KARAMU YA UPENDO - KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI, NANSIO //Mtunzi: T. SWAI (FM)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 24

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl 7 месяцев назад +2

    Hakika mmenikosha Wana Yosefu Nansio..... hongereni sana... karibuni sana tuinjilishe Kenya katika Parokia yetu ya Kristo Mfalme Jimbo la Kitale Kenya

    • @Mkatachuma89
      @Mkatachuma89 5 месяцев назад

      Asante Mr January. Tutakuja

  • @OGT456
    @OGT456 7 месяцев назад

    Kazi zuri aisee.. Nilisubiria sana🎉

  • @jontap.i.6980
    @jontap.i.6980 7 месяцев назад

    Hongereni sana Mungu awe nanyi nyote

  • @AugustineLomolen
    @AugustineLomolen 7 месяцев назад

    Wah moto kama pasi 🎉❤ hongera sana wana yusufu kwa wimbo bora wa ekarestia.. Mungu baba.mwana na roho mtakatifu awabariki daima dawama.amina.

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 7 месяцев назад

    Waaah i love this....+254 mshafika kitaaambooo.... Congratulations

  • @gasperbhutita1522
    @gasperbhutita1522 Месяц назад

    ee bhana wakelewe mnaimba vizuri hivi watani hebu njoni kigoma tuwape na mikebuka😀😀

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 7 месяцев назад

    Hongereni sana Team.
    Kazi ya Mungu wetu iendelee naye aendelee kuwabariki na kuwafanikisha

  • @Mkatachuma89
    @Mkatachuma89 7 месяцев назад

    Hakika mnazidi kutubariki kwa nyimbo zenu nzuri. Hongereni sana Wana Yosefu- Nansio.

  • @EsitaDombo
    @EsitaDombo 7 месяцев назад

    Mambo ni moto hongera mwl kazoba Kaz nzr tunabalikiwa

  • @emmanuelbaltazary3564
    @emmanuelbaltazary3564 7 месяцев назад

    Kazi nzuri sana,, Hongereni sana wana Yosefu Nansio

  • @STEVENKISENGA-yq8ll
    @STEVENKISENGA-yq8ll 7 месяцев назад

    Hakika Mungu ni mwema umepigwa mwingiiiii

  • @florianmagayane7649
    @florianmagayane7649 7 месяцев назад

    Hiii nzuri sanaaa🔥🔥🔥💪💪

  • @harrone.9473
    @harrone.9473 7 месяцев назад

    Nyimbo zako za komunio Mwal Tumaini tamuu sana

  • @AmadeoHubile
    @AmadeoHubile 7 месяцев назад

    Waoo mambo ni moto

  • @Arati3
    @Arati3 7 месяцев назад

    Tamu sana❤❤

  • @waromokello
    @waromokello 7 месяцев назад

    A nice song

  • @erickmhando9181
    @erickmhando9181 7 месяцев назад

    Wow

  • @conradkapama9140
    @conradkapama9140 3 месяца назад

    Nota jamani

  • @Mkatachuma89
    @Mkatachuma89 7 месяцев назад

    🎉

  • @ImAustinkivuya
    @ImAustinkivuya 28 дней назад

    Nota yake

  • @BarakaGabriel-cn6ss
    @BarakaGabriel-cn6ss 7 месяцев назад

    Mtandaoni copy yake inapatikana