MAasanja Amvaa Bella Kombo Na Zoravo Kuhusu Uzinzi | Waimbaji Wanazini Halafu Wanachukulia Poa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 22

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 4 дня назад

    MBONA WEWE UMEZINZI SANA PUNDA WEUSI

  • @mtaaruma
    @mtaaruma 20 дней назад +8

    Asa apo Bella Combo na Zoravo wapo wapi, Acha kutafuta viwers kwa kuwachafua watu, contents zipo nyingi, Titles zipo nyingi, asa apo kwa Umewachafua Mchungaji na Waimbaji wawili wa Mungu na unataka Mungu huyo huyo akubariki kwa Mambo yako, na kama huamin katika Iman fulan usiunde chuki kwa watu kisa hela

  • @RehemaGoodluck-t4i
    @RehemaGoodluck-t4i 12 дней назад

    Barikiwa sana kwa ukweli.

  • @francis-s1
    @francis-s1 6 дней назад

    Je! Mwana choir na mwingine hawana ruhusa yakuwa wa chumba? Ama hawa ruhusiwi kuoana?

  • @goodluckkitumbu5799
    @goodluckkitumbu5799 9 часов назад

    Kutoka mwenye ukomedi mpaka utumishi mmmmh cy poa, bado mm tu

  • @ceomentalhaven
    @ceomentalhaven 17 дней назад +1

    Just leave Bella alone. Girl's come too far, she's trying to be perfect for God, and it's not a sin to get married to someone from church, in fact it's better than marrying someone from the world. God help us.

  • @AidanoAlmas
    @AidanoAlmas 21 день назад +3

    Mbona mnapenda kupakaza ubaya kwa watu asee, bela amefanya nn na zoravo mbona hakuna ubaya ulioongelewa hapo.

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 19 дней назад

    Mch Masanja sema ukweli, hayo yapo sana makanisani, na waimba gospel

  • @SusanMorara
    @SusanMorara 17 дней назад

    waonye kwa upendo ikiwa nikweli wanafanya tendo hilo lakini msiwaanike maanake Mungu anapenda Wakristo tuwe na siri tusianike wenzetu kwa jambo lenye alina ushaidi

  • @JevestinaJames
    @JevestinaJames 20 дней назад +1

    Hivi mbn mnawaandama sanà watu wa Mungu au wachungaji Mungu ameandika wapi ministers wake wasiolewe au kuoana jmn.........mbn wachungaji wanaona🎉🎉..........GOD IS NOT A MAN THE WORLD IS FULL OF GODS

    • @ConsolataMedard
      @ConsolataMedard 18 дней назад

      😅😅 hawajawazuia Kuona wanawazuia KUZINI Jaman Waelew

    • @Whilkacharles
      @Whilkacharles 14 дней назад

      Jamn tusiukumiane ktk haya matukio tuombe wapendwa

    • @Whilkacharles
      @Whilkacharles 14 дней назад

      Jamn tusiukumiane ktk haya matukio tuombe wapendwa

    • @Whilkacharles
      @Whilkacharles 14 дней назад

      Jamn tusiukumiane ktk haya matukio tuombe wapendwa

  • @JobConstantine
    @JobConstantine 21 день назад +3

    Unaongea vizuri.
    Umenikumbusha katibu wako kaka

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 19 дней назад +1

    Wanatakiwa kionywa na si kuwahukumu mana nanyi pia mlifanya hayo wakt mnahudumu madhabahun but Mungʻu amewasamehe na sasa mmesimama mnamtumikia kwa uaminfu acheni kunyoosheana vidole wana wa Mungu biblia inasema muonyane kwa pole na si kanuni inayotumika ya kuonyana kupitia midia

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 4 дня назад

    MASANJA FALA TU,

  • @IgnacioAndrew-rj8pd
    @IgnacioAndrew-rj8pd 14 дней назад

    Mmeanza waandishi wa habari acheni uchonganishi sasa hio mada ya Masanja inahusiana nini

  • @GRACEALLAN-u8z
    @GRACEALLAN-u8z 20 дней назад

    Wivu mbaya sana

  • @GidionChacha-v2p
    @GidionChacha-v2p 18 дней назад +1

    Wanapaswa kukemewa wanaharibu ushuhudA

    • @richardbenny156
      @richardbenny156 4 дня назад

      kukemewa na nani? Nani mkamilifu kwenye ulimwengu huu? unaweza ukaoa tu? lazima umjue mtu