NDOTO HATARI ZA MWANZONI MWA MWAKA //KAMA UMEZIOTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 36

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 18 часов назад

    Amen 🙏🙌 Asante bwana yesu kirsto aliye hai uniondolee milango ya ndoto mbaya

  • @JeromeragiraOmbuna
    @JeromeragiraOmbuna 23 часа назад

    Amen, naitisha nguvu za macho ya roho ya ulimwengu kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee jina langu kutoka madhabahu ya shetani na kufunga roho zake kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani

  • @GeofrayKijana
    @GeofrayKijana День назад

    Mungu ni mwenye nguvu Ameeen Ameeen Ameeen 🙏🙏🙏

  • @naeematn-qn4os
    @naeematn-qn4os 2 дня назад +1

    Amen 🙏 mtumishi umenigusa sana

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 2 дня назад

    Bwana YESU nakutegemea sana ww,endelea kinitunza mimi na kizazi changu chote,NAKUAMINI mno,katika jina lako Takatifu,Ameeen

  • @sophias3334
    @sophias3334 2 дня назад +1

    Ameeen mm nilliota nmepark vitu kabisa ndan ya gar halafu nikaenda kuangalia kitu Kwanza nkarud sikuona gar😭😭

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 2 дня назад +1

    Amen Amen ahsante kwa ibada mungu atupe ufahamu na atuzidishie maarifa 🙏🙏🙏🙏

  • @JacklineJohnson-q9k
    @JacklineJohnson-q9k 2 дня назад

    Amina Barikiwa mtumishi ,,Mungu atuongoze kujuwa ndoto tuziotazo kwa damu ya Yesu

  • @Mpolya-u3x
    @Mpolya-u3x 2 дня назад +1

    Mungu nipe ufahamu wa kujua hili

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 2 дня назад +1

    Mimi nimeota mtumishi nipo kwenye Wilchair baadae.ikanipeleka unaniombea miguu ikaanza kutetemeka nguvu za giza zikaniachia.Nikasimama nikaenda dukani nikaegesha ile wilchair nje kidogo kulikuwa kuna mama na mtotonmdogo,akaniambia usiache baiskeli ovyo wanaiba, cha ajabu sasa Wilchair ikageuka baiskeli nikashangaa sana ndipo nikashtuka usingizini.

  • @ElinathanEdward-tm6bs
    @ElinathanEdward-tm6bs День назад

    UBARUKIWE mtumishi

  • @MICHAELWABWIRENAMUNYU-gp9cf
    @MICHAELWABWIRENAMUNYU-gp9cf 2 дня назад

    Mungu nipe ufahamu wa kujua maana ya kila ndoto itakayo nionyesha.

  • @IreneMwasambili
    @IreneMwasambili 2 дня назад +1

    Amen mtumish wamungu

  • @EvalynePendo
    @EvalynePendo 2 дня назад +1

    Hallelujah

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt День назад

    Asante sana baba

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 2 дня назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @RamadhaniChaurembo
    @RamadhaniChaurembo День назад

    Huyu nyoka nimemuota tena anahasira kweli lkn nilipomfata akapotea

  • @KamekoChristine
    @KamekoChristine День назад

    Asante sana mutumishi

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 2 дня назад +1

    Amen

  • @SharivaSanga
    @SharivaSanga 12 часов назад

    😭😭😭😭😭

  • @irinenjombo3368
    @irinenjombo3368 2 дня назад

    Ameen ubarikiwe sana Pastor 🙏🙏

  • @AureliaJeremia-v6k
    @AureliaJeremia-v6k 2 дня назад +1

    Amen mtumishi

  • @JeanFido
    @JeanFido 2 дня назад

    Amen Amen

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 2 дня назад

    EEE Mungu naomba unisaidie ktk hiz ndoto 😭😭

  • @epifaniajames3572
    @epifaniajames3572 2 дня назад +1

    Amein pst

  • @RosemaryCharles-o9j
    @RosemaryCharles-o9j 2 дня назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @nonequeartur126
    @nonequeartur126 2 дня назад

    Ubarikiwe Pastor

  • @JudithMsaki
    @JudithMsaki 2 дня назад

    Ameen

  • @keisimaiko
    @keisimaiko 2 дня назад

    mung nipeufahamu

  • @TatoTato-ui9xf
    @TatoTato-ui9xf 2 дня назад

    Amen pastor

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 2 дня назад

    Aminaaa

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt День назад

    Pastor Mimi niliota nasafir badae nikashuka kuchimba dawa basi likanicha hii ikije baba

  • @RehemaNkota
    @RehemaNkota 2 дня назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @JacklineJohnson-q9k
    @JacklineJohnson-q9k 2 дня назад

    Amina

  • @Girlwhite4474
    @Girlwhite4474 2 дня назад

    Amen mtumishi

  • @NeemaKarisa-s2w
    @NeemaKarisa-s2w 2 дня назад

    Amen 🙏🙏