ZORAVO NA BELA KOMBO WANAIMBA LAKINI NI WAZINZI WAKUBWA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 295

  • @estherdeborahsabuni9835
    @estherdeborahsabuni9835 Месяц назад +9

    Mwalimu Isaya Benson, umenena vyema. Mungu anachagua watumishi wake akijua udhaifu wao...that's all I know...na anajua atawahudumiaje. Neema ya Mungu ndio inatubeba. Tuombeane

  • @eatlawe
    @eatlawe Месяц назад +12

    Mtumishi nimekusikiliza. Ushauri wako ni wa kiblia na umeongozwa na roho ya upendo ambao husitiri wengi wa dhambi! Ni ukweli kwamba kila mtu ana mdhaifu yake na hivyo tunahitaji kuchukuliana na kuungamiana sisi kwa sisi ili tuponjwe! Big up!

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 Месяц назад +29

    Mkristo kamili mtu kama amekosea,ni vyema kumuendea na kumuongelesha kwa upendo bila kuhukumu na sio kuaanika mitandaoni kana kwamba nyinyi ndio watakatifu. Kenya tunawapenda

    • @desderipatrick8392
      @desderipatrick8392 Месяц назад

      Kweli kabisa, huku mitandaoni ni kutafuta sifa, ukimuonya kwa upendo atakusikia

    • @otarurosie
      @otarurosie Месяц назад

      @@desderipatrick8392Japo pastor ukiangalia post yake hata mahojiano yake hakutaja mtu ila amewaambia vijana wote kwa ujumla.

    • @joskyshams4758
      @joskyshams4758 Месяц назад

      @@desderipatrick8392 kabisa

    • @bahatishabani1392
      @bahatishabani1392 18 дней назад

      Well said jirani

    • @MeshackJoseph-o7y
      @MeshackJoseph-o7y 4 дня назад

      Mungu akuweke, Uishi milele jirani yetu.!

  • @Huruma998
    @Huruma998 Месяц назад +30

    Yusufu aliwaambia ndugu zake wasigombane njiani. Nami nawaambia kwenye njia ya utumishi msigombane njiani. Mtadhoofika.

    • @esdoryboniface8557
      @esdoryboniface8557 Месяц назад

      Safari ya wajinga haiendi popote mkuu, why tusigombane ikiwa wengine wànatoboa mtumbwi

    • @MargrethMloka
      @MargrethMloka Месяц назад

      Kweli kabisa mtumishi

  • @mozzkamaru
    @mozzkamaru Месяц назад +9

    Dr Ipyana Mmuache kabisa kwenye hizi Conversations . Hizi ni siasa na Ajenda za kuzimu. He is a voice to our Generation and He echoes the Voice of zion to this perverse Generation.
    Dr Ipyana Sio muimbija kama tunavyoona wengine , Huyu ni MTUMISHI KAMILI WA BWANA,
    WE HAVE SEEN HIS WORK. HE HAS A TRACK RECORD OF RESULTS AND IMPACT IN ALL SPHERES.
    DR IPYANA HUWEZI KABISA KUMLINGANISHA NA HAWA VIJANA UPCOMING ,
    DR IPYANA ALISHAVUKA LEVEL ZA INVITATIONS , HE IS NOW IN THE KINGS BUSINESS.
    SO , ENDELEENI KUCHEZA NA WATUMISHI WA MUNGU TU , TIME WILL TELL

    • @LilyAnne-e7x
      @LilyAnne-e7x Месяц назад +1

      Aliye na vipimo ni Mungu. Yeye ndio anajua nani ni bora kuliko mwingine.

    • @yohanamartine1793
      @yohanamartine1793 Месяц назад

      ​@@LilyAnne-e7x Na uzuri Mungu hapimi kama tupimavyo sisi

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 Месяц назад +34

    Ukisikia mtoto wa Mungu amekosea mwombee tusikatane mapanga tuko siku za mwisho kushambuliana tunamuumiza YESU na mwili wa Kristo. Tuonyane kwa upendo Wana wa Mungu tujilinde tusiangukie kwenye mtego wa kulana nakuumizana

  • @elisharuben7681
    @elisharuben7681 Месяц назад +11

    Watumishi wa Mungu waimbaji mko vzr sana na wote mnanibariki kwa vile Mungu ameweka ndani yenu coz neema zinatofautiana ila mkianza kutafuta kiki mitandaoni kwa kutengeneza drama za ajabajab Mungu atawashusha sana hamtaamin, bado mnayo kila sabab ya kushuka na kupungua na kama kuna eneo la kushauriana shaurianeni kwa hekima kama watumishi wa Mungu mapungufu yapo tuu

  • @JanethJoel-cu2xv
    @JanethJoel-cu2xv 10 дней назад +2

    Isaya mrudie mke wako wa kwanza Mungu anasema nachukia kuachana

  • @keddykitoelo8147
    @keddykitoelo8147 26 дней назад +3

    Bro unaongea fact sana Mungu akubariki sana Shida wa kina ipyana wanajiona kma malaika sana hiyo ndo shida

  • @elinipasumary8885
    @elinipasumary8885 13 дней назад +1

    Mwl umeongea kwa hekima ya Kimungu, anayetaka kuelewa jambo hili ataelewa.Na ushauri wako umejaa hekima ya ghali juu.Nimekuelewa sana.Barikiwa

  • @ElishaDickson-l8v
    @ElishaDickson-l8v Месяц назад +20

    Of course tz one in gospel singers is paul clement,all we appreciate him!!

  • @waltermwikali3642
    @waltermwikali3642 8 дней назад +1

    The most important thing is to be blessed through their songs not their acts and behavior

  • @margaretkayombo3717
    @margaretkayombo3717 Месяц назад +12

    Huna haja ya kuhukumu maana hata wewe siyo mkamilifu mpaka uhukumu wengine Mungu Baba wa mbinguni ndiye mwenye haki juu yao. Haipendezi kudharalishana jukumu lako ni kuwaombea. Kwa kumtumikia Mungu kwa njia hiyo hujui Mungu ataweza kutia neno la ufahamu na wakafunguka tuache kukashifiana watu wa Mungu.

    • @esdoryboniface8557
      @esdoryboniface8557 Месяц назад +3

      Kuweni serious, karipieni uchafu unaopoteza ladha ya kanisa,
      Watu huwa mnajificha kwenye kichaka Cha USIHUKUMU, why?
      1Kor 5:10-13
      Mtume Paulo anatutaka tuwahukumu wazinzi (wachafu wa tabia) na anasema tuwafukuze watoke kwetu maana wanalichafua kanisa,, halafu wengine mnasema usihukumu,,
      Watu ambao hatupaswi kiwahukumu ni watenda dhambi walioko nje ya family zetu za kikanisa, lkn wale walioko makanisani waonyeni wasiopoonyeka, basi wafuluzeni watoke miongoni mwenu.
      Wenzenu waislam hawafumbii macho mambo yanayouchafua uislamu wao, na wako na sheria Kali, lkn ninyi mnabaki kutetea uchafu.

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 Месяц назад

      Ipyana ni mwanaume ,Zora o pia ni mwanaume si waitane waambiane?

    • @adiliatharweikiza3885
      @adiliatharweikiza3885 Месяц назад +1

      unajua maana ya kuhukumu kweli na unaijua maana ya kudharirisha kweli mbn mnachekesha.... Wamejdharirisha wenyewe Kama wameyafanya hadharani acha awakanye hadharani mntete dhambi kuliko utakatifu

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 Месяц назад +17

    Wambea wa kikristo.
    Jitafakarini sana

  • @ellylotha996
    @ellylotha996 Месяц назад +3

    Dhambi iite Dhambi wala usiipambe haijalishi ametenda nanai kujipendekeza wa watenda dhambi wewe ni mnafiki ukatubie dhambi ya unafiki.
    @Dr Ipyana umefanya vyema na Mungu akubariki sana sana.

    • @RehemaGoodluck-t4i
      @RehemaGoodluck-t4i Месяц назад

      @@ellylotha996 barikiwa sana maana watu wengi hawaendi kukemewa dhambi bali wanaisujudia dhambi huku wakijifariji kuwa mungu ni wa rehema.

  • @solomonpeter8843
    @solomonpeter8843 Месяц назад +1

    Kumbe mwaliko wa pili ulilenga kujionyesha kwa sasa kwa kuwa hujatutambulisha ngoja tumwalike wenyewe na tujitambulishe wenyewe hii Dunia ina mavitu sana ila ukweli ni kwamba mtumikieni Mungu ktk Roho na kweli sauti nzuri haina maana ya kwamba ndo utumishi uliokubalika mbele za Mungu kuna mengi sana Mungu anatusemesha kuhusu waimbaji Mungu awasaidie

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 Месяц назад +18

    Fanuel sedekia atabaki kua muimbaji sahihi mpk Yesu arudi,,,Paulo Mwangosi

  • @magrethmwakifuna9792
    @magrethmwakifuna9792 Месяц назад +6

    Wewe mwalimu umekaa kisiasa sana mungu tu akusaidie

    • @BeatriceSoka-c7c
      @BeatriceSoka-c7c Месяц назад

      Not anaongea kwel ndo mana hata tabia zao ni tofaut hapo ni kwaajil ya age zao hivo hapo ilitakiwa awasaidie kama kaka yao kiroho na si njia inayotumuka huko ni kufanya tuonekane wakirsto hatupendan so hapo sijaona siasa na hata kama haikuwa amewaface hao kina zeravo hata kama ni mtu mwingine bado no wisdom

    • @magrethmwakifuna9792
      @magrethmwakifuna9792 Месяц назад

      @@BeatriceSoka-c7c Yeye kama mwalimu amefundisha nini unachokiona kama kweli niushauri na ni mtumishi Ambaye anasimama kusahihisha akiongozwa na Roho kwa nini asiwatafute kwenye simu maana amesema zoravo anamjua.Yeye mwenyewe hekima yake Iko wapi tena yeye anamtaja jina Dr ipyana kuwa amekosea aliyemwamia kuwa Dr ipyana alikuwa anamuongelea zoravo ni nani.Halafu ukitaka kujua kuwa ameongea ni siasa ameamza kumchambua Dr ipyana ,halafu akasema amejaribu kuuliza inaonyesha kwa uwelewa wake yeye amegundua ipyana na zoravo hawaelewani.Amewaita?Huyu nae anataka viewers tu.

    • @JosephChilemile
      @JosephChilemile Месяц назад

      Kwani ni mwalimu wa nini huyu..samahani.?..maana siasa zimemjaa...

  • @yusuphmdemu4942
    @yusuphmdemu4942 Месяц назад +1

    Hatashetani alikuwa mwimbaji mzuri sana mbinguni,,,,, lakini alishusha na Mungu na kutupwa kuzimu ko hata hao ni walewale hatushangai

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 Месяц назад +3

    Kuna mambo sana ktk mitandao .Mkamilifu ni MUNGU pekee.Tuombeane sana njia ya YESU ni kujikana.Utakaso muhm.

  • @oresterthomas-z9v
    @oresterthomas-z9v 22 дня назад

    Aiseeee Mungu atusaidie

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 Месяц назад +7

    Ndio maana baba yetu Mwakasege haitaki hizi sampuli za ajabu ajabu

  • @DorinnyJosephMolle
    @DorinnyJosephMolle Месяц назад +1

    Muonekano enyewe inatosha kua tambulisha kua hamna lolote 😢😢😢 mungu akutie nguv sana ipyana

  • @AngelAfric
    @AngelAfric Месяц назад +5

    Hakuna udhaifu ktk dhambi ndomana Mungu akatuwekea self control ili kuepuka dhambi

  • @Pendo197
    @Pendo197 Месяц назад +14

    Tanzania tuna John Lissu,Dr Ipyana,Boaz Danken the true Worshippers...labda na Paul Clement ila akina Zoravo waendelee ipo siku watafika tu

    • @shukrankalinga8562
      @shukrankalinga8562 Месяц назад

      Ukitamka jin John lisu aloooo !!!🙏✍️

    • @mwesigyeglory215
      @mwesigyeglory215 Месяц назад

      Hawa ni maregend sana Mungu awatunze ila nadhani ni watu wanakuja haya mambo

    • @desderipatrick8392
      @desderipatrick8392 Месяц назад +1

      Only God knows a true worshipers, huma being will judge by looking

    • @alexdominic9201
      @alexdominic9201 Месяц назад

      @@desderipatrick8392 mtawatambua kwa matunda yao

    • @zaudahalisi2241
      @zaudahalisi2241 Месяц назад

      Upendo nkone 😢

  • @Jeremiatitomawala
    @Jeremiatitomawala Месяц назад +5

    Kemeeni dhambi jmn watumishi,hatulei kwa kufunika dhambi , ni kwel vijana wako vzr lkn wambueni ukwel msifunike jmn

    • @LeahKibadu-nr5jg
      @LeahKibadu-nr5jg Месяц назад

      Mungu akubariki sanaa Dhambi haifunikwi Ukwelii lazima uambiwe

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 Месяц назад +1

    Injili ya Kristo Haina ukubwa ila sasa hawa waimbaji wapo kidunia zaidi sio kwa AJILI ya wokovu wa kweli na ninyi mnawasifia kwa kuzitengenez sauti wanapoimb ..pia uzinzi umetawala wao kwa wao ,, tuwaombee Toba

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i Месяц назад +43

    Ipyana Kazungumza kiupendo,na inavyo takiwa mwimbaji awe! Uzinzi sio udhaifu, ni Zambi!!! Dhambi ni dhambi wokomvu ni mara moja,ukitoka hapo Yakupasa uendelee mbele usitende dhambi,ukitenda tayari umeanguka Yakupasa jutubu na kuendelea na kuto kurudia mshahara wa dhambi ni mauti!!! Ni Bora anae kuambia anakupenda ukweli,Ili bawengine wajifunze

    • @EuphrasiaNtawatawa
      @EuphrasiaNtawatawa Месяц назад +5

      Kuambiwa ukweli ni sawa ila kama anakupenda kweli siyo matangazo kwa kila mtu nenda muonye kwa upendo atabadilika tu na una uhakika gani kuwa ni wapenzi au wanazini ana evidence yoyote ?? Wengine hawajielewi lakini ukiwaendea kuwaelewesha wanabadilika wokovu ni mchakato ni process hatua moja baada ya nyingine kama wewe umeshafika hatua ya juu usione kuwa wa chini hawafai au ni wadhambi bado wapo kwenye matengenezo kupitia wewe watu wanavuka

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 Месяц назад +1

      Hayuko sawa alicho kifanya ni chuki juu ya wenzie kwa sababu alisha tanguliza chuki angewaonya kwa upendo nasio kuwa dhalilisha

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 Месяц назад +3

      Dr Ipyana hayuko sawa alichofanya hapo ni chuki na sio upendo mimi nahisi anakusudi la kuuwa na sio kujenga ni udhalilishaji alichofanya kuuwa huduma za wenzie CHUKI

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson Месяц назад +6

      Asante kaka,pia Dr.Ipyana hajataja mtu yeye amesema kauli hiyo ,Sasa mtu binafsi ndiyo atajitaja mwenyewe.
      Dhambi inayesa kama siyo kweli wao waendelee na maisha Yao.Hapo hajatajwa mtu.Mungu atusaidie sana

    • @RehemaGoodluck-t4i
      @RehemaGoodluck-t4i Месяц назад

      Barikiwa mno kwa majibj ya hekima.

  • @annaweinard3832
    @annaweinard3832 Месяц назад +1

    Nakubali sana hiki kizazi kiendelee na kazi

  • @CharlesMashenene
    @CharlesMashenene Месяц назад +8

    Hapaana ,comment zako ni nzuri lakini dhambi haivumiliwiii inakemewaaa

    • @BeatriceSoka-c7c
      @BeatriceSoka-c7c Месяц назад

      Kaka dhambi inakemewa but njia unayotumika ni sahihi?wote ni watumish wa Mungu na dhambi cyo hiyo tuu ni vzr hekima ya Mungu itumike

  • @koniasalingo2165
    @koniasalingo2165 Месяц назад +2

    Nanyie pia kuandika kichwa hicho nikuendelea kuwachafua mana tutaanza kujiulizaaa wamezini kweli auu

  • @SPRINGSANNEX
    @SPRINGSANNEX Месяц назад +1

    Hakuna aliye mkamilifu,badala ya kuwapura mawe tuwaombeeni watoke katika uzinifu sababu ubinadamu ni udhaifu.

  • @greenngusa872
    @greenngusa872 Месяц назад +6

    Waandishi wa habari ni wachochezi msipotubu sehemu yenu ni kuzimu.
    Ipyana hakutaja mtu ninyi mmetaja
    Hao wahusika hawajathibitishwa uovu ila ninyi mnawaaminisha watu
    Tubuni kabla hamjahukumiwa mabaya yawajie ninyi.

    • @Dr.ostine
      @Dr.ostine Месяц назад

      That's very true he never mentioned anyone

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 Месяц назад +1

    Sure . Ni kweli tuombeane. Tukumbuke Mungu alikomtoa Bella jamani ni ushuhuda wa kujivunia Mkono wa YESU wa kuokoa tukiokolewa tunakuwa kama watoto wachanga tukikosea tunaye mwombezi. Tuombeane

    • @magrethmwakifuna9792
      @magrethmwakifuna9792 Месяц назад

      @@rosebaraka8406 Yule mwanamke aliyekuwa kahaba aliyemfuta Yesu kwa nywele zake alipokwenda kwa Yesu Ili alisamehewa dhambi na Yesu akamsehe dhambi Kisha akamfuata, maana yake aliacha dhambi kabisa.Huruma hakika inatakiwa lakini sio kufunika dhambi waambiwe ukweli waache dhambi kama wanafanya na kama hawatendi wamuinue Mungu tu maana hata wao wanatakiwa wayapitie hayo na washinde.Wasikasirike kusemwa vibaya huko ndiyo kushinda kiroho.

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 Месяц назад +1

    Kunena it's a gift of spirit.
    Upendo ni tunda la roho

  • @MeshackJoseph-o7y
    @MeshackJoseph-o7y 4 дня назад

    Hii haijakaa vizuri kwakweli, kama unahitaji kumsaidia mtu kiroho sio kwenda public!
    This is absolutely worst!

  • @ShadrackSalum-h9k
    @ShadrackSalum-h9k 12 дней назад

    Kila mtu amewekwa na mungu atumike kwa namna yake sasa hata mwanadamu akikosoa bado ukweli wote anao mungu mwenyew,kwhyo hakuna maana saana ya mwanadamu kumjudge mwingne cha msingi ni kuangalia kile cha kimungu tuu kutoka kwa mwingne maana karama tumepewa ili tufaidiane

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 Месяц назад +8

    Dr Ipyana amewasaidia sana kutoka kwenye dhambi yao, kwani kuoana shida nini, kwanini wasioane kama wanaona wamependana au Kuna mke wa mtu au mume wa mtu Kati yao??
    Waache uzinzi , Dr amewasaidia kutoka kwenye uovu, wasichukulie negative

  • @emmanuelkahindi587
    @emmanuelkahindi587 17 дней назад

    ukristo ni dini za wazungu..waafrika tushikilie tamaduni zetu.

  • @DavidKayange-i3r
    @DavidKayange-i3r 22 дня назад

    Umejikiti kwenye kutetea ukaribu wako wewe na zoravo,kumpima mwimbaji bora wa injili ni tofauti na wa duniani ipyana anaimba katika roho sana huwezi kuwalinganisha na hao wengine,ki ukweli nakuona unaongea ki ubinafsi.

  • @yusuphkayoka5452
    @yusuphkayoka5452 Месяц назад +1

    Hii tabia ya kuhukumu watu si ya wana wa Mungu.

  • @Pendo197
    @Pendo197 Месяц назад +4

    Na ww unaongea kinafiki sana,,ukija kwa waimbaji wa Tanzania wanaomwabudu Mungu katika Roho na kweli huwezi muacha Dr Ipyana,,Zoravo bado sana anatekwa na mambo ya dunia

    • @ClaraMwaya-og4ou
      @ClaraMwaya-og4ou Месяц назад

      Fact

    • @yuajakabombwe2
      @yuajakabombwe2 Месяц назад

      Hakuna uthaifu kwenye dhambi hiyo ni dhambi ww mchungaji utadaiwa juu ya hili kwa kuita dhambi et ni udhaifu ama kweli kwenda mbinguni ni kz sana

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e Месяц назад +4

    Ila Mwl Isaya ninacho kiona kwenye Injiri ya kweli bado sana wwe brother!!

  • @FrankMsagala-ht7ck
    @FrankMsagala-ht7ck Месяц назад +2

    Mimi kama Mimi nasema ivii,mwenye kuzini na azini sana na mwenye kuhubiri habiri sana na mwenye kusengenya na asemgenye sana .Mi Niko pale tu

  • @mariamalexander411
    @mariamalexander411 8 дней назад

    Umbea😂😂😂😂 story za vijiweni😂😂

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 Месяц назад +4

    HAYO SIO UDHAIFU. NI DHAMBI. SEMA HIVI. MIMI DHAMBI YANGU NI UZINZI NA WEWE DHAMBI YAKO NI UTAPELI

    • @ellytech9757
      @ellytech9757 20 дней назад

      Dhambi yako siyo? Unajimilikisha dhambi?

  • @ceomentalhaven
    @ceomentalhaven 26 дней назад

    Ikiwa wana mahusiano, ni vibaya? Ama kupendana ni dhambi?
    Na muache kuwazungumzia watumishi wa Mungu, na pia nyinyi mna madhaifu yenu. Si vizuri maanake Bella katoka mbali, na hao vijana wanajaribu sana maanake generation hii ya vijana Mungu ameinua.

  • @Theafromi255
    @Theafromi255 Месяц назад +2

    Bro Isaya unajua vile nakupenda, Unakitu kikibwa na nakufatilia sana, Kuna kitu Tanzania kina kuja nafurahi kukufahamu

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Месяц назад +4

    Mawakala shetan wamekutan msipotubu juu ya mamb mnayopenda kuyasem kw kujitia mpo upande wa waisram kuudhalilish ukristo hamtodumu kwa jina la yesu

  • @jeremykamwela1229
    @jeremykamwela1229 Месяц назад

    Kwa habari ya neno, misingi na kaanuni za Mungu au kwa watu wake wanavo paswa kuwa na kuishi, neno huwa halijipingi, hakunaga kitu kinaitwa ukisasa kwenye ufalme wa Mungu, Mungu ni yule yule,jana, leo, kesho na hata milele. Tukumbuke kwamba Mungu anauwezo wa kumtumia mtu yeyote hata mlevi kutumeza kusudi lake panpo bidi lakn huwa haimaanishi mtu huyo kutumiwa basi anasifa za kwenda mbinguni, No, mbinguni ni kwa utakatifu.

  • @lumierenuregarlyoney6916
    @lumierenuregarlyoney6916 Месяц назад +1

    Kwanza kwenye group la kina zoravo mtoe Paul Clement.
    Then acha kuipamba dhambi. Hao watu wanaishi mtaan na tabia zao zinaonekana . Kwann wafanye jina la Yesu litukanwe alaf utetee. Mtu mwenye miaka 24+ ni mtu mzima kabisa kujua dhambi ni nini.
    Dr Ipyana anafanya vizuri sana sana.
    Na wakumbushe au vijana kuwa msanii unaehit haimaanish umekubalika na Mungu. Ata waimbaj wadunia wanahit sana tuu.
    Acha uo upumbav mara moja ya kutetea ujinga utawafanya hao vijana waona wanachofanya ni sawaa

  • @josephinejames4590
    @josephinejames4590 Месяц назад +2

    Mwalimu Benson ni humble guy aki,Mungu akubariki

  • @annaweinard3832
    @annaweinard3832 Месяц назад

    Nimependa sana uchambuzi wako Mungu akubariki

  • @FlorenceBill-v4v
    @FlorenceBill-v4v 17 дней назад

    Bella Kombo aliomba kuombewa, tuwaombee. Na hata kama wamekosa, tutumie hekma ili kutouharibu utu wao.

  • @AsibatikeMgaya
    @AsibatikeMgaya Месяц назад

    Kulelewa kipaji inategemea utayari wa kutaka kulekewa. Kwani kulelewa kunahitajiks unyenyekevu sana.

  • @mwesigyeglory215
    @mwesigyeglory215 Месяц назад

    Ipyana watu walimkoti vibaya hakusema yote hayo ni watu wengine wanaokuza mambo
    Nadhani wanaoongelea hayo ni wapagani wanaojiita wakristo ili wavuruge kazi ya Mungu

  • @MichaelCNtaho
    @MichaelCNtaho Месяц назад +1

    Khaa ila Mwl Benson una hekima ya kiMungu aisee,, Roho Mt azidi kukuzidisha sana huko.

  • @tumainifoundationtanzania7981
    @tumainifoundationtanzania7981 15 дней назад

    uwongo kabisa

  • @hellenwanyama8558
    @hellenwanyama8558 26 дней назад

    Young prophets be aware of the old prophets killing

  • @johnsengerema4258
    @johnsengerema4258 Месяц назад +2

    Bella olewa basi na Zoravo ili hizi za umalaya ziishe

  • @eunicebaya-se8zx
    @eunicebaya-se8zx Месяц назад +1

    Naona kungekuwa na makongamano ya waimbaji wote ili kuwe na darasa la kufundishana juu ya uimbaji katika madhabahu ya Mungu.Hii ingesaidia kuliko kuongea mitandaoni.

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 Месяц назад

      SIYO!!
      WATU WAOKOKE KWANZA!! SIJUHIZI TUNAIMBIWA NA MA FREEMASON TU!!!!

  • @MarcoMambosho
    @MarcoMambosho Месяц назад

    Kuwa na Mahusiano sio shida wapendwa hakuna ndoa bila uchumba na hakuna uchumba bila mahusiano.

  • @emmaculatenzomo6806
    @emmaculatenzomo6806 24 дня назад

    Kaka wacha siasa na kwanza umukome doc ipyana, tofautisha udhaifu na dhambi.... Hutuezi changanya,,,, kama mtu anaimba gospel awachane na dhambi, usiongee mambo ya generation yesu ni yule jana leo na mimi..

  • @JonathanHizza
    @JonathanHizza Месяц назад

    Hujasaidia kitu kiukweli anaetambulisha mtu kwenye ulimwengu wa Roho ni Mungu sio Ipyana wala hakua na haja ya kuwatambulisha kwa yeyote enendeni kwa roho hamtatimiza tamaa za mwili.

  • @crausmlambaighombo2774
    @crausmlambaighombo2774 16 дней назад

    Nko Kenya na kama ni wazinifu sisi hatujui ila nyie na mashetani na watoto ama Wana wa baba yenu ibilisi John 8:44

  • @AureaKimati
    @AureaKimati Месяц назад +2

    Ni kweli ? Hayo mnayoyasema yapo ? Msihukumu msije kuhukumiwa kama ni kweli hili waonyeni ili wajue watakacho Fanya +(geukeni kwaajili ya maonyo yangu tazama nitawamwagia roho yangu na kuwajukusheni maneno yangu)

  • @MarcoMambosho
    @MarcoMambosho Месяц назад

    Alafu watumishi msikae kujadili watu kaeni kuihubiri injili Ya YESU KRISTO.alafu mtumishi usipende kutumia maneno ya kusikia kwa watu.

  • @salvatorymushi2038
    @salvatorymushi2038 Месяц назад +1

    Mavazi ya WAIMBAJI wa siku izi kwakweli yanatisha ...ukiwaona wakati wakiwa wanakuja kwenye mazoezi Yao yaan mpka aibu...watafute sana nguvu za Mungu za kushinda

  • @andrewrichard9261
    @andrewrichard9261 Месяц назад

    N sawa kabisa mwalim umesema vyema, lakn pia wakat mwingine mtu akizungumza kitu n vyema mtu asijibu coz ndio inaleta muuunganiko wa negative point nk.
    Kumekua na tabia ya kuhukum sana watu na kwa MUNGU iyo n dhamb kama dhamb nykngine coz hukum n juuu ya MUNGU.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Месяц назад +1

    Uzinzi sio udhaifu ni dhambi!
    Though sijui ipyana aliongea nn na nn kinaendelea!

  • @officialSethMwaigomole
    @officialSethMwaigomole 29 дней назад

    Kwa eneo la ibada Hawajapewa wote tujue hilo!!.
    Tusitete sana ujana,dr ipyana nae ni kijana wamepishana umri tu, na dr amepita kwenye huo umri!!.
    Anaposema kitu na hajamlenga mtu kuna shida gani kwa anae jishtukia!!.
    Halafu maneno mengi ya kitaalam na neno hauna ni kujitetea tu kwa watu wenye akili kubwa,TANGU LINI BIBLIA ISEME UZINZI NI UDHAIFU,,
    kuwen makin na hekima zenu za kuokota kitaa!!.
    Dhambi ni dhambi tu!!
    Kama watu wameshtakiwa nafsi zao kwa injili ,vyema kutubu tu mambo yasiwe mengi.

  • @AaronAmon-e3v
    @AaronAmon-e3v Месяц назад +4

    Iyo Nguvu mngekua mnatumia kutangaza injili watu waokoke mngekua mmefanya kitu cha maana ..

    • @MathiasJItangwa
      @MathiasJItangwa Месяц назад

      Kabisa mtu wa Mungu Huu mjadala wa kutetea watu mtu kama Isaya Benson hii ni ajabu kweli

  • @OYES2916
    @OYES2916 25 дней назад

    Kumekucha hukooooo😳

  • @officialSethMwaigomole
    @officialSethMwaigomole 29 дней назад

    Tusikuze mambo kiwango icho

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 Месяц назад

    Waelekezwe kwaUpendo na Watubu,

  • @GloryKapenja-l5z
    @GloryKapenja-l5z Месяц назад

    Ipyana amafikisha kile alichoonya sasa kama wao hawataki watajua wao na Mungu biblia imeruhusu kuonyana sisi kwa sisi

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 Месяц назад +1

    Huyo alishaolewa hawez kuolewa maana Neno linasema mpk mume wake afariki ndio anawez kuolewa tena

  • @gsmsylivester9887
    @gsmsylivester9887 Месяц назад

    Kamakuna watuu nimekuelewa it me offcause mamb alio fanya zora kwangu siwez kumuhukumu na nita muhukumu alie shi2a wa2 japo sikwaubaya lakin alikosea lakn kama nilakimungu basi mungu aendelee kutusaidia

  • @jacksonvedasto3891
    @jacksonvedasto3891 10 дней назад

    UZINZI SO UZAIFU NI DHAMBI

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye Месяц назад +6

    Angalieni ya kwenu msipende kusema ya watu wengine hata waliokuwa wafanyakazi wa hotel 77 ya Arusha madai yao hawajalipwa miaka 24 imepita serikali imeziba masikio haisiki kwakuwa sijui haijui au Nini?

  • @estherbettyfavour
    @estherbettyfavour 29 дней назад

    Sinners judging other sinners.

  • @lusungumkolla6672
    @lusungumkolla6672 Месяц назад

    Dr Ipyana mkubwa kwa Paul Clement

  • @joelhosea2671
    @joelhosea2671 Месяц назад +2

    Na Yesu akasema, kama kuna yule ambaye hajatenda dhambi awe wa kwanza kurusha mawe. Tafakari

  • @LuckyFondoKahindi
    @LuckyFondoKahindi Месяц назад

    Hey guys, the truth MUST be said, let us know the difference between judging, and correcting, because it seems we contradict the two words!... Hata hivyo dhambi ni lazima ikemewe,, Wala si kuificha

  • @piasonmauya6213
    @piasonmauya6213 17 дней назад

    Luka 6:41

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 Месяц назад

    Kinachosikitisha nikwamba tumesahau c kila mwenye kuimba c kama ametumwa na anawito shetani huweka mawakala ,,ndio maana Maandiko walituambia kua magugu na ngano lazma viachwe vikue ila kiukweli magugu wanafahamika,,biiiva Mwangosi,,biiiva Sedekia

  • @stephanSandika
    @stephanSandika Месяц назад

    Dawa ya dhambi ni kuacha dhambi sio sio

  • @reimushi1185
    @reimushi1185 Месяц назад

    Here say

  • @JuniorMaua-pp5le
    @JuniorMaua-pp5le 24 дня назад

    Uzinzi siyo udhaifu kaka Hiyo nidhambi inakutafuna

  • @MilionerLee-fr7zm
    @MilionerLee-fr7zm 4 дня назад

    Hawataki kuelekezwa wabishi vijana wa sasahivi ni wabishi wawe waombaji shida sio kuteka soko sida ni ibada inamtukuza MUNGU

  • @ibrahimmwakulila7256
    @ibrahimmwakulila7256 Месяц назад

    Umeangazia vizuri ila kichwa cha ujumbe wako ndicho kinadhalilisha zaidi kuliko maneno yenyewe

  • @sifakamwela8301
    @sifakamwela8301 Месяц назад

    Maji ya moto, isiwe kigezo cha dhambi, uwe mzee uwe kijana , ni uchafu ni chukizo , ji jehanam, kemea dhambi , usifariji et et et ujana , Timotheo aliwezaje, Paulo anathibitisha

    • @FulgenceNombo
      @FulgenceNombo Месяц назад

      Ninyi mnahukumu wenzenu,, utadhani nyie ni malaika,, waombeeni walioanguka,, msiwe mwiba kwa wengine

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv Месяц назад

    hamna mwalimu wa neno la Mungu!! hapo!! ni mfanya biashara ya u tube!!

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад +1

    Nimekuelewa isaya nimekumbuka elerai arusha kwa mzee wangu haule sasa Nimekuelewa kumbe sio mamluki la kuzimu unachimbuko jema

  • @askofu_muziki5992
    @askofu_muziki5992 Месяц назад

    Clement ni mzee mtoe apo

  • @kelvinamasy-tk9li
    @kelvinamasy-tk9li 12 дней назад

    Roho Mtakatifu hawezi kumuambia mtu kitu ambacho kitaleta uharibofu hata siku moja hilo kalifanya kwa akili zake na matakwa yake mwenyewe

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 11 дней назад

    Mmesababisha nifute nyimbo zote za Bela Komno kwenye simu yangu na frashi pia

  • @Siege-of2ok
    @Siege-of2ok 21 день назад

    Ni tabia mbaya kiwasema watumish waMungu tuwaombee nao ni wanadamu hamna mkamilifu

  • @brigediawayesu1705
    @brigediawayesu1705 Месяц назад

    Dhambi siyo udhaifu acheni kutetea uasherati hao wanatakiwa Toba

  • @witnessjuma9157
    @witnessjuma9157 Месяц назад +1

    Ni nani aliye mkamilifu??? Mmetoa wapi ujasiri wa kuchambuana, ni mangapi mnayoyafanya sirini na sisi hatuyajui?? Ni usherati ndo mnaona ni dhambi kubwaa??? Mnatumia umaarufu vibaya... Mungu yule yule aliyewakweza atawashusha😢😢😢😢