Hongera sana wimbo mzuri kwa kazi nzuri wana wa Sebastian mnaifanya Mungu azidi kuwafanya kuwa wabunifu zaidi na zaidi kila kunapo kucha mfanye vizuri zaidi ya hapo.
wow! that's a great catholic song never disappoint when it comes of God worship. lets Thanks GOD together regardless of our denominations, be blessed all choir member.
Hongera sana kwa uimbaji wenu mzuri,nmeupenda huu wimbo,hakika Mungu ndiye mfariji wa kweli.🎉
Kaz nzur jmn wimbo mzuri unafundixha❤❤
Wema wa mungu.safi sana mt.yosefu
Wimbo mtamu sana ajabu..Asante sana Nonsio.. twawapenda sana Kenya ❤❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri.Mmetisha!
Nimewamis sana
Pd.Makutu
Hongera sana wimbo mzuri kwa kazi nzuri wana wa Sebastian mnaifanya Mungu azidi kuwafanya kuwa wabunifu zaidi na zaidi kila kunapo kucha mfanye vizuri zaidi ya hapo.
Kazi Iko sawa jamn mm pia naomba huyo mtunz antungie wimbo wa maadili yameporomoka sana
Wow kazi nzuri be blessed
Kazi nzur hongeren sana
Nimebarikiwa sana wimbo huu
Hongereni sana wapendwa kwa kazi nzuri sana❤
Hongera sana @kazoba de wj kwa kazi nzr unayoifanya zao la ngudu, mungu azidi kukubaliki
wimbo mzuri sanaa❤
wow! that's a great catholic song never disappoint when it comes of God worship. lets Thanks GOD together regardless of our denominations, be blessed all choir member.
Asanteni wanakwaya kwa kazi nzuri
Nawapenda wana josefu kazi nzuri
Hongereni sana kazi nzr naombeni jamani hiyo cop ya wimbo
Nafarijika sana napoona wana familia wangu mnafanya vyema. Huku niliko ninajivunia kuwa nanyi.
Asante sana Mr Mboya.Tunamiss sana bass yako
Hongereni Sana.wimbo nzuri murua wenye ujumbe wa kiimani katoliki ❤🎉
Wow.kazi nzuri
Kupitia nyimbo zenu Imani yangu inakua nawapenda Sana Wana yosefu
Nimewaelewa sana hongelen
Hongereni sana
Kazi safi ❤
So touching! Katika Magumu yote.....Asanteni na hongereni sana. Hongera kwa kazi nzuri kuanzia utunzi mpaka performance. ❤❤❤
Napenda mda wote kuwaskiliza wema wa Mungu unatosha
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Bila kukusahau mwl.wangu kazoba, kaka chukua maua🎉yako kaka. Wana manyoni tunasema (Alumbwe muwaha)
Alumbwe chibitilila mwaha 😊😊😊😊😊
Hongereni sana mungu awatie nguvu zaid
Always in the class of the Best 💪💪💪. Keep going fellows in almighty's grace 🙏🙏🙏
Amen
thanks much brother
Amina kwa uinjilishaji
Hongeren sana
Mubarikiwe sana
This is like Cherubim choir. Heavenly echo
❤❤❤
Amen
🙏🙏🙏❤️❤️❤️🔥🔥🔥
Mr. Kazoba ni mwamba
huku ni ukara ama maana palivyokaa kama ukara vilee
Hongereni sana