Asante yesu Kwa ufunuo wako mzuri kupitia Mtumishi wako,Mimi huwa naota na kusahau ama nakumbuka vipandevipande sijui huwa adui akona mpango gani? Lakini namkemea ashindwe Kwa jina la yesu Amina.
Amen, naitisha nguvu za macho ya roho ya ulimwengu kutoka mbinguni zikuje hapa duniani sifute jina langu kutoka madhabahu ya shetani na kufunga roho zake kutoka kwangu
Amen, nilikua gizani kwakweli umenifungulia ufahamu,❤❤
Ooh Amen 🙏🙏 Nilikua nikiomba lakin inatokea nanai kweli sikua na mausiano mazuri na MUNGU Asante MUNGU Kwa kujua hii ❤🙏
Amen mungu atusaidie Sana mana shetanii yupo Kasi sana
Asante yesu Kwa ufunuo wako mzuri kupitia Mtumishi wako,Mimi huwa naota na kusahau ama nakumbuka vipandevipande sijui huwa adui akona mpango gani? Lakini namkemea ashindwe Kwa jina la yesu Amina.
Asante Bwana Yesu ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa neno nakushukuru Mungu Mungu🙏🙌
Amen mtumishi wamungu na sukulu Sana Kwa uvunuo mungu akubaliki illa Niobe niko nausingishi wa kiroho umbarikiwe
Amen Amen E ee mungu naomba unisaidie naukanikomboe katika ulimwengu wa kiroho dani ya ulimwengu wa ndoto 😢😢😢😢
Amen 🙏
Amen, naitisha nguvu za macho ya roho ya ulimwengu kutoka mbinguni zikuje hapa duniani sifute jina langu kutoka madhabahu ya shetani na kufunga roho zake kutoka kwangu
Nikweli ndoto zinainua na zingine zinashusha.asante Mungu kwa maarifa haya ndoto mbaya ukiipinga haitokei amen
Amen
Amen bwana asifiwe namshukuru Niko Salama mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri mtumishi
Amina pastol
Yesu Endelea kunifungua ktk Hilo lango la ndoto nisisahau
Amen eeeh mungu wangu kaa nami 🙏 🙏 🙏
Emeeen
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Naota Sana ndoto mbaya nakemea lakini inatokea na nikiota ndoto nzuri naiombea na haitokei msaada jaman nimechoka😢
I need you lord
Asnte Mtumishi kwa Mafundisho mazuri
Amen 🙏🏼
Bless u
Amina
asante mtumishi hskika nimejifunza kitu kwenye ujumbe huu
Amen
Amen pastor
Haswa Mimi ninasumbuliwa na spiritual wife's 😢😢😢 nahitaji msaada wa maombi
Asnte Mtumishi kwa mafundisho😊
Nikweli kabisa mimi maranyingi nikihota ndototo uwa nasahayu ndoto nimeota
Naitaji musahada wamahombi kwahiyo
namim nasahau
Amen 🙏
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen