenessLucas-tc9eo
    @LovenessLucas-tc9eo Год назад

    Eee YESU nisaidie

  • @josoebehx2103
    @josoebehx2103 Год назад

    Naku.sikiliza.mutumishi.wa.mungu.ni.kiwa.saudi.arebya

  • @collenskessy-ts7ue
    @collenskessy-ts7ue Год назад

    Nakusikia vizuli

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 Год назад +1

    Sophia 😢❤

  • @EdinaAosa
    @EdinaAosa Год назад

    Asante yesu

  • @jacksoldier3025
    @jacksoldier3025 Год назад

    Amen asante mungu

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    Kweli MUNGU anaweza

  • @evansmahate
    @evansmahate Год назад +1

    naku sikiliza mtu wamungu vizuri nikiwa kenya

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    Amen,,,,nabadilika kwa jina la YESU,,,,,ila hasira za haraka zinanishinda,,,,,,sipendi mtu anichukize ,,,yesu nisaidie

  • @phylisselebwa4716
    @phylisselebwa4716 Год назад

    Asante Yesu kwa kunisamehe makosa yangu

  • @anneochare4028
    @anneochare4028 Год назад

    Asante roho mtakatifu

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 Год назад +1

    Amen and Amen and Amen and thanks to Jesus connected from Kenya

  • @RehemaKatana-gc1mz
    @RehemaKatana-gc1mz Год назад

    Nakusikia toka Egypt

  • @LiddyDeHustler
    @LiddyDeHustler Год назад +1

    Amen 🎉

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 Год назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏 mungu wew n mwema

  • @RoidaLeopord-fi1fv
    @RoidaLeopord-fi1fv Год назад

    Amen and Amen

  • @maorinebarongo7789
    @maorinebarongo7789 Год назад

    Asante mungu